MUME MWENZANGU |2|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 576

  • @thomaskarama3521
    @thomaskarama3521 Год назад +40

    Jamani wanawake hawa ni shida tupu 🤣🤣🤣 mimi singekuwa na moyo ninge muachiya mtoto hapohapo👏🙏🙏🔥❤️🇨🇩🇨🇩

  • @rashidkalume
    @rashidkalume Год назад +7

    Muongo huyu mimi ndio wa kwanza bwaga like hapa from 🇰🇪

  • @cathygeorge7540
    @cathygeorge7540 Год назад +8

    🤣😂😂😂😂hii n Moto🔥🔥🔥🔥🔥

  • @centodehardnose3107
    @centodehardnose3107 Год назад +20

    Kwa kweli hii kazi imetulia sana,yan mumeweza hadi hatari.
    Hongerani kwa kazi Njema👍

  • @mercy342
    @mercy342 Год назад +3

    😂😂😂😂😂litoto lenyewe jameni lizee lizimaa

  • @ankonzala01
    @ankonzala01 Год назад +23

    😂😂😂😂😂😂🙏 sawa anko

  • @hayati9453
    @hayati9453 Год назад +5

    Hakuna Cha ufundi hapo ukijifanya fundi Kuna mafundi zaidi yako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @augustinomasanje6
    @augustinomasanje6 Год назад +12

    Jirani ana mng'ata mwenzake huku anapuliza 😂😂😂😂😂

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 Год назад +6

    Hahahah dah! Wanaume tunawezwa 😢🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nashiruhassani5158
    @nashiruhassani5158 Год назад +5

    Nakubali sana clam vevo mixer kipara kivumbi leo😄😄

  • @marykadenge6286
    @marykadenge6286 Год назад +4

    Kula chuma hicho😂😂😂 love u clam 🇰🇪

  • @YohanaTulito-sv4zc
    @YohanaTulito-sv4zc Год назад +8

    😂😂 Mimi naenda kumuuliza kwanini anafanana Na mwanangu 😂

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose Год назад +3

    Kipara bana 😅😅 unaweza muua jirani kwa mawazo hongereni Sana Kazi nzuri

  • @NickName-yk1tp
    @NickName-yk1tp Год назад +3

    Ni 🔥🔥🔥🔥 amna kupoa mwanetu clam🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @farhatsalum1437
    @farhatsalum1437 Год назад +11

    😂😂😂😂😂😂sjapenda😅😅

  • @ramlasuleiman9236
    @ramlasuleiman9236 Год назад +14

    Jirani jirani..🤣🤣😂 big up team yote..love from kenya

  • @edgernyongesa
    @edgernyongesa Год назад +1

    nampenda sana jirani 😂😂😂😂 kipara huyo

  • @TheeOnesyFamily
    @TheeOnesyFamily Год назад +1

    Much love the contents is much interesting ❤❤

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Год назад +5

    Jirani anaudumia nimecheka kweli 😂😂😂😂😂

  • @dctmvumi
    @dctmvumi Месяц назад

    ila kipara 🤣🤣🤣🤣🤣 atari ....nimempenda buleeeee 🥰siwezi bila yeye😂😂😂😂

  • @reiphan9894
    @reiphan9894 Год назад +2

    nzuri sana hiyo pia inafundisha tuwe makini kwenye maisha yetu.

  • @Mrklifapp
    @Mrklifapp Год назад

    Nakukubal sana broo. Big-up

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Год назад +28

    clam usimuache mtukufu atakupaisha sana na kufikia 1m subscribers karibuni inshaallah

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 2 месяца назад +1

    Happ huduma ndio umeanza😂😂😂😂😂😂

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Год назад +2

    Cjapenda Ujueee Kiparaaa😂😂😂😂😂

  • @kypadji_stylishboy4640
    @kypadji_stylishboy4640 Год назад +54

    Mr Clam you're really the best one. I am into you. You've to know that there are many fans from Mozambique 🇲🇿🇲🇿. GO AHEAD 💪💪💪

  • @dishonmanyi3152
    @dishonmanyi3152 Год назад +9

    Mimi wa kwànza nipeni likes zangu

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂kwa mtoto uyooo mmmmmmmh ni balaaa ,😂😂😂😂😂

  • @sammyfundiofficial5295
    @sammyfundiofficial5295 Год назад +4

    😂😂😂😂😂umefunikwa bro 💪💪💪💪💪💪

  • @salummsimbeTV
    @salummsimbeTV 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂DAMU NZITO KULIKO MAJI UMETISHA SANA MWANANGU MTUKUFU😂😂😂😂

  • @saumukhamis8433
    @saumukhamis8433 Год назад

    Wallah mmejua kunifurahish mpk mikojo maan si kwa kuchek huku jmn KAZI nzur sana

  • @AMBROZEY
    @AMBROZEY Год назад +141

    Nimekua wakwanza. Leo. Kama. Tuko. Pamoja. Gonga like. Apa

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 Год назад +3

    Umepigwaaaaaa pumbavu zako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤸🤸

  • @FridahKananu-zh8se
    @FridahKananu-zh8se 2 месяца назад

    😂😂😂😂 lot of love from +254

  • @OnesmusWambua-dj9gz
    @OnesmusWambua-dj9gz Год назад +1

    Gai mtoto anafanana na mwengine uuwi aki. Nipeni kalike

  • @JaylassMarshico
    @JaylassMarshico 2 месяца назад

    Ah kumaaanina 😂😂😂😂😂😢😢😅 ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Год назад +5

    Love u so much from 🇧🇮

  • @RachelMdao
    @RachelMdao 8 месяцев назад

    Uyu jiran n mwaminifu😂😂

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf Год назад +1

    Daaa mda mwingine wanawake mnatupiga za uso Sana waallah

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 Год назад +1

    Jirani toa kila siku jirani nipate kucheka mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila cram na huyo para mukiwa pamoja munachekesha sana 🤣🤣🤣🤣

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon Год назад +3

    Umetisha sana dogo 😂😂

  • @paulineomuro8555
    @paulineomuro8555 Год назад +6

    Mimi nayo siwezi pitwa nilikua nangoja Sana part 2 ❤❤❤ mnipee likes 🎉

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Год назад

    Clam ww uko lofa kwr🤣🤣🤣💯💯🇧🇮

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 11 месяцев назад +1

    🎉kula chuma hicho ❤

  • @harumukizaemelyne1455
    @harumukizaemelyne1455 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉😂haka ninini we we kanini wanafanana 😂😂😂😂 Baba siwakae hawafanani

  • @mariamkisanduku2651
    @mariamkisanduku2651 Год назад

    Kusona hujui ata picha uoniiii calm😂😂😂😂

  • @abdulphones3
    @abdulphones3 Год назад +1

    Ntauza hata nyumba yng kwaajil y huyu mtt😂😂😂😂😂 waiting.......(3)

  • @MariamHassan-d9n
    @MariamHassan-d9n Год назад

    Ale nyama anyamaze wee kazi ipo❤❤❤

  • @RechoLazaro-g4y
    @RechoLazaro-g4y День назад

    😂😂😂😂ila jamni sisi wanawake Mungu atubaliki sanaa maan ndio tunaojuq watot ni wa nani hata kam tupo kwenye ndoa😂😂😂😂

  • @lawrencemogambi30
    @lawrencemogambi30 Год назад +2

    Leo pia mm nimekuwa top 800

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 Год назад

    Naenda nyumbani 😅😅😅😅clam wewe una nyota❤❤❤

  • @everlynasande5066
    @everlynasande5066 20 дней назад

    Kipara utaniua ety mwangalie Kwa makini yule 😂😂😂😂😂😂

  • @georgekaila6193
    @georgekaila6193 Год назад +25

    Mkenya 🇰🇪ndo nifika nimechelewa na Dakila tano😅 kwetu Mombasa uwa hatuna haraka💯🙏🏻

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 Год назад +1

      Vipi huko Kenya movie gani nzur nzur nifatilie

    • @georgekaila6193
      @georgekaila6193 Год назад

      @@tztanzania2262 hatuna movie sisi wenyewe twafatilia zenu shehe 😂

    • @NasraAli-w7i
      @NasraAli-w7i 2 месяца назад

      Ulale mkenya Jaana unatia huluma😢

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 Год назад

    😂😂😂 ongereni kwa sanaa nziri

  • @BCryptosWorldwide
    @BCryptosWorldwide Год назад +4

    Hili ni kali wadau😂😂.salamu kutoka South Africa

  • @EuniceAkhaeri
    @EuniceAkhaeri Год назад +1

    Clam uko sawa, Kenya uko more 🔥 🔥🔥🔥🔥

  • @PeaceZulu-fv4mj
    @PeaceZulu-fv4mj Год назад

    Mungu awafunguliye njia yani nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FrankOduor-d9m
    @FrankOduor-d9m 3 месяца назад

    Waah ladies mutatuua😅😅 noma

  • @happinesskamera-4197
    @happinesskamera-4197 Год назад +2

    Huduma ndio zimeanza ivyooo😂😂😂😂😂😂😂

  • @nold3
    @nold3 Год назад +2

    Warembo wa tz wazuri kweli,, leo wanipe love emoji bana❤️

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂Niko tayari nife kwaajili ya Huyo mtoto niko radhi niuze Ata nyumba yangu😂😂😂😂😂😂

  • @fadhilitbg1985
    @fadhilitbg1985 Год назад +1

    Ila uyo jamaa mweus anajua sana kuigiza

  • @MartinNgoma-tp2jk
    @MartinNgoma-tp2jk 5 месяцев назад

    Koma zinthu zina kkkkk hehehe

  • @hassanaryselemani5032
    @hassanaryselemani5032 Год назад +1

    Kula chuma icho 😂😂😂!!!

  • @Harrison713
    @Harrison713 Год назад

    😂😂🤣🤣🤣Clam kula chuma😮

  • @aishakassim75
    @aishakassim75 Год назад +3

    Kipara wanifurahisha 😃😃😃

  • @ArtistTonkeijonathan5392
    @ArtistTonkeijonathan5392 4 месяца назад

    Utaelewa Tu Kula chuma icho😂😂😂😂😂

  • @BenKiba04
    @BenKiba04 Год назад

    😂😂😂😂 Leo nimekubali kua walimwengu sio wema

  • @DON-BRUCE-jp1hc
    @DON-BRUCE-jp1hc Год назад

    😂😂😂Good sana CLAM

  • @HamisiNyalinga-kk8ov
    @HamisiNyalinga-kk8ov Год назад +2

    Kaka kiukwer napendasana kazizako brother mungu akujaliehafya iliuzidi kufanyamakubwa nimm hamisi nyalinga

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 Год назад

    What 🤣🤣🤣🤣🤣 ati pacha wa mwanao kula chuma😂😂

  • @sarokipma3782
    @sarokipma3782 Год назад +1

    Majirani😂wote wa uwawe wapigwe kiberiti😂

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Год назад

    Hahahaha 🤣🤣🤣 Clam wewe ni fundi bandia

  • @PrincessNarfat
    @PrincessNarfat 2 месяца назад

    Mtoto mwenyew Mzee 😅😅

  • @aminakondo3640
    @aminakondo3640 Год назад

    Mmmmh jamani kwan mwafanyaje mpk mwawa wakwanza 🤔🤔 hy penda nyie team Clam ❤❤❤

  • @moraadelvin9604
    @moraadelvin9604 Год назад +2

    Clam wewe utanifanya nifukushwe kwangu aki ❤ninavyo kupenda na kwangalia move zako kila siku

  • @MaryanMaryam-lc1et
    @MaryanMaryam-lc1et 2 месяца назад

    Ila kipara mshenz😂😂😂

  • @JacksoJMarko
    @JacksoJMarko Год назад

    Ntauza ata Nyumbaa 😂😂😂😂😂

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 Год назад

    😂😂😂mtoto gan uyoooh

  • @richardharuna2118
    @richardharuna2118 Год назад +1

    Clam iii niliii isubir 😂😂😂😂

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 Год назад +3

    Good Job With Your Team

  • @vivaanvance
    @vivaanvance Год назад +2

    Aloo siku ya5 Sasa sioni kitu mzee baba wapi mnafeli🥴❤️🇹🇿

  • @faustinkilote4687
    @faustinkilote4687 Год назад

    Kula chuma icho,,😂😂nimeipenda

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Utaelewa tuuu kula chumaa icho😅😅😅

  • @dj254michalazomix9
    @dj254michalazomix9 Год назад +6

    😂😂❤Nilikuwa nime gonja sana part 2.... Clam kilo gapi kazibeba Ukienda dukani

  • @Paulinengoka4001
    @Paulinengoka4001 Год назад +1

    Hii comedy leo imeweza😂😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂etiiii hapo ndiyo huduma zinaanza sasa😂😂😂😂😂mubarikiwe sana

  • @Pascal1122
    @Pascal1122 Год назад +1

    😂😂😂 nafurahi sana 😅

  • @Zaykham
    @Zaykham Год назад +2

    😂😂😂😂ilooooo toto kwel ule huma🎉🎉🎉 Clam na sara kazi nzur nawapend buleee🎉❤

  • @Upendo-h6b
    @Upendo-h6b Месяц назад

    Mbn balaa hii wanawake jamani tuache kuchepuka bhc daaaah inaumaga hiyoo

  • @zengreat007
    @zengreat007 Год назад +1

    Izii ni Sadaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhanisaranga6979
    @ramadhanisaranga6979 Год назад +13

    Wakwanza mimi kuangalia hii like zangu hapo

  • @aminaramambungo4414
    @aminaramambungo4414 Год назад +1

    Jirani sijapenda😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @rich_wasparner9233
    @rich_wasparner9233 Год назад

    Matunzo ndio yameanza hivo😁😁😁

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад

    Huyo mtoto sasa😂😂😂😂😂

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 Год назад

    Kula chuma hicho 💯💯💯💯

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Год назад +2

    Clam and kipala 🔥🔥🔥👊🏿👊

  • @crissneyoland
    @crissneyoland Год назад +2

    😂ala Ala ala mbwa huyo clam Vevo . Lakini jamani kiukweli unanichekesha sana hongera kwa kazi zako👍🇧🇮❤️

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 3 месяца назад +1

    Watching the 15th time😅

  • @BJKSus-v8z
    @BJKSus-v8z Год назад

    Jirani anatoa siri😅😅😅