RADD KWA MSIMAMIZ WA MASALAFIY ZANZIBAR ABUU MUHAMMAD SALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 дек 2024

Комментарии • 11

  • @RashidMussajuma
    @RashidMussajuma 6 дней назад

    Allahumma aamin sheikh unaeleza jambo Zito sana

  • @SimbaRamadhan-i6x
    @SimbaRamadhan-i6x 6 дней назад

    Mashaallah hakki itabainika

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm 6 дней назад

    Allah amlipe kher Mualim wetu mpendwa

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 6 дней назад

    Allah akuhifadhk Abuu Zagar ,tupo hapa Tunazidi kuwaelewa hawa vijana wa fujo

  • @islaminmyheart9348
    @islaminmyheart9348 5 дней назад

    Hili haliwadhuru Salafiyyun, isipokuwa linazidhuru nafsi zao wenyewe. Tunamuomba Allaah ulinzi na salama

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 6 дней назад

    wanao pigana mapande ni wanaojiita masalafi,,,

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 6 дней назад

    Hakuna sulhuu kati ya salafiyuun ,,, leta far'qa,, leta far'qa adaab...hata salaam hakuna asisikilizwe yeyoote ambae sio salafi...

  • @IphoneIphone-p8b
    @IphoneIphone-p8b 7 дней назад

    Akhy Allah hatakiacha bure bure kwa kupalilia fitna. Wewe video zote na za ugomvi

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  7 дней назад +1

      Nikweli ila stumi kwasabab yaftna ili watu waelewe hakk

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  7 дней назад +2

      Na nitatuma mpaka watu watakapoelewa inshaallahu.

    • @AbuuRayyan-j8x
      @AbuuRayyan-j8x 6 дней назад

      ALAA kumbe haya endelea kutuma kwa 7 bu maashaallah watu wanaelewa sanaaaaaaaa kwa hii juhudi Yako.