Maeneo 10 ya kukagua gari lako kabla ya safari
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- #Safari #UsalamaBarabarani #RoadSafety #AbelSwai #Gari #Holidays #Likizo #Weekend
Desemba ni mwezi ambao watu wengi huwa na likizo, mwanya ambao hutumika kwa ajili ya safari za ndani na hata nje ya nchi. Huu ni ushauri kutoka Jeshi la Polisi Tanzania juu ya mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuanza safari kama unasafiri na familia katika magari binafsi na hata ya umma