Bro, kuja South Africa bro, tunamzunguzia Rayvanny Sana, Mimi binafsi Ni team Rayvanny Vannyboy VVNB mtu mbaya Rayvanny. Tupo Kwa ajili ya Rayvanny bro ila hatu pewi airtime bro.
Kweli mumemsahau Rayvanny Sana, wakati Rayvanny Ni mkubwa kinoma. Msanii number mbili Tanzania, siyo huyo alikiba mnae mtaja, Show Za Rayvanny hata alikiba toka aanze mziki hajawahi kufanya .kubali ukatae ila ndiyo ukweli
Yan harmonize anaandika mziki wa maana sio mziki wa kufikirika yan huyo jamaa genius anaeleweka kuliko msanii yeyote uku mtaan endeleeni kumpiga vita mkizani munamkomae kumbe ndo munampiga teke aendelee kushine zaidi that’s big Konde bomboclaaat 😂😂😂😂
Rayvanny ni msanii mkubwa na anamatukio makubwa kila mwaka sio2024 ,tu Kuusu back up anayo kila seemu duniani manaa wanajua mzik ndo wanao jua rayvanyy sio level za muzik wa tz ,kazi kazi tu anaga mambo mengi.ila jamaa anasaut ana mashairi ana kila sifa❤❤
Sio kila kitu unaiga we fala Konde ni mkubwa kuliko Diamond na rayvanny kwa sababu nyimbo zake zina make sense sana mtaan na katika akili kuhusu suala la show sio kitu cha kufanya kila wakati ndo mana hashobokei wakati rayvanny anahangaika katika mataifa ya watu Konde yupo bongo anaandika nyimbo kali kwahyo Konde hana cha kujifunza wala kuiga kutoka kwa hao madogo
bro mkona unacuki na homornize kilasiki homornize sasa nikulize iyo mwambino kilasiku unakuja unatapa sikukatazi ila bro aca cuki nikulize mwambino ni wa kimataifa bro mwambino alishaga jaza arena bro mimi awa ni mu fans wako ila namuwa Kuja kukwambiya bro aca cuki eti mwambino ni wa kimataif ayende ajaze arena kama ni wakimataifa yani unaka unamupa sifa mutu Hana bro tuwe wa kweli nikulize mutu uyo mwambino hajawahi kujipima yemwenyewe apo 🇹🇿 kama weye unamupa izo sifa sunasema ni wakimataifa ajaze uwanja wa mukapa tuwone kilasiku homonize ameshuka mimi siniko ata fans wa homornize ila kutu kilasiku mwambino wakimataifa bro why yani munawapa sifa aceni kwaminisha watu wongo
Nikuulze uyo konde boi wako...mara ya mwisho kapata tuzo njee ya Tanzania ni lini na itaje hio tuzo atakma ni Kenya we taja??...aipo bro wanaochukuaga ni hao wawili tuh ko acha kelele
Bro diamond na rayvanny na wanao wakilish Tanzania 🇹🇿 kimataifa iyo ni kweli bro apo siku pingi🎉🎉🎉🎉
leo sikupingi brother
umeongea ukweli sana juu ya msanii wang pendwa
Bien vraiment🎉🎉🇨🇩🖖
Bro, kuja South Africa bro, tunamzunguzia Rayvanny Sana, Mimi binafsi Ni team Rayvanny Vannyboy VVNB mtu mbaya Rayvanny. Tupo Kwa ajili ya Rayvanny bro ila hatu pewi airtime bro.
Acha ujinga wewe unatoka kitoholi bunduu hkoo eti watoka SouthAfrica mpuuzii sanaa
Reyvanny is the best
Rayvanny is great
natembo je😮
Nchumari je😂😂😂😂😂
Rayvanny nimsanii mkubwa sana ila wasenge wasiojua ndo wanaongea utopolo
Rayvany anastahili pongezi
Sema ikutoke maana unasema ukwel chui 🔥🔥🔥🔥
Kweli mumemsahau Rayvanny Sana, wakati Rayvanny Ni mkubwa kinoma. Msanii number mbili Tanzania, siyo huyo alikiba mnae mtaja, Show Za Rayvanny hata alikiba toka aanze mziki hajawahi kufanya .kubali ukatae ila ndiyo ukweli
Kweli bro wengine usku mchana Nima Hawa kuwapepelea
N kweli rayvanny anafanya vizur huo ndo ukwel kafanya shows nyingi sanaaa mpeni maua yake jaman
Chui global away
Yan harmonize anaandika mziki wa maana sio mziki wa kufikirika yan huyo jamaa genius anaeleweka kuliko msanii yeyote uku mtaan endeleeni kumpiga vita mkizani munamkomae kumbe ndo munampiga teke aendelee kushine zaidi that’s big Konde bomboclaaat 😂😂😂😂
Mas
Kweli kabisa
Bro mbona ume katizia njiani
Braza sikuelewag show zip za njee mana nazitafuta ila sizion
Rayvanny ni msanii mkubwa na anamatukio makubwa kila mwaka sio2024 ,tu
Kuusu back up anayo kila seemu duniani manaa wanajua mzik ndo wanao jua rayvanyy sio level za muzik wa tz ,kazi kazi tu anaga mambo mengi.ila jamaa anasaut ana mashairi ana kila sifa❤❤
RAYVANNY mkubwa saana na Hana kiki wala skendos
Chui kimya mshindo
Uchambuzi wako siuwelewagi kwani aujui ray ksmashuka kimziki
Mujomba machomari nandugu zake chawa
Ndoma SnS bado ingali inawaburuza san Rayvanny 2024 chow zakwake ao?😂
Wewe kama umpendi harmo achana nae si lazima umzungumzie wewe kaa nauchawa wako tuachie harmo wetu tatmsapot sisi
Sio kila kitu unaiga we fala Konde ni mkubwa kuliko Diamond na rayvanny kwa sababu nyimbo zake zina make sense sana mtaan na katika akili kuhusu suala la show sio kitu cha kufanya kila wakati ndo mana hashobokei wakati rayvanny anahangaika katika mataifa ya watu Konde yupo bongo anaandika nyimbo kali kwahyo Konde hana cha kujifunza wala kuiga kutoka kwa hao madogo
Acha usenge wew muzik kama unaishi tz na kenya kuna ukubwa apo?? Acha wanaume watajwe,we vipi
bro mkona unacuki na homornize kilasiki homornize sasa nikulize iyo mwambino kilasiku unakuja unatapa sikukatazi ila bro aca cuki nikulize mwambino ni wa kimataifa bro mwambino alishaga jaza arena bro mimi awa ni mu fans wako ila namuwa Kuja kukwambiya bro aca cuki eti mwambino ni wa kimataif ayende ajaze arena kama ni wakimataifa yani unaka unamupa sifa mutu Hana bro tuwe wa kweli nikulize mutu uyo mwambino hajawahi kujipima yemwenyewe apo 🇹🇿 kama weye unamupa izo sifa sunasema ni wakimataifa ajaze uwanja wa mukapa tuwone kilasiku homonize ameshuka mimi siniko ata fans wa homornize ila kutu kilasiku mwambino wakimataifa bro why yani munawapa sifa aceni kwaminisha watu wongo
Nikuulze uyo konde boi wako...mara ya mwisho kapata tuzo njee ya Tanzania ni lini na itaje hio tuzo atakma ni Kenya we taja??...aipo bro wanaochukuaga ni hao wawili tuh ko acha kelele
Bro acha chawa afae kazi yake ana tafuta kazi wasifi 😅😅hana jipia
Kwa hiyo Unataka kutuambia harmonize ndiye wa kimataifa Kwa sababu anajaza Kwa mkapa?
Kachukiliwa upepo sema ajijui anapoelekea takwimu zitabadilika kiufupi simuelewi ukweli mzuri kondeboy 4 ever bad 😂😂😂😂
Leta takwimu
Ss harmonize anamfika nn vanny boi maybe ubonge na matako makubwa bas
Wewe uwa ni mnafiki siku zote chawa wa wcb
Unaongeaka upumnavu
Pole kwa kuteseka 😂
Unateseka ukiwa wap 😂
Reyvanny is the best