Producer ODE BEAT Kutoka Chuo Cha UDSM Akitengeneza Beat Studio Kwa Mara Ya Kwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @djkabby739
    @djkabby739 Месяц назад +1

    Ni vile tu sipati muda wa kwend studio😂ila huyu nammudu kbsa😂anachonizid ni kinanda tu

  • @countymusic-ur9tf
    @countymusic-ur9tf 2 месяца назад +1

    Mbona Kama nimesikia sauti ya producer starmelo

  • @MasterwizzY
    @MasterwizzY 2 месяца назад +1

    Huyo bwana 😂daaah

  • @mwiruhabibu2060
    @mwiruhabibu2060 2 месяца назад

    Hamna producer apo sema 😂😂😂😂

  • @Soundprobeats
    @Soundprobeats 2 месяца назад +1

    Hio chord progression mlimsaidia kubadilisha 😂😂 ,ile ya mwanzo uongo

  • @talentstudioindomtown1427
    @talentstudioindomtown1427 2 месяца назад

    tupo hapa

  • @njiailiyonjema
    @njiailiyonjema 2 месяца назад +1

    Mimi napiga gospel na najua vitu vingi asilimia 95, nahitaji nyongeza tu ya baadhi ya vionjo na ladha za mziki wangu wa gospel, mafundishia wapi na ni bei gani??

  • @officialjulibeat
    @officialjulibeat 2 месяца назад

    Nahitaji namba yako

  • @OburuOTB
    @OburuOTB 27 дней назад +1

    Vipi kaka,hiyo sound card nyekundu ni vizuri kutumia? Napanda kuinunua

  • @MasterwizzY
    @MasterwizzY 2 месяца назад +1

    Alichonizid ni kupiga hiko kinanda tuuu