Askofu Bryson Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri. Eneo hilo lilikuwa halifai kabisa kujemgwa kwa aliji ya maji yaliyokuwa yanatuama hapo, wenzangu mnaotoka Sumbawanga mtuakumbuka. Kweli kwa Yesu inawezekana. Ni kanisa zuri sana. Nikiwa Sumbawanga Huwa ni kanisa langu hili.❤❤
Mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri, ni wakati sahihi mataifa yaelewe yupo Yesu anaefanya hata yasiyowezekana
Askofu Bryson Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri. Eneo hilo lilikuwa halifai kabisa kujemgwa kwa aliji ya maji yaliyokuwa yanatuama hapo, wenzangu mnaotoka Sumbawanga mtuakumbuka. Kweli kwa Yesu inawezekana. Ni kanisa zuri sana. Nikiwa Sumbawanga Huwa ni kanisa langu hili.❤❤
Mbarikiwe sana kwA hekalu zuri la BWANA
Hakika Mungu ainuliwe kwa Yale anayotenda kwa kazi yake akiwatumia watumishi wake.
God bless you bishop and your church
Karibun swanga
Uzia
Bwana Yeah APEWE SIFA man of God"Benedict hapa tulkuwa wote bonde la baraka Tanga chumbagen,kwel utukufu hadi utukufu kaka
Amee amee
Hyo account ya mke wngu