Psalms 37:23-24🙌 The steps of a good man are ordered by the LORD: and he delighteth in his way.Though he fall, he shall not be utterly cast down: for the LORD upholdeth him with his hand.
mine has been messy as well but this month as i was listening to this song while driving i heard the voice of the Father in heaven telling me to visit my sick friend during Christmas and also my life is messed up because Satan's agents whisper thoughts into my head and that makes me a rebel child who doesn't see the good God we have.Let us dedicate our minds to christ's guidance
I came across these song when I was at a point of giving up on a project I was working on,the song gave me the strength to carry on,and since then its been my favorite.
It's indeed a beautiful song and very encouraging. As I step on this higher floor Lord Order my steps. Its my birthday and that means Great things God has planned for me. Happy Birthday Tony
Rud hapa shusho ili safari ya mbinguni iwe ya heri hiii ni huduma aachaa kujichanganya na wasaniii wa nyimbo za kiduniaa wakifunuliwa na Yesu watakufuata watubu wawe kama wewe
Mungu azidi kuinua kipaji hiki Yeye kakupa kwa ajili ya kuwafikia wengi na injili.Ombi langu ni kuwa Bwana Yesu aongoze hatua zangu maishani.To God be all the Glory.
I love that part that says "Elekeza hatua zangu kwa Neno Lako, uovu usije ukanimiliki," That is The Word Of God coming straight into our Hearts.❤ #ChristinaShusho. Lots of Love from Kenya 🇰🇪
Hii n kali 😦😦😦...kwani nilikuwa nimepotea eeeee mabeshtee iko kitu tamu hapa.....Bwana akiongoza hatua zetu tutafika bila kwanguka,,,,,wapi 👍👍👍zenu mafans, watu wanaoongozwa na mungu 🗣🗣🗣mpoo?!
Ongoza hatua zangu ewe BWANA Ongoza mwendo wangu ewe BWANA. MUNGU akubariki Dada Christina Shusho, wewe ni wa Baraka. Namsifu MUNGU nikiwa u.s.a.Amani💞
Watching this song over and over in year 2020 and I am convinced that this should be the song for every born again christian who wants to be outstanding. Mama this song is not just a song. It was birthed by the Holy Spirit. I love
Dada naamini Mungu yuko pamoja nawe. Ila nataka niseme jambo moja mapambo, kama wanja wigi nywele bandia zote kuvaa suruali, hereni, mikufu, usipoachana navyo hutaingia mbingun. Ajifanyae rafiki wa dunia hii hujifanya adui wa Mungu.
Ongoza hatua zangu ewe BWANA MUNGU WANGU. Nanyenyekea BABA WA MBINGUNI 🙏.Tawala Maisha Yangu, bila wewe sijiwezi. MUNGU akubaruki dadangu Christina shusho...wewe ni wa Baraka. 🇺🇸 Twakupenda💘 2022 Nakukabidhi njia zangu zote...Ongoza Hatua zangu milele. 🙏
Amina,bwana nakuomba kaongoze hatua zangu,maisha yangu, nitakalolifanya bwana liwe la kupendeza machoni pako. Tangulia njia zangu. Ee bwana niongoze ooooh! yesu ni mwema natamka kwa imani anaweza na ataniongoza. Barikiwa sana dada shusho. may God expand your territories.
I am very grateful to God for giving you to us in this generation. You are anointed of the lord, no doubt, l am challenged every time l listen to the great songs that are full of the life of God. I wait for the day you will visit Nairobi to do a night of worship. Hope it will happen soon. We love you Christina!
who else is here 2024 to get blessings 🙌 from this song,,,,there's nothing good like leaving everything to God for him to take control 🙏
This son always renews and fills me with the HOLY SPIRIT
Ongoza hatua zangu eeeh Bwana
This has been my anthem day in day out .
My song today… Lord guide my steps today. You are all I have
2025....hatua za mweny haki...gonga like tukisonga
Psalms 37:23-24🙌
The steps of a good man are ordered by the LORD: and he delighteth in his way.Though he fall, he shall not be utterly cast down: for the LORD upholdeth him with his hand.
Amen 🙏
Amen for the verse
2024 we here blessed 😇 song🙏🏾
Listening 2024
Let the NAME OF OUR LIVING GOD BE GLORIFIED
GOD BLESS YOU MY EVER BLESSED SISTER CHRISTINA SHUSHO FOR BLESSING MY LIFE OVER THE YEARS.
My life has been so messy lately..but being here is a call for my redirection from God,,,Amen
mine has been messy as well but this month as i was listening to this song while driving i heard the voice of the Father in heaven telling me to visit my sick friend during Christmas and also my life is messed up because Satan's agents whisper thoughts into my head and that makes me a rebel child who doesn't see the good God we have.Let us dedicate our minds to christ's guidance
Finally l got my fav song ❤....let gather here and worship God in spirit 🙏🏿
Lord guide me ooh lord🙏🙏as i end this year 2024 and lead me into 2025
Mungu najua utatushikilia taifa letu la Kenya;huu wakati mgumu,covid 19 isitumalize lakini tutabaki na Yesu Kristo milele na milele.Amina
Mungu ni mwaminifu sana
ongoza hatua zangu Bwana
May you God guide my footsteps ooh Lord
Kama unaamini Mungu kukuongoza katika atua zako gonga like 2021.
Barikiwa sana dadangu nyimbo nzuri ya kutia moyo
🙏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Maisha yetu ni MUNGU tu
who is listening to this 2023? My all time favourite
I'm here 2024 nyimbo yanibariki
I am here after listening to your songs today in a matatu in Kenya
God knows every step of my life I pray 🙏🙏🙏🙏
Kuna anaye sikiliza 5.2.2020 gonga like twende sawa
@@kellymuragwa748 Uko wap
Ongoza hatua zangu😭😭😭😭
Dada hizi ndo aina zako....Wimbo mzuri usioweza kuchuja , maombi ya wakati wote ule wa huzuni na furaha. Ubarikiwe
Acha vya pasward Bora airudie kuutungia Ile wa pasward
Amina umenigusa wajina wamama yangu mzazi kipenz pia azidi kukuongoza my mama
Thankyou lord nmekuomba kazi umenipa 🎉🎉❤❤ ongoza hatua zangu lord🙏
Amen glory be God 🙏🙏🙏
Next time andika jina Lord na capital letter please
Hakika ukikaa na uaminifu kwa Mungu ataongoza hatua zako kweli..Mungu nisaidie kukaa na ukamilifu kwako..
I came across these song when I was at a point of giving up on a project I was working on,the song gave me the strength to carry on,and since then its been my favorite.
Always trust God 🙏
It's indeed a beautiful song and very encouraging. As I step on this higher floor Lord Order my steps.
Its my birthday and that means Great things God has planned for me.
Happy Birthday Tony
Unanijenga sana na nyimbo zako kila siku
L
Fact 💯%
The song is still 🔥 even in 2023❤🙏
Ee Bwana ongoza ,Ee Bwana ongeza hatua zangu, hallelujahhhh 🙌🙌 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rud hapa shusho ili safari ya mbinguni iwe ya heri hiii ni huduma aachaa kujichanganya na wasaniii wa nyimbo za kiduniaa wakifunuliwa na Yesu watakufuata watubu wawe kama wewe
This is my song/prayer for 2022. Ongoza hatua zangu, eh bwana, eh bwana. Ongoza mwendo wangu, eh bwana, eh bwana
Bwana katika mwaka 2025 naomba ukaongoze jatua zangu mawazo na chochote niguzacho,mana naamini jatua za mwenye haki hungozwa nawe
Bwana utanishika mkona najua utatenda🙏🙏
Hallelujah
Mungu azidi kuinua kipaji hiki Yeye kakupa kwa ajili ya kuwafikia wengi na injili.Ombi langu ni kuwa Bwana Yesu aongoze hatua zangu maishani.To God be all the Glory.
My favorite song ever🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏..I love it
Amen 🙏🙏🙏 huu wimbo umeimba juzi n usiku wa kuamkia Leo moyoni mwangu Asante Mungu kwa ujumbe huu kwangu niongoze kwa njia zako Amen
Amina ameeeeeeeeen❤❤❤ bwana ongoza njia zangu ,OH hallelujah
I love that part that says "Elekeza hatua zangu kwa Neno Lako, uovu usije ukanimiliki,"
That is The Word Of God coming straight into our Hearts.❤
#ChristinaShusho.
Lots of Love from Kenya 🇰🇪
❤❤❤❤❤
Mungu akubaliki nimeongoza hatu zangu dada mungu. Akupe maisha mema
Ongoza hatua zetu bwana
I am from Uganda and I'm here enjoying the beautiful souls of Christine Shusho
Thank you sister
Nakupnda sana mama angu piah barkiwaa sana nakukabize bwana niongoze
The shooting was done at Mida creek,Gede,Kilifi county,Kenya...This lady is a tourist and a blessing 😘🤗🙌🙌
⁵for
😅🤣🤣🤣 ati tourist
U muangalifu sana weh,, vizuri lakini
May my lord take control on my life, my family's and our situation .
2020 am still here.. ongoza hatua zangu
Its a blessing in 2024 may God keep you sister
Hii n kali 😦😦😦...kwani nilikuwa nimepotea eeeee mabeshtee iko kitu tamu hapa.....Bwana akiongoza hatua zetu tutafika bila kwanguka,,,,,wapi 👍👍👍zenu mafans, watu wanaoongozwa na mungu 🗣🗣🗣mpoo?!
Q##
Amen
Bwana utanishika mkono na kunitegemeza
Uovu usije ukanimiliki
Ongongoza hatua zangu
Amen 🙌🙌🙌
Kuna ambae anasikiza huu this 2019?Hand up.
Makado
Mm nasikiliza2024
Ni kweli ukitengemea mungu atakuongoza kwa kila atua zako
kutoka kwa kiboko ya wachawi buza
My all time song lead my ways ooh Lord🙏🙏🙏
Psalms 119: 133..
Great song❤️
I really love Shusho's songs they inspires me a lot.
She is also my favorite too💝
She is also my favorite too💝
Pia nami nataka ongozwa na Bwana... Nikampendeze yeye🙏🙏🙏🙏
Ongoza hatua zangu ewe BWANA Ongoza mwendo wangu ewe BWANA.
MUNGU akubariki Dada Christina Shusho, wewe ni wa Baraka.
Namsifu MUNGU nikiwa u.s.a.Amani💞
Order my feet Dear God, this is my everlasting Prayer Mighty Father.
Watching this song over and over in year 2020 and I am convinced that this should be the song for every born again christian who wants to be outstanding. Mama this song is not just a song. It was birthed by the Holy Spirit. I love
Amen, this song realy touches my soul
i like it again this year 2020
Eeeh bwana ongoza hatua zangu na mwendo wangu mwaka huu 2023
Mungu akubariki sana Christina!..I have been your fan for a long time sana!!
Bwana Yesu akuongoze ktk safari yako.
Akika unayo sauti, ujumbe na akika atakaye sikia sauti na ujumbe uuh na kuufata kwa Mungu atakaribia 5/4/2020 corona ipo tuendelee kuwa makini
Shusho inspires me, and the amazing thing is that I LOVE all her songs I LoVE u Shusho
Dada naamini Mungu yuko pamoja nawe. Ila nataka niseme jambo moja mapambo, kama wanja wigi nywele bandia zote kuvaa suruali, hereni, mikufu, usipoachana navyo hutaingia mbingun.
Ajifanyae rafiki wa dunia hii hujifanya adui wa Mungu.
my all time favorite worship leader. i can't count how many times i have listened to this song. So order my steps oh Lord
2023 nimependa uyu mwimbo
2020 ongoza hatua zangu
Natamani sana cku moja kufanya kazi na wewe kwani hata mimi ni muimbaji pia
This song always sends me back to God even when am almost lost. Ooh you are wonderful. Bless Shusho
Bwana Ongoza Hatua zangu 😢😢😢😢😭
This is one time in my life this song is making sense in my life because my trust in God is giving me miracles
Eeh mungu wangu naku shukuru kwa kuniongoza usichoke baba kwani bila ww sito weza
True servant of God. You are a blessing to many people
Ongoza hatua zangu ewe BWANA MUNGU WANGU. Nanyenyekea BABA WA MBINGUNI 🙏.Tawala Maisha Yangu, bila wewe sijiwezi.
MUNGU akubaruki dadangu Christina shusho...wewe ni wa Baraka. 🇺🇸 Twakupenda💘 2022 Nakukabidhi njia zangu zote...Ongoza Hatua zangu milele. 🙏
Oh God lead me that I may walk as wise not as unwise. God help me
Even today I sing it like it's new.....how I surrender coz I know he'll do it
Hatua za mwenye haki zaongozwa neye blana nakukathivi bwana kwani uta nishika mkono na kunitegemeZaah
God keep leading my steps, plans in 2021 & beyond...
Ongoza hatua na njia zangu eeh Bwana.🙏🙏🙏🙏🙏
Amina,bwana nakuomba kaongoze hatua zangu,maisha yangu, nitakalolifanya bwana liwe la kupendeza machoni pako. Tangulia njia zangu. Ee bwana niongoze ooooh! yesu ni mwema natamka kwa imani anaweza na ataniongoza. Barikiwa sana dada shusho. may God expand your territories.
Dio dada shusho ubarikiwe zaidi maana unatubarikisana
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻👏👏👏👏
Deep & Profound. New revelation into Psalm 37!Blesses my heart every time
Thank you Christina! The song soothes my soul❤️😭
nakukabidhi bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya nice song
guide my steps lord amen
hongoza hatua zangu bwana
exactly yes
Bado inavuma 2024nice songs it bless my heart whenever I listen to it
Am really grateful for this wonderful song. May God continue doing his work in you through our Lord Jesus Christ and savior.
Yes Lord guide my steps the journey is bumpy, I desire to do what only pleases you Father
Great song, great lyrics awesome inspiration.
Establish my path lord 2018.
2022 and he has never disappointed me.
Wengi wasikiriza kilakati nakilasiu neno lamingu litamu kuzidi vyoe
I am very grateful to God for giving you to us in this generation. You are anointed of the lord, no doubt, l am challenged every time l listen to the great songs that are full of the life of God. I wait for the day you will visit Nairobi to do a night of worship. Hope it will happen soon. We love you Christina!
I would loooove a night of worship with Christina ministering..... Her music is such a blessing and Holy spirit inspired.
Ongoza hatua zangu ee bwana ingoza mwenendo wangu
Angazia mtumishi wako,neema yako bwana na mungu wetu
My prayer and song this season.
Huu wimbo hunisaidia saana haswa wakati naona majaribu inaniandama
Lead my steps,day in day out.
Renewed. Thank you
The Song touched my Heart
Mungu alikutumia uguse maisha yangu ya wakati ule, ukafanyika faraja kubwa mno kwangu. ubarikiwe sana kwa wimbo huu "(Hatua za mwenye haki")
December 2018 and this song still blesses me... This is what I call gospel music... 10years down the line and it will still minister
Napendelea sana nyimbo zako zinatia moyo sana...naomba unishike mkono napenda saana kuimba naitwa Doris kutoka Kenya taita taveta
Cant tell how many times have watched this song today. Its really a blessing
Ongoza hatua zangu Bwana uovu usije ukanimiliki tena
God bless you mummy for your inspiring songs I Love you, and I enjoy your songs everytime.
Be blessed mpakwa mafuta wa Bwana
Hii nyimbo ina wingu kubwa sana🙌🙌🙌