@@kevootibai2356 naomba huyu mwamba akistaafu aje yanga African kuwa kocha wa makipa kwa sababu technically he is better na yuko ver skilled in goal keeping.
Interview nzuri lakini bado kuna vingi ambavyo mngevigusia vya maisha binafsi kidogo na utani kama kwanini anapendelea kuvaa mlege, huwa anaongea nini na mabeki kwenye dressing room au uwanjani wakati wakishambuliwa, je wakifanya uzembe huwa reaction yake ni nn mana job aliwahi kusema jamaa mkali sana, swali kama ile bracelet alovaa, golikipa gani mwingine anamkubali nchini, mshambuliaji gani huwa anamsumbua, maisha binafsi kambini na wenzake, nk nk All in all ni kati ya interview nloisubiri sana Kudos Ushauri tu; Muwe mnaweka teasers before interview ili washabiki tuandae maswali yetu then kwenye interview kuna kua na segment ya MASWALI YA MASHABIKI 🫡
Diarra ! Diarra ! Diarra,asante sana kjn wetu,yaaaani umuhimu wako Yanga mfano hapana,endelea kuwapa elimu kipa wa timu nyingine hapa Tz na nchi nyingine waige ufanic wa kazi yako,BIG UP,unajua unajua unajua kweli !
Mwamba hyo kufika masaa3 kabla ya mechi una mengi sana moyoni ila Mungu ni mkubwa baada ya kukataa rushwa zao walizotaka kukupa ili ubaki Mali ukosekane daby basi wakaamua kukuwekea vikwazo vya safari lakin bado Mungu akazid kuwa mwema viongozi wetu wakategua mitego yao Mungu akaona haitoshi akatuzawadia na ushindi wananchi wenzangu tumshukuru sana Mungu hii daby ilikuwa na vikwazo vingi mno💚💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏
Hakika mwenyezi Mungu azidi kumjaza nguvu, akili ifanyayo kaza ipasavyo na afya njema ili uzidi kuitumikia yanga na kutimiza kusudi lako uliloumbiwa hapa duniani
😅😅😂kumbe na sisi tunaimbaga utumbo kwa lugha tusiyoijua ijua kama Diarra ety TEKIANENI PESA nakupenda Sana mdaka mishale wetu mm game ambayo sitoisahau kwako Ile ya Algeria sikumbuki uliokoa penaty ya wapinzani na mwingine akashuti ukaokoa saves mbili kwa mkupuo 🎉🎉🎉🎉
Siku atakayoondoka Diarra pale Yanga nadhani kuna watu tutaugua ugonjwa usiojulikana. Kama ni pesa mseme mapema tuchange nchi nzima. Hatukubali atoke mpka azeeke mamae
Dah! Umewaza sana mtu wangu huu Mwamba kashakaa kwenye mioyo yetu kuondoka kwake itakuwa pigo kubwa sana, Mungu ajaalie tuendelee kuwa nae kwa muda mrefu
Diarra wewe ni Kiongozi na mwalimu wa makipa hapa Nchini. Kama ulikuwa unatabasamu pindi unaangalia hii interview gonga like hapa
Acha tu, binafsi nimefurahi sana maana nlikuwa sijawah kuona huyu jamaa akiongea.
Hongera sana Diara ww ni mwanzo mwisho
Na Mungu amlinde na kila baya
@@kevootibai2356 naomba huyu mwamba akistaafu aje yanga African kuwa kocha wa makipa kwa sababu technically he is better na yuko ver skilled in goal keeping.
@@HassaniUlenge-j5j❤❤❤❤
Jamaa anaonekana mpole sana. Mungu azidi kumbariki Djigui Diarra 🙏
Uwanjan anakuwa Mnyama mwingine kabisa
Amina
Kipa Bora namba moja African mungu akulinde mwamba tunakupenda wanayanga
Interview nzuri lakini bado kuna vingi ambavyo mngevigusia vya maisha binafsi kidogo na utani kama kwanini anapendelea kuvaa mlege, huwa anaongea nini na mabeki kwenye dressing room au uwanjani wakati wakishambuliwa, je wakifanya uzembe huwa reaction yake ni nn mana job aliwahi kusema jamaa mkali sana, swali kama ile bracelet alovaa, golikipa gani mwingine anamkubali nchini, mshambuliaji gani huwa anamsumbua, maisha binafsi kambini na wenzake, nk nk
All in all ni kati ya interview nloisubiri sana
Kudos
Ushauri tu;
Muwe mnaweka teasers before interview ili washabiki tuandae maswali yetu then kwenye interview kuna kua na segment ya MASWALI YA MASHABIKI
🫡
Umemaliza kila kitu 👍
comment nzur saaana
Yaani umeongea vema sana nadhani watafanyia kazi wakati mwingine
daa nimekukubali sana mzee upo vizuri haswa
Akili mtu wangu 👏👏
Screen Protector Wa Wananchi Ishi Xana Jangwani Mwamba Nakubali Xana💚💛💚💛💚💛💚💯🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimefurahi kuangalia hii video.Very calm goolie and smiling every time
Digul Diarra = Goal keeper + full package defender + leader
Eng Hersi akampandisha Business Class kabisa. Hivi ndivyo wachezaji hutunzwa na kupandishwa morali.
Much blessings Diarra from USA. EVERY ONE LOVES YOU AND BELIEVES YOU AND ALL PLAYERS AND TECHNICAL BENCH. ENDELEA KUPAMBANA FOR THE TEAM. 🎉🎉🎉❤🎉
Noela wasalimie huko🎉
Diarra ! Diarra ! Diarra,asante sana kjn wetu,yaaaani umuhimu wako Yanga mfano hapana,endelea kuwapa elimu kipa wa timu nyingine hapa Tz na nchi nyingine waige ufanic wa kazi yako,BIG UP,unajua unajua unajua kweli !
THE TOP GOALKEEPER IN AFRICA DJIGUI DIARA ( SCREEN PROTECTOR)
Naipenda sana yanga💚💚 napenda wachezaj wote lakin ukwel uwanjan nampenda san Diarra anavojituna na passion ya team nzima💚💚
Aisee nimerudiarudia imefika ata mara kumi nimempenda sana huyu kaka alitusaidia mno kutokutungwa mungu akitunze👌💛💚✅🤗💛🙏
FURAHA ULIYONAYO HADI UMECHAPIA HAHAHHAHAHHA
J'ai aimé la conversation entre Alwatwan et jigui Diarra
Mtu angeniona ninavotabasamu utadhani mimi ndo nahojiwa😂😂😂much❤ Diarra
Exclusive bora sana kuwahi kutokea. Nimekata kiu! Kweli Diarra katika ubora wake. Hongereni sana.
Greatest work from our Media Department.....Young Africans Club is the top Club and Club above all😮😮😮
Jamaa anasifia wenzake sana angekuwa mwengine hangesifia ubora wa mabeki wake
❤❤❤wallahi huyu kaka nampenda saana saana aisee Allah hafeez you diarra
Uwe na maisha malefi brother tunakpenda xana na tunakuamini mungu asaidie tufike nusu final au final kabisa AMINA
Amen
Mwamba hyo kufika masaa3 kabla ya mechi una mengi sana moyoni ila Mungu ni mkubwa baada ya kukataa rushwa zao walizotaka kukupa ili ubaki Mali ukosekane daby basi wakaamua kukuwekea vikwazo vya safari lakin bado Mungu akazid kuwa mwema viongozi wetu wakategua mitego yao Mungu akaona haitoshi akatuzawadia na ushindi wananchi wenzangu tumshukuru sana Mungu hii daby ilikuwa na vikwazo vingi mno💚💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏
@@NeemaAkyoo-s4sDiara ameajiriwa yanga lakini pia anaipenda yanga
@@TatuCharles-f5m sana yani hapo angekuwa na tamaa ya pesa angepokea kibunda chake atie mfukoni alf aseme ana matatizo ya kifamilia😂😂😂😂
Hakika mwenyezi Mungu azidi kumjaza nguvu, akili ifanyayo kaza ipasavyo na afya njema ili uzidi kuitumikia yanga na kutimiza kusudi lako uliloumbiwa hapa duniani
GOD Is good all the time and all the time GOD is good congratulations Diara good work all the best be blessed shalom
Mimi sijaangalia kwa Kiswahili icho kifaransa nimepita nacho kama kilivyo😊😂😂😂
diarra💪💪💚💛💚💛🔥🔥🔥kwanza hunaga mambo ya kiki kaka
kwakwel yanga tunakipa mzuri sana jmn sana..kwanz hakubal kufungwa anajituma mno nakuombeasana bro ang MUNGU azid kukuinua👏👏👏
Hongera sana kijana Allah azidi kukulinda na shari zote na husda
More ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Live For Young Africans Mashabiki Tunakupenda sana
Leo nimegundua eng. Hersi is a master mind na tuta mkumbuka wallah
Diarra wangu mimi sina lakusema zaidi namwombea afya njema siku zote nampenda sanaa jiggui diara ❤❤❤
Pamoja saana DJIGUI DIARRA Much Respect 🔥✨💯💚💛🧡😊
Nimeifurahia Sana hii exclusive imenibariki mnoo nimetabasamuu mpaka mwisho nampenda Sana diaraaaa
Diara una sauti nzuri ya kuimba. Hongera kaka yetu Mungu azidi kukupigania.
Diara tunaye na tunatamba naye 😅🎉
Mungu akupe maisha marefu yenye afya na uzima screen protector sisi wananchi tunakupenda sana💛💚💛💚💛💚💛
Sanamu lako lijengwe pale Jangwani Djigui Diarra kipa bora kuwahi kumshuhudia 💚💛🖤🔥🔥
Smart man ❤❤❤may Almighty God protect you always for us
Asa diarra chapati na kuku unakulaje enewei nakupenda mwaya😊😂😂😂😂😂🎉
Si Supu jamani na chapati😂😂
Vinalika 😂😂😂 mi mbona napenda chapati na dagaaaa😅
@@LilianBitwale😂😂😂 usiku mwema
@@VIPSwahilimchuzi roast wa kuku na chapati umewahi? Tamu sana
@@LilianBitwale😂😂😂😂😂
Wewe ndiye kipa unayetufanya tuwe na furaha pamoja na wenzako! Asanteee sana kipa wa mpira Diara. MUNGU azidi kukulinda!
Djigui I love you so much❤❤❤❤
My God bless you bother as dar es salaam young Africa we you so so much moreeee💚💛💚💛
You have been successful support tz in different angles your a good goal keeper
Hii interview itaishi milele kwetu sisi mashabiki waYanga
Mashallah Allah akuondoshee hasda wewe kipa bwana tunakupenda 💚💚
Safi sana.Hongera sana Diara kwa maelezo mazuri.Yanga mbele daima.
Diara nakupenda Sana uko comfortable ndani ya uwanja na njee pia💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚
The best goalie 💪💪
Unainjoi kumwona uwanjani 🙌
May Allah bless you our best goal keeper.
Spring protector mwenyewe miaka mingi yanga 💚💚💚💚
ni screen dear sio spring nadhani izo spring unazosemea ni za mgongo
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Asante sana Mdaka Mabomu (maana kwenye Mishale umeshavuka)
our very own diarra 🔰💛💚🖤
MUNGU akupe maisha marefu djigui 😊
Mungu akuweke lshallha akulinde na shari zao nakhasadi zoa bado mungu yuko pamoja nawewe Amina 🙏
😅😅😂kumbe na sisi tunaimbaga utumbo kwa lugha tusiyoijua ijua kama Diarra ety TEKIANENI PESA nakupenda Sana mdaka mishale wetu mm game ambayo sitoisahau kwako Ile ya Algeria sikumbuki uliokoa penaty ya wapinzani na mwingine akashuti ukaokoa saves mbili kwa mkupuo 🎉🎉🎉🎉
Thank you diara❤❤❤❤
Courage vraiment Mon mailler🎉🎉
Merci bcp Diarra we are proud of you
Safi sanaa screen protector.. wananchi wanakuaminia❤❤
Diara oyeeee🎉🎉🎉🙌🙌💛💛💚💚
Wakwanzaaaaa🎉
We love you Digui diara 🥂🙏
Diarra MashaAllah ni kijana mpole mwenye nidhamu mungu aendelee kukulinda 🙏
Diara our Top Top goal keeper
Djigui Diara aka screen protector 🎉🎉🎉
Wanayanga wanakupenda sana mungu abariki kazi ya mikono yako my brother
We love you Diarra❤
Gonga like kama una mkubali diarra
Diara hakika ni goalkeeper bora sana
Waoooo nimeipenda😍 Yanga bigwa💚🔰
Diarra akija kuweza kiswahili 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Mungu akulinde maombi yetu yot Yako juu Yako mwamba uyooo
Diara wetu tunakupenda sana🎉
I like this guy Diara Diara, our screen protector
Hauna deni na sisi Diara! Ahsante sanaaaaa
Kipa Bora wa msimu 23/24 kuanzia ligi kuu adi klabu bingwa❤❤❤❤❤❤
He was born ta save YANGA ❤❤❤❤❤❤
Mungu akulinde Diarra tunakupenda
Kazi nzuri sana diara 💛💛🖤💚💚
Safi sana unajuwa mpira 🎉🎉🎉🎉🎉
Safi sana kipa anaonekana ni mwadilifu kwa kiasi anapenda timu nzima ipate pongezi inayostahili
God bless you Diarra👍💛💚💛💚
Big talent djigui diarra
Jamani kumbe anajua adi kiswahili nampenda sana uyu diara
Mwenyekiti wa magolikipa nchini Tanzania🤝🤝🤝
Felicitation Diarra Ben oma un fan de yanga 2puis les iles comores on est derriere vous les joueurs de yanga.
Hongera kwako pia kwa kuwa mshabiki wa young africans
Hongera kwa kaz nzuri ndn ya uwanja♥️
Jamaa anajibu vizuri
My best Golie to watch
Je confirme, je suis Malienne et je suis tout les match des yanga auquel Djigui participe.
The king 👑 himself 💛💚💛
Very nice interview.
Siku atakayoondoka Diarra pale Yanga nadhani kuna watu tutaugua ugonjwa usiojulikana. Kama ni pesa mseme mapema tuchange nchi nzima. Hatukubali atoke mpka azeeke mamae
Dah! Umewaza sana mtu wangu huu Mwamba kashakaa kwenye mioyo yetu kuondoka kwake itakuwa pigo kubwa sana, Mungu ajaalie tuendelee kuwa nae kwa muda mrefu
❤❤❤❤ mungu akubarik kaka diara
Nchi nyingine mnatakiwa kuiba mbegu za watu wenye vipaji, waache watoto hapa,,tupate talents
Screen Protector 🔥🔥🔥🔥🔥
Hivi kumbe Wengi tulisubili kuskiliza hii kitu?Tulipie kadi zetu tuendelee kuinjoy💚🧡💛👏👏👏
diarra wananchiiiiiiii twakupenda sana
Fantastic save, Fantastic intervie
bro unajua big up💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Jmn diara ww kwangu ndio kipa bora .nakuombea kwa mngu akupe maisha marefu
Young Africans on the fire 🔥