Woow mpaka ata usingizi sina nikiwatch Kevin nimvumilivu mpaka amekula makofi na bado anangangana tu wah! Ningekuwa ni mimi ningekuwa nishaaregesha kofi pia. Congratulations movie iko sawa kabisa yaani💯 kila mtu amecheza nafasi yake vizuri kabisa keep up all of you. From gulf team strong💪
Kwel hii ni ya kujifunza sana kwa wale wanawake wanaopenda maisha ya juu, bila kufikiria ,tamaa zimewajaa angalia mwanadada alivyokosa bahat, ona Rafiki yake ,alivyopata bahat yaan, dodo chin ya mwarobain
Mapenzi sio magari dada kelvin ndio maana nakupenda ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹 amazing movie 🎥 😂😂😂 lovenes anataka magari na ma pesa nawe kelvin hauna pesa wala magari ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana kelvin 🫂 from 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🥂🌷🌷🌷🌷💝💝💝
Hongereni kwa stori nzuri sana ina sisimua . Wachezaji mmejitaidi sana kuvaa uhusika. Location pia cyo mbaya sana . Mwonekano mzuri kiasi stering wa mchezo yuko poa kiasi. Nafkiri kuna vitu amebaniwa vya kiubunifu sana. Dairector amejitaidi ila kuna viudambwiudambwi vimekosekana vingeleta hisia kali sana. Vyuu zime kosekana za mjini na uswazi zile kufunga na kufungua(Utambulisho wa mazingira). Tujitaidi kuonyesha mazingira yetu TZ ndo kwetu. Ila kwa yote Movie uko poa. Nimeongea kitaalamu hapo juu wahusika wa Filamu au watunzi wana elewa. Hongereni sana.🤝🤝🤝👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪.
Wanake tuache tamaa ya pesa kuna wanaume wana mpenzi ya kwel alafu sisi tunawazarau san tukipenda wale wenye pesa zao kumbe wanakuja kutudanganya tu tuache tamaha ya pesa jaman Sijuwi mmenielewa mapenzi sio pesa mapenzi ni upendo kutoka moyon mmenielewa jaman wanake wenzangu 💔💔💝💖❤️🧡💛💚💙💜🤎🤍🖤🤍
Tumekuelewa ila Mimi nilimpenda mkaka moja akiwa hata hajui kuongea vzr nimembadisha Kwa Kila kitu ila ameniacha na ukumbuke hapo nilikuwa nadharauliwa na Kila mtu
Movie nzuri sana, kwa sasa bongo movie imeimprove sana ,, na ipo kwenye viwango vya kimataifa, hongereni sana zidisha jitihada katika sanaa hii utatoboa br📌🇹🇿
Guyz mi nina kaswali ivi huy lovness na huy kaka masikin hii in real life ni couple au ??? maan daaaahh nimejikutaa kuwapendaa buree jamnii but nimeipenda hii movie
Unatoka familia ya kitajiri Alafu unakunywa Serengeti lite ya buku jero na Pepsi ya 600 hapa kwenye set mmebugi japo story ni nzuri maula amejitahidi sana
Usimdharau usiye mjua wala mtu yyte kwa kuwa hata leo yake haiwz mwelezea kesho yake. Na nukuhu kuna mahali niliwahi kusikia kwamba "hata maji machafu huzima moto". Dada zetu pesa hutafutwa ila upendo wa kweli kuupata hata dhahabu na pesa havifikii thamani ya upendo wa kweli, rfiki wa loveness played a great role kajinyim na kumnunulia food Kelvin japo maisha yake pia ni ya uswahilini ningeumia Kelvin kumchagua loveness na kumuacha rafiki wa loveness mbele ya kaka yake kwa maana rafiki wa lovenes kaonyesha true love kwa Kelvin haijalishi yupo mwonekano gani au leo yake ikoje and that is true love ila hao wenye true love kwa wotee boys/girls man/woman weny true love ni wachache maana pesa imewekwa kipaumbele kuliko true love.
Ooh....aysee mtafika mbali sana kiukweli Sina MDA mlefu kufahamu Chanel yenu nimetokea kuwaelewa na kunifundisha vitu vingi snaa kuhusu Maisha natamani sana. Niweze fanya Kazi nanyie lakini Ni ngumu kufika ❤❤ Nawapenda sana
Bro Sina lakusema kipaji munacho kazi nzuri Sana big up sana👏👏kingine naitaji Jina La mwimbaji alioimba ngoma hiyo mulitumia kwa film hii nimeipenda sana
Funzo nzuri kweli 👍👍👍 kuwa materialistic si tabia nzuri hata kidogo❗kongole donta vipindi vyenu 🔥🔥🔥nafuatilia kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kwa kweli nmekaribia kulia aki 😓😓 nimeipenda sana naomba like zangu kutoka Kenya 🇰🇪 basi
Sawaaa
Ushaipata like yangu 😅
@@mahfudhjuma5150 eeh ❤️
❤❤❤❤❤❤
Weew ninani
Sijuwi nitasema nini zaidi ya kumpa kelvin like zangu.congratulation mr kelvin
Kelvin unatisha
Y@@ElizabethZegega-ss6kx
Apo sawa kelvin❤❤❤
TATIZO WADADA WENGI WANAJIONAGA WAZURI, NA KUDHARAU KWINGI WAKISAHAU KUWA MAISHA NI SIRI..
HONGERENI SANA 💯💯🙌🙌🙌
Much love from Kenya guys like back wapi like za kelivin 2024❤ tujuaje kwa like pale chini 👇
Wow such a great lesson usimdharau mtu Kwa mtazamo wake this is true story ,am watching from Kenya much love Kelvin and the friends of you
Waidael m ombay,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania piaa
Woow mpaka ata usingizi sina nikiwatch Kevin nimvumilivu mpaka amekula makofi na bado anangangana tu wah! Ningekuwa ni mimi ningekuwa nishaaregesha kofi pia. Congratulations movie iko sawa kabisa yaani💯 kila mtu amecheza nafasi yake vizuri kabisa keep up all of you. From gulf team strong💪
Hahahaha
❤❤
Uko vzr kelvin movie zako zinafundisha san, barikiwa
❤
🙏
Aya mapenz noma sana...sisi apa tunao wapend wanatukimbia et muonekano ni garama.weny hela zao nawo ni utapeli..sijui sas tutaishia wapi😢😢
😂😂😂
Nimependa sana kazi yenu imenifanya nifikirie nilipoa achwa sababu Sina pesa ❤️❤️
Kweli xana laka😮😊
Kwel hii ni ya kujifunza sana kwa wale wanawake wanaopenda maisha ya juu, bila kufikiria ,tamaa zimewajaa angalia mwanadada alivyokosa bahat, ona Rafiki yake ,alivyopata bahat yaan, dodo chin ya mwarobain
Pole aki Wanawake wajinga sanga
Mpka useme😂😂😂😂
😅😂😂😂😂Watafute hela movi isiwafariji@@RahmaMutesi-s4e
Mapenzi sio magari dada kelvin ndio maana nakupenda ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹 amazing movie 🎥 😂😂😂 lovenes anataka magari na ma pesa nawe kelvin hauna pesa wala magari ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana kelvin 🫂 from 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🥂🌷🌷🌷🌷💝💝💝
Hongereni kwa stori nzuri sana ina sisimua . Wachezaji mmejitaidi sana kuvaa uhusika. Location pia cyo mbaya sana . Mwonekano mzuri kiasi stering wa mchezo yuko poa kiasi. Nafkiri kuna vitu amebaniwa vya kiubunifu sana. Dairector amejitaidi ila kuna viudambwiudambwi vimekosekana vingeleta hisia kali sana.
Vyuu zime kosekana za mjini na uswazi zile kufunga na kufungua(Utambulisho wa mazingira). Tujitaidi kuonyesha mazingira yetu TZ ndo kwetu.
Ila kwa yote Movie uko poa. Nimeongea kitaalamu hapo juu wahusika wa Filamu au watunzi wana elewa. Hongereni sana.🤝🤝🤝👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪.
Asante sana my brother 🙏
@@Dontatv255 poa nime check nyingine mnapambana hongereni sana. Hii ni kazi yangu japo saivi nime tulia.
@@Dontatv255jmn napenda story zako na kupenda na wewe pia jmn
@@Dontatv255 nashuru xana
Mdogo wangu kwa hapo mi sina neno kaza buti kazi nzuri.
Woow vyenye nimekuwa nataka ndo Ivoinafunza Sana wadada tusiwe na tamaaa🤗🤗
Daaaaah Mungu atusaidie kwa kweli
Kazi nzuri Kevin 😀pole poel hadi tufanikishe 👌👌☝
ruclips.net/video/obKKmhAvUkk/видео.html
Dah movie nzr sana hii inatufaa sana vijana wa kiume Ina kitu ndani
Inawafaa zaidi watoto wa kike
Dar kaka unafanya kazi nzuri sana sema natamani namm nipate nafas ya kufanya unacho kifanya maana nakipaji maana ww uwigizi Bali unafanya uwakizia
Daaah nmeipenda iyi nyimbo kelvin jamn nitajie jina la Hy nyimbobas
Guy's Muche Love Kbx ❤❤❤❤
Movie Nzuli Sana 🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥
🥂🥂🥂🤞🤞🤞🤞
Nzuri Sana,ni funzo kubwa
Wow Such A Great lesson usimdharau mtu kwa mtazamo wake.Very true story I really loved watching Donta TV much love ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Thank you 🇰🇪
Keep up the good work 🥰🥰🥰🥰
Na huu ndio kweli la penzi
Kenya inapatikana wapi ppz siz purity ?
good
Congratulations kelvin god bless your job
hongereni kwa kazi nzuri nimewapenda bure
Wow nakupendaga Kevin saan nanapend Kaz Zak never give up😍also God bless you🤗🇧🇮
Komaa kk atakubar2
🤣🤣unatak mume wa hela wakt we mwenyew huja unachomiliki😂😂namalizia nkaoshe hamamu💪..team strong tuchape Kaz wallah
Kabisaaa
😂😂😂😂😂😂tupo 💪
Aty team strong unamalizia na kuonsha hammam🤣🤣🤣atary
good one mwamwa,,😅
😂😂😂😂
Very good lesson though this is a movie but it's happening in real life of some people,continue the good work much love from 254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Wow hii ni movie Kali sana , napendaaaaaa saaanaaaa!!! Kevin wewe ni wa kwanza...
Nawapenda bure ❤️❤️❤️🤣🤣wanawake wengi tunapenda pesa chaajabu tunapata mimba kuliko utajiri,,,usidharau mtu Kwa muonekano wake
Kabisa jamani 🙌
Yenyewe kabisa
Kabisa wasichana wasikuisi wanapenda pesa kweli
Umeona jane😂😂
@@josephgerald5540 yeah nimeona,na huo ni ukweli,tunapata mimba sana kuliko utajiri,na kutoa mimba kuliko sadaka kanisani 😏😏🤣 🤣🤣🤣🤣
Ubunifu wa hali ya juu sana na nimekubali mlichokifnya💪💪💪💪🔥🔥
Hilo ni funzo kubwa San kwa wadada japo kila mtu pesa anapenda hongeren🎉🎉🎉❤❤
Hapa kuna cha kujifunza kiukwl ongereni xna kwa kaz yenu much love frm 🇰🇪🇰🇪💖💖
Asante sana
Tupo pamoja sana kaka yangu
Kwakweli hiii move inafunza kitu ukiwa huna pesa mwanamke atakuona kama takataka 😊😊😊😊
Kwakweli hiii move inafunza kitu ukiwa huna pesa mwanamke atakuona kama takataka 😊😊😊😊
Moto sana nimependa nikiwa Kenya ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥mapenzi muhimu jamani hata kuliko pesa..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yani hii movie imeniingia na imenitowa machozi ni nzuri sana msiache kuelimishaa nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hey nimewatch adi mwishi thenks Kwa funzo
Continue
@😊@@peninahmalkia7747
waao wtu tujifunze
This channel need to have at least 1 million followers... Best movies are found here.
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂
Wanake tuache tamaa ya pesa kuna wanaume wana mpenzi ya kwel alafu sisi tunawazarau san tukipenda wale wenye pesa zao kumbe wanakuja kutudanganya tu tuache tamaha ya pesa jaman
Sijuwi mmenielewa mapenzi sio pesa mapenzi ni upendo kutoka moyon mmenielewa jaman wanake wenzangu 💔💔💝💖❤️🧡💛💚💙💜🤎🤍🖤🤍
💝💝💝💝💝💖❤️💗🌹 .... Celevn
Tumekuelewa ila Mimi nilimpenda mkaka moja akiwa hata hajui kuongea vzr nimembadisha Kwa Kila kitu ila ameniacha na ukumbuke hapo nilikuwa nadharauliwa na Kila mtu
Huyu kaka movie zake zote tamu mno anajua mpaka anakera💃🌹🌹❤️❤️❤️
Mhh ila ziko poa sana
💗💗💗💗
Napenda sana
Muna mawazo Ya idia za mafanikio moko na Chadom from moz
Replies
Jmn nitapata wapi tena movie kali kama hizi nazipenda kweli
Kelven nakupenda bure ❤
Iko fiti sana....inamafunzo jameni nmeipenda sana....
good mr
Movie nzuri sana, kwa sasa bongo movie imeimprove sana ,, na ipo kwenye viwango vya kimataifa, hongereni sana zidisha jitihada katika sanaa hii utatoboa br📌🇹🇿
Asante sana
hata uni mwangie mkocho Mimi ni. wako simba mkari rakini upewa mimba pezi yani love si.pesa.husha.lamusingi mapezi.,
Movie Iko poa sana ❤❤❤ nmeipenda mno!🎉🎉🎉 to you all!
Guyz mi nina kaswali ivi huy lovness na huy kaka masikin hii in real life ni couple au ??? maan daaaahh nimejikutaa kuwapendaa buree jamnii but nimeipenda hii movie
🥰🥰🥰🥰
@@Dontatv255 Plz tell mi guyz am becoming addicted with this 2 ppl khan & lov .. Ni wapenz kweny maisha ya kawaida?
Nice
Pesa na upendo haziandamani Kama umeamua kupenda amua kitu kimoja Bali lovyness ajiangalie sana
Nawapenda sana ❤❤❤@@Dontatv255
Much appreciated for this guy and Donta Tv for good work 🇰🇪🇹🇿💯
Kufata nn Kenya jameni tna
@@zainba7812 kazi dadaangu 🇰🇪🇹🇿
Naipenda kazi yako kelvin ❤️
Wow so beautiful ❤️❤️ nimeipenda Sana ,,somo nzuri sana
Very nice big up bro much love ❤️ from congo 🇨🇩 to Kenya
Haki.hii movi imenibamba sana mungu akubari kelvin❤❤❤❤❤
Asante sana kwa mafundisho kwetu sisi vijana c James depuis R.D.C
Much 💓 love Man though I learnt a lesson but a things hepens support sana from 254🇰🇪🇰🇪
Movie moja ajab Sana mafunzo kwa wake madada wanapenda mgomba ukiwa taar na ndizi zake bila kujua zimekuaje
Me simpendei mwanaume kwa era zake nampenda kwa mapenzi yake nampenda kweri mpenzi wang
OMG good lesson good work Kevin keep it up 👏
Nawapenda sana mnajua kuteka hisia za watazamaji big up kwa Loveness umefanya reality kabisa Danga wewe🥳
Waah this is true story ,mapezi ya kweli ,sio pesa. Akupende jinchi ulivio.niko kenya
Asante sana
@@Dontatv255hongera kaka💖
Much love kelvin ww n mwanaume riyal kbsaa wengnd awawez kuvumilia mna wanwake wa tamaa ya pesa na awajui mtu mwenywe halisi yuko vip congratulations
Kiukweli nawapenda funzo lahi vidéo limenifunza sana mooni muangu
Kev ni nomaa jamn aisee ur artist brooo🎉🎉🎉🎉🎉
Nimepata funzo kubwa kutoka ktk hii movie jamani huu ndo unyama ❤❤❤
Wallah hata me piaa nimejifunz kit
Unatoka familia ya kitajiri
Alafu unakunywa Serengeti lite ya buku jero na Pepsi ya 600 hapa kwenye set mmebugi japo story ni nzuri maula amejitahidi sana
Very nice this story, I really loved
Ilikua nzuri mpaka nimepitisha muda wa kulala tama ni mbaya😢pole sana levinesi ulizidi tama
Big Love from🇧🇮🇧🇮
Nawapenda sana mnajua kuteka hisia za watazamaji big up kwa Loveness umefanya reality kabisa Danga wewe😅😅😅
Hii ni story nzuri sana Kwa sisi wanawake wa sikuizi tusiojielewa
Kabisaa
Nipo uturuki wangu mna tisha saa napenda sana str zenu mna elimisha mnooo❤
Bom trabalho mais força irmao kelven🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿Makonde 💯%
Também sou d Moz makonde de mueda xtamos juntos
WWE Una nini dada
mashauri yenu eko vizuri sana nime penda sana mafudisho ❤❤
Waaaaah........ hello team boys msipanic kukatia madem weny pesa Kama loveless .........
😁😁🙌
Team kenya 🇰🇪 in the house much love ❤ Kelvin from Kenya 🇰🇪 unapendaje hela,magari na hata kipanda cha mboga huna nkt
Never judge a book by its cover lesson learnt from the story
Usimdharau usiye mjua wala mtu yyte kwa kuwa hata leo yake haiwz mwelezea kesho yake. Na nukuhu kuna mahali niliwahi kusikia kwamba "hata maji machafu huzima moto".
Dada zetu pesa hutafutwa ila upendo wa kweli kuupata hata dhahabu na pesa havifikii thamani ya upendo wa kweli, rfiki wa loveness played a great role kajinyim na kumnunulia food Kelvin japo maisha yake pia ni ya uswahilini ningeumia Kelvin kumchagua loveness na kumuacha rafiki wa loveness mbele ya kaka yake kwa maana rafiki wa lovenes kaonyesha true love kwa Kelvin haijalishi yupo mwonekano gani au leo yake ikoje and that is true love ila hao wenye true love kwa wotee boys/girls man/woman weny true love ni wachache maana pesa imewekwa kipaumbele kuliko true love.
nzuri sana.kip it up
Kelvin nimejifunza kitu hapa Asante sana ❤
What a wonderful story keep it up
Kupenda sio kaz ila kaz ni kumpata akupendae kelvin i lop ue jmn Mungu akupe kweli chaguo sahii upate mama bora na sio bora mama🥳
Vizur
Very talented❤❤❤ big up
Pole sana KBS ndodunia hiyo mzunguko nakupenda kinjana movie zako nzuri sana ❤️🥰
Kelvin uko sawa mtu akupende the way you are never give up 🇰🇪🇰🇪 tuko ndani kabisa
Ooh....aysee mtafika mbali sana kiukweli Sina MDA mlefu kufahamu Chanel yenu nimetokea kuwaelewa na kunifundisha vitu vingi snaa kuhusu Maisha natamani sana. Niweze fanya Kazi nanyie lakini Ni ngumu kufika ❤❤ Nawapenda sana
Watching from USA good lesson❤
Afazali wewe tanjiri movie zako nzuri sana KBS 🥰 Mimi sina ubaya songa mbele kinjana wewe unatisha KBS unaongeaga ukweli KBS ushauri mzuri 😊😊👏
Bro Sina lakusema kipaji munacho kazi nzuri Sana big up sana👏👏kingine naitaji Jina La mwimbaji alioimba ngoma hiyo mulitumia kwa film hii nimeipenda sana
Congratulations bro kelvin God bless you
Movie nzuri sana kaka hongera keIvin❤❤❤
Naicheki kutoka Burundi filamu nzuri sana yenye mafunzo nimeipenda kabisa ❤💕💋
Haha... Nimeipenda hyo... Unacho kitafuta na chenyewe kinakutafuta ... Choo hata kiwe kichafu vipi hakikuzuii kuharisha
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
lengo ni zuli ila mtunzi kazingua
Bado bado mtunzi amefeli
kazi njema Kweli i love it so much
Merci pour l'éducation, depuis la R.D.C🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🙌🙌
Iko sawa
Hongereni Sana washiriki,sikio lakufa halisikii dawa
Hii nimependa ❤mpaka nimeacha vyombo kwa sink habar sipati😂😂😂
Good work Kevin nakupendea ivyo to kazi njema sana
Movie nzuri sana 👍❤
Waah nzuri sana acha tupate funzo apa
Nimependa
nimeilewa kinoma
Kazi nzuri
Asante sana
Me nkipenda napenda kweri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉you
@@Dontatv255❤❤❤❤❤❤❤
Nimepongeza sana movie menu nawaombeeni mola awazidishie karama menu itapakae from kenya
The best Swahili movie.thumps up
Asante sana
Congratulations 🎉🎉❤❤❤❤❤ very nice
Umeweza bro mpk nimetokea kukupenda😂🇰🇪🇰🇪
Asante sana
Mashallah 😢😢❤❤❤ naombeni likes hata 30 bana 😂😂😂 kutoka Kenya
Napenda❤❤❤😂
Kazi safi Mr❤
Hadithi nzuri saaaana natamani ingeendelea tumuone love akiumbuka
Asante sana
Jamani wembe si ucheke ata siku moja bsi nione tambasamu lako😂😂😂❤❤❤❤
Naomba jina la wimbo jamani ...mafundisho mazuri kweli hongera saaana much love Kenyaaaa
Asante sana soon 2naiweka
Nyimbo ya kipande kipi
@@Dontatv255wimbo huo wa labda fungu langu la kukosa
Safi kilichomkuta loveness mbaya hiyo😂😂😂😂 hongera zako kelvin kan from DONTA TV NIKUPE MAUA YAKO KAKA MZURII🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹