CHADO MASTA FT MUNTA DEE - CHADO MASTA (official audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 392

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h 16 дней назад +22

    Chado uko sawa kwa kila upande mwanangu nakubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉 ...Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 15 дней назад +8

    Apa ungemshilikisha ngwengwe🎉🎉🎉🎉🎉ingekuwa noma

  • @Ôttouman
    @Ôttouman 16 дней назад +49

    Chado master umenirizisha baba respect 🙏 wariyoyipenda kama mim wanipe like

  • @PascalMashauri
    @PascalMashauri 16 дней назад +3

    Mzee chado uko vizuri kk leta ile ingine song yenye unataja amo ngwengwe na mama ngwengwe y'a mission impossible

  • @cliffordbaraka1917
    @cliffordbaraka1917 13 дней назад +2

    SALUUUUUUUTEEEEE Chado bado lile song lingine la ghafla nashituka ........ Hilo Kali Sana kwenye Movie

  • @edmondirakoze6450
    @edmondirakoze6450 16 дней назад +7

    Nimeyisubiri kwa hamu 😍😍😍🇧🇮🇧🇮

  • @OfficialMaxKing
    @OfficialMaxKing 16 дней назад +31

    Watao like hiyi comments mungu hawa bariki 🙏

  • @KevohMakau
    @KevohMakau 16 дней назад +2

    Daaaah chado master big up nigah umetisha❤❤❤❤

  • @irenebenbella
    @irenebenbella 15 дней назад +2

    Ahaaa jmn nilikuwa naisubiri kwa hamu jmn uwiii❤❤❤❤❤❤❤

  • @DestinNondo-sc9qq
    @DestinNondo-sc9qq 16 дней назад +2

    Chado master mwenye wew baba weeeeeeeeeeh unajua kunipa raha ❤❤❤❤❤

  • @ANNAKANUTI
    @ANNAKANUTI 16 дней назад +2

    Wimbo umebamba sana hongera chado

  • @ChantalNiyonkuru-i7j
    @ChantalNiyonkuru-i7j 16 дней назад +8

    Chado umetisha sana ❤❤❤❤

  • @badrowizy586
    @badrowizy586 16 дней назад +2

    yaan nlikuwa nataman sana kulipat ili song duuuuh 🎉🎉

  • @aminaabdi2944
    @aminaabdi2944 15 дней назад +3

    Duh baada ya kusubir kwa muda mrefu hii ndo I like❤❤❤❤

  • @AgathaJulius-r4h
    @AgathaJulius-r4h 16 дней назад +2

    Hongera kaka chado nilikuwa natafuta huu wimbo leo nimeupata hatimae🎉🎉

  • @Harice-b1g
    @Harice-b1g 15 дней назад +2

    ❤❤😮kitengo muhuni wa mwaka wee ni mubad sana umenikosha kinyaa😮😮😮

  • @SikukuMartin-kw1kp
    @SikukuMartin-kw1kp 16 дней назад +7

    Kaka #chado sasa umeshindikana hongera sana from 254

  • @NataliaMrema
    @NataliaMrema 16 дней назад +6

    Aloo ooh 🎉🎉🎉 tunafungaa mwakaaa na chado master ____ u kill it brooo❤❤🎉

  • @GilbertChonga
    @GilbertChonga 15 дней назад +2

    Çhado Masta movie yako ya Mission ni tamu na nimeikubali tena sana

  • @SurprisedBirdwingButterf-gi9ym
    @SurprisedBirdwingButterf-gi9ym 16 дней назад +2

    Umetisha chado ❤❤❤🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @Mudeh-k5u
    @Mudeh-k5u 16 дней назад +2

    🎉🎉🎉noma sana father chado master

  • @Ormelody-m6x
    @Ormelody-m6x 16 дней назад +6

    I'm Your fans number one kutokeya DRCongo

  • @NowmeRzk
    @NowmeRzk 16 дней назад +2

    Nakubaliii brooo Keep going 🎉

  • @KasekaKaseka-g9p
    @KasekaKaseka-g9p 16 дней назад +2

    Umetisha sana kaka good job 👍👍👍😁

  • @ShobizzTz
    @ShobizzTz 16 дней назад +4

    Fire sana wasukuma tujuane kwenye like apa 🔥 🔥 fire chado noma....

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b 16 дней назад +4

    Wooow nilisubiri kwa hamu hii nyimbo duuubh❤❤❤❤

  • @VANSCLASSIC256
    @VANSCLASSIC256 16 дней назад +4

    kweri nimeingoja sana hii doba hongera chado

  • @Kadawiah
    @Kadawiah 16 дней назад +5

    ngoma kali man Chado

  • @DanteMadrug-w6s
    @DanteMadrug-w6s 16 дней назад +5

    Chado master ndio kusema kenya🎉🎉🎉🎉

  • @IbraahKizz
    @IbraahKizz 16 дней назад +3

    Na❤kubari baba chado masta...Natak mtowe na ire ya lahaula bonge

  • @Pendofrank-i8v
    @Pendofrank-i8v 15 дней назад +1

    Hongera sana chado master bado ile ya mahaba

  • @mrabsheba5153
    @mrabsheba5153 16 дней назад +2

    Amazing Sana Nilikua naungoja Sana love kutoka Mombasa ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🇰🇪

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 16 дней назад +5

    Wa kwanza nakubali kitengo walokuwa wanaisubiri ngoma yetu pendwa tujuwane🔥

  • @JustinDamas-wb4pc
    @JustinDamas-wb4pc 16 дней назад +8

    Kazini kuna kazi

  • @MakiteDiva
    @MakiteDiva 16 дней назад +3

    Finally 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 the song has been released

  • @FioxAlluminium
    @FioxAlluminium 16 дней назад +6

    nimetafuta sana hii nyimbo ahsante

  • @FatumaMashaka-he3uf
    @FatumaMashaka-he3uf 16 дней назад +6

    Hii nyimbo me naipenda

  • @RahmadidKubo
    @RahmadidKubo 16 дней назад +2

    Chado master umetisha sana kweli ww chado master we all love you ❤❤🇹🇿Mungu akujaalie maisha marefu na mazuri Inshaallah

  • @LameckBandiho
    @LameckBandiho 16 дней назад +7

    TULIOKUWA TUNAISUBIRI HILI SONG TUWEKE LIKES HAPA KWA CHADO MASTA 🏃🚄💨💨💨
    coming!

  • @JessicaIrakoze-w4e
    @JessicaIrakoze-w4e 16 дней назад +5

    Nakukubali kitengoo 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 16 дней назад +1

    Tuliusubir kwa ham huu mzik noma sana ❤❤❤❤❤

  • @NashuShety-kg9bk
    @NashuShety-kg9bk 16 дней назад +1

    Keep it up Bro Chado,,Endelea kutuburudisha❤🎉

  • @OsmanJuma-s1j
    @OsmanJuma-s1j 16 дней назад +1

    hii ndo movie Yenye inawakilisha African nzima love more🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ElvisMwangome
    @ElvisMwangome 16 дней назад +1

    Wazi chado master 🎉🎉🎉🎉 nakubali goma hilo ❤❤❤❤

  • @SendamalameckMbuluzi
    @SendamalameckMbuluzi 16 дней назад +2

    Nakubari sana mwamba anajua mpaka anakela🎉🎉😂😂

  • @respicioustv5834
    @respicioustv5834 16 дней назад +1

    Chado chado chado mastaaa aka aa USA Gangster 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @dvjtaygah927
    @dvjtaygah927 16 дней назад +2

    wapi ngwengwe wapi manyonga........ team cheusi hollah... ila skuhzi bonge haonekani🤣🤣🤣

  • @saidhatibu5743
    @saidhatibu5743 16 дней назад +1

    Nakubar sana mwamba chado master A.K.A USA GANSTAR

  • @gadinamahukuluroberto8875
    @gadinamahukuluroberto8875 16 дней назад +19

    Kutoka Congo 🇨🇩 Lubumbashi naomba likes zangu jamani mwamba chado Kaka likes zangu 😂😂😂🎉🎉 nakubali kazi zako Kaka

  • @Ibrahmiroshi
    @Ibrahmiroshi 16 дней назад +2

    Umetisha san chado

  • @RehemaGambo-x8q
    @RehemaGambo-x8q 16 дней назад +5

    Wow, nice voice, chado master ❤❤😊😊🎉❤kma unaamini hii nyimbo imeweza goga like

  • @Khadijah-p8v
    @Khadijah-p8v 16 дней назад +1

    Chado Chado Chado masta aka.... sema umetisha sana dogo 🎉🎉🎉🎉

  • @lulufaruk6208
    @lulufaruk6208 16 дней назад +5

    Nimetafuta sana hiki kichupa I sayyy

  • @mafrancsmastuke3564
    @mafrancsmastuke3564 16 дней назад +1

    Kutoka Congo mafrancs mastuke daa wewe ni shida kabisa🎉❤

  • @mubuyafrancis3979
    @mubuyafrancis3979 16 дней назад +1

    Aweee king chado❤❤

  • @AgnessMirisho
    @AgnessMirisho 15 дней назад

    Asante sana chado kwanyimbo nyimbo nzuri naipenda sana❤💯

  • @Alexking-e5w
    @Alexking-e5w 16 дней назад +1

    🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎧🎧🎧🎧Nakubal San bro

  • @mohamedhussein-l1k
    @mohamedhussein-l1k 16 дней назад +1

    Nakukubali mwanangu chado

  • @Vintonekaveli
    @Vintonekaveli 16 дней назад +3

    ❤❤ wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 nipeeni likes zangu wakuu 🙏 nawaomba pia mnisupport tena 🫰🫰 nipo nawe bega kwa bega 🔥 kichaa wangu

  • @NeemaShilla-f5s
    @NeemaShilla-f5s 16 дней назад +1

    Oya unajua baba, sema nn umecheza na moyo na akili yangu maana nilikuwa natamani kuipata hii song OG nje ya movie, Oya🙌🙌🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹ni yako chukua kiroho safi, Oya nakukubali wewe wewe na kundi lako na kazi zenu mna kitu mtafika mbali sana♥️

  • @Ormelody-m6x
    @Ormelody-m6x 16 дней назад +1

    Unakipaji kikubwa saaaaana brother chado

  • @Official-sj6kw
    @Official-sj6kw 16 дней назад +1

    Waleteeee kati wa kwanza❤

  • @ProsperNdayiragije-l8s
    @ProsperNdayiragije-l8s 16 дней назад +1

    Umetisha kaka👍👍👍

  • @Frizzym.t.nMúsico
    @Frizzym.t.nMúsico 16 дней назад +1

    Nilikua naissubiriya HII nhimbo na penda sana kwenhe mission impossible

  • @NASMEDIATV
    @NASMEDIATV 16 дней назад +3

    Nakukubali sana zaid ya sana broo Chado

  • @mohamedhemed-vz8nb
    @mohamedhemed-vz8nb 16 дней назад

    From Mombasa,iko sawa chado master

  • @NancyLagat-j9r
    @NancyLagat-j9r 16 дней назад +2

    Umetisha kk🎉🎉🎉🎉

  • @fabbianskevogo8572
    @fabbianskevogo8572 16 дней назад

    umetisha kakangu mungu akuongoze kwa kazi zako

  • @ImanAthuman-e2o
    @ImanAthuman-e2o 16 дней назад

    Ngoma Kali sema uyo bishoo kazingua

  • @mwananchi-ex6sj
    @mwananchi-ex6sj 16 дней назад

    Nakukubal San bro chado unajua

  • @ManyanzaMoses
    @ManyanzaMoses 16 дней назад +1

    Ngoma kariiiii💯🔥

  • @GiftEmanuel-if3vo
    @GiftEmanuel-if3vo 16 дней назад +2

    Chado master ❤

  • @denismasese3208
    @denismasese3208 16 дней назад

    Chado master 👊👊tunakukubali kutoka Kenya bro

  • @Frizzym.t.nMúsico
    @Frizzym.t.nMúsico 16 дней назад +1

    I'm from mozambique 🇲🇿 chado Masta unyama sana

  • @BethwelKiprop-ns9lm
    @BethwelKiprop-ns9lm 16 дней назад

    hapo sasa kk love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @vivinenibitanga8529
    @vivinenibitanga8529 16 дней назад

    Weeeee😂😂😂😂😂 chado chado chado master🎉🎉❤

  • @AbdulIbrahim-r3z
    @AbdulIbrahim-r3z 16 дней назад

    Oya chado twende humu humu mzee hiphop 4life

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr 16 дней назад +1

    Kujituma sana ndo mungu ana bless,Kuna wale wasojituma kazi ufitina na masimango yakusema yule ni illuminati,unajituma sana #CHADO mungu akupe mafanikio na ongeza bidii sana Kwa kazi🎉🎉🎉

  • @LennoxmkareBugo
    @LennoxmkareBugo 16 дней назад

    Hongera umetisha sanaaaaaa!

  • @nicedream8819
    @nicedream8819 16 дней назад

    Dah yaan hii song nilikua nasubiria mda mrefu saaana

  • @aminielsaidi8015
    @aminielsaidi8015 13 дней назад

    Nlikua nasubiria hii nyimbo chado masta kweli

  • @RdKadabra
    @RdKadabra 16 дней назад +16

    Umetisha kk

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 15 дней назад

    Chado masta congratulation my brother song hili la 🔥

  • @OsmanJuma-s1j
    @OsmanJuma-s1j 16 дней назад

    Nice song for chado master Great job msela wangu alafu usisahau Episode 19 season 2

  • @SuaboMussa
    @SuaboMussa 16 дней назад +2

    Da Kama unapenda som ii naomba like kwa chado master

  • @HUSSEINCHAMBUA
    @HUSSEINCHAMBUA 16 дней назад

    Umetisha sana chado masta

  • @EmmanuelSamweli-fk3nv
    @EmmanuelSamweli-fk3nv 16 дней назад

    Oya we msenge umetisha bonge la ngoma

  • @itsvinny_41
    @itsvinny_41 15 дней назад

    My fav song naipenda sana 🥰🙌😊

  • @DeleAli-f7k
    @DeleAli-f7k 16 дней назад +1

    Chado chado chado master a.k.a U.S.A GANGSTER👊👊👊👊

  • @HappyHills-je1io
    @HappyHills-je1io 16 дней назад

    🎉🎉 kazi kazini,,,
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @StephenAdongo-t3l
    @StephenAdongo-t3l 16 дней назад +1

    Chado respect Sana kwa kipindi za mission impossible tunataka more episodes za season 2 episode18 kuendelea maana ina mafunzo fulani tunaomba hizo episodes tafadhali bila kuchelewa jamani Ngwengwe chonjo kabisa.Respect Sana kitengo more Love from +254

  • @DorcasKyalo-p1q
    @DorcasKyalo-p1q 16 дней назад

    Respect bwana

  • @MwanaidiHussein-u9w
    @MwanaidiHussein-u9w 16 дней назад +1

    ❤❤❤❤ waooooo

  • @Emma300b
    @Emma300b 16 дней назад

    Hongera chado master

  • @AmosChali-v7g
    @AmosChali-v7g 16 дней назад

    Eeeeh bhana ngoma kali nimeisikiliza kutwa nzima yani leo nimeipiga hii ngoma tu

  • @ChedyChedy-n5b
    @ChedyChedy-n5b 16 дней назад

    Wote sema chado master

  • @OneTzOfficial-n4v
    @OneTzOfficial-n4v 16 дней назад

    Daaa kweli mwamba chado noma pande zote

  • @CoolestkidTonnyAli-d8z
    @CoolestkidTonnyAli-d8z 16 дней назад

    Saaana mwanangu Chado 🔥🔥💯

  • @NeemaMaimu-m6l
    @NeemaMaimu-m6l 16 дней назад

    Verse zimekaaa kmy kichaa wang❤

  • @os3kizzytheclassegang937
    @os3kizzytheclassegang937 16 дней назад

    Woloooo saluty sana Chado Masta 😂❤ from Mozambique 🇲🇿 tayali nime dowload