Nataka Kufanana Na yesu | Bahati Bukuku | Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 1 тыс.

  • @espoirpaul376
    @espoirpaul376 2 месяца назад +7

    2024 tuko hapa na tunaipenda sana god bless bukuku❤🙌

  • @carenafandi6901
    @carenafandi6901 4 года назад +4

    Barikiwa bahati,ujumbe mtamu

  • @ThomasMsanzu-yr3ts
    @ThomasMsanzu-yr3ts 5 месяцев назад +4

    Be blessed mum..am blessed with this song from Kenya

  • @nasselianmwende
    @nasselianmwende 2 месяца назад +2

    Nataka kufanana na wewe yesu 🙇🏽‍♂️😭😭🙏🏽

  • @alvinroyal7127
    @alvinroyal7127 4 года назад +17

    Yesu naomba kufanana na wewe katika maisha yangu yote,🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nestorygilbert6170
    @nestorygilbert6170 2 года назад +2

    Mama unaimba vizuri sana shida hayo mapambo ya bandia mwilini yanaweza kukuharibia mwisho wako fatilia shuhuda za mafunuo ya Kuhusu madhara ya kujipamba dunian Mbinguni hakuna nafasi PROMOVER TV ni hatari hii

  • @TABBYHEAVEN-kg1qo
    @TABBYHEAVEN-kg1qo Год назад +6

    2023 still listening to the song every morning i wake up❤Be blessed Bahati mama yetu❤

  • @mariamkahebwa5132
    @mariamkahebwa5132 6 месяцев назад +1

    Amen amen 🙏 🙏🙏
    Napenda hii wimbo sana ubarikiwesana dda Bahati bukuku ❤❤

  • @jacksonmwale5773
    @jacksonmwale5773 2 года назад +4

    I don't have much to comment, but God bless you bahati😭😭😭❤🙏

  • @johnmwangi4162
    @johnmwangi4162 11 дней назад

    It was 6yrs when i had nothing staying in a family friend,who helped me...
    Staying in, food,work i wished to have money to help my family...
    Once meal in a day or i go to the neighbour look anything to eat, Indeed God is faithful,if there is future in you he shapes you, sharpen you... today am a testimony 😢😢 with what i have.

  • @iam_pheeb2588
    @iam_pheeb2588 5 лет назад +7

    Natakaka kufanana na yesu... June 2019... Hit the like button if yo here with me... Am highly blessed...

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 7 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭 machungu yangu yote ipo siku Kwa jipi ww mungu nitapona mapito yangu Asante sana mama wa iman

  • @eveassey5162
    @eveassey5162 3 года назад +41

    Basi Sasa na nyoosha mikono yangu, juu juu zaidi nimesalenda kwa yesu! kuanzia Sasa, Mimi ni kiumbe mpya, nataka nifanane naye kristo, Kama unampenda yesu like zenu

  • @kezajeannettemisago8694
    @kezajeannettemisago8694 7 лет назад +35

    Mungu azidi kukutumia uzidi kutujenga myoyo dada yetu ! Hakuna mtu mwenye angeliweza zaidi ya huyu yesu mwenye upendo wa kweli asifiwe siku zote 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @grasousswaleh1595
    @grasousswaleh1595 9 месяцев назад +37

    Tunao watch in 2024 tukiwa bado tu hai ur like pls

  • @KissaMulimbya
    @KissaMulimbya 5 месяцев назад +4

    Napenda piya niwe kama yesu ni mufanane ooooo

  • @chefjaji4225
    @chefjaji4225 4 года назад +12

    Amen, nataka nifanane na Yesu. Hili ndo tamanio la moyo wangu. Love you Bukuku ..... From 254

    • @jacklinemmasy9116
      @jacklinemmasy9116 4 года назад +1

      jamani mungu akuinue maana unajumbe mzr sana mama

  • @JoyoceEbolo
    @JoyoceEbolo 5 месяцев назад +1

    Napenda sauti yako bahati mungu akupe Sikh nyingi zakuhinshi

  • @lasleysavai3988
    @lasleysavai3988 3 месяца назад +3

    My favourite song of all time😊

  • @JovithaBuberwa
    @JovithaBuberwa 2 месяца назад +1

    Yesu nataka kufanana na wewe nakupenda sanaaaaa

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 года назад +15

    Mungu akupatie yote sawa na haja no moyo wako Bahati Bukuku! I am literally crying listening to this! Kyala gwamaka akupale!

  • @cilajisaloom8215
    @cilajisaloom8215 4 года назад +1

    Dada yangu bukuku nakupenda sana Dada yangu hata Mimi natamani sana nifanane na we we

  • @agnetaperice3222
    @agnetaperice3222 2 года назад +5

    Thank you very much Bukuku am blessed with this ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hgkf694
    @hgkf694 2 года назад +1

    Nyimbo nzuli Sana inanitiya fulaha Mwoyoni Mwangu ongera Sana maman

  • @siwemamsesa520
    @siwemamsesa520 2 года назад +3

    Nazipenda sana nyimbo zako Dada yangu, maana zina ujumbe mzuri sana! Mungu akubariki sana!

  • @nissispuppies5990
    @nissispuppies5990 5 лет назад +2

    Nataka nifanane na yesu.... be blessed bahati

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina Год назад +3

    Bukuku Bukuku Bukuku Kenya tunakupenda❤❤❤❤

  • @shedrackbabo31
    @shedrackbabo31 3 года назад +1

    na kweli kuna watu hawapenendi mambo ya Mungu coz kwa comments za waimbaji wa gospel ni kidogo Sana

  • @alhala3736
    @alhala3736 5 лет назад +3

    Realy am a muslim but to ur songs dear mama,am done.
    We hujaletwa dunian na kipaji ila ni baraka na noor, un pasua mapigo ya moyo xn kwa ujumbe zako zenye mifano tosha ktk dunia ya leo
    RESPECT sana BAHAT BUKUKU mrs.kidimpoz I LOVE U mwaaaahhh

    • @christinemukami3494
      @christinemukami3494 3 года назад

      Mm nataka kufanana na yesu maisha yangu yote pia na watoto na marafiki wangu wote

  • @marybaitwa5994
    @marybaitwa5994 3 года назад +1

    Nakupenda kwanyimbo zako Mungu azidi kukupigania maana yeye ndiye mtetezi wako

  • @princessdiana4589
    @princessdiana4589 Год назад +15

    No one is talking about how beautiful bukuku is,I love her voice ❤️

  • @reginaaminga9502
    @reginaaminga9502 3 года назад +1

    Akika nifanane nawe yeah,barikiwa mama

  • @freddysoko5058
    @freddysoko5058 5 лет назад +4

    Ila wewe mama mungu akulinde maana tunapolia unatutia nguvu kwa nyimbo zako yaonyesha wazi Wote twapitia magumu Asante namshilikisua na anti yangu jenifa corombani mwingira songea ameni

  • @ipetert5372
    @ipetert5372 8 часов назад

    God bless you Bahati B!!!

  • @johnmwanawaasafu8573
    @johnmwanawaasafu8573 5 лет назад +4

    Good song
    Wakat wengne wakitamani kufanana wa watu fulani
    Bahati anatamani afanane na YESU

  • @DoricaMukhwana
    @DoricaMukhwana Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ blessed muuuuuuuuum nakupenda sanaaaaaa though you song I'm rich kwa Iman ya bwanaaa

  • @reginaachola9077
    @reginaachola9077 4 года назад +5

    Unapendwa mommy,sauti pekee yake imeweza,I love your songs

    • @freddyfredricks3435
      @freddyfredricks3435 4 года назад

      Inaitwa golden voice 😋😋😋. Her voice is too sweet to listen to.

  • @catherinewangumimi6288
    @catherinewangumimi6288 6 лет назад +2

    uko vizuri Dada yangu nakupenda bule Mungu akutie nguvu

  • @marryjoseph4304
    @marryjoseph4304 5 лет назад +19

    Yesuuuuuu! unakumbuka ulikonitoa ni nani angevumilia makosa yangu Amina kubwa sana

  • @agnespool2301
    @agnespool2301 3 года назад +1

    Inyimbo Kali sana aiwezi kutoka kwenye uborawake hatasiku1

  • @FlorenceNashipae
    @FlorenceNashipae 3 года назад +10

    I just got myself crying.😭😭😭😭😭😭Oh God continue loving me the same way. Nataka kufanana nawe yesu😭😭😭

  • @julianalivitsa5971
    @julianalivitsa5971 4 года назад +1

    Napenda huu wimbo sana naweza usikiliza siku nzima wimbo huu unaniguza sana mama bahati bukuku hongera ninusikiliza ni kiwa kenya

  • @zainabmhoka1778
    @zainabmhoka1778 4 года назад +3

    Blessed sister naupenda san huu wimbo nabarikiwa kila nkiusikia nasjawah kuuzoea kwang kila sku ni mpya unafanya mabadiliko kweny maisha yang

  • @EMERYMAYANGA
    @EMERYMAYANGA 2 месяца назад

    Poleni,sana kwaku fisha mama.

  • @oliviamoraa1616
    @oliviamoraa1616 5 лет назад +4

    Kweli mum nataka kufanana na yesu i love you so much from kenya lovely song

  • @bonymumo3745
    @bonymumo3745 Месяц назад +1

    Still listening this one of the best top music in the whole world

  • @elizamakuza8838
    @elizamakuza8838 6 лет назад +5

    Namimi Leo nimekuja nifanane nawew YESU.... Barikiwaaa Sana mtumishi Kwa ujumbe mzuri

  • @emmayohana4974
    @emmayohana4974 Год назад +1

    Mungu akupemaisha malefusana naafyatelee🙏🏽

  • @joycesolomon5648
    @joycesolomon5648 5 лет назад +4

    Hongera Dada yangu nafurahi sana kusikiliza nyimbo zako

  • @LeahSimiyu-eg3yb
    @LeahSimiyu-eg3yb 15 дней назад

    Halleluyah halleluyah halleluyah praise to Most High Yahweh Elohim Yeshua Amasiach

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 лет назад +208

    Anaependa Sauti na uimbaj wa Bahati gonga like hapa tangu 2009 huko watu tume. Now 2019 hakika Mungu ni mwema

  • @EMERYMAYANGA
    @EMERYMAYANGA 2 месяца назад +1

    Napenda kufanana naye yesu❤ 3:38

  • @joachimhenry7397
    @joachimhenry7397 8 лет назад +6

    Hakika nimeguswa na huu wimbo ubarikiwe sana mtumishi wa Mngu na ninakupenda sana.

  • @rehemasospeter3914
    @rehemasospeter3914 5 лет назад +6

    mungu akubaliki sana dada nyimbo zako ni nzur zinanigusa sana nakupenda sana

  • @benignebukeyeneza9543
    @benignebukeyeneza9543 6 лет назад +1

    Nyimbu nzuri Sana. Ombi langu na mi nataka nifanane na Yesu!!

  • @dianamsanguka7383
    @dianamsanguka7383 7 лет назад +5

    Nakupenda Dada bahati nataka kufanana nayesu kweli Mungu akubariki

  • @falesbanda7520
    @falesbanda7520 Год назад +1

    Chukulani mama Mungu adhidi kukusaidia nimeufulahia wimbo huyu ansate sana

  • @peterkioko6816
    @peterkioko6816 6 лет назад +3

    Bwana Yesu nakusihi tafadhali nifanane Nawe Bwana Wangu na Mkombozi ...Nibadilishe nikufanane Bwana Yesu.

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 года назад +2

    Mungu nisaidie nikufanane maishani mwangu. Huu wimbo unanitia moyo.

  • @ceciliaceciliamuro3209
    @ceciliaceciliamuro3209 3 года назад +2

    Wimbo mzuri sana dada yangu mungu akubaliki sana 🥰

  • @theresiakagube707
    @theresiakagube707 7 лет назад +2

    wimbo huu unanikumbusha upendo wa Yesu kwangu naupenda sana barikiwa Dada Bahati

  • @suzannenibitanga1471
    @suzannenibitanga1471 4 года назад +13

    Nakupenga sana napenda nyimbo zako unanibaliki sana mungakongezeye mazuta

    • @evodiaphilo976
      @evodiaphilo976 4 года назад

      Hata nam nataman kufanana ya yesu wa Nazareth

  • @annapeter4942
    @annapeter4942 4 года назад

    Nakupenda sana dada Bahati Bukuku. Nasubiri nyimbo mpya

  • @zighemargaret
    @zighemargaret 7 лет назад +10

    Nice and lovely organized song. Beautiful indeed. Congratulation mamah i've love ❤️ it. Nataka kufana na Yesu nami pia.

  • @bernarddaud3174
    @bernarddaud3174 3 года назад

    Mungu akubaliki sana good song

  • @juvenalbarengayabo7220
    @juvenalbarengayabo7220 3 года назад +12

    Saw voix adoratrice,la voix douce, me conduit à la saintétè. Que Dieu let Tout Puissant te dirige dans tes sainte rèves Ma soeur Bahati.

  • @willykanchebon
    @willykanchebon Год назад +1

    Napenda nyimbo zako,unituliza roho kazi nzuri mammy

  • @loinessmbago1803
    @loinessmbago1803 7 лет назад +11

    nabarikiwa sana na dada Bahati kwa kipaji chako,,stay blessed and prospered in your daily life

  • @kelvinmnsh9166
    @kelvinmnsh9166 2 года назад +1

    Mungu akuinue saindi kwa kunifunzA .mengi na wiimbayi wako mamu

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 5 лет назад +4

    Ujumbe mzuri,
    Nilipenda zaidi rangi yako ya asili.

  • @alinanigoodwell9390
    @alinanigoodwell9390 Год назад

    Ubarikiwe Sana Sana dada bahati napenda Sana nyimbo zako tangu nikiwa mdogo laiti ningekutana nawewe ningekusimulia mengi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😍❤️

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 года назад +50

    Kenya 🇰🇪 mko wapi gonga like ☑️

  • @JudySophy55-kb8km
    @JudySophy55-kb8km Год назад +1

    I love this woman com back with new songs 🙏🇰🇪🇰🇪

  • @akkm2472
    @akkm2472 7 лет назад +3

    wanandowa kufanana kunatokana na upendo walio nawo moja kwamwengine.
    Ubarikiwe kwa Mafundisho

  • @marryjoseph4304
    @marryjoseph4304 5 лет назад

    Amina mtumishi ni bora kufanana na Yesu sio wanadamu unanibariki sana

  • @demuretv-10
    @demuretv-10 6 лет назад +32

    I might not understand Swahili fully but about Worship songs heey i feel a vibe in my spirit.This song has a depth in its meaning

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 2 года назад

    kwa kweli nataka kufanana na mwokozi wangu YESU .kwa duniya hiyi inayo ja vita,udanganyifu wa muovu tusipo kusogereya vizuli hatutatobowa nisaidiye nifanane na wewe ili ni vuke BABA nacoka mutoto wako .nipe kufanana na wewe Baba😞😞😞 🙌🙌🙌18.05.2022

  • @jacobmasunga6751
    @jacobmasunga6751 8 лет назад +6

    Alichokipa Mungu Moyoni mwako ,nakizid kuzaa matunda.

  • @sabinamaokola3094
    @sabinamaokola3094 Год назад

    wimbo ni mzuri sana annointed🔥😊 nataka kufanana na Yesu 🙌

  • @agnecsylvester7030
    @agnecsylvester7030 2 года назад +5

    The song that carry a big memory in my life. 🙏🏽 much respect to bahat bukuku

  • @MaryShaks-js5vg
    @MaryShaks-js5vg 11 месяцев назад +1

    I really love your songs my da,keep up and may God bless you in advance

  • @emmafidelfidel9344
    @emmafidelfidel9344 8 лет назад +10

    Be blessed nyimbo zako huniguza kila wakati...nazipenda sana.

  • @aloycemhangwa4549
    @aloycemhangwa4549 4 года назад

    Mungu azid kukujalia afya njema Dada etu uzid kutukumbusha uwepo Wa mng

  • @jessylyne2712
    @jessylyne2712 Год назад +4

    Hope to Bear a resemblance with Christ in every action thought and deed in Jesus name.

  • @nicknzyukomutunga5670
    @nicknzyukomutunga5670 7 лет назад +2

    ni kweli nataka kufanana na yesu,barikiwa xana bahati bukuku kwa nyimbo zako nzuri

  • @innocentmbunda736
    @innocentmbunda736 2 года назад +2

    I have to admit to have listening this song 1000 times but I hav not get enough of it.........

  • @christinejaji9271
    @christinejaji9271 4 года назад +1

    Kufanana na Yesu ni ombi langu. Mungu nisaidie niishi maisha yapuupendeza.Ahsante Mungu naomba unijalie uzima🙏

  • @thadeabachwaki6953
    @thadeabachwaki6953 8 лет назад +56

    nakupenda bahati bukuku, napenda nyimbo zako. nami pia natamani ni fanane na Yesu.

    • @frankndosy3844
      @frankndosy3844 6 лет назад +1

      Barikikiwa Sana bahati bukuku mungu akutie nguvu zaidi

    • @angeljuma1459
      @angeljuma1459 6 лет назад +1

      Thadea Bachwaki Nc

    • @kaizamsambwa5455
      @kaizamsambwa5455 5 лет назад +1

      Egracia mkunda napenda sana nyimbo zako bahati bukuku kwasababu zinanifariji mungu akubarik

    • @roselameck9042
      @roselameck9042 5 лет назад

      Napenda sana nyimbo za bahati bukuku

    • @gabamenshimarcel33
      @gabamenshimarcel33 4 года назад +1

      Nataka kufanana Yesu ni kweli tuombe nguvu roho mtakatifu.

  • @KestaOmogi
    @KestaOmogi 2 дня назад

    This song requires a grammy.

  • @RehemaYassin-n8t
    @RehemaYassin-n8t 6 месяцев назад +41

    Who is here 2024❤❤❤

  • @lexlister1
    @lexlister1 8 месяцев назад

    Yrs really fly i remember watching dong while it was new now it's 7 yrs down the line ... 2024 April we greatful to God🙏🏽

  • @Gateri_Njoroge
    @Gateri_Njoroge 3 года назад +11

    Sijui how/why this song has been ringing in my mind for the last 36hrs. .
    My phone is dying, and this is the song I wanna listen to as it does.
    His love/grace/mercy is shown (most) in our weakness
    Back to the music

  • @saimonmsole5821
    @saimonmsole5821 7 лет назад +2

    Dada bahati unanibariki sana na nyimbo zako kiujumla nakupenda sana 'ubarikiwe

  • @sellahsimani7513
    @sellahsimani7513 Год назад +30

    Ill never get tired of this song,,,2023 but still on repeat mode🥰🥰 I love this song why lie🙏

    • @dorineedward4187
      @dorineedward4187 Год назад +2

      Even my self i like much this song❣️❣️❣️❣️❣️

    • @FlossyNkatha
      @FlossyNkatha Год назад

      Am on it right now

    • @JeannotIlunga-ui4ji
      @JeannotIlunga-ui4ji Год назад

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @YvesNiyukuri
      @YvesNiyukuri 3 месяца назад

      @@dorineedward4187 abYwbchdjxh

  • @melvinkanaiza1935
    @melvinkanaiza1935 Год назад

    Am really blessed huyu mungu siku zote ni mwema😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @pharineajema2034
    @pharineajema2034 6 лет назад +11

    This women blesses me a lot with her songs. I thank God for you Bahati Bukuku may God keep enlarging your territory.

  • @AndrewMadu-o8t
    @AndrewMadu-o8t 2 месяца назад

    What a wonderful rendition! How I wish it was subtitled in English. Please do remember your lovers like my humble self when packaging Heavenly Message like this and behold, GOD will reward you amazingly for so doing. Remain blessed Angel of Peace and Good Tidings in JESUS Name. Amen 🙏 🙏 🙏.

  • @saidiabdallah4781
    @saidiabdallah4781 6 лет назад +10

    Asate mama etu kwa nyimbo nzuri uko vizuri sana

  • @constancioantonioaugusto6443
    @constancioantonioaugusto6443 2 года назад

    Bahati my best good nice music my sister bahati bukuku🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @hasanikafuku6262
    @hasanikafuku6262 8 лет назад +5

    hongera sana Bahati Bukuku, nyimbo zako ni nzuri nza zinaburudisha na kufundisha piah, nazipenda sana