Chumbageni, Chuda, Kwa Minchi, Sabasaba, Majani mapana, Kange, Nguvumali,..... Nimekumbuka sana mitaa hii. Mwaka 2011 - 2012 nilikaa mtaa mmoja uko chini kidogo ya maghorofa ya TRA barabara ya Kisosora. Sikuwahi kuingia kusali kwenye kanisa lenu ila nilikuwa navutiwa na mmoja wa wapiga keyboard kanisani kwenu. Kila mara waimbaji walipokuwa wakifanya mazoezi nilikuwa nakaa mbali kidogo na kanisa lilipo ili nisikilize chords za keyboard.
Congratulations pastor 👏👏
Amen God bless you pastor
Powerful testimony
God bless you Man of God 👏
Hakika Yesu ni Bwana. Injili ni UWEZA WA MUNGU hakikaaaaa.... Barikiwa sana Mtu wa Mungu....
asant kwa ushuuda wako ubarikiw
To God be the glory man of God
Chumbageni, Chuda, Kwa Minchi, Sabasaba, Majani mapana, Kange, Nguvumali,..... Nimekumbuka sana mitaa hii.
Mwaka 2011 - 2012 nilikaa mtaa mmoja uko chini kidogo ya maghorofa ya TRA barabara ya Kisosora.
Sikuwahi kuingia kusali kwenye kanisa lenu ila nilikuwa navutiwa na mmoja wa wapiga keyboard kanisani kwenu. Kila mara waimbaji walipokuwa wakifanya mazoezi nilikuwa nakaa mbali kidogo na kanisa lilipo ili nisikilize chords za keyboard.
Amen,."hujaenda Labour kumletea shetani mtoto," hili neno ni zito sana.
😂 Daktari moja na halijajaa.
Amina baba etuu
Bado naona hajawa sawa.
Thomaso