SECTION E SERIES EPISODE 1 🎬( Netflix series with English subtitles)💥💥💥💥

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 183

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Месяц назад +7

    Wazee wa action movies Tanzania na east Africa. Miamba sana wakuuu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 Месяц назад +8

    Mimi ni shabiki wako Toka kitambo Hakuna series ambayo imepikwa na benroyah kwenye channel hii sijaitazama but my favorite series CHAGUO 🎉✌️

  • @abubakalimavumbi5846
    @abubakalimavumbi5846 13 дней назад

    Wabongo tumejitaidi adi apa japo tunakuwa sio wa KUAMINI good

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Месяц назад +20

    Movie zenu zote kali, ila sizan kama mtatoa movie ya kuifunika Sisi❤
    Na fans wenu wote wanakiri hilo

  • @Jay24TV
    @Jay24TV Месяц назад +4

    Kazi kubwa sana big up kwa roya family BP for life

  • @FaidaJohn-cf4sb
    @FaidaJohn-cf4sb Месяц назад +1

    Benloyal nawapenda pia kazi zenu nazikubar Mungu awatangulie aisee big up mwanangu bonnie

  • @MosesNiyonzima-f4g
    @MosesNiyonzima-f4g Месяц назад +5

    Ohhhh yeees yani mimi furaha yangu ni benroyal moviesNawapenda sana kutoka Uganda kampala

  • @gifterianmsupa
    @gifterianmsupa 15 дней назад +1

    ❤❤❤❤ napenda sana movie zenu jamani

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh Месяц назад +3

    Duh kumbe kuna vtu vzr vlikuwa vyanipta aisee nipo mwanzo mwisho much❤❤❤❤❤

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 Месяц назад +2

    Yaani unyama ni mwingi 🎉❤kazi nzuri sana beenie ❤

  • @DottoZawadi
    @DottoZawadi Месяц назад +2

    Ben royal nyie ni watofauti sana, nawapenda pakubwa mnoooo❤❤

  • @SABO94
    @SABO94 Месяц назад +3

    Jongeren sana napenda kumpongeza mwandish na director na wachezaji kuumiza kichwa kuandika kazi kamahii mna tudhibitishia kua TANZANIA tuna weza kufanya chochote tukiamua hongereni sana nami nime furai sana kuona hiki kitu pamoja wasanii niwengi na kila mtu ana fikilia afanye nini Mimi ni Msanii pia napenda nifike huku nantajitahi kwahiki nilicho kiona na ntawafatilia adi mwisho asanten kwakazi nzuri

  • @subjugator5991
    @subjugator5991 Месяц назад +4

    Cinematography 💯, sound 💯, actors and acting 💯, script 💯..... PERFECT 👌

  • @adamnehemia8316
    @adamnehemia8316 Месяц назад +5

    Nilike kabisa kabla ya kuanza kucheki

  • @zclassichb9614
    @zclassichb9614 Месяц назад +4

    Abdul sio mtu wa mchezo Mchezo kabisa mamaqe😂😂😂

  • @teddysananga
    @teddysananga Месяц назад +2

    Wow, nimefurahi mmerudi🎉🎉

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z Месяц назад +4

    Section E movie noma sana mko poa team strong 💪

  • @PeterNguno
    @PeterNguno Месяц назад +6

    Benloyal we noma nakukubali sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 Месяц назад +6

    Wow hatimae naona kikosi kime kamilika nawapenda sana hamna baya❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @calebrashid4322
    @calebrashid4322 Месяц назад +5

    Will follow it to the end kama nlivofatilia Sisi series
    Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shadrackyuda8745
    @shadrackyuda8745 Месяц назад +6

    yani mimi nikiona ben royal pictures katengeneza move najuaga moja kwa moja ni jiwe namkubali sana

  • @PetroMlowe-h5k
    @PetroMlowe-h5k Месяц назад +5

    Jaman tunaombeni msicheleweshe .........😂😂🎉🎉

  • @Phano7-x2q
    @Phano7-x2q Месяц назад +4

    tulisubiri Sana kazi zenu mungu awape kazi iliyo njema

  • @noeldesderius
    @noeldesderius 27 дней назад +2

    Mh jamani nyie ni balaa!😮 mnajua Hadi mnakera 💯 Big up Benroyal pictures 🔥
    Don't forget to like my comment if u real love Ben royal

  • @MakoyeJoseph
    @MakoyeJoseph Месяц назад +2

    Yes nawaaminia sana kwa movie zenu 👊👊👊👏👏👏👏

  • @whitemusic1419
    @whitemusic1419 Месяц назад +4

    hahaaha ben we kiboko salute,,,tafdhali watu tushee Hii kitu ili itazamwe zaidi

  • @pierinamduda3552
    @pierinamduda3552 Месяц назад +3

    Steve kindingo.... One love bro

  • @RamadhaniKashamu-r2l
    @RamadhaniKashamu-r2l Месяц назад +3

    Hv hap mbeya mnapatikan maeneo gn maan nimekuw nikiwfuatilia Toka nip lindi

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 Месяц назад +5

    Waleteeni burudani tuenjoy🎉🎉

  • @HabibuShabani-qd5mh
    @HabibuShabani-qd5mh Месяц назад +2

    Kiongozi nasisi WENGINE wa mbali tunaomba kuunganishwa kwenye group lenu lolote ili tuwe KATIKA familia ya royal

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 Месяц назад +1

    Welcome back in action Benroyal Team. +254🇰🇪 💞🇰🇪representing

  • @KenyanaiBeats254
    @KenyanaiBeats254 Месяц назад +3

    Fuegooo🔥🔥🔥🔥

  • @MwinyiJuma-s6m
    @MwinyiJuma-s6m Месяц назад +2

    Ben royal mnatisha sana mkiwa pamoja bana 🎉🎉 pokeeni maua😂😂

  • @ottomanmorand8087
    @ottomanmorand8087 Месяц назад +1

    Hawa jamaa hawana kazi mbovu🎉❤

  • @SeanBird-w9d
    @SeanBird-w9d Месяц назад +2

    Benroyal hamjawahi kutuangusha

  • @SamsonFundi.J
    @SamsonFundi.J Месяц назад +1

    From Mozambique,tuko pamoja siku zote

  • @MwinyiJuma-s6m
    @MwinyiJuma-s6m Месяц назад +2

    Mbangaaaa name🎉🎉🎉🎉

  • @Cheusi01
    @Cheusi01 Месяц назад +4

    Sas inakuaje watekaji mteke gari mchukue mafuta mtelekeze gari amabalo lina thamani zaidi na kulingana na na gang si ilipaswa mteke malori ya kusambaza mafuta au mvamie sheli 😊😊😊

  • @ELIZA-c7v
    @ELIZA-c7v Месяц назад +2

    Huwa wana picha nzuri sana ila tatizo huwa wanakawia mwendelezo

  • @alexandertembea5940
    @alexandertembea5940 Месяц назад +2

    Kaz zuli sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @deprodigy9815
    @deprodigy9815 Месяц назад +2

    🎉🎉🎉nawakubali sanaa benroyal

  • @joycekamendu5289
    @joycekamendu5289 Месяц назад +3

    Peter kamsave petel jaman dada mhudumu

  • @stevejames434
    @stevejames434 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤ super waiting for more Episodes

  • @DaimaJonas
    @DaimaJonas Месяц назад +5

    Benloyal move na wakubali sana

  • @SaimoniKalindima
    @SaimoniKalindima Месяц назад +1

    Mmezingua saaan kwny ile chuma inaitwa amani daaaaaaah

  • @GLORYSIWALE
    @GLORYSIWALE Месяц назад +1

    Daaah namwona ndabila girl we2 sana dada pend unawakilsha nzovwe moja hyo golglio street umeua n bonge ya mv😂😂

  • @Clamcris-y
    @Clamcris-y Месяц назад +4

    Movie nzuri sana

  • @mbilinyijr
    @mbilinyijr Месяц назад +3

    Mbanga name from Ubuntu 🔥 background kaliii

  • @officialstar9177
    @officialstar9177 Месяц назад +3

    Tunaendelea tulipo ishia 💪💪💪

  • @pierrefilm7078
    @pierrefilm7078 Месяц назад +1

    Safi Sanaa nimeipenda hii Ina nipa tension ya kuisubiri episode ijao

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer Месяц назад +2

    Hii nayo kali Sana 🎉🎉

  • @MadiwaIddi
    @MadiwaIddi 15 дней назад

    Oya noma sana mmetisha wanangu 🎉🎉🎉🎉 yenu

  • @NICHOLASHENIRY
    @NICHOLASHENIRY Месяц назад +1

    Nawakubar Sana Vipi kuusu Move ya amanu

  • @QofSaidiKbsk01
    @QofSaidiKbsk01 Месяц назад +5

    Aliyerudilia mwimbo tumjuwe hapo

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤nawapenda wote

  • @paulokemark7398
    @paulokemark7398 Месяц назад +3

    Kazi safi Benroyal Movies

  • @OmarHamad-sh7hv
    @OmarHamad-sh7hv Месяц назад +5

    It about time 4 a new movie😅🎉😊

  • @Hugacontractors
    @Hugacontractors Месяц назад +2

    Ngoja nimalize kuangalia ntarudi kucoment😂

  • @danielaugustino705
    @danielaugustino705 Месяц назад +1

    Dah....benroyar semaa unatutesaa umekaaa muda xn

  • @thetrends472
    @thetrends472 Месяц назад +1

    Nakubali sana kaka #benroyal hunaga kazi mbovuu ni basi tu wanakuchukulia poa,
    1. Visa/stori zako ziko poa
    2. Actions za kwenda
    3. Editing and graphics ziko vizuri
    3. Sounding inasimama vema
    4. Creativity iko juu mno, na hiyo ndo sanaa yenyewe sasa
    5. Directing and character Organization is much better
    Sijui nimepatia ila lengo langu ni pongezi tu, najivunia sana kuona Mtanzania anatoa vitu vizuri
    Makosa madogomadogo hayakosekani mana ndo tunayaishi hayo makosa ili tuwe bora kesho, Big up Brooo

  • @ElizabethJoseph-i6q
    @ElizabethJoseph-i6q 25 дней назад

    Movie iko very exelent kazi nzurii

  • @Fadhboy
    @Fadhboy Месяц назад +3

    It is awesome

  • @EllyloveBwiko
    @EllyloveBwiko Месяц назад +1

    Noma sana section

  • @IvannIvannmussa
    @IvannIvannmussa Месяц назад +2

    Kazi iko good mujitahidi kutoa miendelezo

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi Месяц назад +2

    Kazi zuri kabisa kama una ikubali like tujuwane

  • @HASHIMYAHYA-hy8sm
    @HASHIMYAHYA-hy8sm Месяц назад +5

    Mme uwa wazeee kwa mziki uwoo

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 Месяц назад +2

    DAAA nimechelewa

  • @mrkibwena5205
    @mrkibwena5205 Месяц назад +4

    kazi kazi

  • @SaidiJuma-k4p
    @SaidiJuma-k4p Месяц назад +4

    Nakubali kaka wakwanza mie naombeni like zenu

  • @rizikishemsaga7937
    @rizikishemsaga7937 Месяц назад +1

    Kazi zuri sana

  • @mickbrown850
    @mickbrown850 Месяц назад +2

    Kumekuchaaaaaa Royal family on top

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 Месяц назад +1

    This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @geosatv1664
    @geosatv1664 Месяц назад +3

    Mko vizuri Sana ila naomba niwepo hapa ili niwa kosowe baadhi ya makosa

    • @Benroyalmovies
      @Benroyalmovies  Месяц назад

      Hakuna kazi isiyo na kasoro, karibu mkosoaji

  • @KASONGOTV3
    @KASONGOTV3 Месяц назад +1

    Anakosaje issarito humu jamani

  • @user-njopajr
    @user-njopajr Месяц назад +1

    🥱🥱🥱🥱
    Oya bonge la kazi

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth Месяц назад +3

    From UK asanten sana

  • @danielaugustino705
    @danielaugustino705 Месяц назад +3

    ❤❤❤❤

  • @syv_habari
    @syv_habari Месяц назад +2

    Kazi kubwa sana

  • @MganzaFynest-i5m
    @MganzaFynest-i5m Месяц назад +4

    Wanangu mnajua

  • @IBRAHIMOFFICIAL-k1c
    @IBRAHIMOFFICIAL-k1c Месяц назад +1

    😂😂😂😂😮nakubali benloyer

  • @Trace_beiber2729
    @Trace_beiber2729 Месяц назад +1

    I feel happy when I see u'r movie🎉 so nice and I appreciate ❤

  • @imaniBasiki
    @imaniBasiki Месяц назад +2

    Nakubarii sana

  • @VizenFamily
    @VizenFamily Месяц назад +1

    Noma aiseee 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mrtwiga
    @Mrtwiga Месяц назад +2

    Wadogo zangu wa CCM

  • @lameckboytz2103
    @lameckboytz2103 Месяц назад +1

    0:58 🔥🔥🔥🔥

  • @JapharyIsack
    @JapharyIsack Месяц назад +4

    💥💥💥

  • @omaryally1153
    @omaryally1153 Месяц назад +1

    Awa jamaa wanajua Kwa upande huu WA NGUMi akuna kama Hawa jamaa

  • @FabianNtimba
    @FabianNtimba Месяц назад +1

    Bonge moja kali sana ongereni sana ❤❤

  • @salumfredJ
    @salumfredJ Месяц назад +2

    Kwa kuchelewaaa ila nipooo sambamba guyz tuanze like na mm kwanza

  • @MwambipileFamily
    @MwambipileFamily Месяц назад +1

    Hatari Sana ongera mtunzi na dierictor kazi nzuri Sana hii

  • @MosesNiyonzima-f4g
    @MosesNiyonzima-f4g Месяц назад +3

    Mimi napenda sana huo bon

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 Месяц назад +1

    Bongo hawamzingatii huyu jamaa ila huyu ninoma mzee

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 Месяц назад +1

    Tunawakubali sana lkn tunaomba muendelezo usichelewe

  • @JamesMgimba
    @JamesMgimba 23 дня назад

    Mnajua sana

  • @bailesmjanja5149
    @bailesmjanja5149 Месяц назад +2

    mko vizur ila huwa mna2mia muda mwing sana

  • @Lauchengsanga
    @Lauchengsanga Месяц назад +8

    benroyal picture entertains good actors but all in all PETER MWASOMOLA na MODESTA KENNEDY all in all, benroyal pictures are producing a good movie, you have covered the mirror of the city of Mbeya

  • @SirKinyogoli
    @SirKinyogoli Месяц назад +40

    Wale tunaokimbilia ku comment kabla ya kuangalia tujuane hapa

  • @RamadhaniNsanya
    @RamadhaniNsanya Месяц назад +3

    Kazi nzuli

  • @SHANNYMUNDANDE
    @SHANNYMUNDANDE Месяц назад +1

    nawapata nikiwa kongo $

  • @VenerandaMwashiuya
    @VenerandaMwashiuya Месяц назад +1

    Mmejua kutufurahisha bhanaa