Ila maisha haya Jaman Mungu tu atusimamie ktk utafutaj wetu wa rizk na turidhike na kile tunachokipata...na atuepushe na tamaa za kutaka utajir usio wa halali Amiiiiim
Duuh, jaman! Tamaaa mbaya turizike na kidogo tunachopata jaman, na Tumwombe Mungu atatupa, shetan ni mbaya sana atakupa ugumu wa maisha ili tuu umfwate na kkupa pesa za mateso. Pole sana kka ssa mfwate Yesu ndiye njia ya kweli
Kwa kweli katika maisha ukisema huwezi fanikiwa bac ww maisha yako yote na pindi unapokaa hutofanikiwa kabisaa, heri ujishughlishe na mmbo tofauti na ujifanikishe kimaisha. Manake ukisema uwende kutafuta hela ama utajiri kiaina hiyo bac utaputia mmbo mengi na badae utakuja jutia🇰🇪
Unasemaje mimi nnavyoogopa nyoka mama yangu bora nife masikini kweli shetani hawezi kukupa kitu cha bure Mungu tu ndio anakubariki ukimtegemea na ukiwa na subira atakubariki dah bro inabidi utuandikie vitabu na hizi true stories na uzitengenezee movie
Kumbe hio majivuni washirikina wanayo eti wao ndo wao na mapesa pesa zao wanapitia uchafu kiasi hii? Najifunza mengi sana kupitia kwako Davistar, big up brother.
Do you know that when you're in Christ uwe na pesa ama uwe huna unaonanga maisha yakiwa yakawaida tu!In Christ there's all! Those who depend on Him will never be disappointed 🙏
Hawa watu wenye mavidonda makubwa yasiyo pona ni wengi sana mjini. Wanatembea huku na huko kuomba misaada na huwa wanagoma kwenda kutibiwa hospitalini. Sasa leo nimejuwa kumbe yale ni madonda ya utajiri. Si vizuri kutoa msaada ovyo bila kumuuliza Mungu. Huruma inaweza kukuponza.
Davistar matako hnachelewa kuweka part 2 all the way niko China na nataka kurudi TANZANIA KUJA kutafta huo utajiri wa kichawi so huwa najifunza kupitia videos zako
Biashara Za halali huwa hazina baraka na mafanikio binasfi nafanya biashara Za halali nasioni mafanikio yoyote nikwavile mimi nina Iman Sana ya Dini na Mungu ndio mana nimeridhika japo Sioni muelekeo wowote tangu nimezaliwa Mpaka sasa ivi ! Alhamudilah nina mume mwenye uwezo kidogo icho ndio kinacho nisaidia Lakini mimi kama mimi sijawahi kufanikiwa !
Ikoiko unachopata ndo riziki yako .na mafanikio hayaji kirahisi ndugu.endelea kufanya kazi iyoiyo ya halali mpenzi 😘ipo siku utafanikiwa tu na ikoiko kidogo
Mapenzi hayaumi ila inategemea umeingiaje, unakula kiapo na mwanamke kesho tu analala mbele jembe hao viumbe hawana uvumilivu wenye ni hela tu ndo mchawi wao
Eeee napata picha kuna mzee mmoja mfanyibiashara anadonda kubwa haliponi toka kitambo kumbe eeee ndo mambo yenu haya.... Wale wa kenya tunaonnua viaz kwa msembi ujamaa mtakua mnaelewa
Yaa kidonda ndugu hicho kikiazaa kuvujaa maji maji watu wanajazana dukani kwake sana lkn huko nikujitesaa tuu jamani kwann usitafute halali yako kidonda kilasaa waumia kisa utajiri nyoo naukae huko
Ila maisha haya Jaman Mungu tu atusimamie ktk utafutaj wetu wa rizk na turidhike na kile tunachokipata...na atuepushe na tamaa za kutaka utajir usio wa halali Amiiiiim
Kwakweli
Tamaa tamaa sio nzuri kabisa tuungojee utajiri wa Mungu jamani
Oyo wanangu hamlali namm Leo nahitaji like zenu
🤣🤣🤣🤣
Tushakupa
@Linda okwaro othis hata mie nimempa
@Linda okwaro othis aaaaaa
@Linda okwaro othis aa
Davista kijan wako hp mtu mweny utu wang respect 👊
Duuh, jaman! Tamaaa mbaya turizike na kidogo tunachopata jaman, na Tumwombe Mungu atatupa, shetan ni mbaya sana atakupa ugumu wa maisha ili tuu umfwate na kkupa pesa za mateso. Pole sana kka ssa mfwate Yesu ndiye njia ya kweli
Davista unajua tunakupenda.... unatuletea mastori ya hakika....God bless you
Kweli tunampenda sana Mungu amlinde na amuweke azidi kutuelimisha amina
Kweli dunia haish maajabu, hvi mtu anataka utajir kwa njia za ajabu kwa mungu utaenda kujibu nin, na na wakat huko ndio yapo maisha ya milele
Pole na majukumuya Kazi Mwamba Davistar umechokaaa 👊💪🔥
Utajiri wa haraka haraka una shida kubwa tufanye kazi tu ipo siku Mungu atatusaidia
Davista tunapenda vipindi vyako Sana from Australia
davistar yan mm hakuna siku ambayo na miss kuchek chanel yako ur the best mungu akusaidie utimize malengo yako na more subc 🙏🏼🙏🏼
Kwa kweli katika maisha ukisema huwezi fanikiwa bac ww maisha yako yote na pindi unapokaa hutofanikiwa kabisaa, heri ujishughlishe na mmbo tofauti na ujifanikishe kimaisha. Manake ukisema uwende kutafuta hela ama utajiri kiaina hiyo bac utaputia mmbo mengi na badae utakuja jutia🇰🇪
Unasemaje mimi nnavyoogopa nyoka mama yangu bora nife masikini kweli shetani hawezi kukupa kitu cha bure Mungu tu ndio anakubariki ukimtegemea na ukiwa na subira atakubariki dah bro inabidi utuandikie vitabu na hizi true stories na uzitengenezee movie
Namulaumu sana mke wake ndie alisababisha angesaidiana na mume wake kutafuta pesa yote hayo yasingetokea
Yaani nikiona ka notification cha RUclips navyo kimbia fasta najua umesha weka ktu 😔😔😔😔🤦♀️🤦♀️
Kumbe aya mambo yapo kweli duh nilikuwa nayasikia tu Mungu ninusuru acha niridhik tu na kusugua vyooo
Baba Mungu nipe ujasiri wa kupambana na maisha bila kukushirikisha.
Yani davistar mm nakubali Sana sauti yako naninakuona mbali kwenye utangazaji..salute
🙏🙏🙏 shukrani sana
🙏🙏🙏 shukrani sana
Doh mapenzi hatari pole sana
Hii story bongo movie washaicheza aliigiza chuchu hans
Dunia hii inamengi mungu atunusuru🤗
Kumbe hio majivuni washirikina wanayo eti wao ndo wao na mapesa pesa zao wanapitia uchafu kiasi hii?
Najifunza mengi sana kupitia kwako Davistar, big up brother.
DM mwenyewe haahaa miss u maze anyway thanks Kwa kutuelimisha Na haya majanga ya dunia
Do you know that when you're in Christ uwe na pesa ama uwe huna unaonanga maisha yakiwa yakawaida tu!In Christ there's all! Those who depend on Him will never be disappointed 🙏
Sikubizi sitaki story nusunusu nangoja zote pap ndo niwatch😎
Mungu wangu acha tu niwe sina pesaaaa
Team kuchelewa, bora tumefika 😊
Haya mambo niliona kwa movie haswa kidonda kisichopona, kupata hela kupitia njia za kushirikina, kumbe ni ukweli?
Niliona kitabo Nigeria movie😥
@@marianhassan9460 mi pia billionaires club, kumbe kikweli kuna mambo kama hayo
@@violinenyakara5028 Ndio dadangu, Dunia ina mambo, chochote Mungu anakupa, hujutiii, lakini ya shetani ni mateso chungu nzima😥
Subhana llah yarabbi jamani mm utajiri wa kichawi siutaki .Nitatumwa na waarabu mpaka nipate ninacho kitaka
kabisa yaan bora kupambana kwa warabu tu bas
Hapo sasa
Sha baby nicheki whatsap 625580912
@@patrickmgata9574 inshaallah
Nitafulai sana
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel
Hawa watu wenye mavidonda makubwa yasiyo pona ni wengi sana mjini. Wanatembea huku na huko kuomba misaada na huwa wanagoma kwenda kutibiwa hospitalini. Sasa leo nimejuwa kumbe yale ni madonda ya utajiri. Si vizuri kutoa msaada ovyo bila kumuuliza Mungu. Huruma inaweza kukuponza.
Kwel kabisa hata mmi nilishawaona, duu hela hiz jamaniii, mtihani
Mi ningekimbia mbio nyingiii mno maana story inatishaaa,,,hongera cz unakutana na story za kutisha mno
Nakupenda davista wangu ❤️❤️❤️🙊
Kulidhika ni lazimaaaa vijanaaa
Dunia tunapita...Pesa tutaziacha na Moto utajazwa kwa watu na Majini
Yaarabi mungu wangu tusaidie sisi VIUMBE VYAKO yaarabi hakuna mwengine abudiwae KWA haki ila wewe mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa🤲🤲🤲🤲
Aaaaamin🙏🙏🙏
Amiin
davistar brother uko vzr Sanaa nakuerewa Sanaa broo
Mtu makini katika ubora wako Ongera kaka dm kwa kazi mzuri Mungu akupe Maisha Marefu in shaallaa
Amiin inshaallah
Dah hataree mtihani kwelikweli 🙏🙏🇹🇿🇦🇹
Tamaa mbaya jamani
Msimuliaj ana mbwembwe ka anasoma kwenye ktabu😃😃
Davistar huyo nae nomaa Sanaa🐝🤒🙈
Duh ila pole xana make wengine huwa wanatoa kafara wengne ila wew uliamua kujikaanga mwenyew.
Tupo pamoja sana bro
Nakufatilia sana
Nice white colour on you Davi👍
Yaani hawa waganga lazima wakukufurishe .
Nan anamuona davista anasinzia kachoka pole Sana mzee
Huyu mkk story yake...ndio ya mfanya asinzie...
@@njmanjma8626 gyyy MBona wanitishia jamani haahaa
Hahahaah
Vituko ww🤣🤣
Davistar matako hnachelewa kuweka part 2 all the way niko China na nataka kurudi TANZANIA KUJA kutafta huo utajiri wa kichawi so huwa najifunza kupitia videos zako
Njoo tu mm mwenyew mganga ila nitakupandikizia jini kila cku linakutafuna af hela kama zote
Duu linanuka hilodonda linaitwa donda ndugu😔😔
We’re waiting for part 2 Dv...mbona una tutenda hvyo
Zaaa zaaaaa zaaaaa zagiza😂😂
Mikasa yako hua naiamin sanaaaa ni ya kweli
Hahahaha mwamba Kama anasinzia hivi
God bless you
Davista mata mtu makini pamoja kk💪
Watching n listening all the way from Zambia big up DM
🙏🙏🙏
Jifunze swahili nyinyi Wa zambia tukisema swahili huku mumakomboni yaani mtaa mnasema eti tunawatukana
Duh pole sana
Sawa Mr facts.
Nimesherewa tena reo
Simulizi nzuri .
Zaid tumuombe Mora ty jamani, utajr wa shortcut sio mzur kiukweli
Duh jamani
Leo nimewai kidogo devista napenda story zako Ila zinachelewa Sana kutuma muenderezo
Kweli mshirikina atadumu kwenye Moto wa jahannam Milele
Biashara Za halali huwa hazina baraka na mafanikio binasfi nafanya biashara Za halali nasioni mafanikio yoyote nikwavile mimi nina Iman Sana ya Dini na Mungu ndio mana nimeridhika japo Sioni muelekeo wowote tangu nimezaliwa Mpaka sasa ivi ! Alhamudilah nina mume mwenye uwezo kidogo icho ndio kinacho nisaidia Lakini mimi kama mimi sijawahi kufanikiwa !
Ikoiko unachopata ndo riziki yako .na mafanikio hayaji kirahisi ndugu.endelea kufanya kazi iyoiyo ya halali mpenzi 😘ipo siku utafanikiwa tu na ikoiko kidogo
Mi ntaskilza kesho inaonekana inatisha hii nicjeshndwa lala 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@Linda okwaro othis njoo tunywe wote...uko wapi
🤣🤣kwa mistor hii yakutsha pombe yenyewe haishiki 🤣🤣 utamalza cret unajukuta unaskia vzur tu 🏃♀️🏃♀️
Hahahahahahaha eti mama alimpa ushirikiano
Rajab Hussein 🤣🤣🤣
Mapenzi hayaumi ila inategemea umeingiaje, unakula kiapo na mwanamke kesho tu analala mbele jembe hao viumbe hawana uvumilivu wenye ni hela tu ndo mchawi wao
eti nyoka? never heard of that
Eeee napata picha kuna mzee mmoja mfanyibiashara anadonda kubwa haliponi toka kitambo kumbe eeee ndo mambo yenu haya.... Wale wa kenya tunaonnua viaz kwa msembi ujamaa mtakua mnaelewa
Mungu atunusuru.
Big up sanaaa davistar cjawah kosaa kipindi chako💯💯
Shukrani sana
ongera Kwa Kaz nzr
Tamaa mbaya
Duh una roho nyoka akulambe sehemu za siri🤨
From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uyu mmakuw mwenzang
Aliemsikia darvistar eti ulimpa ushirikiano agongelike
Davistar party ya pili please
Kidogo nimewah
Inatisha😥acha nijikaze niisikilize🥺🥺😥
Pamoja
🤣🤣🤣 pole jikaze hakika inatisha
Jamani dunia rangi rangile
Nipo apa team kuchelewa nimewasilii kama upepo
😂😂😂😂😂 tuko wengi
@@naomiakoth2958 😀😀😀Sisi kila siku wa mwisho
@@eshalibaba1195 🤣🤣🤣🤣 watu Wana wai
Wa mixho Leo naona
🤔 Davistar Thanks so much but TZ ni moto sana kwa wanganga na wachawi hata huku Ug ukigombana na mtu anakwambia nitakwendea T'Z 😏
Za ugandaaa ?
😂😂😂😂
Ata mm naogopa sana tz waah. kila mahali kuna uchawi lkn tz imezidi sana sana
Na huku kwetu Rwanda mtu akikwambia mm mtanzania yani unamuogopa 🙆♀️🙆♀️
@@iadeclementine5604 duh hatari sana
Khaàa..wee kiboko naona unauliza ushilikiano davstar mata
Da anamaanisha mama alinyonga nyonga au alikaa kama gogo 😂
Dooh nyoka kuramba sehem zasiri mmh jaman me simtaman kabisa tajiri mana hujui pesa kaipata vp
From Monaco France
Haaa shida sana😥😥
pamoja Davista
Yee!!! Baba mm huyu 😄😄😄
Yaa kidonda ndugu hicho kikiazaa kuvujaa maji maji watu wanajazana dukani kwake sana lkn huko nikujitesaa tuu jamani kwann usitafute halali yako kidonda kilasaa waumia kisa utajiri nyoo naukae huko
Muendelezo pleaz
Ghii tamaa mbele jameni mauti nyuma
Na mie nimewahi, leo nipo namba 61
Hizi story zako zote zakichawi zmeanzakuboaaa🙄
Davista huyu jamaa anasoma sehemu?.maana anaongea kama anasoma sehemu
WAJINGA HAWA
Kwakweli maisha nisafarindefu
Bora huyo kuliko kuhua mwanadamu mwenzio
Yote ni mbya tu
Dadeq....nyoka analamba mashine??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! AKIKUNG'ATA?
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Story makini kwenye Chanel makini