Christina Shusho - Hararat (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 апр 2024
  • #ChristinaShusho #Hararat #SlideDigital
    (C) Relax Investment
    Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/christinashusho
    Written & Performed by Christina Shusho
    For Bookings: cshusho@gmail.com
    Follow Christina Shusho on:
    / christinashusho​
    / shushochristina
    / officialchristinashusho
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 564

  • @MrBickyOfficial5
    @MrBickyOfficial5 Месяц назад +261

    Wapi likes za @Christinashusho from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️

    • @Psalm121AJourneyofFaith
      @Psalm121AJourneyofFaith Месяц назад +3

      Acha kuomba likes weweee!

    • @MrBickyOfficial5
      @MrBickyOfficial5 Месяц назад

      @@Psalm121AJourneyofFaith 😂😂😂

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Месяц назад +3

      Shauri yako like wewe usitusumbue mschwiii

    • @BranMayn
      @BranMayn Месяц назад +2

      Ambia watu pia wa subscribe kwa kwa hi page woi Ghai ata hawafiki 1M for real this wonan motivated me on one of his song yet im a i changed my way of behaviour

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Месяц назад

      @@BranMayn nani asubscribe kwa huyu🤣🤣🤣🤣 labda wewe

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 Месяц назад +118

    I hope Kenyans🇰🇪 are here to support Christina Shusho❤🇰🇪🇰🇪

  • @braybray1514
    @braybray1514 Месяц назад +101

    Wanaomsifu Mungu kwa roho na kweli tukutane kwenye like

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Месяц назад

      Eti kwa roho na kweli. Yaani kweli ya shusho🤣🤣🤣

    • @RedentaMahessa
      @RedentaMahessa 14 дней назад

      Amna upako apo roho wa Mungu alishakimbia zake

  • @TikoloKenna
    @TikoloKenna Месяц назад +73

    Like for team shusho ni nyavu tutashusha Hadi kilindini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪team kenya like. Plz

  • @jasperlumethani1239
    @jasperlumethani1239 Месяц назад +45

    Nakumbuka Ukija Nairobi Parklands Baptist Church Kenya 🇰🇪, kisha Nikacheza Guiter, na tukahudumu Nawe , Revival Sunday.
    Naukaniwekea Mkono Nakuniombea pale Hotelini Sankara Westlands, Kabla ya Kusafiri Kurudi Tz 🇹🇿.
    Tangu Siku hiyo Nimepanda Kihuduma na Kwa Mziki Wangu, Kwasababu Ya Mguso Wa Mungu Kupitia Mikono Yako.
    Nakupenda Mtumishi wa Bwana @ChristinaShusho.
    Yesu Apewe Utukufu Milele...

  • @JosephMwangi-iy1gr
    @JosephMwangi-iy1gr Месяц назад +67

    wakenya ndio wengi.. nipe like ya wakenya

    • @festusongaga9560
      @festusongaga9560 Месяц назад

      waTZ hawana bundles 😅

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Месяц назад

      Watz nawapendea kitu moja ujinga ka ya shusho huwaga hawataki for real hata me nawabackup huyu jezebel azingue mafala

    • @evanmaniac2549
      @evanmaniac2549 Месяц назад

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💯🤝💥

  • @sugutfx
    @sugutfx Месяц назад +12

    Wi Kenyans jumping in like no ones businesse😂😂😂 let's gooooooo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 Месяц назад +23

    Amen ,,team Kenya let's gather here

  • @agrobativunirwa4880
    @agrobativunirwa4880 Месяц назад +14

    Si t’es un congolais 🇨🇩 aussi mais un j’aime ici, supportons notre Soeur du sud kivu

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest Месяц назад +18

    Umeutendea haki wimbo wetu, Tutakutana Hararat kwa neema ya Yesu Kristo!

  • @tumpepanja9671
    @tumpepanja9671 Месяц назад +11

    Mungu nisamehe kwanini sion upako Kwa huyu dada tofauti na mwanzo

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 Месяц назад +1

      Sio kama mbeleni ..tamasha na kina Diamond walopewa star na joka .Rudi!

    • @linahrosie3697
      @linahrosie3697 Месяц назад

      Upako ulishamtoka juu ya matendo yake...sijui kafungwa hajui au vipi...

    • @vivianikanzuakhura9945
      @vivianikanzuakhura9945 Месяц назад

      It's true,me I worship her songs but lately anaimba Nini kweli

    • @peacboy737
      @peacboy737 Месяц назад +1

      ​@@vivianikanzuakhura9945
      Anaimba hararat 😅😅😅

    • @agnesnyawira
      @agnesnyawira Месяц назад

      You are very right

  • @gracewanjiru4117
    @gracewanjiru4117 Месяц назад +27

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤

  • @gloriawanga5392
    @gloriawanga5392 Месяц назад +19

    All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Tukutane hararat.

  • @user-io2rj2yp5d
    @user-io2rj2yp5d Месяц назад +8

    Wow nyimbo iliyobeba album imetoka,wapi like za Christina Shusho

  • @jeniffermwende3530
    @jeniffermwende3530 Месяц назад +14

    Panda twende juu kileleni💐mama christina twaku penda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @doricesamwel7785
    @doricesamwel7785 Месяц назад +7

    Hakika tukutane juu ya mlima HARARATI.nimekuelewa vzr mtumishi wa Mungu

  • @godwinmutsami4635
    @godwinmutsami4635 Месяц назад +64

    Wakenya tujuane kwa likes

  • @ruthkisilu3309
    @ruthkisilu3309 Месяц назад +5

    My country people ❤kenya 🇰🇪🇰🇪 wapi likes za shusho

  • @mbolehsila4335
    @mbolehsila4335 Месяц назад +12

    Shusho I love her music 🎵🎵🎶🎶 may God really bless you watching this from coast Kenya 🇰🇪

  • @elviamaniofficieltv3859
    @elviamaniofficieltv3859 Месяц назад +4

    Mungu akubariki sana mama mtumishi wa Bwana tumebarikiwa sana Mungu akuvushe zaidi ❤❤❤❤❤

  • @faithvuyelwa3805
    @faithvuyelwa3805 Месяц назад +7

    Kenya we're here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes

  • @Priscalangatkenya
    @Priscalangatkenya Месяц назад +10

    Nice song,more grace shusho ❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @danielomondi2553
    @danielomondi2553 Месяц назад +3

    Nakusikitikia dadangu, kama moto kuwa moto kama baridi kuwa baridi mungu tunaemwa udu hapendi vuguvugu.

  • @MasikaMasikaOfficial
    @MasikaMasikaOfficial Месяц назад +7

    Wakenya kujeni na huku tuzushe nyavu tena

  • @amohngobih6514
    @amohngobih6514 Месяц назад +5

    Tukutane hararat tushushe nyavu uko sisi sio wa chini 💯

  • @beverlykabz5429
    @beverlykabz5429 Месяц назад +5

    Shusho for Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tukutane hararat 🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @mrwembe9676
    @mrwembe9676 Месяц назад +10

    Guys naomba mnipee sapoti mashabiki wa shusho🙏🙏🔥

    • @BranMayn
      @BranMayn Месяц назад

      Aki subscribers ni wachache sana

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 Месяц назад +1

      Una mchezo wewe support ya nani eti🤣🤣🤣

  • @EulalieRwemaWonder
    @EulalieRwemaWonder Месяц назад +6

    From Congo-Kinshasa❤️ I love this song 😍 God bless you mom Christina!

  • @ChrisGitonga-fl2be
    @ChrisGitonga-fl2be Месяц назад +11

    Love from Kenya 🇰🇪

  • @tenmangoes1340
    @tenmangoes1340 Месяц назад +5

    Why are you Tanzanias complaining about this song? Hamtaki kwenda juu??? Kenyans let's meet hararat au sio? Piga like kama unapenda hii song

    • @labanisamjeje2374
      @labanisamjeje2374 Месяц назад

      Hamna kitu huyu, ameacha ndoa yake et ndio wito wa Mungu,,, asipotubu inamchafua sana hiyo

    • @IBeJay859
      @IBeJay859 29 дней назад

      Unajua ni kwanini aliacha ndoa tuelimishe tafadhali

  • @Vera-pe6oz
    @Vera-pe6oz Месяц назад +3

    that whisper always gives me a reason to wake up every morning "relax, I've got your back"

  • @paulnjui5914
    @paulnjui5914 Месяц назад +2

    God will raise from low to high levels and you will be honored and same God will protect you from all world evils
    the great supporters from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you so much tukutane hararat ..anybody like my comment will keep notifying me of Hararat all the years and i will come back to view again and again the song is grate

  • @lavendershira2285
    @lavendershira2285 Месяц назад +11

    Team kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @maryfavie
    @maryfavie Месяц назад +1

    Asante yesu mwokozi wetu Kwa ajili ya ujumbe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @justinchengo4748
    @justinchengo4748 Месяц назад +2

    Maupendo ni mengi sana kenya ❤❤❤..Ona...wenye mnamuongelelea vibaya mama yetu shusho,,nyinyi sio Mwenyezi Mungu mpaka mmhukumu..Endeni msikie vibaya na huko

  • @jeremihkyambi395
    @jeremihkyambi395 Месяц назад +3

    TEAM SHUSHA NYAVU +254🇰🇪>>>
    Wimbo huu unabariki sana❤

  • @Bramillah
    @Bramillah Месяц назад +4

    Can someone tell christina shusho she makes me believe in the impossible,,,God bless you Shusho blessing of my generation🥲🥺😍😍😍

  • @michaelnaeku3128
    @michaelnaeku3128 Месяц назад +3

    To my Kenyan youth fear nothing. You are not Alone. God got your back. ❤Tukutane hararat🎉

  • @MarcelinMashala
    @MarcelinMashala Месяц назад +3

    Tukutane hararat kwa watakao kubali kujenga safina
    Barikiwa Sana Dear Christina shusho

  • @philomenamushi5606
    @philomenamushi5606 Месяц назад +3

    Amen tukutane hararat tukimsifu MUNGU nakutambua uwepo wake katika maisha yetu🙏🤍BE BLESSED GIRL OF GOD SHUSHO💝❤️

  • @abelchepkwony765
    @abelchepkwony765 Месяц назад +13

    From kenya 🇰🇪 asanthe sana dada

  • @user-sd6gz1dy9y
    @user-sd6gz1dy9y 21 день назад +5

    Mbona tunaanza na roho tunamaliza na mwili, mimic nikiskiza huu wimbo hata sifell Ile upako yanye nilikua naskia wakati wa unikumbuke na zinginezo

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb Месяц назад

    Waimbaji wa nyimbo za Injili, wimbo kama haumtaji YESU KRISTO, huo ni kwaajili ya kuburudisha tu! Mungu aturehemu!

    • @priscasanga
      @priscasanga Месяц назад

      Sawa,
      Tuache tuburudike😅

    • @user-bv2fx8zd8e
      @user-bv2fx8zd8e Месяц назад

      Akurehemu wewe,,,, sisi acha tubarikiwe ...asante shusho mama etu

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb Месяц назад

      Hamjitambui ndo maana mnabrikiwa na chochote kinachokuja mbele yenu!

  • @princebrown_music
    @princebrown_music Месяц назад +4

    Wapi likes za mama yetu I love her music from kenya

  • @Albert-un8eg
    @Albert-un8eg Месяц назад +4

    Kenya tunakupenda❤❤❤

  • @joymbugu3006
    @joymbugu3006 Месяц назад +10

    I needed to hear this today...kilicho ua wengi hakitaniua🙏 🇰🇪 more grace to you Shusho

  • @agnesnyawira
    @agnesnyawira Месяц назад +4

    To be honest i love her former songs they were full of power great message of God and anointing

  • @Alpha24187
    @Alpha24187 Месяц назад +3

    Listening from Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @marthambitiru9843
    @marthambitiru9843 Месяц назад +4

    Such a beautiful song.. tupatane hararat na likes za shawry for gospel ❤❤❤

  • @subiraaddo864
    @subiraaddo864 21 день назад +2

    Uongo mtupu, hakuna nguvu ya Mungu hapa rudi kaitafute ulikoiacha dada

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 29 дней назад

    Mungu akubariki sana.nyimbo zako nazipenda sana zinatia moyo zinanifaliji sana,nakupa nipo America 🇺🇸 Mungu akushindie kwa kila atua ya kumtumikia.

  • @joshuamartinpryce8424
    @joshuamartinpryce8424 Месяц назад +2

    Direction leads us to a place of uncertainty but the refuge is divine remembrance.

  • @estherwaliaula9132
    @estherwaliaula9132 Месяц назад +4

    Huu wimbo haikai kama yeye huu wa kuandikiwa

  • @pastorsangijaopenministry6918
    @pastorsangijaopenministry6918 Месяц назад +1

    I'm blessed with you mama. Hararat has reminded me about mji ule wenye asali na maziwa.Haleluya Shama.

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga Месяц назад +6

    I love this song.... Just amazing🇰🇪🇰🇪🔥👌

  • @estherwandai778
    @estherwandai778 Месяц назад +4

    You are such a blessing to us Shusho.God expand your ministry.

  • @benjaminndonga5908
    @benjaminndonga5908 Месяц назад +13

    From DRC,tukutane hararat huku Mungu aki maliza vita iliyomo DRC 🇨🇩♥️

  • @esperencetukilinabo7361
    @esperencetukilinabo7361 Месяц назад +1

    Hooo i like it
    Félicitations dada mujakazi wa bwana

  • @AliceLamwaka8672
    @AliceLamwaka8672 Месяц назад +5

    Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 ebu likes👍👍 za mathe Shusho🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bienfaitndethi7148
    @bienfaitndethi7148 21 день назад +1

    From Butembo,hararati wimbo mpya no 1 song gospel swahili

  • @Kridez23
    @Kridez23 Месяц назад +4

    Great song, great lady, A very great God

  • @hildajemutai-io4rv
    @hildajemutai-io4rv 8 дней назад +1

    Since this song dropped, I listened to on repeat. It's been a great blessing to me, Thank you Shusho❤

  • @irenewambui7844
    @irenewambui7844 Месяц назад +3

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @agathaibara8250
    @agathaibara8250 Месяц назад

    Watumishi wengine sio baraka tu mbali ni zawadi kutoka kwa Mungu.tulisifu jina la mungu kupitia zawadi SHUSHO

    • @Blessedone349
      @Blessedone349 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂 you are funny. Anyway kila mtu atatoa habari zake mbele za Mungu. Siku hiyo inakuja

  • @dancannyabuto9163
    @dancannyabuto9163 Месяц назад +2

    Kujeni kwenye kikao waumini ❤

  • @emerancekakozi8688
    @emerancekakozi8688 Месяц назад +1

    Amen wimbo muzuri sana nimebarikiwa sana akika tukutani hararat

  • @lukafilsmercy
    @lukafilsmercy Месяц назад +1

    If you're listening this song from Rwanda and Uganda please give me a like
    Let's meet at Hararat ....tukutane Hararat , 😊😊😊❤❤❤❤❤
    I hope one day I will do a featuring with my role model @Christina Shusho

  • @robertsabatia5230
    @robertsabatia5230 Месяц назад +3

    Shusho no chini ya your starndards.rundi msingi yako your vol 1,2,3,4 sounds great i cant compire to this.

  • @wanjiru-yues1
    @wanjiru-yues1 Месяц назад +2

    Tukutane Hararat. God bless you Minister Christian Shusho

  • @calistosanda3780
    @calistosanda3780 Месяц назад

    Kenyans tunapenda huyu dada, ni wabaraka sana. Tupee hio ya Zakayo nimeiongoja sana, be blessed

  • @rebeccawekaya2342
    @rebeccawekaya2342 Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @user-fj6js8dj4w
    @user-fj6js8dj4w Месяц назад +2

    Nakupenda sana christina songa mbele usisikilize maneno yaoo

  • @ben_mamba10
    @ben_mamba10 Месяц назад +3

    Wimbo wa kipekee huu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @robertmwainge3393
    @robertmwainge3393 12 дней назад +1

    Shusho unakuwanga na maufunuo noma Sana,💯 nikupata swaaaafi Juu ya KICC Nairobi.💪💯

  • @mussatwaha5100
    @mussatwaha5100 Месяц назад +1

    Me finding my Swahili Bible for this one

  • @martinireri5964
    @martinireri5964 22 дня назад +1

    Wamtukuzao bwana kwa roho na kweli like hii video

  • @user-to4xx3rj1m
    @user-to4xx3rj1m Месяц назад +2

    Waislamu ndani pia pap👏👏👏🎤🎶🎵🎶🎵🎶

  • @therndabt
    @therndabt Месяц назад +1

    What a beautiful AFRICAN DRESS and equality beautiful SONG

  • @comedydoctor_burniz45.7mvi6
    @comedydoctor_burniz45.7mvi6 23 дня назад +2

    Si rahisi lakini kwajina lake tushushe nyavu Wakenya tukutane hararat👑tumekataa Chini👇

  • @rahelynocha642
    @rahelynocha642 Месяц назад +1

    Kilichuouwa wengi hakitaniua mimi😊

  • @SuzzieM1822
    @SuzzieM1822 Месяц назад +3

    Amen ,finally hararat is here

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 Месяц назад +13

    Wabongo nawapendea kitu moja ujinga ka ya shusho hawaitaki ndiyo maana hamuwaoni hapa na napenda hiyo tabia

    • @catherinenafula9668
      @catherinenafula9668 Месяц назад

      Ujinga Gani sasa wewe ni hater tu🚮🚮

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 18 дней назад

      @@catherinenafula9668 upuzi ya umalaya pekee tu

  • @glahpesuppliers843
    @glahpesuppliers843 Месяц назад +2

    Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we're in🔥🔥🔥

  • @chrisofflcial
    @chrisofflcial Месяц назад +3

    hongera dadayangu wimbo mkubwa huu❤

  • @hellismtotowakifalme4009
    @hellismtotowakifalme4009 Месяц назад +1

    ERICKY FROM MOMBASA KENYA MY LIKE PLEASE ❤HARARATI

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 Месяц назад +1

    Dada Christina umeandika sana, dah! Hongera na Sifa kwa Kristo aliyekupaka🙌🙏🙌❤️🔥

  • @HumanLife254
    @HumanLife254 Месяц назад +1

    No one can take Shusho away from Kenyans, even Tanzanians Can't.

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 18 дней назад +1

    Kenya Kuna mafuriko,,kilichoua wengi hakitatuua sisi,,maji na mafuriko yanayoua wengi hayatatuua sisi

  • @jorgeairtoncicala9590
    @jorgeairtoncicala9590 Месяц назад +3

    (for translation) Eu sou Brasileiro e não entendi uma única palavra de seu idioma mas, a representatividade de sua música, me arrepiou e pude perceber então que se tratava de um louvor e muito lindo por sinal porque, mostra o dia-a-dia das pessoas lutando por uma vida melhor e agradecendo, sim agradecendo a Deus por suas conquistas. Fiquei muito emocionado e deixo aqui meu elogio e parabenizo-te pela linda voz e expressão que me comoveu e fiquei maravilhado com seu fervoroso louvor. PARABÉNS !!!

    • @jorgeairtoncicala9590
      @jorgeairtoncicala9590 Месяц назад +1

      (for translation) Agradeço de coração o imediato retorno e, confesso, me levou às lágrimas receber um "gostei" aos meus comentários. Que Deus seja louvado e que sua vida ... irmã, seja abençoada e também aos seus caminhos. Muito obrigado pela atenção.

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Месяц назад +1

    Wimbo nzuri sana🤗🇰🇪🇰🇪

  • @jackcharles7218
    @jackcharles7218 Месяц назад +1

    Nyimbo nzr Sana sst yangu uzidi kuinuliwa

  • @elijahkithome-fj7jz
    @elijahkithome-fj7jz Месяц назад +3

    Amsorry to say this alone maybe wengine you can't notice this,dada yangu siku hizi haimbi nyimbo zina nguzo na uwepo, toka WASAFi studio na urudie mungu ,wenye wanao tembea nda ni ya roho mungu ndio watanielewa,wengine watanipinga tu,but I don't care nasema nilionalo mie

    • @agnesnyawira
      @agnesnyawira Месяц назад

      They are just here lying to her powerful song na hakuna ubako kabisaaaa

  • @damarismutheu1194
    @damarismutheu1194 Месяц назад +1

    Likes for this powerful gospel.. shusho to the 🌎

  • @sashagal5683
    @sashagal5683 Месяц назад +2

    Let me leave this note here the song is lit ❤❤❤🎉🎉

  • @user-es5fe4qn8b
    @user-es5fe4qn8b 13 часов назад

    kileleni hararat ....i love your songs shusho 😍😍😍😍😍

  • @Abc_Lyrics
    @Abc_Lyrics Месяц назад +2

    Shusho ubarikiwe sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aumaeric7830
    @aumaeric7830 Месяц назад +5

    From KE❤❤❤❤❤

  • @gracemwangi4880
    @gracemwangi4880 Месяц назад +1

    ❤Hallelujah tukutane kileleni...tukutane Hararat.
    Powerful worship 🙌 encouragement to presson on higher calling. 🙏
    Baraka Tele dadangu Christina Shusho...❤🙏
    🇺🇸 TWAKUPENDA ❤🙏
    Tukutane Hararat AMEN IN JESUS MIGHTY NAME 🙏 🙇‍♀️ HARARAT

  • @renemanegu8554
    @renemanegu8554 Месяц назад +1

    Love this song from Congo Drc 😢
    We are now in génocide.

  • @user-sg6ez3cf1f
    @user-sg6ez3cf1f Месяц назад +1

    Madam shusho has bless talent on create great glorious music,May GOD be with you forever.