AIC Changombe Choir Umetukuka Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • AIC Changombe Choir Umetukuka Official Video
    Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
    The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Комментарии • 112

  • @rhodaathuman9660
    @rhodaathuman9660 6 лет назад +9

    Sichokagi kusikilizaga hili li song jmn, Kama na ww huchokag like za kutosha

  • @wycliffmachoka4473
    @wycliffmachoka4473 4 года назад +2

    Kutoka huku kenya nawa sikiza sana na napenda nyimbo zenu sana, kwa hakika mungu ni mkuu wacha utukufu wa bwana umrejee yeye aliye ziumba mbingu na inchi

  • @joanw.
    @joanw. Год назад +1

    I've finally found this beautiful song, been searching for almost an year now. I'm blessed. HE is worthy. Hallelujah.

  • @sandrafungafunga
    @sandrafungafunga Год назад +1

    Nimebarikiwa sana kwa wimbo huuu Mungu awabariki

  • @johnsonsamson3353
    @johnsonsamson3353 5 лет назад

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu
    Hatulegei hatuliziki kwa ishara yoyote ya mafanikio bali tunazidi kulichuchumia taji lililowekwa mbele yetu.
    Kazi yenu ni njema

  • @josephngei4072
    @josephngei4072 5 лет назад

    CVC from 2004 volume 1 upto now Mungu akazidi kuwabariki zaidi

  • @rehemakalasya8876
    @rehemakalasya8876 6 лет назад +2

    Damu ya yesu iendelee kunena mema juu ya hii kwaya

  • @kenethclement6511
    @kenethclement6511 5 лет назад

    Hakika Mungu anawatu wake kweli.mimi kwaya hii naipenda saaana saaana maana nyimbo zao zinanifanya niutafakari ukuu wa Mungu

  • @dorahyohana7238
    @dorahyohana7238 2 года назад

    Good song mbarikiwe sana kwa utumishi wenu

  • @eagtmizeituniigogo807
    @eagtmizeituniigogo807 5 лет назад

    Kuna hali uko nayo unaweza kuwa mgonjwa ,mhitaji umetengwa na jamii kuna mambo unapitia mf ubinti ujana umama wokovu umasiki nk nainaoneka kama jarbu unaelekea kukata tamaa nikwambie jambo hili niili jina LA yesu litukuzwe soma yohana 11:2

  • @anitapeter90
    @anitapeter90 3 года назад

    Hallelujah.. atukuzwe Mungu muumbaji & mpaji!

  • @happynjau736
    @happynjau736 6 лет назад +9

    Umetukuka kaka angu umeimba vzur sana mungu akuinue katika viwango vingin amen

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 7 лет назад +5

    moja ya kazi nzuri sana..huu wimbo ni moja kati ya nyimbo chache nzuri sana za kumuabudu Mungu

  • @zaccheousmutunga7688
    @zaccheousmutunga7688 6 лет назад +10

    One of the best Swahili worship songs. May you receive double anointing.

  • @remyndihokubwayo1620
    @remyndihokubwayo1620 5 лет назад

    Mumeimba vizuli sana munatupandisha kiroho.
    Jamani huku Burundi tunawapenda sana

  • @moffatkyalo5570
    @moffatkyalo5570 7 лет назад +2

    Mola kawalindeni kw mema mnayomfanyia muumba mbingu na nchi! Nyimbo zenu unibariki zaidi! Inuliweni saana wapendwa

  • @peterezavoliahona7851
    @peterezavoliahona7851 5 лет назад +1

    Hallelujah...kwema mbinguni...sifa tumpeni yesu

  • @mwilemakala5578
    @mwilemakala5578 6 лет назад +2

    mbarikiwe wimbo una ujumbe mzuri Mungu azidi kuwatumia mtavikwa taji
    huyo kaka apewe nafasi zaidi ya kusolo

  • @neemambasha6712
    @neemambasha6712 6 лет назад +5

    mko vizuri sana chango'mbe nawapenda bure mungu awake maujuzi zaidi na zaidi

  • @amansayu9753
    @amansayu9753 6 лет назад +6

    umesolo vzur mno kak sauti nzur Ubarikiwe

  • @neemamashimba4278
    @neemamashimba4278 7 лет назад

    mbarikiwe kwa kazi nzur mnayoifanya, naomba mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaid, nmebarikiwa xana,

  • @edinalihedule3421
    @edinalihedule3421 5 лет назад

    Kalumbu umesol vzr sana naupenda sana huu wimbo😘😘😘

  • @joycephilipo6456
    @joycephilipo6456 6 лет назад

    Mungu awazidishie, nabarikiwa sana na wimbo huu ......Amen

  • @kilikocomedian1237
    @kilikocomedian1237 4 года назад

    my best in the list. barikiweni sana

  • @vailethmbano7766
    @vailethmbano7766 7 лет назад +9

    kumbe kuna wanaume nao wanajua vzur hivo....muwe mnawapa nafasi nao ya kusolo,ili kuleta ladha tofaut....mbarikiwe sana

  • @mosesmoses9078
    @mosesmoses9078 6 лет назад +1

    nabarikiwa sana ninapo sikiliza nyimbo zenu mungu aendelee kutupigania na kututetea

  • @rosehanga4764
    @rosehanga4764 6 лет назад +2

    nabarikiwa sana na wimbo huu sichoki kuusikiliza Mwenyenzi mungu azidi kuwainua

  • @joycephilipo6456
    @joycephilipo6456 6 лет назад +3

    Safi sana , wote mtaiona mbingu....tuseme Amen kubwa

  • @ritaminga4770
    @ritaminga4770 7 лет назад +2

    mbarikiwe muno wapendwa kazi yenu ni njema sana

    • @neemaezekiel7401
      @neemaezekiel7401 6 лет назад

      mubalikiwe sana wa2mishi wamungu nazipenda sana nyimbo zenu amina

  • @baxboy5131
    @baxboy5131 7 лет назад +3

    mnafanya vzr kila siku, barikiwa sana

  • @glorybalela1246
    @glorybalela1246 7 лет назад +4

    wawooo God bless this guy,,,anavocal nzuri apewe nyinginezo

    • @dorcas233
      @dorcas233 5 лет назад

      Ana Sauti nzuri /fanana na Elisha Mbukwa...

  • @zachariasimon2607
    @zachariasimon2607 7 лет назад +1

    Mungu awabarik nimeona ubunifu mzur katika utunz wa huu wimbo na vocal production yake iko njema God bless u much

  • @marthankola3316
    @marthankola3316 7 лет назад +2

    Nabarikiwa sana na wimbo huu. Mungu awainue zaidi watumishi wa Mungu.

  • @hlbtisaya4186
    @hlbtisaya4186 5 лет назад

    Nawapenda sana mungu awabaliki

  • @neemareuben9800
    @neemareuben9800 7 лет назад +1

    Nyimbo nzuri sana na hongera ziende kwa mwalimu na crew yake kwa mchanganyiko wa sauti. Mbarikiwe sana CVC Ameeeeen

  • @ndukumuia9983
    @ndukumuia9983 6 лет назад +4

    sichoki kuusikiza wimbo huu.machozi yanitoka kila ninapousikiza

  • @neemambasha6712
    @neemambasha6712 6 лет назад +2

    mungu awe nanyi wapendwa ktk jina LA yesu

  • @aiyasageo2572
    @aiyasageo2572 6 лет назад +1

    Am so blessed all the way from Mombasa Kenya

  • @mteuleclassic5398
    @mteuleclassic5398 5 лет назад

    Mungu awe nanyi daima

  • @happynjau736
    @happynjau736 6 лет назад +2

    Changombe mpo vzur mungu awatie nguv

  • @josephmasebo6761
    @josephmasebo6761 7 лет назад +1

    hii kwaya kweli wameamua kumtumikia Mungu Kwa viwango vizuri

  • @bumicharles216
    @bumicharles216 7 лет назад +1

    nabarikiwa Sana na huu wimbo, mbarikiwe sn

  • @messiasulley3944
    @messiasulley3944 6 лет назад +3

    Changombe aic wako vzr sana

  • @pro.elidaima3896
    @pro.elidaima3896 5 лет назад +1

    Tunaomba wimbo wa patakatifu PA patakatipa

  • @boniphacepaulo4604
    @boniphacepaulo4604 Год назад

    This choir ❤

  • @jescarcharlz2117
    @jescarcharlz2117 6 лет назад +3

    kwel ametukuka.... nawapenda bure

  • @mariammitinje4224
    @mariammitinje4224 7 лет назад +6

    this is my favourite song , may God bless you and your work AMEN.

  • @sylvianzilani9966
    @sylvianzilani9966 7 лет назад

    I can listen to this song whole day...unanipa faraja na amani. Asanteni sana na Mungu azidi kuwatumia

  • @ruthmusyoka4578
    @ruthmusyoka4578 5 лет назад

    Hi dea ones, am always blessed when i listen to your songs. Ruth Jericho Swahili Kwaya

  • @leahwilson4703
    @leahwilson4703 7 лет назад

    Mungu azid kuwainua ktk huduma hii tunabalikiwa sn

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 лет назад +1

    Hongereni sana wimbo una nguvu na utukufuuu

  • @and86able
    @and86able 7 лет назад +2

    Mungu azidi kuwainua watumishi kuelekea viwango vingine..... nimebarikiwa Sana na wimbo huu

  • @happynessmohamed7072
    @happynessmohamed7072 7 лет назад +3

    Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu ktk uimbaji wenu hakika mnafanya vizuri kupita maelezo nami nawapenda xana ktk Bwana na wimbo huu unanibariki sana tu

    • @happybukuku5472
      @happybukuku5472 7 лет назад

      Napenda Huduma yenu

    • @moffatkyalo5570
      @moffatkyalo5570 6 лет назад

      Barikiweni sana wapendwa kw kazi nzuri muifanyalo ashindwe yeyote awaingiliapo kinyume na mapenzi yake muumba mbingu na nchi!hakika nyimbo zenu unibariki sana

    • @loisenthenya3119
      @loisenthenya3119 6 лет назад

      Happyness Mohamed p

    • @veroniquemasonga6596
      @veroniquemasonga6596 6 лет назад

      Nawapenda sana😘😘😘

  • @adolofinasalya2762
    @adolofinasalya2762 6 лет назад +1

    napenda sana nyimbo za kuabudu mungu awabariki

  • @godlistentv9177
    @godlistentv9177 6 лет назад +1

    Barikiweni sanaaaa

  • @anordprotas1976
    @anordprotas1976 6 лет назад

    Inalipa heshima kwenu chang'ombe

  • @stanleyreubenipaul4458
    @stanleyreubenipaul4458 6 лет назад +1

    Utukufu hadi Utukufu

    • @mputarajabu8336
      @mputarajabu8336 6 лет назад

      nawapenda mnooo hua mnanifanya nizidi kusonga mbele katika safari ya kwenda mbingunii mungu awatie nguvuuu

  • @isackjb9343
    @isackjb9343 2 года назад

    Wimbo mzuri

  • @meckmanoni8336
    @meckmanoni8336 7 лет назад +1

    Mbarikiwe sanaaa.

  • @siagmringo8017
    @siagmringo8017 7 лет назад

    Nabarikiwa sanaa wit this song. be blessed

  • @esterpeter6405
    @esterpeter6405 3 года назад

    They bless meh xo much

  • @christinamatrida6219
    @christinamatrida6219 6 лет назад +4

    umetukuka Yesu

  • @dayanamichael9427
    @dayanamichael9427 7 лет назад +1

    Jamani mbarikiwe

  • @allengodlove2628
    @allengodlove2628 3 года назад

    Jehovah shama

  • @michaelfisoo9604
    @michaelfisoo9604 6 лет назад +1

    mnanibariki sana

  • @deusngussa812
    @deusngussa812 7 лет назад +1

    nice worship song,

  • @winfridadavid5182
    @winfridadavid5182 6 лет назад +1

    Hakika umetukuka bwana

  • @fredrickmtangoo5071
    @fredrickmtangoo5071 3 года назад

    Amina.

  • @StellaStanphord
    @StellaStanphord 6 месяцев назад

    Halleluyah

  • @rehemanjau8893
    @rehemanjau8893 7 лет назад +2

    wimbo mzuli

  • @deogratiusrace
    @deogratiusrace 6 лет назад +1

    My favorite song.

  • @happynjau736
    @happynjau736 6 лет назад +1

    CVc mnatisha

  • @dorcas233
    @dorcas233 5 лет назад

    True worship, Amen

  • @seifhamad9817
    @seifhamad9817 5 лет назад

    Hallelujah

  • @Brightonychristopher
    @Brightonychristopher 11 месяцев назад

    Amen

  • @sabinagebra8976
    @sabinagebra8976 7 лет назад +3

    lvly song

  • @petermwaluko9176
    @petermwaluko9176 7 лет назад +1

    mko juu

  • @magdalenesimon6320
    @magdalenesimon6320 7 лет назад

    mbarikiwe sana

  • @neemaeliya9465
    @neemaeliya9465 7 лет назад +1

    I like this song

  • @holywebstar4838
    @holywebstar4838 4 года назад

    Good

  • @judsjamsi6278
    @judsjamsi6278 7 лет назад +2

    mungu awape nguvu

  • @olyking731
    @olyking731 3 года назад

    💙

  • @janefrey9471
    @janefrey9471 2 года назад

    😇😇😇

  • @josephinelameckiloveuchris6309
    @josephinelameckiloveuchris6309 7 лет назад

    nawalavuuuuu

  • @ruthmuja9215
    @ruthmuja9215 6 лет назад

    😍

  • @zachariasimon2607
    @zachariasimon2607 7 лет назад +3

    Mungu awabarik nimeona ubunifu mzur katika utunz wa huu wimbo na vocal production yake iko njema God bless u much

  • @neemamashimba4278
    @neemamashimba4278 7 лет назад

    mbarikiwe kwa kazi nzur mnayoifanya, naomba mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaid, nmebarikiwa xana,

  • @casperleonard4272
    @casperleonard4272 4 года назад

    Mbarikiwe Sana

  • @zachariasimon2607
    @zachariasimon2607 7 лет назад +3

    Mungu awabarik nimeona ubunifu mzur katika utunz wa huu wimbo na vocal production yake iko njema God bless u much

  • @neemamashimba4278
    @neemamashimba4278 7 лет назад

    mbarikiwe kwa kazi nzur mnayoifanya, naomba mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaid, nmebarikiwa xana,

    • @jenistamassawe5576
      @jenistamassawe5576 7 лет назад

      Neema Mashimba

    • @jenistamassawe5576
      @jenistamassawe5576 7 лет назад

      Neema Mashimba mungu awepe nguvu ya kuzidi kutumika nimependa sana huu wimbo umenibariki sana endeleni kuwa na umoja ongeren

    • @jenistamassawe5576
      @jenistamassawe5576 7 лет назад

      Neema Mashimba mungu awepe nguvu ya kuzidi kutumika nimependa sana huu wimbo umenibariki sana endeleni kuwa na umoja ongeren