CHECHE ZA PRIVALDINHO KUHUSU MC ALGER | NINI KITATUPELEKA ROBO FAINALI?/MSIKIE HAPA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 24

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 12 часов назад +9

    Kila la kheri inshaallah gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah 💛💛💚💚

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi 11 часов назад +3

    Hakika mwenyezi mungu aendeleee kutubariki sana hiyo jumamosi tupate ushindi mnono katika jina la yesu amen

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 5 часов назад +1

    Allaah Akbar

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 9 часов назад +1

    Mungu ibariki yanga baba zd waarabu inshallah tutashinda daima mbele nyuma mwiko

  • @hafia.056
    @hafia.056 4 часа назад

    The biggest club in Africans is Giant CLUB Giant Youngs Africans kitu vitamins kitu Tamu Tamu Tamu kwa watuu wooote in the Africans continent. Looks we have one Billions supporters allover the world 🌎 yes yes yes it's definitely. Thank you very much all God bless our country Team Giant CLUB oyeee oyeee oyeee sugar sugar good stuff mungu tunakuomba utupeleke further and further. YELLOW AND GREEN vipi apo swaffy swaffy swaffy kwa soote asante sana mama nababa and all Youngs

  • @Omary-n6b
    @Omary-n6b 8 часов назад +1

    Inshaa-Allah

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 12 часов назад +5

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @swaijeremia
    @swaijeremia 12 часов назад +4

    Jamni ni Mungu tuu kumuomba kwa sana sana nikusugua Magoti sanaaa

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 11 часов назад

      Amina Mungu wetu ni mwema tusichoke kumuomba atatufanikishia hitaji letu la kutinga robo fainali

  • @DickinsonNasibu
    @DickinsonNasibu 12 часов назад +2

    DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

  • @christopherwami2006
    @christopherwami2006 11 часов назад +9

    Hii mechi sio yakutangaza watu wanaotoka dodoma kuja uwanjani ni wengi na wanaweza fika robo nzima bado mikoa mingingine kabla ya ijumaa tket zitakuwa zimeishaa

    • @richardpembe606
      @richardpembe606 11 часов назад +3

      Mje kweli maana watu wanaongeaga afu uwanjani hawaji inabore sana

  • @NassoroMeshack
    @NassoroMeshack 11 часов назад +1

    Mwenyez mungu atusimamie tupate ushindi kwenye mechi ya jumamos saa 10 kamil jion

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 12 часов назад +4

    Yanga nitimu bora inafika kila kona Tunaomba wajisajiri wawe wanachama hai Daimambelele nyuma mwiko

  • @zuhuraabdulrahman1515
    @zuhuraabdulrahman1515 8 часов назад +1

    Jmos iwe ya Baraka kwetu wananch

  • @adozenaziz8362
    @adozenaziz8362 3 часа назад

    Tunisia vs monastir, Kongo, Nigeria rivers, south vs malumo, ongezea wako

  • @SuzannaSiomi
    @SuzannaSiomi 9 часов назад +1

    Hvi god yanga anafanya kaz gani

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 7 часов назад

      Hana kazi ila Yanga imewapa fursa ya kujulikana anafanya bihashara

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 10 часов назад +1

    Tatizo la yanga unanunua tiketi ukienda uwanjani unaambiwa uwanja umejaa na mwisho wa siku unapigwa mabomu unapigwa virungu na ticket unayo mfukoni kwakweli nikikumbuka ile final mc alg nusu nife sina hamu acha niangalie tu kwenye TV

  • @venancemsigwa-qs4ri
    @venancemsigwa-qs4ri 8 часов назад +1

    Pia yanga ndiyo timu inayo shikilia rekodi ya kufungwa goli nyingi na raja kwenye makundi

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 3 часа назад

      Wewe kolokwinyo hizo ni takwimu za zama za mawe za mwanzo ambazo zimeshaoza...hapa panazungumziwa fresh and recent statistics...ondoa upuuzi wako hapa

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 11 часов назад +2

    Ila god yanga alivyosikitika 😂😂😂😂😂😂

  • @Omary-n6b
    @Omary-n6b 8 часов назад +1

    Inshaa-Allah