Ulitujali sana Mzee wetu,na ulitupenda sana,Mungu akujalie afya njema na nyota yako ing'are kwa vijana wako hadija na khamisi,maana hukutumia cheo chako kwa watoto kuzarau askari,walikuwa na nidhamu ma uncle na tumewamiss sana(ku)
Mungu aendelee kukupa maisha marefu MH - MWADHIMU MKUU JWT ABDRAHAMANI. Umewaridhisha/IMPART watu na hasa vijana tunu uliyoipata katika maisha yako ya kulitumikia Taifa 🇹🇿. . Moyo wako ulioutoa hata mimi binafsi umenijenga na kunipa matumaini ya kutimiza ndoto zangu.. Nia yako njema toka mwanzo imetikisa. Amaizing GREAT HEART. SUPERB
Asante sana Kwa haya mahojiano mazuri sana. Nimetamani kuendelea kumsikiliza. Nasikitika kidogo mtangazaji hajamuuliza mzee kuhusu operation ya Anjuan visiwa Vya Comoros ambayo Kama sikosei ni operation yake ya mwisho kuelekea kustaafu. Lakini pia nilitamani mzee aulizwe kuhusu tuhuma za matumizi ya fedha na ukwasi aliotuhumiwa kuwa nao miaka ya mwisho ya utumishi wake Kama mnadhimu. Mzee anaakili nyingi, afya timamu na anaonekana kuwa na hekima nyingi Mungu ambariki na atubariki Kama taifa kuwa na wazee Kama hawa
Bonge la makala, aisee!!! Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi ana historia nzuri sana. Nimejifunza mengi kutoka kwake. Mola amjaalie umri wenye wingi wa afya njema katika maisha yake.
Haya ndo mambo jamii inahitaji simlizi za Mashujaa wetu. Siyo mnatuletea habari za kina mayele na majini hizo hazupi afya ktk Taifa. Simlizi za namna hii yaani zinakupakutamani kuwa mwanajeshi.
Afande Inanikumbusha Machungu Sana Na Kazi Kubwa Huko Seychelles Tukipigana Sana Na Askari Wa Kukodi Maeneo Ya Port Lawi ,Bousezuu Nawashukuru Wote Tulio Bali Hai Na Wewe Afande Wetu

Hongera 🎉 saana kwa utumishi uliotukuka
Big up Lt. General Ambassador Abdulrahman Shimbo
Tunakutakia maisha mazuri na mapumziko mema pamoja na familia
Balozi anapoongea unatamani asimalize.Nimefurahi sana kumsikia kwa ufasaha L.General Abulrahimani Shimbo.Mungu aendelee kumtunza Jemedari huyu.
Bonge la makala, aisee!!! Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi ana historia nzuri sana. Nimejifunza mengi kutoka kwake. Mola amjaalie umri wenye wingi wa afya njema katika maisha yake.
Allah ampe umri mrefu🤲, Im watching kutoka Finland 🇫🇮🇫🇮🤝
Hongera sana Mzee wetu, Hakika Jeshi letu ni la kujivunia.
Hakika inapendeza kusikiliza 🎉
Hongera sana mkuu kwa kazi nzuri
Hata mm Alinisadia kwenda kusoma nje huko Canada Mungu ambariki alikuwa Hana kinyongo
Huyu mzee ni noma🔥🔥🔥💪👏
Wazee wa zamani wanakumbukumbu kweli mzee anahathia utafikiri vitu kafanya jana kumbe imepita miaka mingi.
What an interview 🎉
Ahsante mzee abdulrahman allah akufanyie wepesi kwa kila jambo na familia yako
Background sound ya nini
Kwenye mahojiano
Wewe Mzee unanisisimua hongeraaa
NI KWELI
Napenda sana kuwa mwanajeshi ila nafasi hazipo
Haya ndo mambo jamii inahitaji simlizi za Mashujaa wetu. Siyo mnatuletea habari za kina mayele na majini hizo hazupi afya ktk Taifa. Simlizi za namna hii yaani zinakupakutamani kuwa mwanajeshi.
Maashallah kiboko
Nakukubari ruteni jenelali
MUNGU ANAKUPENDA SANAAAAA
MAJARIBU HAYOOOO
Mzee mkarimu sana nilipata bahati ya kukutana naye akiwa baloz
JAMANI,JAMANIIII
HONGERA SANA
TANZANIA NDIYO HIYOOOO NIAMANI TUUUU
TUWAOMBEE SANA
HAWALALI JAMANI
NIKAZI NGUMU SANA
DUUUUUH
❤Amen
Ahaaaaa
❤❤❤❤
WACHAAA
Azam naona mkiwa manfanya mahojiano ni vyema mueke na clip za muhusika wakati alipokua kwenye majukumu muhusika ni ushauri tu
CHEZEA J.W.T.Z WEYEEEE😂
Uwiiiiii
HEEEEEEEE SAFI SANA
Nafurahi kumsikia huyu Kamanda.
NIKWELI KABISA
HONGERA SANA MUNGU YU PAMOJA NAWE
Jina lake ni Abulrahmani au Abdulrahmani ?
Afande Inanikumbusha Machungu Sana Na Kazi Kubwa Huko Seychelles Tukipigana Sana Na Askari Wa Kukodi Maeneo Ya Port Lawi ,Bousezuu Nawashukuru Wote Tulio Bali Hai Na Wewe Afande Wetu
MUNGU MLINDE SANA
HAKUNA KULALA
mwamba huyo
KARAMAAAAA
POLENI SANA
KWAKUMBUKUMBU TUUUU HAUJAMBO
POKEA MAUA YAKOOOO
NIKWELI KABISA WANAFANYA HIVYO
HONGERENI
UAMINIFU
HATA VITANDA HAWANA HABARI NAZO
MLIWAKOMESHA
NI AMANI TELE MUNGU WALINDE SANA
MUNGU TULINDE WATU WAKO KUPITIA J.W.T.Z
NIMEKUBALI KILA MTU KAPEWA KARAMA YAKE
KUMBEEEE
BUSARA
MUNGU AWALINDE YAANI MWAKA MZIMA HAUJUI KITANDA
NUNDU ZAKUTOSHA
KATULIA KABISA ANAONGEA KWA FURAHA KABISA
ruclips.net/video/cINtLySSFUU/видео.html
FANYA JEMA MOJA, UPATE DHAWABU KUMI.
UNAKUMBUKA KILA KITU WEWE KIPAJICHAKO KINATISHA
Wengi Mwamsifia ila Wakat Wake Alikua Ana Nguvu Kuliko #GENERAL Na Walipga Pesa Sana Za Wanajeshi Waliokua Wakienda Nje
Hata mimi nilisikia hvo, General Mwamunyange ana hofu sana ya Mungu,.. sijui kwa nini hayo niliyoyasikia yalitokea
Utumishi ulio tukuka mzee wetu
Amesahau kuwa alikua acaunt pale same pia kasomea Maore
scauti pale same
HONGERA SANA
NIKWELI KABISA
DUUUUUH
POLENI SANA