Hii Ndio Sababu ya Wanaume Wanachepuka Kwenye Ndoa Zao -

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 260

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 4 года назад +14

    Wapo wanawake wasafi zaidi yako wewe warembo zaidi yako wewe yani mwanamke anaheshima sijuwi nisemeje lakini mwanaume nikiumbe asie tosheka na mke mmoja hata kidogo mimi mume wangu sifanyi hayo yote uliyo yasema ila kaniganda kama ruba ananipenda Sijuwi ata nisemeje kwaiyo mume kukupenda na kutokuchiti sio kwa hayo mafundisho yako ni roho yake tu , nampenda pia sana mume wangu

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 года назад +10

    Allah akulaze mahalapema dada 😭😭😭😭😭😭

    • @selmezahor4696
      @selmezahor4696 Год назад

      Maskin kwani amefarik Lin,

    • @hamzarashid9705
      @hamzarashid9705 9 месяцев назад

      ​@@selmezahor46964 years ago, if I'm not mistaken

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 года назад +6

    Mungu akuangazie nuru huko uliko, Innalillahi wainnaillahi raajiun

  • @khayraa7374
    @khayraa7374 2 года назад +2

    Most of things are accurate here👌🏽….Lets not forget we are in the new generations things in house should be 50/50 women should not do everything by her own .some of us work 8 hrs a week….with 2 days weekend only.

  • @beautyhennayummyfoodmwechi6833
    @beautyhennayummyfoodmwechi6833 4 года назад +7

    Inna lilahi wainna ileyhi rajiun mungu akulaze pema peponi we miss you bi fatima tuma mwenye utamu wake😭😭

  • @kezawardamauwa2522
    @kezawardamauwa2522 6 лет назад +7

    Wallah nakushukuru umenifunza mengi somo wangu allah anikutunzie

  • @hassanjimbi7617
    @hassanjimbi7617 4 года назад +3

    Allah akuekee noor kwnye kaburi lko n akupanulie pia inshaallah ameeen,,,RIP

  • @careenbryton8675
    @careenbryton8675 6 лет назад +6

    Ahsante dada nmejifunza japo bado cjaingia kwenye ndoa

  • @sellymukana7747
    @sellymukana7747 5 лет назад +31

    Wanawake wa kiswahili mna kazi kweli. Yani waume wenu mmewageuza mungu hata mnawaabudu?. Yote mwayafanya na mwisho wa siku mnajipata kushare wanawake wanne kwa mme mmoja. Hayo yamepitwa na wakati. Tunaamkia kazi nyie mwalala mkifikiria mabwana. Khaaaaa tafuteni hela zenu mabwana watawanyenyekea.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 лет назад +1

      Tena wanaume wa siku hizi wanataka nao kulelewa. Wanataka kuona unajishughulisha na wewe sio kubweteka maana maisha yamebadilika yamekuwa magumu. Yaani ukiwa na pesa mwanaume hata kukusaidia kukupigia deki atapiga tu

    • @manyamarobert6887
      @manyamarobert6887 5 лет назад +1

      Wanaume wao c mchezo kwa kushare penzi nao hata uumpe nn cju chezea wanaume wa pwani!!

    • @aishajan1948
      @aishajan1948 4 года назад +1

      Yani Wana kazi kweli kweli hta mm yamenichosha.. Kila kitu ni bwana bwana tu.. Kweli ukiwa na hela Ata umwambie akanawishe Mavi at afanya tu

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 года назад

      Sema wewe mamy..mie upuuzi huo sina

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 года назад +3

      Hujaambiwa usitafute rizki.tafuta riziki ila kama umeamua kuwa ktk uhusiano wa kindoa zingatia hayo.

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 3 года назад +5

    Hakika dunia mapito Allah akurehemu

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 года назад +8

    Huenda huyo kungwi kachwa mala saba😂acheni kutubpumbaza

  • @careenmanang8943
    @careenmanang8943 4 года назад +1

    Mungu akulaze mahali pema peponi kungwi

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 года назад +6

    Unaweza ukayafanya ayo yote ila mwanahume asi riziki akatafuta ungine mwanamuke ayajuwi ata kimoja Allah akupunguziye azabu za kaburini😭😭

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 года назад

      Kitu mwanaume anataka kwenye ndoa ni utulivu wa akili na mwanamke mchapa kazi.

  • @najmatheearlybird.7162
    @najmatheearlybird.7162 4 года назад +9

    Mimi utanisamehe Kungwi ,,, wanaume in wale wale tu hats umlambe miguuni , no wako mkiwa nae kitandani akivuka mlangoni ni wa wengine ,,, tens vitambara mtu havai kwa kupenda wanaume wengine hawakununulii nguo ,,, mume mzuri ampambe mkewe amvishe usafi sio mbaya ,,,, hapo mm hata hayo ni buree jamani kungwi Mke sio mavazi ni tabia anaeza kua msafi na tabia ilioza na yule mchafu akawa na tabia na maadili mema Acheni hayo aki tumeona wengi taabu tu

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 3 года назад

    Karibu sana dubai my sister umedamshii

  • @mercynjoki8618
    @mercynjoki8618 3 года назад

    Waaa pole sana my love from kenya

  • @abuudaru1401
    @abuudaru1401 2 года назад

    Mashallah dada mungu akuzidishie umri mrefu amen

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 года назад

    Vuvuzela umeuwaa♥️

  • @waamooog6002
    @waamooog6002 4 года назад +21

    Mungu akurehemu kungwi🙏🙏

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 4 года назад

      Allah amrehemu..lini kafariki?😥😥😥

    • @Zena-h4p
      @Zena-h4p 3 года назад

      @@shifaaal-baity4503 kafa zaman my

    • @sumayananabintimusa6321
      @sumayananabintimusa6321 2 года назад +1

      Jamani mbona sina habari😭😭😭😭innalillahi wainailehi rajiuni

    • @waamooog6002
      @waamooog6002 2 года назад

      @@sumayananabintimusa6321 muda sasa ni miaka 2

    • @nurukasunzu2711
      @nurukasunzu2711 2 года назад

      innalilah wainalilah rajuun

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 года назад +1

    Allah akulaze pema peponi

  • @francinekabwe1211
    @francinekabwe1211 5 лет назад +9

    Mbona wenu wanahowa sana nayote hayo mwayafanya ,mume akipata hela ana chipuka tu

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад +23

    Allah kawaona wanaume kwamba hawatosheki na mwanamke mmoja ndo kaweka mpaka sheria wanne hamna jipya makungwi.

    • @e.crabtree4313
      @e.crabtree4313 4 года назад +6

      Nonsense! Wacha udanganyifu. Wapi Mungu kawaona wanaume kwamba hawatosheki na mwanamke mmoja kisha kaweka mpaka sheria wanne? Hayo ni mafunzo wa kiIslamu kufanya usharati na umalaya. Mungu alimmpa Adam mke mmoja tu, Eva!

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 года назад +1

      @@e.crabtree4313 mh mazito aya

    • @kijolijuma4923
      @kijolijuma4923 4 года назад

      Kwani nyie nyote ni makungwi bc nikisimama mie na nyie amnipati mnayajua ayo tu

    • @kijolijuma4923
      @kijolijuma4923 4 года назад +1

      Wake ni wanne sheria dini imesema Wala sishangai sana

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 года назад

      Mwenyez mungu hajawaambia mzin kisa mmepewa ruhusa ya kuoa wake wanne muoe co kuzin

  • @fatumaabduly5086
    @fatumaabduly5086 Год назад

    Kungwiiiiiiiiiii una hakikaa huyoo wakooo hajawahii kukusalitiiii tuanziee Apo usimalizeee manenoo

    • @hamzarashid9705
      @hamzarashid9705 9 месяцев назад

      Uyo kafariki Kama miaka minne iliyopita

    • @AgnessMsacky
      @AgnessMsacky 9 месяцев назад

      Uwo usafi ukiweka. Mpaka kwenye. Uchi lipustiki. Bado. Atamsakiti. Mumeo

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 года назад +1

    Mungu akupunguzie adhabu ya kabri

  • @khadijatonge3636
    @khadijatonge3636 4 года назад +3

    Nimependa hilo gauni Lakin maneno yako nakuachia mwenyewe🙌saingne ww mwenyew ushaachwa Mara saba👌🤔

  • @yasmeenmichael8888
    @yasmeenmichael8888 4 года назад +2

    Wanaume wengine wajeuri,unawafanyia kila kitu lakini maneno mapenzi awezi kukupa.,ju kwake anatalajia wewe umpende mwenyewe.hakuna mapenzi side moja

  • @chunafetty6737
    @chunafetty6737 6 лет назад +4

    Maneno kantu👌👌👌

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 4 года назад

    Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema

  • @luciametuselah5164
    @luciametuselah5164 2 года назад

    Nimempenda bule

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 года назад

    Mmmh kazi ipo

  • @mimicherop6108
    @mimicherop6108 4 года назад +1

    Mbona Boss wako kachepuka kila siku

  • @shahidkabaju3336
    @shahidkabaju3336 2 года назад

    Uko sawa

  • @omarymwinyi9684
    @omarymwinyi9684 2 года назад

    Wanawake wa leo ni wachafu kunuka usaf wao ni wa nje tu lkn humo ndani looo

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 года назад +1

    Wanaume wa zamani pia walichepuka.sana .

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 года назад

    Huko kupendeza si mpaka uwe unapewa hela kama hupewi ama meme hana uwezo utapendeza kweli maisha nitafauti kuna watu wanamaisha magumu

  • @maryammuscat3716
    @maryammuscat3716 4 года назад

    Aaallah akurehem akuweke pema peponi anin

  • @bintihamisi6917
    @bintihamisi6917 6 лет назад +9

    Hawafadhiliki dada wengine wajeuri unamfanyia kila kitu lakini ukimuluza kitu anamjibu mabovu

    • @vivianfransis3895
      @vivianfransis3895 4 года назад +1

      kweli kabisa dada unayo sema

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 года назад +1

      Hakupendi. Sepa.

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 года назад

      @@ahz6907 LA ni tabia hiyo ya mtu. Mm pia n8nekuwa nae

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 года назад +1

      @@khadijaangore4408 kitu ambacho nyinyi hamjui mwanaume anachokitaka ni amani ya akili na kitu kingine ambacho sisi twaangalia kwenye mwanamke pia ni mchapa kazi(mtu ambaye anapenda kujituma) ama yeye yupo tu akidhani kwamba mapenzi ndicho kinachomvutia mwanaume.

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 года назад

      @@alfanm.8221 kweli kabisa hapo nakubaliana na wewe 100/%

  • @habibabintjuma9352
    @habibabintjuma9352 4 года назад +1

    Kweli dunia imeisha.. hapo ukute we hufanyi hata moja ila unausia wengine japo si vibaya yote hayo watu wanafanya ila somo zur nikuwafunda jinsi ya kuibana k ndo yenye utamu wote fanya yote af k mtepweto uone😃 kich3ko chako tu si cha maadil kuonesha huna bwana.. af sijui kwanin makungwi wengi hawana waume ukipanik basi na like zenu sitaki

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 года назад

    Mkipendana kwa dhati kila kitu kinakuwa sawa, mengine yatakuja taratibu

  • @khadijaidrisa8248
    @khadijaidrisa8248 Год назад

    Mashallah

  • @azezhgalb6069
    @azezhgalb6069 6 лет назад +2

    asante sana dada nimejifunz mengi japo sijaolea

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 года назад +1

    Maskn ALAH AKUPE KAUL THABIT AKUSAMEHE MAKOSA YKO

  • @elizabethkituli1693
    @elizabethkituli1693 4 года назад +3

    Pumzika kwa aman mumy

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 лет назад +26

    Kungwi icho kicheko balaa,moyo ndio unaopendwa na kupendwa sio chengine wangapi wazuri warembo wasafi wapishi na hawakai kwenye ndoa

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 6 лет назад

    Oyoyo😘😘😘 bi kungwi asante

  • @Tv-dl4qj
    @Tv-dl4qj 3 года назад

    Allah akupanuliye kaburi lako😂😂

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 4 года назад +2

    Mara y Kwanza.kumuona..nikajua kua kafariki huyu kungwi😥😥😥😥 Allah amrehemu..kuna msichana mkenya(siku mbili hizi) kaiga nasaha(za kungwi) kajifanya yeye ndie mwenye haya mawazo

  • @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
    @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 5 лет назад +1

    Aki nimejifunza mengi sana

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 4 года назад

    Bhalo asema hupendwa alie uchafu akaachwa alie msafi

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 года назад

    Wanachukua kwa tamaa yao,,unaweza kufanya yote,still akachepuka

  • @PriscaKimario-s2i
    @PriscaKimario-s2i 4 месяца назад

    1:31 mambo da fatma please naomba namba yako unisaidie mambo fulani

  • @mwajumamashallah3122
    @mwajumamashallah3122 6 лет назад +6

    Nikweli uzsemayo wanaume wangine hawabebeki jeuli imewajaa hawajui kumuheshim mke kama aniheshim Mimi yeyenitamuheshim ndoa niyawaote siommoja

    • @emilehaule8790
      @emilehaule8790 5 лет назад

      Mwajuma mashallah wote hawaheshimu ndoa. Ndo maana research inaonesha asilimia kubwa sana ya wanaume wanalea watoto wasio wao kwny ndoa! Yaan tukisema wazazi wa kiume wakapime DNA za watoto inakuwa mpoteano

    • @haniphermuscatoman6554
      @haniphermuscatoman6554 4 года назад

      Hicho kijola unanunua nann huyo mwanaume kukupa pesa hadi sikuku mtu huongea tu yakiwa hajamfikia ila siku yakimfika atakuwa mpole hatari

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 года назад

    Mwanamke pia Atika kazini siku hizi na waume wapo.maskani

  • @Tv-dl4qj
    @Tv-dl4qj 3 года назад

    Allah akulaze mahala pema😭😭

  • @hussnakhimiss531
    @hussnakhimiss531 4 года назад +1

    Masha allah

  • @happysalva9480
    @happysalva9480 4 года назад +5

    Kumbe umekufa 😢RIP

    • @babuumussa5093
      @babuumussa5093 3 года назад

      Ata mm nlikua cjuwi

    • @omarymwinyi9684
      @omarymwinyi9684 2 года назад

      Amefishwa sio amekufa kufa hua hua anakufa mnyama na sio binadamu lekebisha kauli yako

  • @rukiamwakuzimu3863
    @rukiamwakuzimu3863 4 года назад +2

    Tatizo nyinyi makungwi mwafundisha wenzenu lkn nyinyi wenyewe amdumu kwenye ndoa zenu kwa nini

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 4 года назад

    Allah akurehem Fatuma

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 6 лет назад +4

    Hayo yanawahusu hawa waarab.. Mabos wetu...

  • @fredymatayo1296
    @fredymatayo1296 4 года назад

    Asant kungwi

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 3 года назад +1

    Tafadhali wacha wanaume waseme wenyewe.. wewe ni mke yawanaume yako ndani yaoo. So waache watuambie wewe simamia wanawake.. kwanini wanawake tunawaacha wanaume

  • @fatmaali6571
    @fatmaali6571 4 года назад

    Inna lillahi wa inna illeihi rajiun. Sikujua amefariki

  • @مريمرواندا
    @مريمرواندا 2 месяца назад

    ❤❤

  • @tunaitwakiwovele8813
    @tunaitwakiwovele8813 4 года назад

    Asante sana

  • @nezumafaki3236
    @nezumafaki3236 6 лет назад +1

    Oyooooo mambo ni moto

  • @mariamusefu1035
    @mariamusefu1035 4 года назад

    Dad kama umempata mume mshukuru mungu nn wew usiwachambe wezako kuaona ww ndounayajua mahaba San

  • @alal4699
    @alal4699 4 года назад

    Asante kugwi

  • @omardaud9626
    @omardaud9626 6 лет назад +3

    Jamani mm nataka kitu kipya mbona mambo ndio yaleyale kwa makungwi wote kila kungwi ndio hayohayo sioni jipya .

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад +4

    Wanaume wanasema sheria wanne no matter what.... ata kama utaoga kwa jik na bleach utamaliza singo zote na kama hajaowa akajulikana basi anavimada kwa siri au vimada.

    • @mbaroukkhamis7519
      @mbaroukkhamis7519 4 года назад

      Kweli kabisa hawaridhiki

    • @husnatuli902
      @husnatuli902 4 года назад

      Tatizo jingine ukungwi inafanyika hadharani hadi mwizi anapata mafunzo kwanini asijiongeze akaibe vizuri wewe ukiweka sukari yeye ataongeza asali shuguli ipo siku hizi hata mzungu najua

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 года назад +13

    Tafuteni hela mamikia hayana dili yamepitwa wakati.heshima pesa.ukiwa nayo atakuheshimu tu

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 года назад

    Umeondok fatuma dah, tutasikia wap ngendembwe jmn kha😭😭😭

  • @matswelopelemphela9676
    @matswelopelemphela9676 4 года назад +1

    Naadhi ya wanaume hata uwaletee mbuga ya Serengeti nyumbani anachepuka

    • @AsdDsa-kl4iw
      @AsdDsa-kl4iw 4 года назад

      Huna jipya dada, tuambie mengine lkn sio hayo tushawazoea wanaume hivi ayo unayotuambia wayafanya mwenyewe unamume

  • @najmaibrahim1536
    @najmaibrahim1536 4 года назад +1

    Mafunzo mazuri

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 4 года назад

    Tena kazi hiyo wacha tafuta nyingine mwanamke pia hakosi soko

  • @ZainabZainab-ov2bk
    @ZainabZainab-ov2bk 4 года назад

    Shukran

  • @hawamgalla1436
    @hawamgalla1436 4 года назад

    Duuuh pumnzika kwa aman mama

  • @wiseywziy9036
    @wiseywziy9036 4 года назад +4

    salam aleykum, naomba number ya simu yako, kuna swala nataka kukuuiza plz

  • @HanifaMuradi-qj1cf
    @HanifaMuradi-qj1cf Год назад

    Wanaume ata uwafanyie Nini kuchepuka kwak nilzima

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 года назад

    Waume hawafadhiliki nyie kaeni tu mnawaza waume kushea lazima pesa mdio kila kitu inafikia wafukuzwa kama mbwa kwaZa pesa😂😂

  • @swadaktaswadakta2786
    @swadaktaswadakta2786 6 лет назад +1

    Mash'Allah....

  • @nabiilikhamisi7458
    @nabiilikhamisi7458 4 года назад

    Ww mwenyeo hujaolewa utajuwaje mambo ya ndoa

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 3 года назад

    True l

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 6 лет назад +1

    mashaallah kungwi

  • @ummymohammed2258
    @ummymohammed2258 4 года назад

    We will always miss you sister Fatma 😭😭😭we love you but Allah loves you more than as

  • @uba7hamso19
    @uba7hamso19 4 года назад

    Kemu unazingu mwanaume ata umpe nn kuchepuka atachepukaa tu hmna Nini Wala nn ndoo maana wakaekewa Sheria n wanne

  • @frankalmasi6676
    @frankalmasi6676 6 лет назад +5

    Wape vidonge vyao wamezee

  • @agnessmsacky6657
    @agnessmsacky6657 4 года назад +1

    Kunawanaume wengine wakiwekewa maji ya kuoga jioni haogi kwahiyo aogeshwe kitandani au

  • @floramwanuke961
    @floramwanuke961 4 года назад +1

    We mwenyew wako.anachepk

  • @vanessajohn3820
    @vanessajohn3820 4 года назад

    Mwanamme hata uwe msfi kama kioo atachepukatu mwenye tabia nimwenyetabia unaweza kubadilisha nguo lakini sio tabia naliekupenda haakutoi kasolo usitudanganye watu tilishafanya hivyo na wametoka hakunakitu kama hicho usitudanganye kumbuka amelelewa kvyake na ww kivyake

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 года назад

    Rest Easy aisee dah

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 4 года назад

    Hamna jipya..wakuchepuka ni wakuchepuka.hta ukawa msafi kama malaika atatoka tu

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 4 года назад +2

    Wee kungwi una mume?

  • @neemashilingi3355
    @neemashilingi3355 4 года назад

    Hiv hayo mapenz yazat band yap

  • @salmasoso9839
    @salmasoso9839 4 года назад

    Jamani natafuta mpenzi wa kweli😰awe Islamic awe na ege kuanzia 25 mpaka 28

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 лет назад +5

    Nisalimie ilo dera shoga

    • @almasmohammed7992
      @almasmohammed7992 3 года назад

      Wape dadangu wajirekebishe kama wako na tabia hizo za uchafu

  • @Namanda425
    @Namanda425 4 года назад

    Eti Sanamu la michelin

  • @victorynatai4445
    @victorynatai4445 4 года назад

    naomba namba ya kungwi jaman aokoe ndoa yangu

  • @omariommy8519
    @omariommy8519 6 лет назад

    MashaAllah bii Fatma Abdallah..

  • @philemonmgasha3670
    @philemonmgasha3670 4 года назад

    Mmmh

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 4 года назад +1

    Na mimi nikisimama na wewe wewe waachwa juu ya ukungwi,wako