YOUNG, FAMOUS & AFRICAN Ep 7 Recap: DIAMOND apigwa kitu kizito na ZARI, harusi ya 2 Face na Annie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 мар 2022
  • Recap ya Episode ya saba ya reality show ya Netflix Young, Famous & African

Комментарии • 85

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 года назад +21

    Zari ni moto 💣💣.. Hii show imefanya nimheshimu zaidi 😀. Nadia ni kimbelembele, alikataa kwenda kwa train lakini yeye ndiye alikuwa wa kwanza kumwongelea vibaya Zari kuhusu hiyo train. Lakini Diamond is amazing 😀😀 Appearance zake zote kwa show zinachekesha sana, kwanza ile story ya chewing gums na grapes. Yaani alidhani Andile amefika kumsurprise yeye hapo kwa Zari 😂😂 I can't wait for season 2. I hope Diamond appears more kwa season 2

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад +3

      Nadia alimchukia Zari tangu siku ya party ya nyumbani Kwa Diamond, nadhani alishaanza kumpenda Diamond

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 2 года назад +2

      @@MsAggie5 Yeah. Pia ni mchonganishi mkubwa. Pale kwa party ya Annie kabla harusi ni yeye aliharibu mambo maana hakuna aliyefika hapo na ubaya. Hmm wanawake tuna shida ya wivu hadi inaudhi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад +1

      @@sophieatieno5148 ndo shida yetu wivu unamsumbua na vile huyo boyfriend wake wamebwagana ndo kabisa! Alizani Diamond yuko serious nae pale alipo dedicate mwimbo kwake hahahaha 🤣

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 2 года назад +1

      @@MsAggie5 😂😂😂 in fairness Diamond yuko smooth. Yaani alimteka kirahisi sana hata Diamond mwenyewe ni kama hakugundua. Yaani Nadia alidedicatiwa wimbo lakini wapi, kumbe ye ni grapes tu Zari ndiye chewing gum 😂😂. Nachoshangaa ni kumbe kuna wanawake ambao bado wana matumaini na Diamond kimapenzi 😂

    • @FanesKalumbwa
      @FanesKalumbwa 2 года назад +1

      @@MsAggie5 Kweli, yuko interesting kwa Diamond

  • @hopechidera
    @hopechidera 2 года назад +7

    Last Friday,March 18 #Netflix walinijulisha wame add the YOUNG,FAMOUS & AFRICAN and the same day nikaiangalia yote...
    Bali #Sky mafasirio yako ajili ya hiyi show yote mwanzo hadi mwisho ni zaidi pia yakuiangalia,kazi nzuri sana kabisa🤝🏽na pia nikusaidia wengine wasio na Netflix kuelewa hiyo show...

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 2 года назад +6

    Asante sana Sky kwakufanya recap ya SE1 I can't wait for SE2....Dai ataua mtu🤣🤣

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 года назад +9

    “U know this is my family bro”😂😂😂😂😂

    • @mkenyammoja1
      @mkenyammoja1 2 года назад +1

      He didn't have any other lines 🤣🤣

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 2 года назад +2

    Yaani the show is epic. Netflix made me subscribe for another year. Best couple Diamond and his baby mama Zari our wifi wa Taifa.

  • @benithabuberwa1553
    @benithabuberwa1553 2 года назад

    Zari umetisha

  • @annmaroko2893
    @annmaroko2893 2 года назад +7

    Love you mama tee

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 2 года назад +7

    Queen Zari🔥🔥,and she is Amazing 👌👌
    can't wait for season 2.

  • @SandraSalomeAngolorctr
    @SandraSalomeAngolorctr 2 года назад +9

    Kaka Sky, let me tell you something about Ugandan ladies. Most of us have have been raised to have a very high self esteem and self worth. It is very rare to find a Ugandan girl who looks down on herself or is timid! Ndomana, Zari ali achana na Diamond. Self worth and self esteem is different from pride and ego.
    Annie Idibia hana self worth!!! That is the truth. If you watched the way she lost her mind all over the place, on Instagram, going off on her in-laws when 2 face was with his other baby mamas, you would understand. Annie feels she is nothing without 2 face Idibia.

    • @mkenyammoja1
      @mkenyammoja1 2 года назад

      Self esteem depends on your background & how you were raised not everyone is lucky to have that other struggle to the adults they have become.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +2

    Hatariiii fire 🔥🔥🔥😘💕

  • @tatuathuman104
    @tatuathuman104 2 года назад +3

    Zari katisha sana humu ndan tena sana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад

      Amefanya ichangamke mno

  • @sirangoclassic9555
    @sirangoclassic9555 11 месяцев назад

    Asante sana sns Sky 🔥🔥🔥

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 года назад

    Natamani Diamond na nadia patokee kitu😘

  • @mrsanna7820
    @mrsanna7820 2 года назад +7

    Zari na diamond to be honest bado wanapendana

    • @mkenyammoja1
      @mkenyammoja1 2 года назад

      The series was shot a while ago. Diamond is so.... much in love with Zuchu now😍

  • @muslimrashdy526
    @muslimrashdy526 2 года назад +2

    Umetisha kaka

  • @noelamadadi5731
    @noelamadadi5731 Год назад

    Zari ni moto

  • @matumuhatibu4636
    @matumuhatibu4636 2 года назад +3

    Zari kaua wallah

  • @meddyidris8857
    @meddyidris8857 2 года назад +1

    SnS🔥🔥🔥

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 года назад +3

    #Zari is a treat 😂😂

  • @noru9028
    @noru9028 2 года назад

    Big up Brother Sky

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 года назад +4

    Dai ..peperusha bendera...

  • @subraissiaka6440
    @subraissiaka6440 2 года назад

    ♥️💯🔥

  • @joselynesango4430
    @joselynesango4430 2 года назад +1

    Kumbe Africa ni pazui ivo kumbe tunaweza kabisa

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 года назад +6

    Niruhusu nitofautiane nawe kidogo Sky. Zari dharau yake sio kwa sababu ya pesa, ni kwa sababu ana self esteem na confidence lakini anadharau jinsi Annie alivyo insecure. Ifikirie hivi, wote walikuwa na one thing in common, they were cheated on. Ila Zari alikuwa na nguvu za kujiondoa kwa sababu ana self worth. Annie hana, 2baba anacheat kila uchao lakini ameshindwa kutoka sasa kwake kila mwanamke ni threat especially kama anajuana na 2baba. Dharau yake ni kwa sababu tu ameolewa. Hao wanawake wote ispokuwa Kayleigh wana wivu tu 😂

    • @meddyidris8857
      @meddyidris8857 2 года назад +3

      Thats it bro 🔥🔥

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад

      Kweli Zari ana self-esteem mpaka raha! Napenda Sana, lakini sikuipenda ile siku alivyomuita pembeni 2face na kumwambia mkewe alishangaa mumewe anamjuaje. Naona hakuwa na haja

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 2 года назад +1

      @@MsAggie5 True.. Kwa hiyo series nzima, hapo tu ndipo niliona Zari amekosea. Hakukuwa na haja. Hata hivyo alijaribu kuomba radhi lakini Annie ni kama hakuwa na moyo wa kumsamehea. Mara ya kwanza pale Annie alipoanza kumringia kuwa yeye ameolewa ilhali Zari ana baby daddy tu. Mara ya pili Zari alimpelekea hadi maua lakini wapi? 😂 Pia, kama Annie angekuwa na esteem hangeovereact hivyo kwa sababu alifaa afurahi tu kuwa watarenew vows anyway.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад +1

      @@sophieatieno5148 wanawake wote walimchukia Zari tangu day one kwenye party ya Mondi. Annie ni type ya typical African women! Anaona sifa ya kuwa kwenye ndoa hata kama haina raha??? Yale ya mwaka 47 😅! Zari alimuomba msamaha lakini anamchukulia Zari kama threat kwake. Zari ni tishio kwao wote, wanamuonea wivu tu hamna kingine.

    • @barkaaaalnahdii2109
      @barkaaaalnahdii2109 2 года назад

      @@MsAggie5 tishio gani huyu zari anadharau snn huyu zari mwenywe kila Mara anabadikisha wanaume kama nguo wote washenzi usijifanye kumpendelea zari wote wachafu

  • @tatuathuman104
    @tatuathuman104 2 года назад +2

    Yaan zile drama zilizo kuwa kwenye show ndizo zimefanya show iwe kali na nzur sana

  • @gerfasiamwingira4827
    @gerfasiamwingira4827 2 года назад

    Wow! Huyo ndio Mondi 🤣🤣🤣

  • @jumajay1784
    @jumajay1784 2 года назад

    Sie ndio twaenjoy live bila chenga

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 2 года назад

    Nadia ni mubaya sanaaa anamusikiriya Zari bwivu,na Annie ni mwivu wama jealous kwa Zari,maama Tiffat kiboko yao.

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 2 года назад +3

    NETFLIX NDANI YA SNS...TUNAENJOY

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 2 года назад +1

    Uwe unaendelea kutafsiri ili.na Sisi tuelewe sawa

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 2 года назад +1

    Kwaiyo daimond bado unamuonea wivu Zari heee

    • @mkenyammoja1
      @mkenyammoja1 2 года назад

      This is all acting... Chineke

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 2 года назад

    Wewe kilasiku umuongeleya Zari vibaya kwani hukuona kuwa wenyewe ndio walimuanza Zari show yote tumeiyona kanyi ,Annie and nadia wako na jealous yani icho kitu kimeonaka wazi

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 года назад +1

    Mnamshusha thamani Diamond wetu kumchanganya kwenye shoo na wakina Zari hawana vipaji vyovyote, atakua Zari ndio kamshauri Diamond kuingia hii shoo uchwara

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 года назад

      @@malianonicass7029 WaTanzania hamtupati huko na vingereza vyenu

    • @kereikerei9640
      @kereikerei9640 2 года назад

      Hajui chochote kuusu iyo kitu yy anasi kama filam😁😁😂😁

    • @kereikerei9640
      @kereikerei9640 2 года назад

      @@malianonicass7029 uyo ajui chochote kuusu iyo kitu anashindwa kutofautish awaza labda hii ni films Ndomana kasema ucharo kwavile kazoea kunwona dangote kama msanii w muziki ndo mana kasema wana mshush dangote jambo kama ujalufaham nitabu sana😁😁😁

  • @daruzein
    @daruzein 2 года назад

    Sky, I can see you are a bit skewed on ur review of Zari vs Annie vs Khanyi

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 года назад

    Zari hana msimamo

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 2 года назад

    Inarushwa channel gan?

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 2 года назад +1

    😅🤣😂

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 года назад

    Zari ni nouma

  • @frenkyclassic9309
    @frenkyclassic9309 2 года назад +1

    naipataje hii muvi mr ples nixaidie mana nikingia netflix nambiwa nilipie kwanza

  • @claudiokelly8944
    @claudiokelly8944 2 года назад +1

    Anayehitaji kuiona bila netflix anicheki mm

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 2 года назад +1

    Zandi 🤣🤣🤣🤣

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 2 года назад +2

    Drama tamu

  • @raunation4112
    @raunation4112 2 года назад +2

    Jmn inapatikana wapi

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 2 года назад +1

      Sikiliza Episode1 hapa SNS

    • @hopechidera
      @hopechidera 2 года назад

      #Raunation inapatikana #Netflix

    • @raunation4112
      @raunation4112 2 года назад

      @@hopechidera ko ili kuotazama natakiwa kuwa na app hio

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 2 года назад +1

    Asate umechambuwa tukowaafrika tunasikiya yote

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 года назад

      Unaweza jiunga ni bando,data or internet na unalipia kidogo uanachama, unaweza ona kwenye simu

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 2 года назад

    Zari ni carpet ana cheaty saana

  • @mkenyammoja1
    @mkenyammoja1 2 года назад

    I am 31st aka I am a bitch 🤣🤣 kizungu siyo mdomo chetu kilimlemea Diamond sana...

    • @sherifaali7268
      @sherifaali7268 2 года назад

      Nyie wakenya ndo chenu sie waTz waTz kiswahili ndo chetu

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 года назад

    Fake fake Imeandikwa script yote