SIRI Imefichuka Kilichomuua DIDA Wa MashamSham "DIAMOND SIMBA AHUSISWA| KAFARA ,UGONJWA WAHUSISWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 123

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 Месяц назад +13

    Niwape polee sanaa,kwa waliofikwa na msimba
    Mungu ailaze roho yk pema
    Cc sote njia nihio hio,

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Месяц назад +12

    Mwenyezi Mungu amrehemu hapo alipo

  • @Jacksonevarest-u4x
    @Jacksonevarest-u4x Месяц назад +10

    Daad !!! Allah atujalie mwisho mwema

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 Месяц назад

      Ameen Ameen Ameen

    • @AnnaKilunga-o3l
      @AnnaKilunga-o3l Месяц назад

      ila jaman ebu fikilien mfanyakaz wako wamuhimu anafariki husifike msiban da

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 Месяц назад

      Kulengana na taarifa alikuwa nje ya nchi ila kama kuna mengine Allahu Alam

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Месяц назад +16

    Tujifunze jaman
    Dunia sio yetu
    Tufanye mambo yenye kumpendeza Allah

  • @bas2823
    @bas2823 Месяц назад +5

    ALLAH AMRAHAM WU JAMIAN"🤲AMEEN😢"!

  • @AshaShabani-c8w
    @AshaShabani-c8w Месяц назад +5

    Mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kaburi

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Месяц назад +3

    Poleni kwa kupotewa na ndugu yenu.

  • @AhuuIdrisa
    @AhuuIdrisa Месяц назад +9

    Allah amsamehe makosa yake na awe ktk miongoni mwa waja wake wema.

  • @ZuberiChombola
    @ZuberiChombola Месяц назад +10

    Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi

  • @umm2kujumbe413
    @umm2kujumbe413 Месяц назад +3

    Allah yaghfirlaha wa yarhamha

  • @Vionanandy
    @Vionanandy Месяц назад +2

    Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h Месяц назад +4

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi 😢😢😢

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv Месяц назад +2

    Kwanini daimond hakumsaida matibabu na mwizi kuuwawa ni hasira za watu kipenzi cho kimefika mbele ya haki ndiyo akapata kichapo na kuuwawa poleni sana amweke peponn wote INSHAALLAH kwa uwezo waki Allah amii

  • @JoshuaKadege
    @JoshuaKadege Месяц назад +8

    Mungu amlaze mahali pema peponi

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 Месяц назад +1

      @@JoshuaKadege pepo mnamuombea sana! Lakini wakati yupo hai hakuna aliyekuwa anamkumbusha kufanya ibaada😱

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Месяц назад

    Mungu anajua zaidi, Alhamdulillah

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Месяц назад +1

    Pollen san😊

  • @AlvinJoson-n9k
    @AlvinJoson-n9k Месяц назад +1

    Mungu akulaze mahali pema peponi kipenzi chawatu didda

  • @RubeniMwenda
    @RubeniMwenda Месяц назад +1

    Da poleni sanaaaa

  • @AwejokwThiikny
    @AwejokwThiikny Месяц назад +1

    Poleni sana wafiwa

  • @HappyBamboo-wm4ep
    @HappyBamboo-wm4ep Месяц назад

    Mungu amlaze pema yarab

  • @Mesaidi
    @Mesaidi Месяц назад +6

    Innalillahi wainna ilahim rajihuuna

  • @MuyaMahiza
    @MuyaMahiza Месяц назад +2

    Jamani simba mnapenda kumsema sana kwann kilajambo diamond kwann muacheni apumue

  • @Morry-nx7tp
    @Morry-nx7tp Месяц назад +2

    Sasa mbona kichwa hakifqnani na yaliyomo,,,aya hayo matukio kumi ndo safari sasa,,,,,kutumalizia tu mb.... kwambaaaa mhuuu acha nikae kimy😢😢😢

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 Месяц назад +2

    Diamond kama nikunyamaza kusema, basi huu wakati uwe muda wako wa kunyamaza kimya. Mwachie MUNGU aseme yeye. Tulia kimya, muombe MUNGU ajitukuze kwako. Yatasemwa mwengi, yataongelewa mengi na mengi utayasikia. Jipe moyo mkuu, simama songa mbele, mshukuru MUNGU kwa kila litakalosemwa. Mwisho pole sana, hii ndio dunia.

  • @BintiRamadhani-b9i
    @BintiRamadhani-b9i 4 дня назад

    Pole sana kabisa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mariammwinyiali
    @mariammwinyiali Месяц назад +6

    Mjaribu kuficha picha zake basii maana si zakujihifadhi,,, mjaribu tafadhalini mumstili

  • @NASRAZOMBE
    @NASRAZOMBE Месяц назад +4

    Kwani kila mgonjwa aweke wazi kuwa anaumwa jmni eeh ili ikifika siku umauti wake iclete swali l kujiuliza daaah wabongo ss haya

  • @webnet5652
    @webnet5652 Месяц назад +2

    Subhanallah

  • @Ramadhani-h2j
    @Ramadhani-h2j Месяц назад

    Huwezi kufanya kazi na wachawi halaf wakuache salama

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Месяц назад +1

    Ma star wengi bongo wanachagua misiba

  • @YousuphKarsh
    @YousuphKarsh Месяц назад

    Uwe na Akil dada yang kifo ni mipango ya mungu na maradhi ni kawaida kwa mwanadamu sas ww unashangaa nin hujui kwamb ni mipango ya mungu..
    Watu tumepoteza wazaz wetu bila ya kuumwa

  • @AbdalaMomba
    @AbdalaMomba Месяц назад

    Poleni sana uliyo fiwa,lakini tukaye duniani uku tukumbuke kifo.

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u Месяц назад +1

    Jamani hebu huyu diamond Muacheni yaani watangazaji hamupati pesa mpk mumchafuwe diamond ndo murizike na watu wanajua km dida anaumwa ss kl kitu kiwekwe wazi km yy mwenyewe hakutaka dida watu waweke wazi mtalazimisha sio kl kitu mitandaoni

  • @RoberthBilikule-mt4yn
    @RoberthBilikule-mt4yn Месяц назад +1

    kwahiyo walitaka kumuaga ili wasemenae nini sasa??

  • @SaudaKhamisi-wm6xy
    @SaudaKhamisi-wm6xy Месяц назад

    Haiwezekan afee gafla hata pengine sio mondi bt pia wafanyi Kaz wenzake

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Месяц назад

    Hbu muache dhana Allah ndio ajua hatma y kila mmja😢 manachokiandika sicho n mnchokifikiria😢 dida aliumwa alserz hbu kuweni n story za urongo vidonda vya tumbo n vbya sana waeza kuon mtu usoni ako n furaha kumnbe moyoni anavuja damu 😢 Allah amuhifadhi janatul firdhaus 🙏 😢

  • @AlvinJoson-n9k
    @AlvinJoson-n9k Месяц назад

    Tutaku miss sana dada yetu kipenzi

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 28 дней назад

    So what is the secret?

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 Месяц назад

    Innalillah wainnaillayh rajiun 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @RobertMshemba
    @RobertMshemba Месяц назад +1

    Diamond asilaumiwe jaman yote tumuachie Mungu ndie muweza wa yote

  • @leonmwacha9301
    @leonmwacha9301 Месяц назад

    aiseee hatare

  • @hamisirajab4307
    @hamisirajab4307 Месяц назад

    We mzee mfichie muislamu siri mtaje kwa mzuri wake

  • @HidayaMbodze
    @HidayaMbodze Месяц назад

    Wataona vipi mwili na mtu ashaoshwa tayari jamani. Wenye kupanga mazishi ndio walichemsha ikafikia mahali haiwezekani

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid Месяц назад

    Lkn kweli angeletwa hom kiasi kwakweli

  • @St34sty567
    @St34sty567 Месяц назад

    Kweli kifo hakikosi sababu Mungu pekee ndio anajua sababu ya kifo chake acheni propaganda nyingi muacheni apumzike kwa amani jamani😢😢😢😢

  • @eliaspaul9028
    @eliaspaul9028 Месяц назад

    Kaija

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Месяц назад +1

    Sasa na yeye huyo mwizi kayataka mwenyewe...utwaibiaje wafiwa?... yaani unamfanya mtu alie mara mbili...

  • @zainabali486
    @zainabali486 Месяц назад

    Kila nafsi itaonja umauti siku yake ilifika na sisi pia njia ni hiyo

  • @mwanaidisaid7560
    @mwanaidisaid7560 Месяц назад

    Mungu alishasema kila nafsi itaonja mauti, mimi na wewe pia tutakufa kila mtu kwa wakati wake. Mnavyohoji kimemuua nini, sasa mlitaka asife? Hamjasikia mtu kalala mzima kaamka maiti?
    Kumbukeni mungu ndie anaemiliki pumzi zetu

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t Месяц назад

    Mbona family ya Diamondi hakufika na mama Diamondi 😂 napita

  • @OlivaOnesmo
    @OlivaOnesmo Месяц назад

    Watu wanaotoaga mchango siku ya k7fa sio magonjwa....sasa waseme na wanajiweza wasf s wanamtibu....

  • @DoreenReen-k6m
    @DoreenReen-k6m Месяц назад

    Mngu ampumzshe salama.

  • @FedhaNdungangowe
    @FedhaNdungangowe Месяц назад

    Dida alikuwa kipenzi. Cha watu😢

  • @JosephMapunda-z5x
    @JosephMapunda-z5x Месяц назад +1

    Daaaa

  • @YoungMother-i3z
    @YoungMother-i3z Месяц назад

    Huyu alitolewa kafara juu ni mtu maarufu sana ili media ziache kuzungumzia ule uchafu wa P DIDDY NA 💎

    • @HusseinMwatende-ws1nt
      @HusseinMwatende-ws1nt Месяц назад

      Wewe msenge sana mbwa wewe kwenu hamufi nyie

    • @HadijaHsalehe-z4k
      @HadijaHsalehe-z4k Месяц назад

      ​@@HusseinMwatende-ws1nt Watanzania tuna maneno ya hisia sana...uzushi wa kiuongo.

  • @saidibichibichi5926
    @saidibichibichi5926 Месяц назад

    Wacheniujinga mondi anatakatusahau ishu ya pididy uyooooo 😂😂😂😂😂

  • @sharifsaidshoka8684
    @sharifsaidshoka8684 Месяц назад

    Hizo ni taratibu ya misiba ya heshima ya kiislamu km kuna aibu haisambai anaepiga kelele haelewi taratibu hizo

  • @witnesskessy9705
    @witnesskessy9705 Месяц назад

    Mbona inasemekana daimondi alikua mbea alikua mbeya

  • @mwanasitizuma
    @mwanasitizuma Месяц назад +1

    waesilam wanaruhusiwa kutizama mweli hospital kabla hadaoshwa akioshwa haiwezekani kumfungua nawatu kumuona tena

    • @susans4490
      @susans4490 Месяц назад +2

      Ukisha kufa ukifunikwa ndo basi hufunuliwi tena

  • @JaocaXela-v4j
    @JaocaXela-v4j Месяц назад

    Kumpiga mwizi mpaka kumuua hao hawakwenda msibani wameenda kuwinda wezi

  • @MwambuchiAllen
    @MwambuchiAllen Месяц назад

    mbona Platinums hakuwepo.

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m Месяц назад

    Hapo niko naswali bona hatuku mwona mamadakote msi tumbebe ufa bana wasafi wame mla dada yemtu hao

  • @willerapha1799
    @willerapha1799 Месяц назад

    Mama dangote yan mama yake daimond mbona yeye pia hakufika? Au wasaf wanajua kilicho muuwa dida?

  • @KhamisAdam-j2k
    @KhamisAdam-j2k Месяц назад

    Mbona kaka yake mweusi sana

  • @NoorynMody
    @NoorynMody Месяц назад

    Ssa dida kazikwa kiislam mulitaka azikwe kisanii ?

  • @saraphinaSamweli-rv7bv
    @saraphinaSamweli-rv7bv Месяц назад

    Eee mungu watu wanamulilia dida kisa kafa lakn bhado wanapiga mtu. Adi kumuhuwa!!! Eee mungu tusaidie iyo sijaerew

  • @HarmonicheHarmo
    @HarmonicheHarmo Месяц назад

    Vidonda vya tumbo sijuhi maana Kuna watu hawana uwezo wakifedha wanapona sembuse dida ana hela. Mimi sijuh lakini

    • @AdelphineUWIMANA-f3z
      @AdelphineUWIMANA-f3z Месяц назад

      Filinasoni ndo hivo 😮tunabaki wasiwasi

    • @FatumaBakari-c3l
      @FatumaBakari-c3l Месяц назад +1

      Muigopen mungu siku zikifika haziwez kupingika wapenz n maandish😢😢😢

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod Месяц назад

    😢😢😢😢😢😢

  • @BarakaHarrison-l4t
    @BarakaHarrison-l4t Месяц назад

    Dida alitolewa kafara na co wa wasafi

  • @amishambar3418
    @amishambar3418 Месяц назад

    Sisi tulio soma Cuba tunajua kilicho muuwa

  • @fatmasalim162
    @fatmasalim162 Месяц назад

    Aaanyie mngesaidia nn mwenye mda ulifafika achaneni n Mungu bwana nyie vip?

  • @oygigishfafuaifa3372
    @oygigishfafuaifa3372 Месяц назад

    😢😢😢😱

  • @Ramadhani-h2j
    @Ramadhani-h2j Месяц назад

    Kumuua mtu mwingine msibani.
    Hizo ni dalili za mwisho wa dunia

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 Месяц назад +15

    Tuna huliza mbona husemi maman muzazi wa Diamond akufika musibani kwa dida?

    • @belitomanuel6240
      @belitomanuel6240 Месяц назад +9

      We ulienda?

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад

      ​@@belitomanuel6240mtu anauliza swali jibu , sio kuuliza na ww punguani

    • @nahimanajo8993
      @nahimanajo8993 Месяц назад

      @@belitomanuel6240 apana mimi kombali nigekuwa tanzania nigefila niju hataja wengine hakutaja mama wa Diamond tumemukumnbusha wenda na yeye alimuhona sisi tulitanza hila hatukumuhona siyo kosa kuliza?Samahani kama nimeuliza ni makosa. Sote tutarejea kwa mwenyezi Mungu akuna zamu wa dunia leo dida kesho mimi walaweye nihukumbushotu tutarejea kwa Allah nikuhomba mwisho mwema

    • @BabyCappuccinoBabyCappuccino
      @BabyCappuccinoBabyCappuccino Месяц назад

      😂😂😂😂​@@belitomanuel6240

    • @KALItz-bj1qs
      @KALItz-bj1qs Месяц назад +1

      Usitushirikishe

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Месяц назад +2

    Mwizi kafa???. Mtumeee

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc Месяц назад +1

      Mwizi wa?

    • @نجاةالعبري
      @نجاةالعبري Месяц назад

      Duh sy vzr my kumuhukumu mareem kuw na balance ya maneno

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 Месяц назад

      @@نجاةالعبري sikiliza hapo ndio ujuwe, sija hukumu, ktk hayo mazishi kuna na mtu kaiba simu wakampiga mpaka wame muuwa! Ndio na shangaa nikasema hivyo, mtumee mwizi kafa?. Nadhani umenielewa

  • @dayanaisquare5623
    @dayanaisquare5623 Месяц назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Месяц назад +1

    Huyo sio Mkristo hawezi kuonekana hizo ndio Sheria za Kiislamu, binaadamu akifa anazikwa siku hiyo hiyo.

  • @HusseinMussa-n8x
    @HusseinMussa-n8x Месяц назад +1

    uislam nidini yenye miongozo sahihi pale anapofariki mmoja wetu. sio sawa watu waanze kusema kuaga mwili yan kuuona, huo sikatika uislam. innaalillaahi wainnaailaihi raaji'uun

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Месяц назад

    Mama dangoti sijamuona msibani.? Au nae ni maarufu saana hawezi kuo ekana.?

  • @Vionanandy
    @Vionanandy Месяц назад

    Sasa mbona alimtoa Dida wakati ameshindwa kutoa Tifaah,Dangote,ESMA na Dylan

  • @khalifamaliki4179
    @khalifamaliki4179 Месяц назад

    𝓐𝓬𝓱𝓮𝓷𝓲 𝓾𝓳𝓲𝓷𝓰𝓪 𝔀𝓪𝓲𝓼𝓲𝓵𝓪𝓶 𝓾𝔀𝓪 𝓪𝔀𝓪𝓪𝓷𝓰𝓲

  • @uwingeneyeShadia
    @uwingeneyeShadia Месяц назад

    𝐴𝑙𝑙𝑎ℎ 𝐴𝑘𝑏𝑎𝑟 𝑚𝑡𝑢 𝑎𝑛𝑎𝑗𝑖𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑙𝑖𝑎 𝑛𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑟𝑖𝑘𝑜𝑑𝑖 𝑚𝑏𝑜𝑛𝑎 𝑑𝑢𝑛𝑖𝑎 𝑖𝑛𝑎𝑡𝑢𝑝𝑒𝑙𝑒𝑘𝑒𝑠ℎ𝑎 𝑣𝑖𝑏𝑎𝑦𝑎 𝑗𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖

  • @YousuphKarsh
    @YousuphKarsh Месяц назад

    Uwe na Akil dada yang kifo ni mipango ya mungu na maradhi ni kawaida kwa mwanadamu sas ww unashangaa nin hujui kwamb ni mipango ya mungu..
    Watu tumepoteza wazaz wetu bila ya kuumwa

  • @mwanasitizuma
    @mwanasitizuma Месяц назад +3

    waesilam wanaruhusiwa kutizama mweli hospital kabla hadaoshwa akioshwa haiwezekani kumfungua nawatu kumuona tena

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 Месяц назад +4

      hao ni wajinga tena sana, kwani wakimuaga anafufuka, kwanza waislaam sisi haturuhusiwi kuaga maiti, wanaomuosha ndo wanamuona , baada ya hapo ni ndani ya sanda

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Месяц назад +2

      Anapokoshwa pia humuoni anafunikwa kanga mbili akioswa hauonekani mwili kabisa na akishavishwa sanda wanaoingia ndani kumuaga family tu pia hafunuliwi uso

    • @FaharAhmada
      @FaharAhmada Месяц назад

      Ukisema vizuri waislam il so uislam make uislam hauruhusu kunoa utupu Wa mtu mwengine awe amekufa awe mzima ispokua docter pale anapotaka kumtibia au même wake au mke wake au mzazi pindi ya shida au muoshaji anapo osha ukisema waislam wanafanya hayo ni shida Zao Ila uislam haukubaliani Na Huo ujinga

  • @YousuphKarsh
    @YousuphKarsh Месяц назад +2

    Uwe na Akil dada yang kifo ni mipango ya mungu na maradhi ni kawaida kwa mwanadamu sas ww unashangaa nin hujui kwamb ni mipango ya mungu..
    Watu tumepoteza wazaz wetu bila ya kuumwa

  • @YousuphKarsh
    @YousuphKarsh Месяц назад

    Uwe na Akil dada yang kifo ni mipango ya mungu na maradhi ni kawaida kwa mwanadamu sas ww unashangaa nin hujui kwamb ni mipango ya mungu..
    Watu tumepoteza wazaz wetu bila ya kuumwa