asanteni sana kwa kazi nzuri muifanyayo , pia mwambieni Loveness kuwa nimuigizaji mzuri tena mwenye kipaji cha Hali ya juu , naitwa Alfred maganga from usa California
Woooow ♥️♥️♥️ God bless you all guys ❤️❤️❤️❤️ I love you kelvin 🫂 unajua kudekeza 👏👏napenda Sana movie zako 🎉🎉 mpaka nasahauu KAZI ya waiguru 😂😂 so much I love you from 🇰🇪 Asante Kwa filam nzuri 🎉🌹🌹♥️💃😂😂
Nataman sanaa kukuonaa kunafikaa mbali nataman sanaa kuonaa ndonta tv inafanyaa kaz kubwaa ambazoo zitakutambulishaa kitaifaa na kimataifaa brother fanyaa kaz kubwaa
Kelvin na group yako amjaniangusha kwa movie zote mko wakali mtu akikosa kulike ni mchawi tu na mungu amshinde❤❤❤
Kabsaaaa tunawapenda mno
Unajuwa jaman
hata bhana like hizo apo
I like movies zenu saana
Kelvin pamoja na lovenes nawakubali sana keep it up ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Loveness unapendeza sana bila make up👌🏻👌🏻
Nah
Kelvin na mbinu za kutafta mke mwema sasa sijui apo umepata au vp kaz nzr sana inafundisha kwa jamii ❤
Mmh
Wow this guy is so great guys like back much love from Kenya😂❤
Mimi nime mupenda sana kelvin eko na mapenda ya muzuri sana❤❤❤
Ila kelvin akiwa na lovness na injoy sana hususan wakiigiza kama wapenz❤❤❤😂
Hata mm kwakwel
Inawezekana ikawa ni couple hiii huwezi jua wanaendana sana
Kabixa wanapndzana xana❤
Wee ukobkama mim jwel lavines wanapendezana
Pamoja
Jaman kelvn hii insitwaje❤❤ jamn kaz nzurii
Kazi nzuri sana nimeipenda anaejua hii nyimbo iliyoingiziwa kwenye igizo hili aniambie ni ya nani na inaitwaje nimeipenda
🙏🙏🙏❤❤❤Nawa tazama nikiwa Kenya good job God bless your work my brothers and sisters❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yes
Kelvin ww nakuaminia tuu, nmejua loveness hataweza kuruka,❤❤
🎉🎉🎉🎉 maua yenu shida inaishia patam
'' Baby njo tulale bana''..... THE END. 😂😂😂😂 Ndyo kashaenda uyo hahaha hahahhaaa 😂😂😂😂
kevin yupo vizuri kwa mahaba mashaallah wanaume wachache sana wanao juw kubembeleza mwanamke ❤love kazi nzuri
🤣🤣🤣🤣 angalia wako asion comment ako
Kuwa makin anaigiza uyo
Kelvin mtoto kuelewa mapigooo semaa basii😅😅😅 rudiaaa tenaaa na shamuuu lingine ❤❤❤❤❤❤
Lovemess na kevlvin nawapenda sana
Good work brother kelvin mungu akulinde nakaz yako lnshaallah
Kelvin na love mnafaana mna look cutex❤this
Kelvin nimzuli Sana hakuna atakae mkataa mm mwenyewe namtaman
😅😅😅😅
😂😂😂😂 ila anaendaba n'a laviness tena sana mwezangu mwambie agupe namba😂❤😂😂😂😂
Mh 😮
😂😂😂😂
Kwa kweli kelvin unafaa sana kuigwa na jamii maana wanaume wachache sana wapo kama ww
Big ups Kelvin 🎉🎉🎉❤❤❤much love from Kenya ❤️💕💖❤️💕
Ningetamani nikuone Kelvin unifunze mapenzi ya dhati Kelvin nakupaenda sana wewe na lonvress
Mbone unalambula mdomo wako sana Kelvin sababu umeona mwili ya lonvress ndo yako ya kwanza kuona hiyo mwili
Love you Kelvin with your team❤🎉
Nabenda sana❤
Mungu awazidishiye ndoto zenu kweli nawapenda sana mukiingiza pamoja
Nice movie nimependa sana film zako mpka nachanganyikiwa na job ya waiguru keep it up broo love❤❤❤❤❤❤❤
Wao sema mwanaume kujitetea kwa dem ,kujiuma ulimi but uko xw umenipendeza kwa ujasiri wako
Daah!! Ww mwamba unajua❤❤❤🎉🎉
Hizi kazi zote ni nzuri mumejitahidi sana MUNGU awasaidie kwa kazi zijazo
Yani mm n Donta tv sibandukii kabisa kelvin hongera sana pamoja n team yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 najifunza mengi kupitia filamu zako
Weeeee❤huyu Kelvin ni moto wa kuotea mbali🤣🤣🤣ujuzi na marifa unayo ya kutosha..keep going bro
Asante sana 🙌 😊
😅😅😅😅😅sasa kelvin anatakiwa apewee cheooo chake
unyama broo ume parform vzr tumpe maua yake gonga like km unamkubal kelvin
Duh kevi na lovenes nawapendaaaaaa muoane mkiachana na mambo ya move duh wao
Kevi mbake loveness hukohuko bafuni
❤❤😂
@@AnastaziaSebastian😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kelvin me nakukubal kwakwel piah na huy beautiful love
I'm loveness I'm Kelvin so just talk in English 😂😂😂Kelvin 😮😮😮
Waaaau kelvin wajuw kumbeleza aky ❤❤❤ great job ❤❤❤🎉🔥🔥🔥🔥
asanteni sana kwa kazi nzuri muifanyayo , pia mwambieni Loveness kuwa nimuigizaji mzuri tena mwenye kipaji cha Hali ya juu , naitwa Alfred maganga from usa California
Mnatengeneza epixodi Moja Moja mnatocheleweshea uondo
Love umejaaliwa jicho adi raha
Wanangu muendeleshe iyi movie play boy iko tamu sana hadi napagawa
Jmn mpo vzur mnoo, nawapend sana 🥰🥰🥰🥰
Woooow ♥️♥️♥️ God bless you all guys ❤️❤️❤️❤️ I love you kelvin 🫂 unajua kudekeza 👏👏napenda Sana movie zako 🎉🎉 mpaka nasahauu KAZI ya waiguru 😂😂 so much I love you from 🇰🇪 Asante Kwa filam nzuri 🎉🌹🌹♥️💃😂😂
hongera iko vzr sana ila sijapenda alipoingia bafuni haipendez ata kama alisahau sabuni angejiongeza mwenyewe
Good job 💚💚💚 dat pls baba kijacho part 2😳😳😳😳😳
Kesho mapema
@@Dontatv255 🙏🙏🙏
Musiarubu tumieni lugha ya taifa...kazi nzuri
Ama kweli akili ni nyele kila mtu anazake ukijua kuzitumia unafaidi. Loveness ameigia kwenye mtengo mwenyewe bila mvutano❤❤❤nakuaminia klvn😊😊
Filamu tamu sana. Ungeweka part 2 kelvin. Keep up broo good job. So entertaining.❤
Asante sana 🙌
Tuomba part 2 basi kaka kevln@Dontatv255
Yani keIvin mnatubulidisha san nakutuelemisha Asante kwakazi zenu nzuri man nainjoy San nikiwatazama 🎉
Babude🤣🤣mistari kashusha naye love kaingia na bonge la mahaba waao keep up guys ❤❤
Kevin uko sawa na team yako big up bro🎉🎉🎉🎉🎉
Mistari unazi baba,,keep going🎉👏👏
Kelvin una maneno mazurii ya kimahaba ❤❤❤❤
Kelvin uko single😂😂😂❤
Nimekukubali sana kelvin
Jamani mko vizuri xna mwatufurahisha hongera ❤❤❤
Asante sana
@@Dontatv255mwapendeza sana ❤
Kazi nzuri kelvin akili unayo keep moving forward brooo❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaka unakuja kas sana tena sanaa utapasua midia bro kila ukitoacho ni motooooooooo kaka ongela sanaa uko vizuli nipo sambamba naww
Kuna mda mnaboa , sisi tunaangalia n'a watoto , halafu nyinyi mnakula denda Kelvin n'a loveness sio vizuri ,mmenikeraaaa
Nataman sanaa kukuonaa kunafikaa mbali nataman sanaa kuonaa ndonta tv inafanyaa kaz kubwaa ambazoo zitakutambulishaa kitaifaa na kimataifaa brother fanyaa kaz kubwaa
Sawa asante sana
kelvin we ye na n'a loveness mupendane kabisa Mimi ni Drogba
❤❤❤❤❤❤wow napenda sana donda tv napia nitafurahi kuona ikiendelea vyema
Hongera kaka Mungu akubariki
Asante sana
mwanaume acha aitwe mwanaume mwamba huyu apaaaaaaa
Nimemkubal sana kelivin jmn❤❤❤🎉🎉🎉
Nawapenda sana team ya Kelvin love from jaja Burundi
Oooh Mungu hawabariki wote kelvin kwamafundisho makuubwa ya. Dada wakazi. Merci nawafata papa Congo.
Nataman love ungekua msanii wa mziki😊
Kanavutia hataree
Movie nzuri iendelee part 2❤❤❤loveness na kelvin muko talented 👌 👏 💖 😄 ❤ ♥ 👌
Asante sana
Baba unamoyo duuuh kwa mwanamke gan sasa mapoz kibao mijicho mikubwa ka yai
@@mobote-sj3mr jamanii
Wow wooow nmependa sana MUNGU azd kuwasaidia kwakweli
@@mobote-sj3mrwakwako mzuli yup wap
Nyie niwakali sanaaaa bro 💪💪💪💪💪
Asante sana
Kelvin kazi nzuri sana mungu akulinde na akupiganie utimize ndoto zako
Halafu hiyo nyimbo ni nzuri sana❤ nimetokea kuipenda
Asante sana 🙌
Ni ya nani hii nyimbo na inaitwaje mm mwenyew nimeipenda
Kelvenn nakubari sana move zako zonte @@Dontatv255
Kelvin uko sawa keep it up na kwa kila movie plz Loveness asikoze juu ako mremvo saba na anafanya BONGO yenyewe inakaa kali ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤🎉❤😂❤🎉
Waaa Kiswahili chako ngumu Kelvin hadi mke kapagawa noma jo?
I like the way you pray this movie u can repeat ❤❤❤❤❤❤
oky Kelvin mume fanya bizuri katika movie zenu nimimi Sanderson mu mependeza sana mukikuwa na loveness, bonne travaille.
Good job watu wangu nawapenda saana haki mngu awabariki ❤❤❤❤❤ 30:10 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kelvin uko sawa dear na Loveness nakubali mko mwaah 👌❤️❤️ ❤️ nawapenda sana
Kali sana 👊🏾👊🏾👊🏾🙌🏾
Kevin jaman daah! Good job bro❤️❤️
macho makubwa tu 😂😂😂
Wllh klvn movie zenu ninazipenda kweli lvns zaid courage bld muendeley kutufulahisha
Leo nimepanga kuongea kiingereza waaoo❤
Nzuri snaa🎉🎉
Ww kelvin kwa hv ulivyo kwenye movie pia kwenye maisha yako upo hivyo huo utanashati wako keep it up
Love hayo macho kha😋😋
Oyaaa broo wee kiboko big up tu✍️
Daaaa love napenda anavyo ongea yn kwel mrembo yn
😂😂😂 Kelvin ❤❤❤❤ati sabuni😅😅
Kelvin wewe ni mtalam sana congratulations, nina ulizo: iyo movi ya THE GAME OF LOVE kwanini aina seemu ya ine( part 4)?
Kazi nzuri ❤❤
Asante sana
Nyibambili ehe Pardon mutatuvunja mbavu na ceko Kelvin na lonvress munatosha bwana
Loveness na Kevin nawapenda tu bure❤❤❤❤❤
Wooow kaz nzur kelvin❤❤❤❤mtanifany nifike tz kwa movie zenu tamu.
Karibu sana my dear 🥰
Good job my broo
Kazi nzuri kelvin❤
🎉🎉🎉 Love ness kazur kinavoongea na vzur 🎉🎉
jamaaniii nyieee nalipend ili grp❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ klvn uko mwaaaaaaaaaah 😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kelvin na loveness ndio couple inobambaa jmn kulik couple zte😊tnawapend sna jmn❤
Ahahahahahahah ila mwangu kelvin na loveness nawapenda sana
Sana kaka mkubwa kazi tumeiyona