MAPACHA WAFARIKI SIKU MOJA/CHANZO CHA KIFO CHAO NI UTATA/WALIENDA KWENYE DUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 1 тыс.

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 года назад +20

    Kwanza hpo mwenyezi mungu anatukumbusha kuwa yeye ndie kila kitu napia hpo hakuna cha dua wala nn watakuwa wamepewa sumu tu huyo ni mganga wa mchongo amefupisha maisha ya hao watoto R.ip vijana

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 года назад +66

    😭😭😭😭 eee Mwenyezi Mungu, Yarrab, sipati picha Mama Mzazi yupo hali gani. Allahu Akbaru. Poleni sana, sana.

  • @rahmalawrence8015
    @rahmalawrence8015 2 года назад +31

    Mimi tu nimeumia ivi jamn sasa hali anayopitia huyu Mama wa Hawa Watoto sijui kwa kweli.Dah pole Mama yangu😭😭.Mungu awape Pumziko jema

  • @arafabaraka-b3g
    @arafabaraka-b3g Год назад +1

    Pole sana wafiwa mama mungu atakufanyia wepesi katika ili ila uyoo mama akamatwe nauyoo rafiki yao awo mapacha mungu awaraze mahari pema peponi inauma sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 года назад +14

    Mkiwa mnahisi vitu vibaya au ndoto au kukabwa kama hivo kwanza kabla hujalala tawadha udhu kama wa swala na ukiwa nanafasi swali suna napiya hakikisha unasoma kulhullahu mara 3 kuliaghudhùbira bilìfankì na kuliaghudhubira binad zotè mara 3

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 года назад +11

    Masikini Dada pole sn sn. Allah awalaze peponi Ameen. Wamewadhulumu roho zao. Huyo mganga Ana husika na huyo rafiki Yao pia akamatwe

  • @ashaofficialtz1683
    @ashaofficialtz1683 2 года назад +19

    Sina hata chakuandika yallab😭😭😭ila pole kwa MAMA😭inauma wallah🙏

  • @ramyramy3455
    @ramyramy3455 2 года назад +21

    May their souls RIP, pole mama kwa msiba wa watoto jmni ,kwakweli inauma Sanaa sote ni wazazi jmni .😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @maureenrandiki9805
    @maureenrandiki9805 2 года назад +9

    Kama mzazi nahisi uchungu mno...Mama, Mwenyezi mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu 🙏🙏

  • @janejohn2060
    @janejohn2060 2 года назад +1

    Poleni Kwa msiba,Muwe mnaenda na Kwa Mwamposa kwenye maombi badala ya huko!

  • @mysterio2473
    @mysterio2473 2 года назад +11

    INNALILAHI WAINA ILAIHI RAJIUN 🤲🏽
    MWENYEZI MUNGU AWAJALIE WAZAZI HAWA NA KAKA YAO SUBIRA NA IMANI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU NA NYAKATI ZOTE 🤲🏽
    DAH HUU NI MSIBA MZITO SANA
    ALLAH AWAJALIE SAFARI YAO IKAWE NYEPESI 🤲🏽 ALLAH AWASAMEHE WATOTO HAWA 🤲🏽
    POLE KWA WAZAZI WAO NDUGU JAMAA MARAFIKI NA KILA ALIEGUSWA NA MSIBAHUU.

  • @mutalibdahirabdi8305
    @mutalibdahirabdi8305 2 года назад +94

    If u are a Muslim, u hv to sleep with adhkarin naum n if u Knw the Qur'an, u can recite it on urself not necessarily to go to someone. May Allah forgive us all allahumma ameen.

    • @rehemaothman2200
      @rehemaothman2200 2 года назад

      Allahuma ameen

    • @mashaallahfadhdili4741
      @mashaallahfadhdili4741 2 года назад

      Allah atupe kaul dhabit

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v 2 года назад +11

      Am not Muslim but sometimes when I can't sleep I listen to Yaseen, Kadir or Ayatul Kursi and I sleep very well. Let's teach our youth to rely on God and not man.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 года назад

      @@Bintimrembo-y1v be blessed

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 года назад

      Inauma sana sana, nimeumia kama wafogo zangu kabisa. Mungu awapokee na awasamehe walipokosea na awalipe wanchostahili na atawatendea haki kama wamedhulumiwa roho zao.

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 года назад +20

    Pole Sana mama😭😭😭 hakika ni majonzi kufiwa na watoto wako wote wawili inauma sana Mungu akufute machozi yako unayowalilia watoto wako mapacha wote Mungu aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe 🙏

    • @lildemar1316
      @lildemar1316 2 года назад +1

      MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU.POLENI SANA.

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 года назад +1

    Poleni sana wafiwa mungu awape subra kipindi hiki kigumu yaraaby wajaalie kauli thabit hawa vijana mbele yenu nyuma yetu hawa waganga ni waongo sana na huyo rafiki pengine ndio alowafanyia mchongo wa mauaji ila yoyote aliyehusika kuwadhurumu nafsi zao kwa kuwatilia sumu mungu hatawaacha salama pole mama na baba Allah atawajaalia subra

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +14

    Hao ameshawachukuwa kichawi anahisi kwa vile mapacha ushirikina tuu amini ila mungu anasirii kubwa za waja wake si bure

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 2 года назад +1

      INAWEZEKANA KABISA

    • @sumeiyamaddy95
      @sumeiyamaddy95 2 года назад +1

      Hatuna uhakika lkn pacha walemavu wanatumika Sana ktka Imani za kishirikina

  • @rahmaabdulla4949
    @rahmaabdulla4949 2 года назад +6

    Innalilahi wainna ilayyhi Rajiuun Allah awape kauli thabit. Ilatuna chakujifunza hapa tukilala tuwe tunatia udhu na na kusoma dua za kulala tutalala vzr tu. Binaadamu wabaya jamani pengine kuna mtu alikuw anawafanyia hasad

  • @sofiahassani5185
    @sofiahassani5185 2 года назад +4

    😭😭😭😭😭😭du. Ewe mwenyezi mungu tunakutegemea wewe Allah kwa kila Jambo pekee yetu hatuwezi wape faraja wai
    Fiwa

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 года назад +13

    Uuuwwiii tumbo langu la uzazi pole sana Mama poleni sana wana familia Mungu awape kauli thabiti marehemu 🙏🏻😓

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 года назад +3

    Daa tumbo limeuma mmi ninao mapacha pole mwanamke mwenxangu.

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 года назад +34

    Tusiamini sana hawa watu wanaojifanya eti wanasoma Dua,maana hata wewe mwenyewe waweza jisomea Dua.
    Poleni sana wafiwa wote MUNGU awape faraja ya KWELI,🙏🙏

    • @muhammadabdallah6068
      @muhammadabdallah6068 2 года назад +4

      Hamna bwn kwa mm nahic kabisa huyu mama hana hatia kwasabbu angekuwa mbaya asingewapokea rafki wa vijana na kaka yao pia hawa vijana walikuwa nashida labda mavitu machafu ndo yalikuwa yanatoka bac yakatoka na uhai wao hivi vitu vipo jaman

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 года назад +2

      @@muhammadabdallah6068 Whaat?what do you say??
      Hivi unachokiongea unauhaki ka nacho? Huyu Mama ambaye ni mganga yawezekana katumwa tu na watu ku-collect soul's za hawa mapacha,na zilikuwa zinatakiwa za mapacha.
      Cha msingi ni tutambue kuwa huu wakati tulio nao ni mbaya sana,watu wanaangalia pesa na sio utu,haijalishi ni nani🙏🙏

    • @lightnesssanka1928
      @lightnesssanka1928 2 года назад

      Poleni Sana wanafamilia Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu

    • @humayraakhamisi9952
      @humayraakhamisi9952 2 года назад

      @@editrudesmbonde9051 nikwel kbc hii dunia siyo yetu kabisaaaa watu hatuna imani kabisa tumekuwq kma wanyama

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 2 года назад +3

    ALLAH awape qaul thaabit,wazazi jitahidini kuwasomesha watoto wenu dini,mtume alishafundisha sana namna gani tuombe dua kabla ya kulala,tatizo dogo sana hilo na si kwenda kwa MTU awaombee dua,hii ndo faida ya kuwasomesha watoto madrasa na sio kuthamin masomo ya secular pekee,mtoto akiwa mdogo anasoma madrasa but akiingia form one tu madrasa basi tena.

  • @abeidsaleh7222
    @abeidsaleh7222 2 года назад +2

    Mungu akupe subra mama yangu na familia kiujumla Msiba mzito Mungu akulipe kila la heri kwa kusubir na vijana hawa Mungu awaweke peponi pepo zao ziwe jirani waonane wakifaidi neema za Mungu za Mungu awanyweshe maji matamu na asali

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 года назад +66

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah awarehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu..Yarrabi muanike huyo aliyewadhulumu maisha yao

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 года назад +1

    Huyo mama apewe kichapo atasema tu.na huyo rafiki Yao pia

  • @sophiamtego7887
    @sophiamtego7887 2 года назад +5

    Pole sana Mama kwa kuondokewa na watoto , Mungu akupe uvumilivu Mama angu

  • @asiaa6573
    @asiaa6573 2 года назад +11

    Innalillahi Wainna Ilayhi Rajiuun, poleni sana wafiwa, Allah awatie nguvu kwenye iki kipindi kigumu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 года назад +6

    Daaaaaaa!!! Usikie tu kwa jiran uchungu wake hausemek
    Pole. Mama. Yangu waja wabaya Sana 😭😭😭 Mungu akupe subra kipenz

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 2 года назад +17

    May their souls rest in perfect place 😥😥😥, hii imenikumbusha ,vile babangu na kaka yake waliuliwa kwa kupewa sumu 😭😭yani huyo kaka alivyo eleza exactly what happened to my Dad na bro wake 😭😭😭😭miaka kumi na but uchungu umeaza umpya painful wallahi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 года назад +14

    Polen sanaa! Familia Mwenyez Mungu awatie nguvu!

  • @fedamaino3650
    @fedamaino3650 2 года назад +3

    Pole mama.pole sanaa mungu wa mbinguni akupe nguvu ya kuukabili mtihani huu mzito

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 2 года назад +9

    Innallillaihi wainna illaihi rajiun🥺😢
    Allah SWT
    Awape kauli Thabi
    Awalaze mahali Pema Peponi
    Awal Daraja Jannat Firdaus
    Yaa Rabbi 🤲
    Poleni sana wafiwa
    Allah SWT Awape Subra
    Yaa Rabbi 🤲

  • @saidyssaley1509
    @saidyssaley1509 2 года назад +24

    Innalillahi Wainnailayhi Rajioun MWENYEZI Mungu awasamehe makosa yao awazidishie kheri zao awatilie nouru kaburini mwao na Jannatul Firdous Nuzula ikawe makaazi na wafiwa Mola awape subra na faraja

  • @agnellapius8142
    @agnellapius8142 2 года назад +12

    Roho ya umauti ilishawafikia jamani nimeumia mno mungu awape hifadhi salama huko waendako inauma mno 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @roseshayo6676
    @roseshayo6676 2 года назад +16

    Poleni Sana familia na wote mlioguswa na msiba huu 😭.Mungu awape faraja🙏

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +6

    Maskini innaalilahi wainnaa ilayhi rajiuun mahasidi bwanaaa mtihani waswahili inaonekana huyo rafiki yao ndio adui yao

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 года назад +36

    Da Geah usisahau kutuletea mwendelez siku wakimuhoj uy mama tujuw wamekuf nanin ao vijama🥺🥺😭😭Mungu awalaz mahal pem peponi🙏🙏🙏

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 года назад

      Du wanawake tunapenda habari

    • @veroslaa1041
      @veroslaa1041 2 года назад

      Poleni sana

    • @upendolema9809
      @upendolema9809 2 года назад

      @@lgdnce8309 hasa km hii sababu inatuhusu

    • @aishaally4912
      @aishaally4912 2 года назад

      @@lgdnce8309 pita kule nyoooo we ujaguswa au

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 года назад

      @@aishaally4912 kunigusa imenigusa kwa nn matusi Aisha .kila kitu kinapangwa n'a Mungu .Kaka Yao mwenyewe kaongea kwa nn matusi ?

  • @georginakabanga1762
    @georginakabanga1762 2 года назад +3

    Pole sana mama Mwenyezi Mungu ndiye kila kitu kwetu. Azidi kukupa subra ktk kipindi hiki kigumu 🙏🏼🙏🏼

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 2 года назад

    Poleni sana wafiwa wadogo walikuwa wanatafuta uponyaji wa matukio ya kukabwa usiku ukweli utabaki palepale hakuna uponyaji nje ya jina la YESU

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 года назад +7

    HAPA KUNA JAMBO YULE RAFIKI YAO ,ALOWAPIGIA SIMU AKAMATWE PIA ,JAMANI WATOTO WAMEPOTEZA MAISHA HIVI HIVI ,INNALILAHI WAINAILAHI RAJUUN

  • @hawaabdallahmshamu3843
    @hawaabdallahmshamu3843 2 года назад

    Pole sana mungu hawapeuvumilivu wazazi kwani pogo ili nikubwa ukizingatia watoto wameenda namatumaini ya kujitibu mungu ailaze roho za malehemu peponi amina

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 2 года назад +8

    Waganga huwa wanaconetion na wachawi na lengo Lao kuwamaliza so walivyoenda kule nikama walinuwiziwa waende kule wakamalizwe Mungu awalaze mahali pema peponi

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 2 года назад

      Upo sahihi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 года назад

      Nikweli kabisa ndugu zanguuni hawa watoto nnawajuwa huwa nnawaonaaga msikiti wa mnazi mmoja na huwa tuna swali nao maranyingi swala ya alaasiri mara nyingi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 года назад

      Nikweli kabisa ndugu zanguuni hawa watoto nnawajuwa huwa nnawaonaaga msikiti wa mnazi mmoja na huwa tuna swali nao maranyingi swala ya alaasiri mara nyingi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 года назад

      Innaalillaah wainaailayhi raajiuun.

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 года назад +2

    Amtegemeae mwanadamu na alanine,madhara ya kwa waganga.....Mungu aendelee kuwatia nguvu

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 2 года назад +12

    Hao wameliswa sumu. Na huyo rafiki yao anahusika. Kumfahamu nikuangalia simu zao message na kuangalia namba zilizopigwa kuanzia siku hiyo kurudi wiki nyuma. Watampata tu. Watu imani imekwisha. Poleni sana wafiwa.

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 2 года назад

      Inaelekea huyo rafiki yao katumwa na huyo mama awaletee mapacha. Mapacha huwa wanatumiwa sana na waganga kama ilivyo zeruzeru.

    • @halifamasanja987
      @halifamasanja987 2 года назад

      @@janetsemahimbo8083 kabisa yani huyu Rafk yao anahusika kabisaaa

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 года назад +2

    Poleni sana, Mimi naziogopa sana dawa ya za kienyeji ambazo azijasitibishwa na wataalamu

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 2 года назад +9

    Innallillah wainnallilah rajioun
    Mbona mtihani Allah wape subra hiyo familia na Kama kuna jambo mtu kawafanyia hao mapacha yarrab nakuomba waumbue

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 2 года назад +1

    Yaan hospital za Tanzania nazo hatari

  • @haniphermuscatoman6554
    @haniphermuscatoman6554 2 года назад +9

    Mwenyezi Mungu wape mwanga wamilele 🤲🤲🤲

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 2 года назад +17

    Subhana Allah mungu tupe mwisho mwema

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 года назад +8

    Daaaa jamani😭😭😭 huyo mama aliwapa sumu kabisa ,huyo ama akamatwe akatoe maelezo vizuri.Poleni Sana familia kwa majonzi mazito mliyonayo Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P

  • @medardkiheka4447
    @medardkiheka4447 2 года назад +2

    Pole sana Mama!!!!! Ni msiba mzito sana siyo kwako tu bhali kwa mtu yoyote mwenye ubinadamu.

    • @zamzamabdi5279
      @zamzamabdi5279 2 года назад

      Kweli kabisa.ni msiba mazito kweli kweli

  • @salimalesry428
    @salimalesry428 2 года назад +3

    Gea tunaomba baadae utupe part mbili ya mama mganga

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 года назад +1

    Mungu awapumnzishe kwa amani. Watu hawajui tu. Maombi ni silaha,hiyo ilikuwa vita ya kiroho. Wao wenyewe wangechukua kuruani na kufanya dua huko kukabwa kungepotea.

  • @dxbnc1328
    @dxbnc1328 2 года назад +6

    Mapacha hua wana siri kali nanibaraka kwa mungu,🤲

    • @lizmass3437
      @lizmass3437 2 года назад

      Comment nilikuwa natafuta kwanza wa kufwanana

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 года назад

    Subhannallah innarinllah wainairehi rajiuni Allah azilaze roho zao pahara pema peponi amini inauma sana wallah mwenzenu hamjui kawaleaje watoto wake kapitia shida hadi kufikia hapo pole mumy

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 года назад +3

    Innalilah wainna lillah rajunni, Pole sana nfugu na jamaa kii ukweli inauma sana 😢 kwa dua yangu kuanzia huyo mama rafiki kuna kitu wamekipanga hao awauwe , naamini damu ya mtu haiendi bule watauonja umauti sii nyingi inshaallah kheri

  • @khamismkwama4937
    @khamismkwama4937 2 года назад

    Pole sana mama unapitia kipindi kigumu mwenyewe ulishajiwezea watt mapacha wanakazi ngumu sana allah akutie nguvu na imani kipindi hiki kigumu

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 2 года назад +6

    Inna lilahi waina rajiun vijana wazuri jamani kma ni mkono wa m2 Allah atalipa

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 2 года назад

    Mtume muhmd (saw) anasem wat weng wanafrik kutokan na hasad yan husda au choy au neema kutk kwa Allah sw kwhy ni bora tudmsh kinga yan azkar za asbh na jion

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 2 года назад +4

    ALLAH ni mkubwa awatie nguvu wakati huu wa kipindi kigumu na shukuruni kwa kila jambo na wepesi utapatika innshaallah.

  • @khadijamohamedkibabi3625
    @khadijamohamedkibabi3625 2 года назад +1

    Innalilah wainna ilaih Rajoun Allah Awape Kauli Thabit Dah Pole Sana Mama Allah Akupe Subra Jmn

  • @swalehswaleh3608
    @swalehswaleh3608 2 года назад +15

    Siku zao zimefika, Kila nafsi itaonja mauti, Leo ni wao kesho ni sisi, Allah atupe mwisho mwema

  • @agnechiza6381
    @agnechiza6381 2 года назад

    Inauma sana na inasikitisha, polen wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu alichonacho.. mwanadamu ni mavumbi na mavumbi tutarejea

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 2 года назад +8

    Mungu awasamehe madhambi yao 🥺inawezekana lawama saizi akapewa msoma dua kwasababu mkamatwa na kosa ila yeye pengine kaingilia shuhuli ya watu uyoo hapo pakujiuliza uyo anawakaba usiku ni yupi pengine hiyo mama kataka kuwasaidia kakomeshwa jamanii 😭

    • @vailethfunga268
      @vailethfunga268 2 года назад +1

      Innalihah wainnarajion sote safari ni moja 😭😭😭lkn inauma Sana kudhulumiwa nafc

  • @HajraAlly-jo8zf
    @HajraAlly-jo8zf 8 месяцев назад

    Pole sana mama ang imenium kwa kwel Allah awalaze mahal pema jamn huyu mganga hn ht hurum kam ndo kweli kawap xumu

  • @rick305
    @rick305 2 года назад +7

    This is soo painfully hak ....may God rest there soul in peace ...

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 2 года назад +2

    Subhanallah 🥺😥 haki imenilizaa sana binadam sio wazur maskin sjui hawaoni haya maskini ya mungu kuondosha uhai wa binadam mwenzako 😟 daaah weny mioyo hii aisee mungu hatowasamehe kwa makosa haya😥😥😥allah awalaze pema kaka zangu imeniumiza sana kwa kweli msiba unauma haki kuzika watu wawili kwa mara moja so kaz ya kitoto allah awape subra wanafamilia kwa wakati huu ❤️❤️ nawapendaaaa sana

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 2 года назад +5

    Poleni sana familia , pumzikeni kwa amani mapacha wenzangu, 😭😭😭

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 2 года назад

    Kaka nawadogo zako mnafana Mashaa Allah,, uchawi upo asee duu fanyeni utafiti

  • @asyaameir8703
    @asyaameir8703 2 года назад +6

    yaani juzi tuu dada angu alinihadithia kuwa, mtoto wake anaumwaumwa sana anasumbuliwa na matatizo ya akili, wametibu sana mpaka sasa wakawa wanawatumia waganga, sasa huyo mganga akataka pesa nyingi ikabidi ampatia karibia milioni moja, lakini dawa alompa ilikuwa kidogo sana ya unga, akamwambia aitie kwenye maji ikisha mgonjwa anywe, sasa yule dada akaitia kwenye maji, akasahau, akaenda kazini, asimpe yule mtoto wake, aliporudi kazidi ile dawa imegeuka kuwa jiwe la saruji, kumbe ilikuwa si dawa ni saruji,
    kiufupi tuwe makini sana, tushikamaneni na dhikr za asubuhi na jioni na kudumu na udhu, wengine si waganga wanabahatishaa.

    • @neemakimario693
      @neemakimario693 2 года назад

      Duuh Mungu atusaidie kwakweli

    • @khadijahamisi8531
      @khadijahamisi8531 2 года назад

      Kweli kabisa ushirikina sio mzuri pia huyo dada mungu alimnusuru pia kuisahau

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 2 года назад +1

    Allah awape kaul thabiti pengne hasad imefanyika na makafara yao imetaka pacha

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 года назад +3

    💔💔💔😭😭😭😭😭😭huyo mama ahojiwe usikute mipango ilifanyika ya mauaji

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 2 года назад

    Pole mdgo wang allaah atakufanyia wepesi awape kitabu chao kwa mkon wa kulia

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 года назад +4

    Pana hasada hapa. Huyo mama huenda alingewaokoa ila waliofanya hiyo husda wameitangulia dua. Poleni wafiwa

  • @azzehassan1951
    @azzehassan1951 2 года назад

    Duh Mungu awape muangaza makaburin mwao pia Mungu awape subra wazeee wao mtihan kwa kweli

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 года назад +3

    Masikini mamayo kahangaika sn sn. Watto wake ni kazi kuleta mapacha. Leo muna muliya watto wake. Alla atawalipa waliyo wa dhulumu roho zao Ameen yarbllamn😭😭😭

  • @mozarellachilala8947
    @mozarellachilala8947 2 года назад

    Poleni sana wafiwa.m.mungu awape pepo yake janafirdaus kwa dhulma walodhulumika ..sheria ichukue mkondo wake tu .

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 года назад +28

    Very painful 😓 soo sad 😢 pole sana mama May there souls Rest In Peace 🙏🙏

    • @rahmatambwe1069
      @rahmatambwe1069 2 года назад +1

      Daaah Inna lilah wainna illah rajuun pole Sana ndg zangu Allah awape subra to sad kwa kweli

    • @faudhahamisi7588
      @faudhahamisi7588 2 года назад

      Innalilah wainailayh rajiuna allha awepe kauli thabit kaka zetu 😭😭😭😭😭😭

  • @juliethjustus5424
    @juliethjustus5424 2 года назад

    Pore I sana wafiwa mungu awasaindie katika kipindi hiki kingumu mungu aziraze roho zao mahari pema peponi

  • @fatumakwekwe3211
    @fatumakwekwe3211 2 года назад +14

    RIP May your soul rest in peace

  • @theophildamfuruki6859
    @theophildamfuruki6859 2 года назад +1

    Poleni sana wafiwa Mungu awape uvumilivu kwenye kipindi iki,kigumu kwenu

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 года назад +3

    Innalillah wainna ilayhi raajiun. Poleni sana wafiwa wote Allah awajaalie subra na imani hakika ni msiba mzito huu.

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 2 года назад

    Uyo kijana rfk yako na uyo mama msoma duwa lao.moja,,,mungu awalazr mahala pema peponi pacha

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 года назад +6

    Pole mama kwa watoto wako mapacha.

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 2 года назад +2

    Poleni sana wazazi na jamaa wote.
    انا لله وانا إليه راجعون
    اللهم اغفر لهم وارحمهم،

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 2 года назад +8

    Mungu akutie nguvu mama🙏

  • @nellyreani5661
    @nellyreani5661 2 года назад +1

    Poleni sana jamani inauma sana unazaa wanao unalea unasomesha alafu mtu aje awauwe namna iyi jamani uwi Dunia inafika mwisho ahise

  • @kautharikazingoma657
    @kautharikazingoma657 2 года назад +7

    Nimeumia mwenzenu pole mama na wafiwa 😭😭😭

  • @sherynabela6118
    @sherynabela6118 2 года назад

    Innalillah wainaillaih rajiun, Allah awasameh makosa yao, polen wafiwa Allah awape uvumilivu ktk kipind kigumu munachopitia

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 года назад +4

    SubhAllah 😭😭😭 Innallah wainailah rajoon mwenyeezi mungu awape kaur thabit awaondolee adhabu ya kabur na awawekee mbali na moto wa wajehanam

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 года назад

      Ame 😭😭 subhannallah Innalillahi wainnaillyhi rajiuun

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 года назад

    Poleni sana wa fiwa hakika ni mtihani mzito watoto washakuwa watu wazima tegemeo wazee wapate matunda Leo wanapotea wote mungu mkubwa atalipata kila tone la chozi la wafiwa Hawa amini

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 года назад +7

    Maisha yana mashaka sana.... Huu mtuhan umemshukia tuu huyo mama ila hii ngoma alieseti nimtu tafauti nahuyo mama ila huyo mama inaonekana aliingia mziki hauwezi Mungu awatie nguvu mzee Mungu amtie busara zaidi ya hz

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад

      Yani nikweri huyo mama kapata mtihani sikuyako ilikua ishafika ila kilakitu ni kadar ya Allah ... Allah ampe Subra mama yetu 🤲

    • @allyabdallahally9637
      @allyabdallahally9637 2 года назад

      😇😇😇

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      Nahisi walidhani wataondoka wakaugulie kwao kisha awe hana hatia ila shida ikaanzia mikononi mwake .Mungu kataka aumbuke

  • @aishakama1279
    @aishakama1279 2 года назад

    Innalilah wainna ilahii rajioon poleni sn mm pia nina mapacha yalinikuta ila wng walipona mm nipo Tanga wanangu wapo Mombasa Kenya kuna siku nililala nikaota wtt wanaumwa na wananiita nakuniambia mama tusaidie Asubuhi nilipoamka nikapiga simu nikaambiwa wtt wameplekwa kwenye Dua na babayao nn tatizo usiku wote 2 walipiga kilele wanaona watu mwenye kuvaa kaniki wanawakaba walumwa sn ikaenda najua anavyo sikia pole sn mama

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 года назад +3

    Innalillahi wainnalillah rajiuun Mwenyezi Mungu awape kauli thabiti awalaze mahali pema peponi.huyo rafiki yao anahusika kwa namna moja 😭😭😭

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 2 года назад

    Poleni innallilah wainnaileih rajjiuun mauti popote humfika mwanadam,tuweni karibu na Allah saa zote dhikri nakumswalia mtumi na kusoma quran kwa wingi Allah anamsikia mja wake saa zote tujiombeeni waislamu

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 года назад +4

    Innalillahi wainnalilehi rajiun mbele yao nyuma yetu Allah awalaze mahali pema inshallah poleni sana familia,from (Kenya)

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 года назад +2

    🇧🇮 innallillah wainallillah rahijiun
    Allah yani mpaka nasikiya kama nywele ziko zinachomolewa uku nikisikiya maumivu Live,kwa uchungu naupata Miye nasikiya,pole ni familia,Na Mama jikaze Allah awa akupe ujasiri , ALLAH awapokeye kwa amani

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda 2 года назад +3

    Nasisismka ya Allah......mpe subira..mama wawili....Innailaihi wa innailaihi rajiuna

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 2 года назад +1

    Kikubwa ni kumuomba Allah awape makzi mema ila pia Allah atawalipia haki yao hapahapa Duncan ishaa Allah

  • @maydayussuf7950
    @maydayussuf7950 2 года назад +5

    😭😭😭mtihani mzito Allah awape subra ya hali ya juu kwenye kipindi hiki kigumu

  • @dalilasaliim2819
    @dalilasaliim2819 2 года назад

    Inna lillahi wainna illahi rajiun Allah awajalie safar nyepec awajalie makaburi yao yawe makaburi yenye bustani njema ya peponi poleni wafiwa najua maumivu gn ninayo maana nishaondokewa na familia mama baba Kaka na dada Yani mpaka leo sijaunga watatu 2020 mmoja mwaka Jana naumia mpaka leo Ila tunalia kumshukuru Allah tusilie kwa kukufuru