Mambo Mawili Muhimu Katika Malezi ya Watoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Mambo Mawili Muhimu Katika Malezi ya Watoto:
    Ungana na Mwalimu Justin Kakoko katika elimu hii ya malezi akifafanua maana ya malezi. Pia usikose kufuatilia mtiririko wa vipindi vingi toka kwake kuhusu malezi bora ya watoto wetu.
    .
    Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
    .
    WASILIANA NA JUSTINE KAKOKO:
    SIMU: 0765-886-191
    EMAIL: justinekakoko@gmail.com
    INSTAGRAM: @justine_kakoko
    FACEBOOK PAGE: Justine Kakoko
    RUclips CHANNEL: / @justine_kakoko
    .
    KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
    Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
    Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
    👇🏼👇🏼
    Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp....
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / @ezden_voiceover
    .
    KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
    Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
    Tuwasiliane:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Mafanikio, Malengo, Mipango, Kuhamasisha, Ushawishi, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya mwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Tabia, Kujenga uwezo, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri, Swahili Motivation,
    .
    #Malezi #Bora #Watoto

Комментарии • 8

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 4 месяца назад +1

    Justin kakoko
    . Asante sana Malezii ni ulinzii tumeelewa

  • @michaelmahundi1226
    @michaelmahundi1226 4 месяца назад +1

    Somo zuri sana...Asante sana

  • @ShabaniHabibuShabani
    @ShabaniHabibuShabani 4 месяца назад

    Ahsante kwa somo zuri kaka,naamin vijana tumeelwa.

  • @Kijavaa_jr
    @Kijavaa_jr 4 месяца назад

    Mada nzurii

    • @ShabaniHabibuShabani
      @ShabaniHabibuShabani 4 месяца назад

      Asante kaka kwa somo zuri,Nashauri wale wanaotegemea watoto wao katika maisha Yao waache mara Moja ili watoto nao wajiandae kwa ajili ya maisha Yao na ya kizazi kiacho.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 месяца назад

      @@ShabaniHabibuShabani Ni jukumu la mzazi kumuandaa mtoto awe tayari kwa maisha... Pia ni vizuri kujiandaa ili usimtegee mwanao, lakini kwa mtoto kumsaidia au kumlea mzazi wake ni jukumu ambalo limeagizwa na Muumba na kuna malipo ikiwa atafanya hivyo na akimtelekeza kuna adhabu.