Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nice one.... nimekufahamu kupitia legend #sns ...... nakupenda sanaaaa .....mungu akijalia korona ikiisha njoo Tanzania ... mimi ni Tanzania arusha...
Unafunza mzuri sana nakuelewa vizuri sana hongera
Ahsante sana kwa darasa zuri nakufuatilia mno madam mzuri karbu MWANZA
Asante mwalimu nafurahi somo la Leo Ni zuri sana ushindi ww Ni mwalimu mzuri sana
Uko vizuri dada @#ushindipark napenda unavyozungumza
asante usindi unafundisha vizuri sana tupo pamoja endelea kutufundisha zaidi an nyung hi se yo🤗🤗🤗🤗🤗
Asante kwa kwa kutufundisha apo lazima kikorea tukijue ongera sana Dada yetu
Nice teacher on top
Ngoja niandike kwenye daftari kabisa. Kamsahamnida.
Naendelea kujifunza kikorea,,Asante sana Ushindi
Asante mwalimu mzurii nakuelewa
Asante🙏🙏 Hakika umwalimu mzuri sana♥️♥️ dada angu
Hongera sana mwalimu. Endelea kutufundisha. Wewe ni mwalimu mzuri
감사합니다 ❤ ..love u from Tanzania 🇹🇿
Asante Sana Dada ushindi karibu Sana Njombe
Nakupenda san ushindi umenifanya nijue kikorea Mungu akulinde.uzidi kutufunza kikorea 😘😘
Lovely so much much much ushindi tutayafanyia kz💋💋💋
Waoooo namm tajua kikorea kupitia dada us Hindi😘😘😘
Asante sana
Asante sana mwalimu mzuri mpaka najihisi nmejua kikorea
Wow,! Ahsantee xana Ushindi kwa darasa zuuurii🙏
Nakupenda sana ushindi wangu na nimefurahia somo nimejifunza kitu kikubwa sana
Asante teacher uko vizuri
Nashukuru kwa elimu yako nzuri Sana sanaaa
Asante kwa darasa zuri ushindi.
Nakupenda
Anhaaaa saf
annyeonghaseyo naneum mose yo,na neun hangug-eo baeuneun goes-eul joh-ahanda 。也你教得很好而且很好
Mwalimu mzr unafundisha vizuri sana napenda sanaaa😍😍😍
You so interested uko vizuri sana
Ahsante sana mwalimu ushindi
Fo sure nimekupenda Sana kipenz daa nami lazma namm nijue kikorea nataman Sanaa kukutana naww🤗🤗❤️❤️❤️
Kumbe ni rahisi Sana.. Asante Sana ushindi kwa kutufundisha kwa kiswahili... Uwe unatunatuachia na homework 😄❤️😁
Nakushukuru ufanye kazi ya nyumbabi ukumbuke zote😆
@@복숭아쌤 hakika nitafanya hivyo ukija Tanzania nitakua mkorea complete 😂😂
Njoo Tanzania utufundishe kikorea. Unafundisha vizuri ushindi
우리를 가르친 승리에 감사드립니다
Unafundisha vizuri hongera
Unafundisha vizuri saanaaaaa
Asante ushindi wewe endelea kutufundisha siku 1 nita kupigia tuongee kikorea
Ushindi ,uko vizur,kwa lugha iyo
Nimependa somo ushindi mungu akubariki from 🇲🇿
Asante ushindi tunajifunza
Shukrani binti wa Yesu
Vizur Sana mungu akubariki ushindi
Naweza kufikaje huko Korean jamani
Rakini una jitahidi Sana ndugu yangu
New subscriber nakupenda Dada yangu mzuri🇹🇿
Asant sana dada ushindi kwa somo
Asante sana dada ushindi kwa kipindi kizuri
Hongera Sana my ushind
Thanks my teacher. I'm got you very more much💑💑💑💑💑💑
Asante mkorea ushindi
Ni ngumu sana, fungua darasa Tanzania 🇹🇿
Love you so much ! Am from Tanzania
Waoo 💓🌹 Madamu mzuri wewe Ushindi ndani ya Tanzania Queen Korea 🌹🌹🌹🌹🌹
Rahisi
Hongera sana, unajitahidi sana.
Go-MA -WO-YO dada ushindi naanza kujua sasa kikorea ❤❤
Director of my always!! Huo ndyo msingi rahisi wakujua lugha , tiliya mkazo zaidi . please make more concentration on alphabet as the basics in knowing any language!!! Much respect to you👏👏
Nashukuru sana wewe mwanafunzi mzuri💪💪
Natamani na Mimi nijue kikorea... Mungu anisaidie nijue haraka
Nimependa sana
Nado sarang haeyo나도살ㅇ해요mimi pia nakupenda
Asante sana💞💖 , You are the Best!
Nimependa somo lako uko vizur zidi kutufundisha zaidi
Haaah kimbe lahisi iyo 💙💙
Kiuhalisia Korea ni nchi ya pili ninayoipenda moyoni mwangu, ukiachana na Saudi Arabia.
Thanks Ushindi 🥰😊
Safi Sana ushindi
Uko vzr mrembo👏👏
Ni rahisi Sana
Ushindi wewe Ni mshindi unafundisha vizuri natamani kuendelea kujifunza kumbe sio kigumu
Wooow honey am proud of you Yan nakufatilia Sana nataman nijue kikoreaaaa
Nakushukuru
Asaaanteeee endelea kutufundisha nawish hata Yan tuwe tunakupa mrejesho kuhusu mafunzo yako 😘😘😘
Dah mekumbuka hiyo ya mfalume kutengeneza alphabet kutumia sauti kwenye serious ya hidden roots(tree with deep roots)
Napenda sana. Asat❤️
I now understand why non Swahili speakers are always winning 👏👏
Wooow your teaching skills are best,,,pls keep teaching I like it
an-nyung-ha-se-yo!
New student here...
unafundisha vizuri, nado
Love u ushindi
Go-ma-so-yo ushindi, sarang-he-yo
I'm so glad I would be even happier to come back and see you 🥰🥰
From moshi Tanzania 🇹🇿
Unajitaidi sana dada ushindi nskupenda san pia natamani siku moja nije nitembelee korea
nimependa darasa lako nafurahi sana wewe ni mwalimu mzuri
Je, kwa pale ambapo nitakua sijaelewa au kwa ufafanuzi zaidi ntakupata vipi? Au pengine nataka nikuulize swali?
Very simple
Ngumu kutamka na kuandika kama wewe ila mazoezi inakua si ngumu sana😊😊😊😊
dada hapo kichwa cha habari umekosea kidogo not TUJIUNZE ni TUJIFUNZE ALPHABETI
Ndiyo!!! Nimekosa kila mara jamani🥲 Nataka kuendeleza darasa ijayo.
Asante sana!
@@복숭아쌤 Usijali dada kukosea ndiyo njia ya kujifunza zaidi
Oh! Jamani, kumbe nimepitwa na mafunzo ya awali
Je alphabet zote kwa ujumla ni hizi tu?
Mwalim mzur sana
Wow😍😍😍😍
Ushindi naomba unitajie jina lá ii lugha
nime erewa vizuri
ILove u ushind
Thanks
Ushindi part leo umekuja na somo gumu sana
(Tujiunze alpabeti ya kikorea ❌)(Tujifunze alfabeti za kikorea✔)In singular form we use (Ya)In plural form we use (Za)
Hajakosea ni (Ya), kwakua anazungumzia ya lugha moja ya kikorea, ingekua unataka kusema zaidi ya alfabeti za lugha zaidi ya moja ndo ingekua (Za)
@@Georgekawamala hapo nita kupinga kwa sababu unapo tumia (Ya) unatumia kwenye wingi sasa alphabeti pale wakati ana fundisha ili kuwa moja
appreciate sana
Nime frahisana unafundisha vizur sana
Nimefurahi sana sasa naweza kuandika a e i o u kwa kikorea
Nice
Vizuri
Yah tupe schedule kuhusu muda wa mafundisho niwenawahi kipindi hahhaaa.
Ni laisi Sana dada lazima nijuwe kuongea kikorea
Unaeleweka sana
Nice one.... nimekufahamu kupitia legend #sns ...... nakupenda sanaaaa .....mungu akijalia korona ikiisha njoo Tanzania ... mimi ni Tanzania arusha...
Unafunza mzuri sana nakuelewa vizuri sana hongera
Ahsante sana kwa darasa zuri nakufuatilia mno madam mzuri karbu MWANZA
Asante mwalimu nafurahi somo la Leo Ni zuri sana ushindi ww Ni mwalimu mzuri sana
Uko vizuri dada @#ushindipark napenda unavyozungumza
asante usindi unafundisha vizuri sana tupo pamoja endelea kutufundisha zaidi an nyung hi se yo🤗🤗🤗🤗🤗
Asante kwa kwa kutufundisha apo lazima kikorea tukijue ongera sana Dada yetu
Nice teacher on top
Ngoja niandike kwenye daftari kabisa. Kamsahamnida.
Naendelea kujifunza kikorea,,Asante sana Ushindi
Asante mwalimu mzurii nakuelewa
Asante🙏🙏 Hakika umwalimu mzuri sana♥️♥️ dada angu
Hongera sana mwalimu. Endelea kutufundisha. Wewe ni mwalimu mzuri
감사합니다 ❤ ..love u from Tanzania 🇹🇿
Asante Sana Dada ushindi karibu Sana Njombe
Nakupenda san ushindi umenifanya nijue kikorea Mungu akulinde.uzidi kutufunza kikorea 😘😘
Lovely so much much much ushindi tutayafanyia kz💋💋💋
Waoooo namm tajua kikorea kupitia dada us Hindi😘😘😘
Asante sana
Asante sana mwalimu mzuri mpaka najihisi nmejua kikorea
Wow,! Ahsantee xana Ushindi kwa darasa zuuurii🙏
Nakupenda sana ushindi wangu na nimefurahia somo nimejifunza kitu kikubwa sana
Asante teacher uko vizuri
Nashukuru kwa elimu yako nzuri Sana sanaaa
Asante kwa darasa zuri ushindi.
Nakupenda
Anhaaaa saf
annyeonghaseyo naneum mose yo,na neun hangug-eo baeuneun goes-eul joh-ahanda 。也你教得很好而且很好
Mwalimu mzr unafundisha vizuri sana napenda sanaaa😍😍😍
You so interested uko vizuri sana
Ahsante sana mwalimu ushindi
Fo sure nimekupenda Sana kipenz daa nami lazma namm nijue kikorea nataman Sanaa kukutana naww🤗🤗❤️❤️❤️
Kumbe ni rahisi Sana.. Asante Sana ushindi kwa kutufundisha kwa kiswahili... Uwe unatunatuachia na homework 😄❤️😁
Nakushukuru ufanye kazi ya nyumbabi ukumbuke zote😆
@@복숭아쌤 hakika nitafanya hivyo ukija Tanzania nitakua mkorea complete 😂😂
Njoo Tanzania utufundishe kikorea. Unafundisha vizuri ushindi
우리를 가르친 승리에 감사드립니다
Unafundisha vizuri hongera
Unafundisha vizuri saanaaaaa
Asante ushindi wewe endelea kutufundisha siku 1 nita kupigia tuongee kikorea
Ushindi ,uko vizur,kwa lugha iyo
Nimependa somo ushindi mungu akubariki from 🇲🇿
Asante ushindi tunajifunza
Shukrani binti wa Yesu
Vizur Sana mungu akubariki ushindi
Naweza kufikaje huko Korean jamani
Rakini una jitahidi Sana ndugu yangu
New subscriber nakupenda Dada yangu mzuri🇹🇿
Asant sana dada ushindi kwa somo
Asante sana dada ushindi kwa kipindi kizuri
Hongera Sana my ushind
Thanks my teacher. I'm got you very more much💑💑💑💑💑💑
Asante mkorea ushindi
Ni ngumu sana, fungua darasa Tanzania 🇹🇿
Love you so much ! Am from Tanzania
Waoo 💓🌹 Madamu mzuri wewe
Ushindi ndani ya Tanzania Queen Korea 🌹🌹🌹🌹🌹
Rahisi
Hongera sana, unajitahidi sana.
Go-MA -WO-YO dada ushindi naanza kujua sasa kikorea ❤❤
Director of my always!! Huo ndyo msingi rahisi wakujua lugha , tiliya mkazo zaidi . please make more concentration on alphabet as the basics in knowing any language!!! Much respect to you👏👏
Nashukuru sana wewe mwanafunzi mzuri💪💪
Natamani na Mimi nijue kikorea... Mungu anisaidie nijue haraka
Nimependa sana
Nado sarang haeyo
나도살ㅇ해요
mimi pia nakupenda
Asante sana💞💖 , You are the Best!
Nimependa somo lako uko vizur zidi kutufundisha zaidi
Haaah kimbe lahisi iyo 💙💙
Kiuhalisia Korea ni nchi ya pili ninayoipenda moyoni mwangu, ukiachana na Saudi Arabia.
Thanks Ushindi 🥰😊
Safi Sana ushindi
Uko vzr mrembo👏👏
Ni rahisi Sana
Ushindi wewe Ni mshindi unafundisha vizuri natamani kuendelea kujifunza kumbe sio kigumu
Wooow honey am proud of you Yan nakufatilia Sana nataman nijue kikoreaaaa
Nakushukuru
Asaaanteeee endelea kutufundisha nawish hata Yan tuwe tunakupa mrejesho kuhusu mafunzo yako 😘😘😘
Dah mekumbuka hiyo ya mfalume kutengeneza alphabet kutumia sauti kwenye serious ya hidden roots(tree with deep roots)
Napenda sana. Asat❤️
I now understand why non Swahili speakers are always winning 👏👏
Wooow your teaching skills are best,,,pls keep teaching I like it
an-nyung-ha-se-yo!
New student here...
unafundisha vizuri, nado
Love u ushindi
Go-ma-so-yo ushindi, sarang-he-yo
I'm so glad I would be even happier to come back and see you 🥰🥰
From moshi Tanzania 🇹🇿
Unajitaidi sana dada ushindi nskupenda san pia natamani siku moja nije nitembelee korea
nimependa darasa lako nafurahi sana wewe ni mwalimu mzuri
Je, kwa pale ambapo nitakua sijaelewa au kwa ufafanuzi zaidi ntakupata vipi?
Au pengine nataka nikuulize swali?
Very simple
Ngumu kutamka na kuandika kama wewe ila mazoezi inakua si ngumu sana😊😊😊😊
dada hapo kichwa cha habari umekosea kidogo not TUJIUNZE ni TUJIFUNZE ALPHABETI
Ndiyo!!! Nimekosa kila mara jamani🥲 Nataka kuendeleza darasa ijayo.
Asante sana!
@@복숭아쌤 Usijali dada kukosea ndiyo njia ya kujifunza zaidi
Oh! Jamani, kumbe nimepitwa na mafunzo ya awali
Je alphabet zote kwa ujumla ni hizi tu?
Mwalim mzur sana
Wow😍😍😍😍
Ushindi naomba unitajie jina lá ii lugha
nime erewa vizuri
ILove u ushind
Thanks
Ushindi part leo umekuja na somo gumu sana
(Tujiunze alpabeti ya kikorea ❌)
(Tujifunze alfabeti za kikorea✔)
In singular form we use (Ya)
In plural form we use (Za)