Bwana Yesu asifiwe naitwa Penuel nipo Arusha Tanzania,,,nimeota nipo njiani nasafisha njia nikaenda mahali pana maji mengi kuchota maji,nikawa nimekaa pembeni nachota maji,nikakanyaga kinyesi na nikaona kinyesi kingi pembeni ndoto ikaishia hapo
Naitwa walda nimezaliwa mkoani mologolo ila naishi dar esalaam lakini sasa kila nikilala naota nipo mologolo tena kwenye mazingira ambayo yazamani sana tuliokua tunaishi baba namama yani familia yetu napia ninyumba yakwanza walioanzia maisha wazazi wangu lakini kwasasa wanaishi nyumba nyengine sio ile yazamani kwani ilishabomokaga, mimi inanishangaza kila nikilala napaota kule kwazamani nahapa nnamambo mengi yamenizonga.. naomba unifafanulie mtabiri
Mimi naitwa mariam from Tanzania nimeota ndoto nimeingia chooni Lakin siki la chok kilikuw chafu mimi nikawa nasafisha na nikamwagia maji mengi Sana mbk kikaw kisafi
Ndanu Emmanuel ndoto hii inakuonyesha kuwa kuna kitu unatafuta kupata ama kueleza hila mazingira ni mbovu , kuona nasafisha inakuashiria kuwa bidii yako itakupa unacho tafuta
@@revpeternjihia mm nliota nataka kwenda choon lkn kukawa wakati naingia kukatokea .mtoto wa kiuume nkaongopa kujisaindia mbele yake nkaenda kwa choo kingine nkakutana na mmama akaniambiga sbiria nkashafishe iliishia apo tu maana yake nn mtumishi wa wa mungu
Praise God pastor am in saudi Arabia but am akenyan mimi niliota niliingia kwa nyumba nkapata nyumba iko maji alafu choo ilikua imefunguliwa na zimenjaa alafu naona tumekaa inje na wenzangu tunao fanya nao kazi lakini bado naona wamama wamekufanyika wanaongea
Naitwa godfrey joseph yohana nimeota nimeinngia chooni nikakuta choo ni kichafu sana nikaghairi kupata haja ila baadae nililudi kukisafisha kile choo kikawa safi naomba unitafsilie
Mtumishi, nipo Moçambique Mji mkuu Maputo. Nimeota nipo chooni, na nikatupa kinyesi ambacho kilikua kwenye bahasha..na choo kilijaa kweli .choo kilikua kizuri sana,ila baada yakutoka nikawa akuna ngazi ya kushukia akaja mtu ninayemjuwa na kusema nikuwekee ngazi utoke....sikuniyoiyo nikaota nipo kwa daraja ndevu sana na nikashuka mpka kwenye mti wa muembe
Bwana asifiwe pastor nimeota naingia choon nakutana na mdogo wa shemeji angu anatoka choon anadai tumbo linamuuma namwangalia sana nikaingia choo hicho nikatoka bila kujisaidia
Mimi nimeota nasafisha choo, nikaota tena nasafisha nyumba mbwa wawili mmoja wa kwetu anarangi nyeupe na mwingine simjui anarangi nyeusi wakaja wakanya niliposafisha na walikunya minyooo nini maana ya ndoto hizi. Naitwa Happy natoka Dsm Tz.
Kuota unataka kwenda kuoga ukafika bafu imejaa maji machafu yakachanganika na Yale umebeba nkayamwaga pale pale na nkatoka nje nkateka maji mengine bombani nkaingia chooni kuoga
Habari mimi naitwa hajirati Abdul mimi nimeota nimepanga foreni yakwenda chooni mstari wa kwanza nilivyo karibia kuingia chooni nikaisi kitukimenikabashingoni nikamuuliza wanyumayangu akanijibu choo hiki kinamapepo yakuingia tena nikaailisha
Jambo mchungaji nimeota niko chooni badaye choo kilikuwa wazi akifugwi mtu akatokeya ila nimemalizia choo nika jisaficha ila uyu mtu amekuwa ana nitazama
MTUMISHI,BWANA YESU ASIFIWE, naitwa Miriam, niliota MWANAMKE YUPO ndani ya shimo la choo, AKAWA anakoroga mavi akitutupia hayo mavi Mimi na MUME WANGU, tukiyakwepa ,anachota Tena, tunahangaika nae SN, Kisha nikaamka.
Naitwa Oliva Mushi, nipo Kilimanjaro Tanzania,Mimi ninaishi kwenye nyumba yangu,lkn nimeota Niko kwenye nyumba ya kupanga niliyokuwa naishi zamani, nikaenda chooni nikakuta vile vyoo vimejaa kinyesi mpaka nje, Mimi nikakoroka kile kinyesi na mpikicho mkubwa baadaye nikaanza kuosha ule mpikicho kwa mikono bila kuvaa gloves.
Nimeota nasafairi ndani ya bas gafra mkojo ukanibana nikashuka bas ikaniacha nikaingia chooni kukojoa nikamkuta masai wakiume nikakojoa kwa nguvu nikakosa maji ya kunawa
Mimi ninaitwa Merina Niko Mtwara tandahimba tanzania usiku wa kuamkia tarehe 10 February nimeota Niko kwenye nyumba mnzuri nikaingia chooni na nikakuta choo ziko mbili yaani matundu mawili na zimeingia kwa ndani nami nilipo jisaidia vile namaliza nikashindwa kotoka nn maana yake
Mm niliota napigana na shetani kwa choo tena hapi nilikuwa nimetoka kuzaa mtoto wa kiume sasa mm nili sukumana nae hadi nika mfugia huyo shetani ndani ya choo
Mm nipo zanzibar nautwa fauziya nimeota sahani yngu ninayo ipenda kulia nimeiota ipo ndani ya sinki akisha imetiwa mavi yamejaa basi nimeamka nimesema siitumii tena kwa kula
Jambo baba mchungaji mimi ni chukuru Dieumerci niko mkongomani Drc naichi south Africa na omba musaada ya tafsiri ya ndoto hii nimeota nikiosha mikono na sabuni ingine nime ota watu wame kuja naku kojowa kwenye Choo inje .nimeota Niko kwenye treni tume safiri lakini kuna wa mbwa wawili tuna wa atcha mbali
Mimi ni Rebecca niko Ethiopia 🇪🇹 mimi nimelota niko na panda mulima tulikuwa Watatu tuko nakanyanya Mavi fasi yote mulima ina jaa Mavi tuka Kosa fasiya kukaa
Mimi nimeota niko choon, vyoo vina pnde 2 upande msafi usiona maji na upande wenye maji. Nikaingia upande wa maji japo kwa foleni na nilipoingia nikajion sina viatu na niko chooni ila kinyesi hakitoki na nimepanwa
Mimi nmeota navuka kwenye septi tank mara likabomoka nikawa naomba msaada tulikuwa wawili ila niliokuwa nawaomba wasaidie kututoa wanashndwa mm nikawa najitahidi kujiokoa kutoka ikaishia hivyo tu
Naukiota mtuana fukua mwili iliyo zikwa kitambo akianza kufukua unaona alifura mpakajuu na amekauka na mwili wake iko nyeupe naikona alama ya kutoboka toboka alama jinsi wadudi iliyommla mwili yamanishaa
Mm Elizabeth niko Musoma mm mlitembea nikajikuta napita chooni choo mpya inajengwa lakini bado hakijamalizika kujengwa.na kinajemgwa kwa simenti bado mbichi. Nikarudi nikapita choo nyingine chafu sana inanuka, na sikuweza kujisaidia!! Ninarudi na ninazinduka.
Nauliza naota Niko Kwa choo Kisha nikiingia too, Kuna mtu anatokea Kisha nashindwa kujisaidia, ya pili Niko Kwa choo ninaoga najisafisha kitu ngumu najisugua.
Shalom!Naitwa Agnes nipo Dareslam nimeota nomebanwa na haha kubwa nikaenda kuomba msaada choo Cha kabisa flan ambalo sisali hapo nikaingia chooni ila nilijisaidia kwa shida sn maana haja kubwa ilikuwa ngumu na haijatoka yote vizur.Nilichukua mda mrefu hd MChungaji akaanza kunishangaa na kunisema sema.Maana yake nn mtumishi wa Mungu?
naitwa queen nimeota ndoto nataka kudumbukia kwenye shimo lkn kuna mtu ambae ni mpenz wangu anataka kuniokoa, anajitahid sn na kunipa moyo kuwa ananiokoa lkn ndoto ilikata bila kundumbukia kwenye maji wala kuokolewa nn maana ya hii ndoto? nisaidie natokea tz
Naitwa mwanahamisi natokea kibaha,, mimi niliota mdogo wangu ametumbukia chooni, watu wakaja kumtoa lakini alikuwa kesha fariki nini maana ya ndoto hii.

Bwana Yesu asifiwe baba mimi pendo kutoka Dodoma nimeota nguo zangu zimedondokea chooni nini maana yake
Nimesaidika mtumishi.. Amen
Amina
Naitwa walda nimezaliwa mkoani mologolo ila naishi dar esalaam lakini sasa kila nikilala naota nipo mologolo tena kwenye mazingira ambayo yazamani sana tuliokua tunaishi baba namama yani familia yetu napia ninyumba yakwanza walioanzia maisha wazazi wangu lakini kwasasa wanaishi nyumba nyengine sio ile yazamani kwani ilishabomokaga, mimi inanishangaza kila nikilala napaota kule kwazamani nahapa nnamambo mengi yamenizonga.. naomba unifafanulie mtabiri
Asante sana ubarikiwe
Naitwa Vivian kutoka nairobi mm nimeota titi langu Moja Lina toa maziwa mengi
Asante Sana Kwa msaada wako....na ukiota umeanguka chooni..chini kwa sakafu la Choo...
Eunice hiyo ni roho ya kukoseshwa kibali, wanataka maisha yako unuke kama Choo ndiyo uwe regected
God bless you sir...nitaomba kabisa..may u live long in Jesus name
Mm nimeota mtoto wangu Alianguka Kwa choo nikamuokoa kabla jasama Ina maana gani
Mimi naitwa mariam from Tanzania nimeota ndoto nimeingia chooni Lakin siki la chok kilikuw chafu mimi nikawa nasafisha na nikamwagia maji mengi Sana mbk kikaw kisafi
Mm pia ni vyivyo hivyo ddngu
Ndanu Emmanuel ndoto hii inakuonyesha kuwa kuna kitu unatafuta kupata ama kueleza hila mazingira ni mbovu , kuona nasafisha inakuashiria kuwa bidii yako itakupa unacho tafuta
@@revpeternjihia mm nliota nataka kwenda choon lkn kukawa wakati naingia kukatokea .mtoto wa kiuume nkaongopa kujisaindia mbele yake nkaenda kwa choo kingine nkakutana na mmama akaniambiga sbiria nkashafishe iliishia apo tu maana yake nn mtumishi wa wa mungu
Mimi nilikuwa naota sana masafisha choo…Ila izi siku mbili ndoto inajirudia kuwa choo kimejaa.
Praise God pastor am in saudi Arabia but am akenyan mimi niliota niliingia kwa nyumba nkapata nyumba iko maji alafu choo ilikua imefunguliwa na zimenjaa alafu naona tumekaa inje na wenzangu tunao fanya nao kazi lakini bado naona wamama wamekufanyika wanaongea
Habari mchungaji nami napenda kuota niko chooni kama hiyo nikiyuingiya emo nafika nagonjwa ila nikiingiya mwazile cho zamitii nafika nakuwa mzima ,siko naelewa naitwa , Jeanine naishi ! Burundi ubarikiwe babayangu
Naitwa godfrey joseph yohana nimeota nimeinngia chooni nikakuta choo ni kichafu sana nikaghairi kupata haja ila baadae nililudi kukisafisha kile choo kikawa safi naomba unitafsilie
Hi naitwa monicah Niko makongeni na ukiota ukihara ukiingia uaona mtoto akitaka kukupanguzia akienda kupanguza anatubukia Kwa choo ndani
Amen
Mtumishi, nipo Moçambique Mji mkuu Maputo. Nimeota nipo chooni, na nikatupa kinyesi ambacho kilikua kwenye bahasha..na choo kilijaa kweli .choo kilikua kizuri sana,ila baada yakutoka nikawa akuna ngazi ya kushukia akaja mtu ninayemjuwa na kusema nikuwekee ngazi utoke....sikuniyoiyo nikaota nipo kwa daraja ndevu sana na nikashuka mpka kwenye mti wa muembe
Naitwa MUKESHIMANA SALIMA Niko Rwanda Cyangugu.
Asante sana kutusaidiya kujua tafsiri ya ndoto
Tunaomba number zako
Habari mchungaji mm naota niko chooni najisaidia alafu najidawaza mwenyewe kabisa
Bwana asifiwe pastor nimeota naingia choon nakutana na mdogo wa shemeji angu anatoka choon anadai tumbo linamuuma namwangalia sana nikaingia choo hicho nikatoka bila kujisaidia
Mimi nimeota nasafisha choo, nikaota tena nasafisha nyumba mbwa wawili mmoja wa kwetu anarangi nyeupe na mwingine simjui anarangi nyeusi wakaja wakanya niliposafisha na walikunya minyooo nini maana ya ndoto hizi. Naitwa Happy natoka Dsm Tz.
Ukiota unaona haja kubwa inamaana gani ama kuota unajisaidia inamaana ganiiiii🙏🤲
Mm anaitwa Lilian Kutoka Kenya na ukiota unakutana na mavi yamewekwa hapo chini alafu huyatoee na jembe inamanisha nn
Mmmm naitwa Richard kutoka Kenya nimeota kukanyaga choo imetapakaaa Kila maaali
Kuota unataka kwenda kuoga ukafika bafu imejaa maji machafu yakachanganika na Yale umebeba nkayamwaga pale pale na nkatoka nje nkateka maji mengine bombani nkaingia chooni kuoga
ruclips.net/user/livepQc-BsQaGfA?feature=share
Naitwa happie Niko tanzani nimeota Niko chooni mafua mara nguzo za Mme wangu zimedumbukia chooni nikaanza nikazisafishaa
ruclips.net/user/liverqcEdw5cIv4?feature=share
Kuota unafanya kazi
Habari mimi naitwa hajirati Abdul mimi nimeota nimepanga foreni yakwenda chooni mstari wa kwanza nilivyo karibia kuingia chooni nikaisi kitukimenikabashingoni nikamuuliza wanyumayangu akanijibu choo hiki kinamapepo yakuingia tena nikaailisha
Naitwa lwise Niko dar ikiwa mtu anajipata Yuko chooni n a mazingira yake ni machafu au Niko kwa nyumba but nyumba ni chafu Sana na Niko ndani yake
Mm n lucy huwa naota n mtoto mwenye amejipupulia,n ni mtoto mdogo so mm huwa namuosha ndo niweZe kumchukuwa
Jambo mchungaji nimeota niko chooni badaye choo kilikuwa wazi akifugwi mtu akatokeya ila nimemalizia choo nika jisaficha ila uyu mtu amekuwa ana nitazama
MTUMISHI,BWANA YESU ASIFIWE, naitwa Miriam, niliota MWANAMKE YUPO ndani ya shimo la choo, AKAWA anakoroga mavi akitutupia hayo mavi Mimi na MUME WANGU, tukiyakwepa ,anachota Tena, tunahangaika nae SN, Kisha nikaamka.
Naitwa Oliva Mushi, nipo Kilimanjaro Tanzania,Mimi ninaishi kwenye nyumba yangu,lkn nimeota Niko kwenye nyumba ya kupanga niliyokuwa naishi zamani, nikaenda chooni nikakuta vile vyoo vimejaa kinyesi mpaka nje, Mimi nikakoroka kile kinyesi na mpikicho mkubwa baadaye nikaanza kuosha ule mpikicho kwa mikono bila kuvaa gloves.
This service is so awesome
@Gertrude Joseph Asante Kwa kunitia moyo. Tukutane Kesho SAA Tatu usiku
Mimi Festo kachukuzi napatikana Katoro geita niliota naoga maana yake nini mtumishi wa Mungu
Mimi naitwa juliethy nipo magomeni nimeota ninakimbizwa namwizi nikaingia nyumba yamtu akanificha kwenyechumba Kama choo Ila naona siyochoo mlango haukufunga alienificha akatoka mwizi kaingia Ila nikawamkali hakuniibia nilitoka kuelekea balabalani nikakutana nakaka namjua anachotamaji akanisaidia mwizi hakunifatatena nini maanayake naombajibu inanisumbua
Niliota nikiosha choo
Nimeota nasafairi ndani ya bas gafra mkojo ukanibana nikashuka bas ikaniacha nikaingia chooni kukojoa nikamkuta masai wakiume nikakojoa kwa nguvu nikakosa maji ya kunawa
Mcungaji na mimi naitwa kurusumu natokea burundi nimeota naenda chooni kujisaidia lakini cha ajabu nikajukuta niko nafuwa nguo ni nikiwa kwachoo
Naitwa Emmy kutoka kahama nimeota ndoto najisaidia afuu najitawaza kbs na majii
Mimi ninaitwa Merina Niko Mtwara tandahimba tanzania usiku wa kuamkia tarehe 10 February nimeota Niko kwenye nyumba mnzuri nikaingia chooni na nikakuta choo ziko mbili yaani matundu mawili na zimeingia kwa ndani nami nilipo jisaidia vile namaliza nikashindwa kotoka nn maana yake
Naomba number zako Mtumish
+254706945821
@@revpeternjihia Sante sana
Mm nimeota napika kwenye think la choo
Mm niliota napigana na shetani kwa choo tena hapi nilikuwa nimetoka kuzaa mtoto wa kiume sasa mm nili sukumana nae hadi nika mfugia huyo shetani ndani ya choo
Mimi nato sana chooni lakini nakua sijisaidii
Naitwa sharifa niko dar es salam , nimeota nimeokota pesa chooni za noti , lakin choo cha zamani sana yani kina mashimo
Leah kutoka kilifi. Nimeota niko kwa joo ya bara na bubu na osha haja ingie kwenye shimo na kuna haja ya mwingine hapo tu pia naosha
@Leah Wasike nitapost link hapa ya jibu lako .
Hi,Naitwa Agnes nipo dareslam.nimeota napata haha kubwa in maana yake mtumishi
Mm nipo zanzibar nautwa fauziya nimeota sahani yngu ninayo ipenda kulia nimeiota ipo ndani ya sinki akisha imetiwa mavi yamejaa basi nimeamka nimesema siitumii tena kwa kula
Mimi Niko ruvuma naitwa cosma nimewahi ota malambili nipo uchi INA maana gani
Cosmas Komba nitakuwa live SAA Tatu ya usiku jiunge Nami nitakupa maana yake
Ndoto ya kuona unatoa jini kwa choo
Naitwa Sara Niko mwanza nimeota najisaidia choo kichafu na watu wapo halafubniko uchi
Jambo baba mchungaji mimi ni chukuru Dieumerci niko mkongomani Drc naichi south Africa na omba musaada ya tafsiri ya ndoto hii nimeota nikiosha mikono na sabuni ingine nime ota watu wame kuja naku kojowa kwenye Choo inje .nimeota Niko kwenye treni tume safiri lakini kuna wa mbwa wawili tuna wa atcha mbali
Mtumishi ukiota unatembea na kila ukipia hatua unakutana na kinyezi wamanisha nn.niko saudia
Naitwa Emma josephat natokea Arusha nimeota nimeingia choon nikakuta njiwa 3 wapo kwenye sink maana yake ni nini
Nimeota nasafisha choo kichafu sana
Mimi ni Rebecca niko Ethiopia 🇪🇹 mimi nimelota niko na panda mulima tulikuwa Watatu tuko nakanyanya Mavi fasi yote mulima ina jaa Mavi tuka Kosa fasiya kukaa
Mimi nimeota niko choon, vyoo vina pnde 2 upande msafi usiona maji na upande wenye maji. Nikaingia upande wa maji japo kwa foleni na nilipoingia nikajion sina viatu na niko chooni ila kinyesi hakitoki na nimepanwa
Mimi nimeota niko chooni pamoja na mpenzi wangu yeye akatoka mimi nikabaki chooni
Nimeota karo la choo limebomka inamaanisha nini
ruclips.net/user/lived5vb0u1fu5g?feature=share
Mimi nmeota navuka kwenye septi tank mara likabomoka nikawa naomba msaada tulikuwa wawili ila niliokuwa nawaomba wasaidie kututoa wanashndwa mm nikawa najitahidi kujiokoa kutoka ikaishia hivyo tu
Uyu jamaa ajui maana ya ndoto kuota choo inamaana au unaenda chooni maana yake ni kuponywa matatizo yako kama ugonjwa utapona na kama un
Naukiota mtuana fukua mwili iliyo zikwa kitambo akianza kufukua unaona alifura mpakajuu na amekauka na mwili wake iko nyeupe naikona alama ya kutoboka toboka alama jinsi wadudi iliyommla mwili yamanishaa
17:17
Natokea Zanzibar unguja nmeota nasflashi haja kubwa lkn haiendi kila nikisafisha haiendi nikashika kwa mkono nyingine nikaiweka pemben, nisaidie
Mm Elizabeth niko Musoma mm mlitembea nikajikuta napita chooni choo mpya inajengwa lakini bado hakijamalizika kujengwa.na kinajemgwa kwa simenti bado mbichi. Nikarudi nikapita choo nyingine chafu sana inanuka, na sikuweza kujisaidia!! Ninarudi na ninazinduka.
Nauliza naota Niko Kwa choo Kisha nikiingia too, Kuna mtu anatokea Kisha nashindwa kujisaidia, ya pili Niko Kwa choo ninaoga najisafisha kitu ngumu najisugua.
Shalom!Naitwa Agnes nipo Dareslam nimeota nomebanwa na haha kubwa nikaenda kuomba msaada choo Cha kabisa flan ambalo sisali hapo nikaingia chooni ila nilijisaidia kwa shida sn maana haja kubwa ilikuwa ngumu na haijatoka yote vizur.Nilichukua mda mrefu hd MChungaji akaanza kunishangaa na kunisema sema.Maana yake nn mtumishi wa Mungu?
ukiota umedumbikia chooni nimeota kama mala mbili
naitwa queen nimeota ndoto nataka kudumbukia kwenye shimo lkn kuna mtu ambae ni mpenz wangu anataka kuniokoa, anajitahid sn na kunipa moyo kuwa ananiokoa lkn ndoto ilikata bila kundumbukia kwenye maji wala kuokolewa nn maana ya hii ndoto? nisaidie natokea tz
Nimeota mpenzi wangu anafanya mapenzi choon na mtu ninaemfahamu na nimewaona live wakufanya mapenzi nisaidie maana yake nipo dodoma
What about kuota mtu akitengeneza choo
@Jeremiah Ikanyi ina manisha mafanikio, amani, abundance, furaha unaenda kuwa nayo, pia ina manisha period of stability is come to you.
Nini maana unaingia choo unakuta vinyesi vimetapakaa huoni pa kukanyaga?
Umefanywa kuwa kinyaa mbele za watu utajikuta ktk ali ya kawaida kuna watu awakupendi
mtumishi Mimi uwa naota nafanya usafi chooni naomba niambie nini maana
Naitwa mwanahamisi natokea kibaha,, mimi niliota mdogo wangu ametumbukia chooni, watu wakaja kumtoa lakini alikuwa kesha fariki nini maana ya ndoto hii.
Habari naomba namba yako ya WhatsApp
+254706945821
Mm nimeota nimeingia choo kichafu juu hata hauna mahari ya kukanyanga
Mm na itwa mwanasha kutoka Mombasa ukiota mpenzi wako wautafuta lakini umuoni nakila mara doto hii yakujia
Naitwa yasry naishshi dar
Mimeota naingia chooni na choo kibovu watu wananichungulia
Ukiota upo chooni yaani choo na bafu vimeungana harafu Kuna nguo nyingi na mikoba nn maana yake