SHEKH ABUU MUAWIYA AMEOMBA MSAMAHA KABLA YA KIFO CHAKE KWA KUMCHAGUA ABUU MUHAMMAD SALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 18

  • @HassanMrisho-j2i
    @HassanMrisho-j2i Месяц назад +1

    Allah amrahamu shekh wetu Abuu muawiyya

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Месяц назад +1

    ALLAH amrehem na amswamehe makosa yake aamiyn

  • @RashidMussajuma
    @RashidMussajuma Месяц назад

    Allah atuunganishe

  • @naasibabuu
    @naasibabuu Месяц назад +1

    Allah ninakuomba umsamehe huyu ndugu yangu katika iiman na umpe pepo yako haihitajiki aje mtu atuambie kuhusu uchajiMUNGU wake

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Месяц назад

    Mushashiba Hela za saudia

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g Месяц назад

    Naomba kuuliza nini lengo la kupandisha hizi audio kwsasa??

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Месяц назад

      @@AlmasAbdallah-r3g uluposikiliza ulijua nn

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g Месяц назад

      @ManhajSalafZanzibar Hamuoni kma hizi clip zinapandikiza fitna?? Kwanini msikae na ndugi zenu mkafanya sulhu na kufanya da'awa pa1 ili dini ya Allah iende mbele? Au imefika wakati kila mtu kivyakevyake hakuna anaehitaji sulhu??

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 Месяц назад

      Tatizo lipo kwa sheikh qassim mafuta Allah amuhifadhi yeye ndo kiongoz na msimamiz wa da'awa​@@AlmasAbdallah-r3g

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      ​@@AlmasAbdallah-r3gsulhu gani wakati watu hukata wengine dhulma,

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Kutujurisha kunawatu wamemdhurumu mwenzao dhulma,

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 Месяц назад

    Hii ndo usalafi
    Mtu keshakufa kazi kusengenyana tuuuuuu
    Usalafi gani wao Kwa wao wanatadiana😮
    Usalafi au ushuzi