Christina Shusho - Nangoja (Official Video) SMS [Skiza 5962583] to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 981

  • @ritaerasto5374
    @ritaerasto5374 5 лет назад +154

    Baada ya kuolewa ilichukua mda kidogo kabla kupata mtoto. Asubuh tukiwa tunaenda kazini na mme wangu kila siku tulikua tunasikiliza huu wimbo na kuuimba. Sasa tuna mabinti wawili wazuri. Mungu hachelewi, mimi shahidi. Asante Yesu

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 4 года назад +11

    Mungu n mwema anajibu kwa wakati wake...nilingoja akanipa mtoto kijana Amen

  • @celebrateGodalways
    @celebrateGodalways 3 месяца назад +4

    9yrs later...still waiting...no plan B...no exit...
    Who's here on 13th Oct 2024.....1855hrs?

  • @ShantelKyeni
    @ShantelKyeni 8 месяцев назад +8

    Sina mtoto lakini Bado am still waiting ooh my lord🙏

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 8 месяцев назад +10

    Nani ako hapa 2024 bado anangoja. Acheni Mungu atutie nguvu.

  • @valkimvalkim.4619
    @valkimvalkim.4619 11 месяцев назад +5

    And 2023 your answer came.. 7 years later.. isn't God faithful Christina? Giver of all times!! King of all times!!

  • @miltonmilton3060
    @miltonmilton3060 Год назад +11

    My first song to listen to from Tanzania and got to my deeper understanding that God is also ministering through diverse language. Power!!! Zulu guy from South Africa ❤❤❤❤❤

  • @dorothyiche7891
    @dorothyiche7891 6 лет назад +16

    she may not have the highest notes or biggest voice in the world but she has An annointed voices in the world. healing and blessing. God bless you woman of God. she has the Spirit of God upon her.

  • @VeronicahMbalu-tw6sf
    @VeronicahMbalu-tw6sf 6 месяцев назад +13

    2024 whi is still listening to this song bdo nagoja songa n like

    • @anneanyango5050
      @anneanyango5050 2 месяца назад

      Me here, bado nangoja miujiza wangu for sure 😢

  • @aishaniyonzima4107
    @aishaniyonzima4107 5 лет назад +5

    Bado nangoja YESU unitowe Katika utumwa wa Dhambi

  • @agripinafungo2532
    @agripinafungo2532 7 лет назад +118

    nilingoja Mme kutoka kwa mungu na hatimaye mungu akanipa Mme mwema,, hakika kungoja kuna faida sanaa, be blessed Dada christin a shushu..

  • @dannynikoi5628
    @dannynikoi5628 8 лет назад +150

    OMG! I wish I knew this language so I can sing along. I don't but I feel so connected to your music. You're really a gift to the body of Christ. I know I would one day meet you in the corridors of heaven and hug you and tell you thank you for what you did with your voice to bless the world.

  • @happykavishe9609
    @happykavishe9609 8 лет назад +4

    wimbo mzuri umenitoa machozi na kunisukuma kuomba asubuhi hii...Mungu akujalie afya mara dufu shusho!!!

  • @nelsonkagema3964
    @nelsonkagema3964 11 месяцев назад +2

    When I heard this song back then I was married but no kid so I never gave up despite of all humiliation from my close people 😢😢😢 but finally God has done it am proud and walking in God's glory ❤❤❤❤❤🎉
    Five years no kid but now am proud Kuna sauti ya mwana kwangu mungu nakupenda🙏🙏🙏🙏

  • @joylinejeptoo6462
    @joylinejeptoo6462 3 года назад +13

    I love this song..it reminds me that no situation is permanent
    cant stop listening to it
    Be blessed Christina

  • @PraxedesOpungu
    @PraxedesOpungu 2 месяца назад

    Nangoja*4,Bado nangoja,nangoja,bwana nangoja,nangoja,nikiita mungu utaitika, utaonyesha makuu nisiyojua,wimbo wa kututia moyo wakati unakatibia kukata tamaa, still listening in 2024

  • @collinsreinhertmalacki6325
    @collinsreinhertmalacki6325 4 года назад +13

    Much love from Kiambu 🇰🇪. You have seen me through alot in life with your praises and worship. May God's grace be your potion each day my sister.

  • @muliroagnetta1496
    @muliroagnetta1496 3 месяца назад +1

    2024, still waiting for you to come through for me in Jesus' Mighty Name.Amen and Amen 🙏🙏🙌🙏

  • @bethmae5589
    @bethmae5589 4 года назад +10

    2021 still waiting for the Lord's blessings which brings laughter

  • @noelmavivi1722
    @noelmavivi1722 Год назад +1

    Mungu hachelewi kamwe

  • @gilbertchepkwony3980
    @gilbertchepkwony3980 7 лет назад +30

    am waiting for my job and i know God will open my way..touching song

  • @macqulinehomvye1430
    @macqulinehomvye1430 6 лет назад +1

    Bado nangoja Yesu bado nangoja
    Wewe ni Mungu usiku Mungu mchana Mungu wakat Wa shida Mungu wakat Wa raha you are my Lord utabaki kuwa Mungu napenda ahadi zako

  • @margaretmshai
    @margaretmshai 3 года назад +9

    I remember this album was out nilikuwa natafuta passport encouraged me so much be blessed shusho🙏🤝❤❤❤

  • @odettenizo1983
    @odettenizo1983 5 лет назад +2

    AMENIPA MTOTO MWANAUME AMBAYE NIMEMUOMBA NAKUSHUKURU MUNGU INAFAA KUGONJA KABISA HACHELEWI MUNGU WETU

  • @janemuthoni3931
    @janemuthoni3931 8 лет назад +9

    I lost one of my close cousins today..31st December 2016..this song has encouraged me all day...the Lord gives and he takes away blessed be his Holy name

    • @euniceobiero9598
      @euniceobiero9598 5 лет назад +2

      Bna nangoja.... I love this song n it always blesses me

  • @davienock2103
    @davienock2103 6 лет назад +1

    Christina shuso yesu atosha kwetu ninapenda sana uimbaji wako akika mungu kakupa kipaji kizuli sana nami ninapenda sana kuwa mwimbaji Wa gospel kama wewe akika mungu wetu yuai nakutakia siku njema kwako na uzima Wa milele kwako na kristo akiwa nasi sote

  • @paulbrison1805
    @paulbrison1805 9 лет назад +4

    THIS WOMAN IS BLESSED AND CHOOSEN ONE FOR THAT MATTER BY GOD,,TRUE WORSHIPER

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 Год назад +1

    Wueh, hii inaitwa kuimba bibilia, injili jinsi ilivyo. What a reassurance that God is still God no matter what.

  • @morineanyango846
    @morineanyango846 9 лет назад +6

    ur songs are a blessings to my life it doesn't matter the situation u will still remain lord sitted at the throne

  • @sarahluvai6580
    @sarahluvai6580 3 года назад +1

    Nangoja toka kwako Bwana, maana wewe ndiwe mwenye nguvu, uweza wote ni wako Bwana,,,maisha mema yanatoka kwako Bwana Mungu Mkuu

  • @ridgeglorialukusa3597
    @ridgeglorialukusa3597 5 лет назад +7

    This song gives vitamins to my faith when I'm weak... ubarikiwe dada #christinashusho from France we love you

  • @bluebirdlogisticsco.limite3415
    @bluebirdlogisticsco.limite3415 8 лет назад +2

    Hakika Mungu ni mwema sana kamwe tusichoke kungoja Mungu wetu ni mwaminifu hachelewi wala hawahi katika kujibu haja zetu

  • @valentinev8363
    @valentinev8363 8 лет назад +4

    Bado nangoja baraka zangu maana kuna nguvu katika kungoja.

  • @jamesmbolesila7600
    @jamesmbolesila7600 Год назад +1

    Nilingoja bwana anibariki na kazi nzuri lakini baadae alitenda...kazi nzuri ninayo Asante yesu

  • @linkephers9043
    @linkephers9043 9 лет назад +6

    Wimbo huu umenipa nguvu za kusubiri kwa mungu kwa wakati wake atanikumbuka na HATA asiponikumbuka bado namuamini kuwa bwana maishani mwangu. Ubarikiwe Christina.

  • @patrickalvin4537
    @patrickalvin4537 2 года назад +1

    Nangoja nangoja iwabariki wa Christu wote wanaona mupenda bwana yesu ,nawapenda wote pia dada Christine shusho Mungu akulinde .

  • @olivergaudence6454
    @olivergaudence6454 7 лет назад +25

    nangoja Mungu anipe mume mwema

  • @collinsmagak3415
    @collinsmagak3415 8 лет назад +1

    Baco nangoja,tenda wema,atende nini,waku abudiwa shushu nyimbo zako unifaidi mno
    Mungu azidi kupa kipawa ya uandishi na nyimbo

  • @happinessmosoti4101
    @happinessmosoti4101 6 лет назад +4

    Patience pays be still and you will know He's Lord a promise keeper and He makes all things beautiful at the right time am blessed my sister God bless I believe 2019 is my year of one glory to another

  • @reinaldagerodi1525
    @reinaldagerodi1525 4 года назад +1

    Nami nangoja kwako bwana unibariki unijaze neema na Baraka zako

  • @dorahawinja2666
    @dorahawinja2666 8 лет назад +4

    she really blesses me when am low ,may da Lord bless her too

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 года назад +1

    Hakika na Mimi nangoja kwa Imani kubwa Sana Sana naamin IPO siku haitochelewa Mungu wangu atanijibu kwa wakat na ntakuwa na furaha kubwa Sana 😭🙏

  • @giselegiram
    @giselegiram 7 лет назад +23

    Yaani napenda sana huu wimbo mtamu. I'm waiting for God's promise too. Be blessed sister Christina Shusho for sharing this lovely song.

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 Год назад +1

    Aki hizi wimbo zinabariki, let's be hopeful. God is never late.

  • @lizmomishkalizmwikali2854
    @lizmomishkalizmwikali2854 6 лет назад +4

    Nangoja mbwana nangoja. ..huuwimbo hunijaza ..asante kwa kipawa. ..mwenyeezi mungu akupanue zaidi. Napenda nyimbo zako. .

  • @Lulongha
    @Lulongha 4 года назад +1

    Dadaangu hivyo ni vilele vya kiroho. Umefikisha roho yangu pazuri. Baba akulinde hapo na ushinde vita vyote in Jésus’ name. Ezra

  • @mourineriani2010
    @mourineriani2010 5 лет назад +7

    2019 still waiting for God's promises...I believe He will do it for me.

  • @rukiakiiru
    @rukiakiiru 2 года назад +1

    Halleluya! Ni Mungu wakati wote, huchelewi, na utabaki kuwa Mungu!
    Hata ukinyamaza, ata usipojibu!

  • @sifayaya626
    @sifayaya626 3 года назад +4

    My favorite gospel singer from your first album to now. I always feel connected, love your songs.be blessed sis

  • @faithmuthui5880
    @faithmuthui5880 Год назад +1

    Even as I celebrate 🎉 God granting me my little victories every day, bado nangoja my big breakthrough-the queen 👸 of all my breakthroughs.
    Watch this space!

  • @judithmumbua9992
    @judithmumbua9992 7 лет назад +3

    Bonne musique ... à Dieu soit la gloire ... oui, le dieu Dieu attend toujours ma promesse

    • @einotilarashi6178
      @einotilarashi6178 2 года назад

      Amen sister in Christ keep listening to God be all the glory

  • @danmboya798
    @danmboya798 2 года назад +1

    MUNGU ANAJIBU NA WAKATI WAKE ATA AKICHELEWA KUJIBU BADO YEYE NI MUNGU HIS TIME IS THE BEST

  • @maureenestozaitun2352
    @maureenestozaitun2352 7 лет назад +5

    Continue trusting in the Lord and you will be the head and not the tail. Great job Christina.

    • @beautymulenga1336
      @beautymulenga1336 7 лет назад +1

      Those who wait upon the Lord are like mount Zion who cannot be shaken.continue with the great work may GOD Richly bless you more

  • @ShantelKyeni
    @ShantelKyeni 9 месяцев назад +1

    Bado nangoja YESu unitowe katikaka utumwa wa Dhambi

  • @nereahwakesho3221
    @nereahwakesho3221 4 года назад +4

    2020 bado nagonja my blessings from Jah. God bless you sister shusho.

  • @FarbrianStopaTheone
    @FarbrianStopaTheone 9 месяцев назад +1

    Eh! Nitaambia waja wako ushuhuda upi? Niko machakos Kenya, Mfalme wa Amani bwana yesu christo bado nagoja nitendee(my gift) oh God.

  • @evansm8802
    @evansm8802 5 лет назад +4

    This sister ministers to my soul

  • @sharonchebet3943
    @sharonchebet3943 3 года назад +1

    Baba nangoja as I wait for my visa I know you will do it as you always do you are the Lord in every time am waiting on you Lord

  • @annekwamboka4947
    @annekwamboka4947 7 лет назад +6

    A song with a message full of blessings. As always God uses you to uplift, enlighten and glorify.

  • @jescaawuor6414
    @jescaawuor6414 9 месяцев назад +1

    Mungu wangu ,bado nangoja sitachoka mana unaelewa familia yetu vyema

  • @rev.kajurapeace5115
    @rev.kajurapeace5115 9 лет назад +19

    Mungu akubariki!! DADA Christina nakupenda sana kwa nyimbo zako maana!! Nimekuwa kiroho sababu ya nyimbo zako

  • @neemanamalanda155
    @neemanamalanda155 7 месяцев назад

    Tuko pamoja kazi ya Mungu aikosi majaribu mama yangu hâta maisha yangu ya ujane napata jaribu Mia kwa Mia dada tusubiri kwenda mbinguni aksante

  • @anitamatildah9941
    @anitamatildah9941 8 лет назад +4

    Amen Amen. my lord still waiting for my miracle. for real your songs always make me cry tires of joy on how my God is. sister Christina, God bless you and give you along life to continue lifting him up through this blessed songs Amen

    • @gounaa7948cia
      @gounaa7948cia 8 лет назад +1

      Amen! i still waiting for my miracle too. i believe you my Lord.

  • @edinahusseinkiyoya8285
    @edinahusseinkiyoya8285 4 года назад +1

    Nangoja watoto ee Mungu ,,maana kuna nguvu katika kungoja

  • @bettyshiko8717
    @bettyshiko8717 7 лет назад +6

    I can't get enough of this song

  • @bennymanyenyi7603
    @bennymanyenyi7603 9 лет назад +1

    May the God of heaven,the immortal God,the Invisible God,the eternal King,the Father of our Lord Jesus Christ,the only God bless you immensely and shower you with even deeper revelations.

  • @evegebo
    @evegebo 8 лет назад +7

    Yes haijalishi majibu . Utabaki kuwa Mungu. Thanks Tina

  • @ireneligare3687
    @ireneligare3687 2 года назад +2

    2022 still listening at 3am 🙏🙏🙏😭😭still waiting for God's time.
    Isaiah 60 :22 when the right time comes I will make it happen says the lord

  • @gilenemkosa3852
    @gilenemkosa3852 7 лет назад +5

    sijawahi kuchukia wimbo wako ata uimbe nini nakupenda sana christina shusho mungu azidi kuku bariki ame

    • @velonikastefano9940
      @velonikastefano9940 7 лет назад

      nyimbo zako ni,zuri san a mungu akubariki uendelee kutu ubilia kwa kutumia nyimbo zako

  • @jamesmutiso3623
    @jamesmutiso3623 9 месяцев назад +1

    I pray and hope to come back to this video one day with my prayers being answered

  • @godsonwilliam916
    @godsonwilliam916 7 лет назад +6

    Dada Christina nakupenda sana. Nabarikiwa sana na nyimbo zako dada yangu

  • @maerimwaura9821
    @maerimwaura9821 5 лет назад

    Baba, Mungu wangu na ngoja baraka yangu,miaka nimekuomba familia,na jua huchelewi waja wakati ufaao

  • @gracewaithera9815
    @gracewaithera9815 7 лет назад +3

    nyimbo zako zajenga sana,zidishiwa hiyo neema Dada Shusho.

    • @osanasinkala780
      @osanasinkala780 6 лет назад

      nangoja kwako Mungu unpe mme mwema, Asante My Sister nymbo nzur sana

  • @saraamri8264
    @saraamri8264 7 лет назад

    Kweli ni mungu kwa kila wakati na jambo lolote unalolipitia na mungu atapaki kuwa mungu💃💃💃💃💃💃💃💃Hallelujah

  • @agnesobare6376
    @agnesobare6376 7 лет назад +5

    But they who wait for the Lord shall renew their strength..........they shall run and not be weary

  • @lusejiadorothy3551
    @lusejiadorothy3551 2 года назад +1

    I really need a job right now, patiently waiting unto the Lord 😭😭🙏🙏🙏

  • @denisongwae1098
    @denisongwae1098 7 лет назад +46

    Sina mtoto lakini bado nangoja kwako bwana

  • @sophywalegwa9762
    @sophywalegwa9762 8 лет назад

    Woow, bado nangoja,unajibu kwa wakati hata ukichelewa na kunyamaza najua wewe ni Mungu na utabaki kuwa Mungu, Amen

  • @solomontindi2038
    @solomontindi2038 8 лет назад +16

    There is power in waiting, GOD bless you sister

  • @cheronokemey6638
    @cheronokemey6638 5 месяцев назад

    it surely came through,am still waiting for my miracle Lord,do it tonight 🙏

  • @deoferasymekah6964
    @deoferasymekah6964 8 лет назад +13

    Very True... Sister Christina, Our God will always be God....Hakuna aliye kama Yeye... your songs nourishes me greatly God Bless You and i appreciate you, Mungu akuzidishie...

  • @RoseNamdulaKomba
    @RoseNamdulaKomba 10 месяцев назад +1

    You are always God no matter what you always see me through in every difficulties. Bado nangoja hata kwa hili najuwa wakati wako ndiyo sahihi you always never late

  • @judithayanga1566
    @judithayanga1566 8 лет назад +4

    those who wait upon the lord will sing the mind of God go on my six Neva depart from the word

  • @monicaphilipo9274
    @monicaphilipo9274 4 года назад +1

    Nangonja bwana

  • @wilsonkidavi2437
    @wilsonkidavi2437 7 лет назад +7

    iz gud 2 keep on waiting apon the lord!

  • @truemarly3239
    @truemarly3239 7 лет назад +1

    Ningali tu nangoya Mungu. sitachoka

  • @magrethjonne231
    @magrethjonne231 7 лет назад +3

    kweli nangoja mungu Wa nyakati zote nangoja ctachoka amen

  • @elizabethfuraha8411
    @elizabethfuraha8411 2 года назад

    🥰,God's timing is the best, well said.

  • @eliudphilimon7004
    @eliudphilimon7004 7 лет назад +5

    Trust in God always; whoever the situation is!

  • @JanethShirima-r6f
    @JanethShirima-r6f 9 месяцев назад

    Bwana na mimi nangoja neema yako naomba nitendee kama ulivowatendea wengine

  • @miriamrichards5982
    @miriamrichards5982 8 лет назад +6

    Ubarikiwe sana Bwana kwa injiri ya uimbaji

  • @joabkava2471
    @joabkava2471 4 месяца назад

    Waiting for the God 's works and miracles is endless. Thanks Shusho. He is a wonderful God❤❤❤

  • @nasha4386
    @nasha4386 7 лет назад +10

    Dada Shusho Mungu akubariki kwakweli. wimbo mzuri mno

  • @petronilahatema9224
    @petronilahatema9224 6 лет назад

    Nikikuita Mungu unaitika,nikibisha unafungua,Mungu ni Mungu wacha a it we Mungu

  • @nancymchuma7959
    @nancymchuma7959 8 лет назад +4

    NANGOJA bwana.barikiwa mama good song

  • @priscillarobiya1405
    @priscillarobiya1405 10 месяцев назад +1

    Ameeeen..powerful song

  • @orbertobadia5610
    @orbertobadia5610 7 лет назад +3

    Wah very encouraging, it makes me see my blessings ahead that God has for me

  • @hellenarunga4931
    @hellenarunga4931 4 года назад

    Hallelujah,bwana nimeomba,Sasa ninangoja, unanibariki Sana Dada nkiwa kenya

  • @aliceatieno8713
    @aliceatieno8713 6 лет назад +4

    Wow. Christina I'm praying so heard that you may come back on the track. You were such a blessing