DEAD MISSION 💔 | New Bongo Movie | Sad Story STARRING KELVIN KHAN, LOVENESS, MAHULA & WEMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024
  • #dontatv #bongomovie #2023movies #peteyaajabu

Комментарии • 289

  • @HidayaJuma-p1s
    @HidayaJuma-p1s 2 месяца назад +3

    Jaman dda lavu aupendez naayo maishayauboc wweumependezwa na nguo za kijijini TU ila tunakupenda ukiwa na kelvni tuna wakubali sana ❤❤❤❤

  • @PeterAnthony-e8y
    @PeterAnthony-e8y 11 месяцев назад +2

    @stopper kifaru.,....owaa kelvin nakubal saana mwanang... keep it up

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj Год назад +5

    Wembe hiyo roho sio yako haufa haupendezi na roho mbaya 😂😂😂😂😂 kelvin polee 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉i love you guys ♥️♥️ ♥️♥️♥️ from 🇰🇪 Asante sana 🌹🌹🌹🌹🌹 kwa movie 🎥 zenu nzuri nawapenda Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @edithmalei
    @edithmalei 10 месяцев назад +5

    Hongera sana Kelvin hapo uko sawa sana kwa ubunifu wa mambo mengi, Mungu azidi kufungua akili zako ili uimarike zaidi na kuinuliwa sana kwenye maisha yako❤❤❤❤

    • @VivaahHamadi
      @VivaahHamadi 5 месяцев назад

      Mnajitahidi sana ila izo movie za season muwe mnajitahidi kuwaisha mnakawia sana broo

    • @VivaahHamadi
      @VivaahHamadi 5 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @elinakenga-qc9qi
    @elinakenga-qc9qi Год назад +5

    Kelvin movie zko zanipea mafunzo wallah mob love mingimingi❤❤

  • @SalomeMmari
    @SalomeMmari Год назад +5

    Brother kelvin mungu akupe maisha marefu uuendelee kutufurahishaa na movie

  • @SamwelEzekia-m3t
    @SamwelEzekia-m3t Год назад +2

    Kelvin unyama mwing yan uko good sana salute kwako👆

  • @raytonnysteven343
    @raytonnysteven343 Год назад +11

    Kelvin unaubunifu wa hali ya juu sana utafika mbali sana Mungu alibariki

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 4 месяца назад +2

    Huyu ni wewe wallai umetoka mbali keep it utawin en feel loved ❤❤❤

  • @carlosbrown7606
    @carlosbrown7606 3 месяца назад +1

    Kelvin unajua bhan upewe maua yako💐🌹🌹

  • @williammunyoki6503
    @williammunyoki6503 11 месяцев назад +1

    waooh amazing sanaah kenya🇰🇪 tunawapenda sana kazi yenu iko vizuri mnatuelimisha mkituburudishah

  • @RaelAmunga
    @RaelAmunga 4 месяца назад +2

    Kelvin movie zako tamu Sana Mungu akusidishie jamani❤❤❤

  • @SwaumLiuti
    @SwaumLiuti 11 месяцев назад +1

    Jamn nyie yaan mnajua mpka mnakeraaaaaa, nawapend sana ❤❤❤❤

  • @MamanEstherEsther
    @MamanEstherEsther 4 месяца назад +2

    Klvn ongera kwa kweli una panga vizuri movie zako pamoja na watenda kazi wenziyo❤❤

  • @KhadijaDaniel-zr6ll
    @KhadijaDaniel-zr6ll Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤Mnatufundishaa mengi mno Allha awape afyaa njemaa daima 🎉

  • @ASdss-df8st
    @ASdss-df8st 3 месяца назад +1

    Kazi dzuri sana napenda kujiunga na ww ilitufanye kazi wote 🎉🎉🎉

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 Год назад +6

    Wow movie pOH Sanaa, anyway Kevin after passing all dat ,still amekuja saidia lovnsss aki mapenzi yooo🥰

  • @SalamaMohammed-gv6my
    @SalamaMohammed-gv6my Год назад +2

    ❤❤❤❤timu 4 pambe sana love you so much 💖 ❤️ kwa nyotee

  • @a13samsung8
    @a13samsung8 Год назад +11

    Kevin endlea n moyo huo huo usilipize mabya kw mtu mbya much love for you guys ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Felly-254
    @Felly-254 9 месяцев назад +3

    Wow congrats 👏my brother kelvin I really like u💯🥰

  • @OmmyMnyepe
    @OmmyMnyepe Год назад +2

    Broo mungu awajalie katk kaz zen mmetufundixha vng na bad 2nafuatilia mung awe nany kak

  • @MwajumaMwajumaa
    @MwajumaMwajumaa Год назад +3

    Kelvin nakupenda sana uko vizur katk film ww kobogo yao bila ya ww film hainogi kelvin penda sana mm ww❤

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Год назад +7

    Chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho,,,wakulitafuta wakulipata🤣🤣pongezi nyote,,kwa kazi yenu nzuri

  • @hamisihamso1882
    @hamisihamso1882 Год назад +4

    Wapili kucoment. Donta tv mko juu xanaa

  • @esomborogeralimasi4765
    @esomborogeralimasi4765 Год назад +4

    Nime ikubali sana iyo kazi mzidi kutengeneza video zaidi yaapo🥰🥰🥰

  • @HamisiKombe-zq3so
    @HamisiKombe-zq3so Год назад +2

    napenda sana movie zenu jamaa kelvin uko vizuri braza

  • @NusuraFabianoleomotokwetu
    @NusuraFabianoleomotokwetu 10 месяцев назад +1

    Dah kev unatoa mov zimetokea kwangu asantee sanaa

  • @KimKim-xs6sh
    @KimKim-xs6sh Год назад +2

    Mahula mrembo nimempenda ❤❤❤❤❤😅😅😅😅

  • @siaherymaro-yh7nc
    @siaherymaro-yh7nc Год назад +2

    Nice move da mnanikosha sana nakupend kelv mv zako waigz vizur san

  • @barakahmaduhu9837
    @barakahmaduhu9837 11 месяцев назад +1

    Very nice moment my brother kelvin

  • @yusuphijengo5907
    @yusuphijengo5907 Год назад +16

    daah ila nyie watu mmerudisha filamu upya mungu awape maono zaid nawapenda sana

    • @Dontatv255
      @Dontatv255  Год назад +1

      Asante sana

    • @yusuphijengo5907
      @yusuphijengo5907 Год назад

      napenda kufanya uigizaji lakini sijui nianzie wapi naombeni kama mnaweza kunipa nafasi mnipokee jaman napenda sana natamani kufanya kaz ya sanaa

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 Год назад

      ​@@yusuphijengo5907 pesa ukonazo

    • @yusuphijengo5907
      @yusuphijengo5907 Год назад

      @@personpeter2221 🤔🤔

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 Год назад

      @@yusuphijengo5907 kama ukovzr nfate inbox

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 9 месяцев назад +2

    Hongera sana kevni na timu yako

  • @YusraAbdallah-h6j
    @YusraAbdallah-h6j 5 месяцев назад +1

    jamani hiyo nyimbo inaitwaije
    Mbali na hayo hata like tano😢😢😢

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад +2

    Yani nimejikuta nimeliya 😂😭😭😭😭

  • @jumaaabdillahi4534
    @jumaaabdillahi4534 5 месяцев назад +1

    Loveness ❤ uko vzr my

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Год назад +2

    Mungu awabariki kwa kaz yenu 🤲🤲 much love frm 🇰🇪💖 nawapend nyote jmn

  • @IhaveMy-d6h
    @IhaveMy-d6h 2 месяца назад

    Hongeren Kwa kazi zenu❤😊😊

  • @NeemaRashid-sc9di
    @NeemaRashid-sc9di Год назад +2

    Hongeraa kaka kwa kipaj alichokupa mungu

  • @NeemaKitsaokalume
    @NeemaKitsaokalume 2 месяца назад

    Mmmmh siamini nkwl lovenes kaachana na kelvin 😢😢

  • @JustinaMumbua-j2k
    @JustinaMumbua-j2k Год назад +1

    Mapenzi Yana mambo🙆 sad story mnaweza

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 9 месяцев назад

      Kwel lazima mmoja aumie Mwanamme akitulia Mwanamke kicheche Mwanamke akutulia Mwanamme anakuwa kuruka Njia

  • @rajabusam-de8wu
    @rajabusam-de8wu Год назад +2

    Movie nzuri mashairi mazuri nimeipenda sana ❤❤❤❤

  • @Abudulazizishaban
    @Abudulazizishaban Месяц назад +1

    leo jemsi kawa mwema

  • @YoabuDisasi
    @YoabuDisasi Год назад

    Good idea na haya maisha yapo mtaani mungu awajalie mwendee kutupatia burudani

  • @JospinLudunge-g4k
    @JospinLudunge-g4k Год назад

    Ni nzuri sana brather nimependa sana

  • @RomyRommy
    @RomyRommy 11 месяцев назад

    Daaaaaaa kweli hasira hasara sa umekosa vyote love

  • @jumakaibgu-zn6mr
    @jumakaibgu-zn6mr Год назад +1

    Ni nandy jamani mzuri mashallah

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 3 месяца назад

    Mko vizuri mno masha Allah

  • @MatayoMatayo-g6v
    @MatayoMatayo-g6v 11 месяцев назад

    Jamani nyie mm silali kabisa move nzuri sana

  • @JantaGeorge
    @JantaGeorge Год назад +1

    Yule jamaa wa kwanza kufa inabid mlekebishe dam il kuhus kelvin nahis kama marehem kanumb kazaliwa upya

  • @HemedKhamis-t5r
    @HemedKhamis-t5r Год назад +1

    Ili WiFi linampa confidence sn uyu loveness😂😂😂

  • @KenedyMusonda-g1x
    @KenedyMusonda-g1x Год назад

    me iyi mafudisho ume nifa Mimi kuliya sana😭😭🙆 me mapenda ni mapenda ❤❤

  • @EnathaMbaule-qq8ki
    @EnathaMbaule-qq8ki 3 месяца назад

    Hongèreni kwa vipaji vya kuigiza hasa kelvin na lovunes

  • @selly080
    @selly080 Год назад

    ❤❤good job kelvin nawapenda bure❤❤

  • @victoriakilela9351
    @victoriakilela9351 Год назад

    Offcorse uongo mbaya mko vizuri sanaaaa nawapenda mnoo

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 Год назад +5

    Mashaalah nzuri sana CONGRATULATIONS MY BROTHER. KELVIN

  • @MwessaPeter-hw6uu
    @MwessaPeter-hw6uu Год назад

    Ila kevi mmmh😏😏😏 sasa tumbo na miguu inauhusiano gan😅😅😅 mpk uwe kilema wakat umepigwa risasi ya tumboo

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 4 месяца назад

    Daah mnaweza Aisee Nawapenda Buree.

  • @DanifordRashid
    @DanifordRashid 3 месяца назад

    Loveness mtoto wa singida big up

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +1

    Bujumbura tunakupenda Kelvin

  • @samwelshanguya3938
    @samwelshanguya3938 4 месяца назад

    Kelvin noma sana unaweza mzee

  • @AbabuAmimu
    @AbabuAmimu Год назад

    Unanifunza vingi sana Kev

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 9 месяцев назад

    Kwa kweli nami huwa nazipenda sana filamu zake zinafurahisha na kufundisha pia

  • @nadiakabura1506
    @nadiakabura1506 Год назад +4

    Movie nzuri San Yani mmetisha kinoma noma ila Apo kwenye damu tumepigwa nakitu kizito🤣🤣🤣

  • @mfaumekambi2060
    @mfaumekambi2060 3 месяца назад

    Jamaa anajua sana uhuyu dah

  • @OdetteNDAYISENGA-gh1vo
    @OdetteNDAYISENGA-gh1vo 3 месяца назад

    Yani nzuli sana yani nawapenda sana

  • @JescaNgunyare-rc2mo
    @JescaNgunyare-rc2mo Год назад +1

    Vizuri sana kevin

  • @Arrowjayke254
    @Arrowjayke254 Месяц назад

    Kevin napenda movie zako sana na loveness

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 Год назад +3

    Nice movie ❤❤

  • @JofreyJosiha
    @JofreyJosiha Год назад

    Hakika hii muvu nimeipend na imenifunza mumecheza vizuli San ongelen Kwa kazi nzuli

  • @003peaceboykenya
    @003peaceboykenya Год назад +3

    Umeua kelvin

    • @Dontatv255
      @Dontatv255  Год назад

      Asante sana

    • @elphod-pf1fr
      @elphod-pf1fr Год назад +1

      Kazi nzur vijana # uharisia wa wanawake wa siku hz kabsa

    • @elphod-pf1fr
      @elphod-pf1fr Год назад +1

      Kijana kelvn yupo vzur Kwa mwendo kanumba wa pili ndo huyu

  • @AnastaziaSebastian
    @AnastaziaSebastian 4 месяца назад +1

    Nawapenda

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +1

    KELVIN songa mbele!

  • @AllyAllymsomi
    @AllyAllymsomi Год назад

    Mm nampenda sana Raven's na mpenda san

  • @nonogustave-oq3nq
    @nonogustave-oq3nq Год назад +1

    Tunakupenda saaana Burundi 🇨🇩🇧🇮🇧🇮kaka

  • @EmmanuerWerema-or4zs
    @EmmanuerWerema-or4zs 4 месяца назад

    Heeeeeee,,, loveness unatumy sigara duuh poleeeeee dada Angu

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Год назад

    Ongeren sana kz mzr 😮😮😮😮

  • @janethsaimon8872
    @janethsaimon8872 Год назад

    Samahani mnapatikana wap ❤❤

  • @HatungimanaRegisHatungimanaReg
    @HatungimanaRegisHatungimanaReg Месяц назад

    Kazi nzuli

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 Год назад +3

    Kazi nzuri sana love this movie

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад

    Wembe jamani😢😢😢😢😢😢

  • @HadjaVoya
    @HadjaVoya Год назад

    Wow inaonkana unaujasr san

  • @johngodfrey9325
    @johngodfrey9325 Год назад +1

    Ebhanaa ee✌🏽✌🏽

  • @MarcBishariza
    @MarcBishariza 4 месяца назад

    Nawapenda sana Mungu awarinde

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 Год назад +1

    Asante Donta TV lkn mkumbuke Pete ya ajabu naisubiria episode 106 tukisonga

  • @AlbertTsumah
    @AlbertTsumah 2 месяца назад

    Safj kaka kelvin

  • @gracesamwel5678
    @gracesamwel5678 Год назад

    Hongereni sana Kwa kazi nzuri🎉❤

  • @aminamohamed8292
    @aminamohamed8292 Год назад +1

    N nzur jaman 😘

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 3 месяца назад

    Heeey! Kumbe ❤ness nimvutaji

  • @FauuFabian-kk2cx
    @FauuFabian-kk2cx Год назад

    ❤❤❤ nice san

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba191 Год назад

    Siku izi dad😂😂 love anawasha tanuli dah

  • @Davidmungu-k5n
    @Davidmungu-k5n Год назад

    Daaah kiukweli mnajua mtafka mbali

  • @mstaphaboazi1834
    @mstaphaboazi1834 Год назад +3

    Hapoo kweny damu hapoo tumepigwaa ila move ni kalii loveness anajua San

  • @ALISWALEKH
    @ALISWALEKH Год назад

    Muvi tamu ❤❤

  • @ZainaKeza
    @ZainaKeza Год назад

    Iyi picha kali kabisa

  • @Christine-qq2gy
    @Christine-qq2gy Год назад +1

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mesco_18
    @mesco_18 10 месяцев назад

    Ila huyuu loveness 🙌hao wengine PC mbovu tu

  • @linusrichardmukuras8702
    @linusrichardmukuras8702 3 месяца назад

    Ila kijana muuhaji yuko vizuri

  • @GetrudaIsaya
    @GetrudaIsaya 4 месяца назад

    Wakwanz mm naomben lake ata moj kutoka kwa kelvin na mashabik zake

  • @CareenstevenBintibanali
    @CareenstevenBintibanali 4 месяца назад

    Ni nzuri

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 2 месяца назад

    Yaan kelvin ni kanumba wa pili yaan