Fundisho lako Ni Zuri. Lakini Unachanganya Sana kingereza na kiswahili. Ni Utumie kiswahili Mwanzo Hadi Mwisho. Kwasababu Wanaokusikiliza Wengi Hawajui kingereza.
Kama umesikiliza kwa makin huu ujumbe yan @pastortonykapola aliona mbali sana hatimae Roboti kaingia Ikulu😂🤝🔥💔hapa tukazane kuomba Mungu atupe macho ya kuona mbele zaidi 🙌
Thank you for the blessings every morning
❤❤❤❤❤❤❤❤ Baba mtu wa maana kabisa Mungu akulinde we love you
Mungu Naomba nisaidie mimi Nimechelewa wapi mimi😭😭😭🙌🙌
Thank you i have learnt soo much from this sermons about witchcraft thank you more for this knowledge may God enlarge your territory
Fundisho lako Ni Zuri. Lakini Unachanganya Sana kingereza na kiswahili. Ni Utumie kiswahili Mwanzo Hadi Mwisho. Kwasababu Wanaokusikiliza Wengi Hawajui kingereza.
Nivema Utumie kiswahili Mwanzo Mwisho.
Kama umesikiliza kwa makin huu ujumbe yan @pastortonykapola aliona mbali sana hatimae Roboti kaingia Ikulu😂🤝🔥💔hapa tukazane kuomba Mungu atupe macho ya kuona mbele zaidi 🙌
Ameeen 🙏🙏,niko huru kwenye uchawi wao
Amen 🙏🙏