MAOMBI YA KUOMBEA WATOTO (kuwakomboa kutoka kwa nguvu za giza)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 48

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад

    Kabisa,tabia ya kulaani watoto ,kutamka maneno mabaya juu yao ni makosa,bali muhimu ni kuwaombea ,wawe watoto wema wenye baraka.barikiwa mtumishi kwa elimu yako❤❤❤❤.

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Год назад

    Amen ubarikiwe san mtumishi kwa maombi mungu akubarki san mtumishi

  • @doreenmusee6908
    @doreenmusee6908 2 года назад +1

    Am in a fast for children ministry and hallelujah Apostle you have blessed me immensely....I feel a burden over this children.Asante mama

  • @victoriasanga4910
    @victoriasanga4910 2 года назад

    Ubarikiwe mtumishi , Mungu nipe nguvu ya kusimama katika zamu yangu

  • @liliandaniel882
    @liliandaniel882 Год назад

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu.

  • @harrietmukhemba7680
    @harrietmukhemba7680 2 года назад

    Asante Sana apostle vera kwa maombi ya watoto wetu ubarikiwe sana

  • @karaniwambui7735
    @karaniwambui7735 3 года назад +1

    God bless you dada, ni kweli kabisa. Mimi ninavita kali sana juu ya mtoto wangu wa mwisho. Na ninhakika nitawatolea ushuhuda wa ushindi kupitia maombi haya. More grace.

  • @Peace.2018
    @Peace.2018 2 года назад

    Amina Mtumishi wa Mungu,nimebarikiwa sana na mafundisho yako na maombi pia,naomba unipatie namba yako ya simu

  • @Heavedavid
    @Heavedavid 3 года назад +1

    Mungu akubariki Apostle 🙏

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 2 года назад

    Ameen mtumishi ubarikiwe sana.

  • @itsfabiola4586
    @itsfabiola4586 3 года назад

    Barikia sana Apostle kwa haya maombi 🙏🏾🙏🏾

  • @damianalwena9255
    @damianalwena9255 3 года назад +1

    nashukuru sana nimepata kitu kikubwa,MUNGU wa mbinguni na akubariki kwa baraka zote za mbinguni na za duniani,amen.

  • @harrietmukhemba7680
    @harrietmukhemba7680 2 года назад

    Thank you apostle vera God bless you so much

  • @victoriasanga4910
    @victoriasanga4910 2 года назад

    Mungu akutunze mtumishi

  • @cresensiankwera1776
    @cresensiankwera1776 Год назад

    Amen

  • @harrietmukhemba7680
    @harrietmukhemba7680 2 года назад

    Asante dada yangu aki ninakuomba uombe mtoto wangu kijana haendeiei vizuri

  • @salomewilfredlaurent2648
    @salomewilfredlaurent2648 2 года назад

    Ameen

  • @dainesmajani4187
    @dainesmajani4187 2 года назад

    Ameeen mama ubarikiwe.

  • @harrietmukhemba7680
    @harrietmukhemba7680 2 года назад

    Asante Dante sana kwa maombi ya watoto wetu na mung

  • @sophiaisaya408
    @sophiaisaya408 3 года назад +1

    Asante kwa Maombi yenye nguvu

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 3 года назад

    Barikiwa

  • @furahamujawayesu9252
    @furahamujawayesu9252 2 года назад

    Nihivyo mama united namba zako

  • @elizabethlukindo3270
    @elizabethlukindo3270 2 года назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 3 года назад

    Nimebarikiwa sana na ushaur wa na maombi Pia

  • @celestinewabwile1833
    @celestinewabwile1833 2 года назад

    Ahsante sana kwa maombi haya,naomba nipate nambari yako ya simu

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 2 года назад

    Mama ubarikiwe kwa maombi mazuri

  • @pendomtobela5238
    @pendomtobela5238 Год назад

    Pastor ntapataje namba zako?

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 3 года назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @reginaclavery5135
    @reginaclavery5135 2 года назад

    BWANA YESU asifiwe dada naomba tufanye maombi kwa ajili ya mwanangu hajiwez darasan kiukweli naumia mzazi jaman Sina Raha Yuko darasa la nne

  • @reginaclavery5135
    @reginaclavery5135 2 года назад

    Shalom, dada napenda kurudisha sifa na utukufu kwa BWANA wetu YESU kristu amefanya njia pasipo na njia kwa Sasa mwanangu kajielewa Leo nilifunga na kuomba kwa ajili yake BWANA akatenda niliomba kwa uchungu Kama usemavyo,

  • @omantel4680
    @omantel4680 2 года назад

    Kweri kabisa mtoto wangu alikuwa nasal alikuwa anaweza kuongea kiingeleza vizuli kwaiyo nilipo ama dar na kuamka mkoani nilipo mpeleka shule waka mvusha dalasa kutoka na akili zake akaenda darasa LA kwanza na sio chea chea tena lakin saizi sjui chochote anakuwa ktk nafas mbalisana awi wakwanz wala wapili. Labda 24,27

  • @anjelineaoor4140
    @anjelineaoor4140 3 года назад

    Haki ubarikiwe dada umenifundisha kabisa napitia magumu lakini ninamwombea hata yeye asipitie chenye mimi napitia sai🙏🙏🙏

  • @happyjosh8166
    @happyjosh8166 2 года назад

    Leo nimeota ndoto mbaya kwaajili ya mtoto wangu nikaomba nimemaliza kuomba nikasema acha niingie RUclips kutafuta wimbo wa kuabudu namshanga Bwana nimekutana na haya mafundisho ikabidi niingie kuyafatiliwa na kuomba jamani nimemuona Mungu tumbo langu limepiga kelele nikasikia kamba zinakatika kwenye tumbo

  • @neemakamau2404
    @neemakamau2404 3 года назад

    Naomba unikumbuke katika maombi naumwa na tumbo kwa miaka mi tatu

  • @omantel4680
    @omantel4680 2 года назад

    Na mkomboa mtoto. Wangu kwa mitego ya adui

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 2 года назад

    Hi, nilikuwa naomba namba ya simu ya huyo mama au email yake asante.kuna mtu anaijua asante.

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 3 года назад +1

    Mtumishi huyu anapatikana wapi?ninashida naye