Magoli | Azam FC 3-0 Coastal Union | Nusu Fainali | CRDB Bank Federation Cup 18/05/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • Azam FC imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuipiga Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
    Abdul Hamis Suleiman Sopu amefunga mawili, dakika ya 42 kwa penati na dakika ya 79 huku Feisal Salum akifunga moja dakika ya 68.
    Magoli yote haya hapa....
  • СпортСпорт

Комментарии • 35

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 14 дней назад +1

    Vile Azam Tunatinga fainali kibabe sana

  • @kateadam8204
    @kateadam8204 14 дней назад +3

    ilikuwa ni mechi au mazoez

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 14 дней назад +1

    Amewafunga Coastal. Atakutana na Yanga

  • @user-jm4kd3qw2o
    @user-jm4kd3qw2o 14 дней назад

    Asante Mungu

    • @Swamadu-om3uj
      @Swamadu-om3uj 14 дней назад

      Hujwahi kucheza mpira ww ktk timu yyt ht wtatu wanaweza kubaki kw usalama wa timu na mchezo husika

  • @user-mj3lt1ef7j
    @user-mj3lt1ef7j 14 дней назад +1

    Fei mbn wenziwe wakifunga hawendi kushangilia

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 14 дней назад +1

    Azam Yanga inawasubiri.

    • @tobiasmzopola7495
      @tobiasmzopola7495 14 дней назад

      Azam ndo inaisubiri yanga. Au yanga ndo imetinga fainali? Hovyo kabisa..

  • @user-kd7mw6be5q
    @user-kd7mw6be5q 14 дней назад +2

    Unashangilia kama chizi wakati hiyo ndio ilio kufanya azam wachezaji jitambueni heshim ulipo tokea

    • @tobiasmzopola7495
      @tobiasmzopola7495 14 дней назад

      Kwamba ulitaka asifunge?😮 Asishangilie?

    • @user-kd7mw6be5q
      @user-kd7mw6be5q 14 дней назад

      Wajifunze kwa wengine unafunga unawapa heshima yao2 kwamba nipo kazini bila nyie nisingekua hapa

  • @user-fm2pw7il4l
    @user-fm2pw7il4l 14 дней назад +2

    Mechi yamchongo😅😅😅😅

  • @jeykhan_tz7510
    @jeykhan_tz7510 14 дней назад +1

    Wakwanza mim 😂😂

  • @Swamadu-om3uj
    @Swamadu-om3uj 14 дней назад

    Huna hoja kujaza uwanja ndo hoja Morocco walikuja watu Mia nyie wtngnyika mulikuwa elf 70 na mlifungwa ishu kama wana uwezo waende

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x 14 дней назад +3

    Halafu eti ndo waende klab bingwa uanja mweupeee ingekua simba ama yanga uanja ungetapika

    • @tobiasmzopola7495
      @tobiasmzopola7495 14 дней назад

      Nawazaga nn kinawakwamisha Azam fc kumbe ni fikra mbovu kama Hz.

    • @ibrahimmbwana5289
      @ibrahimmbwana5289 14 дней назад

      Ni mara ngapi umeishuhudia yanga au simba zikicheza na timu zingine na viwanja vyao vikiiwa havinna watu !??

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 14 дней назад +2

    Huu kipa ndio anatakiwa simba au sio uyu

    • @heaventv4668
      @heaventv4668 14 дней назад

      Hamna ni simba peke yake timu kama imeweza kuwamyanganya yamga skudu ishindwe huyu kipa

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n 14 дней назад +7

    Uyu ndo golipa mwenye clean sheet zile kwelii? Au huku wamejilegeza kwa hisaniii ya Azam ramba ramba

    • @proscoviakasilima4596
      @proscoviakasilima4596 14 дней назад

      Ujui mpira ww 😂

    • @tobiasmzopola7495
      @tobiasmzopola7495 14 дней назад

      Imekuuma?

    • @EmmanuelZenda-ji5gc
      @EmmanuelZenda-ji5gc 14 дней назад +1

      Ukiwa na clean shet haufungwu😅?

    • @user-nn8yj7fe4n
      @user-nn8yj7fe4n 14 дней назад

      Udakaji uleee, mmmmh sawa mnajua nyiee mpiraaa !! Lakini miongoni mwenu ndo nyiee mliopayuka oooh Manura anafungwaje vile kapewa Baasha ha ha ha mnajisaulisha siyoo!??

    • @user-nn8yj7fe4n
      @user-nn8yj7fe4n 14 дней назад

      Kwenye fact ongeeni ukweliii, coastal wangekuwa wanaitaji kweli mechii kwenda mbelee au ingekuwa ligi wangecheza hiviiii!? Sasa nawapa hii ili mjiee Azam ligi kuu kabakisha game tatu ila atapoteza moja ,arudi nafasi ya tatu TFF hawawezi muacha kolo akacheze shirikisho ..Be wise sometimes"

  • @user-vm5gy6sj9s
    @user-vm5gy6sj9s 14 дней назад +1

    Yanga wataona Cha moto Kwa Sopu

  • @KhamisAli-pi6wr
    @KhamisAli-pi6wr 14 дней назад +2

    Feyyyyyyyyy

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 14 дней назад

    𝑈𝑤𝑎𝑛𝑗𝑎 𝑚𝑏𝑜𝑛à 𝑚𝑤𝑒𝑢𝑝𝑒