😂😂😂 ila nyuki mpuuzi kweli sasa cheko gani hilo jamani😂😂😂 alafu Adam napenta jamani hilo deko lako ukiwa una bebishwaaa unanipa raha wewe hujui tu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hongera kwa kuwai ila pole sana Adam 😢😢 mwanaume ni kupambana bora ulale vibandani ukifanya kibarua hadi utakapopata chako na utafute makaazi yako kuliko kuishi kwa mtu 😢ila hilo funzo 🎉🎉 good job bro 🎉❤❤❤
Daaah kwa maisha yasiku hizi wazazi wanakosea sana kuchagulia watoto wakuingia nao kwenye ndoa kisa mali ndo maana ndo hazidumu maaana wanaangalia masilahi ukiwa masikin tyuuuu huna thamani duhhh move tamu sana hongereni sana ila nyuki umeigiza vizur kisukuma mpk nimcheke kweliiii❤❤❤❤❤
Wacha niseme tu tena kuhusu hii movie. Yaani baada ya kuenjoy imenikasirisha sana kuona huu uhalisia na ubunifu Adam ulioufanya kwa hii movie. Yaani nakukubali sana brother. Nimekasirika kiukweli sababu hii inatokea sana katika maisha yetu ila mtu kama wew Adam Mungu amekubariki kufundisha wazazi wenye tabia kama hii ya huyu mama. Also hii movie nivizuri sana kuangalia na wazazi ndiyo waelewe pia
Kweli dadangu mapenzi ni hisia ya tofauti cn ila tunaumizwa na wazazi wetu ambao wanafikia steg ya kuhalibu maisha yetu kisa tu umefanikiwa kwa asilimia fuln daaa imeniuma cn
Wallah ukiwa huna hela unakuwa kama jinga adamu kakodoa mimacho wanaume nawashauri fanyani kazi kwa bidiii kwa sisi wanawake hatuna mkono wakutoa bali tuna mkono wakupokea tu hatuna uvumilivu kabisa na hapo bado mwanamke atakuchoka hapo ni vile bado anamapenzi na wewe tu subiri
Hii movie inanitia hasira sana hasa huyu mama.😡 Hivi haoni aibu kuendelea kukataa ingali mwanae ameshajua ukweli. Na huu msemo wa mkubwa hakosei ulitokea wapi au hao wakubwa ni malaika.. Wazazi wa haina hii wako sana. wenye huharibu maisha ya watoto zao wakijivunia wao ni wazaz na wameliona jua wakwanza au wamebeba mimba miezi 9 na ujinga tu ndiyo wamejaza. Pole sana Adam i
Kk Adam ii muvi imenigusa Sana nikweri Baba yangu yalimkuta ayaa mama angu mmatumbi Baba muhindi ilo lilifanaya Bibi angu kuto kumkubali Baba angu cku moja Bibi alimsingizia Baba kambaka ila watu wazima waliweka kikao nakiapo Bibi alikili nikweri amemzingizia kwasababu Tu hampendi ilituuuma Sana Baba alisema nimemsamehe ila km watoto au family inauma Sana miaka mingi imepita Bibi ua anatuomba msamaha adi Sisi wajukuu na baba etu ndio anamtunza Bibi maana watoto zake Bibi wote awamtaki bibi alikua mkolofi Sana Mungu akubaliki kk adam nimelia Sana Leo😭😭😭
😂😂😂 ila nyuki mpuuzi kweli sasa cheko gani hilo jamani😂😂😂 alafu Adam napenta jamani hilo deko lako ukiwa una bebishwaaa unanipa raha wewe hujui tu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hahaha asantee❤️❤️❤️
Haya kazi njema adam
Kazi nzuri sana nawafuatilia kutoka Kenya I say mko vzuri Mungu awabarike wote team Adam Leo.
Asante
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉ilatwo unacherewesha ❤❤❤❤❤❤sana
Mbona nilishaitoa
Ahsante dada amina kaz nzur cn mungu akubark uzid kuwa juu zaid ktk kaz zako more successful more Life 🎉🎉🎉❤❤❤ nakupend Bure ❤️
Thanks a lot🦋
Kazi nzuri sana Adam Mungu akubariki sana🎉🎉❤❤
Asante
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
Asante
Adamu kazi nzuri sana mungu azidi kukuongeza maarifa❤❤❤❤🎉🎉
Amen
Filamu nzuri Adam❤❤❤
Asante
Hongera kwa kuwai ila pole sana Adam 😢😢 mwanaume ni kupambana bora ulale vibandani ukifanya kibarua hadi utakapopata chako na utafute makaazi yako kuliko kuishi kwa mtu 😢ila hilo funzo 🎉🎉 good job bro 🎉❤❤❤
Shukrani sana
Nyuki umetisha sana Chukua Maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ ww Ni mwanga wa Jamii
🙏🙏
Wazazi wengi. Wanakataza furaha za watoto kisa ni wazazi. Big up. Bro Adam. Kumusame Amina
Shukrani sana
Umepoa sana Mr makande alafu umefukuzwa na mifuko ya nguo ila ukajiongeza njiani na kukunua mabag kaka🎉🎉🎉🎉
Hahaha. We acha tu maana ilikuwa aibu
Kazi nzuri sana Big up sana team Adam nyote 🎉🎉🎉❤❤❤
Shukrani
Adam big up,aki movie nzuri kwel ❤❤❤
Shukrani
😂😂😂kicheko Cha nyuki cha hali ya juu...kazi nzuri sanaa Adam hongera❤❤
Shukrani
Good job mr Adam congratulations Abdul from Liverpool uk
Shukrani
nakukubali xna bro kazi nzur Adam❤
Asante
Ndio maana nakupenda Huwa huceleweshi nakupenda sana adam❤🇧🇮
Asante endelea enjoy!
Movie nzuri sana Adamketa part 3
Daaah kwa maisha yasiku hizi wazazi wanakosea sana kuchagulia watoto wakuingia nao kwenye ndoa kisa mali ndo maana ndo hazidumu maaana wanaangalia masilahi ukiwa masikin tyuuuu huna thamani duhhh move tamu sana hongereni sana ila nyuki umeigiza vizur kisukuma mpk nimcheke kweliiii❤❤❤❤❤
Shukrani
Umeweza Adam ❤
Shukrani
Adam leo wala wali nyqama badala ya makande 😂😂😂 ila nakukubali sana move nzr❤👍👍
Hahaha asante
Natizama kutoka Helsinki Finland 🇫🇮 Yeah movie hii Kali sana Mrs Adam katisha💪🙌
asante chidi
@@AdamLeoStudios Pamoja sana,mi shabiki sana wa Adam movie's, Hongera sana unafanya kazi nzur sana
Wacha niseme tu tena kuhusu hii movie.
Yaani baada ya kuenjoy imenikasirisha sana kuona huu uhalisia na ubunifu Adam ulioufanya kwa hii movie.
Yaani nakukubali sana brother.
Nimekasirika kiukweli sababu hii inatokea sana katika maisha yetu ila mtu kama wew Adam Mungu amekubariki kufundisha wazazi wenye tabia kama hii ya huyu mama.
Also hii movie nivizuri sana kuangalia na wazazi ndiyo waelewe pia
Naam! Brian🙏🙏🙏
Safi sana,,, mmi binafc nimejifunza jambo
Endelea kuenjoy
Safi Sana huo ndo wanaume
Naam
Nyuki umwkosewa adabu eti avae viatu za kikie😅😅😅, amazing 🎉❤
Umeona eh
Hongera sana kk Adam kz nzuri
Shukrani sana sana
😂 very interesting storyline bro keep up a good work bro Adam
Thanks bro, appreciate it 🙏
Very good content and very powerful. I love it so much and I love your good work
Thanks a lot!
Congra mr Adam Leo "Makande"
Asante
Good job
Thanks
jmn nyuki unaniurahishaanga sana ukiongea kisukuma❤❤❤❤
Enjoy
Adamu hongera sana kamziki kazuri❤🎉
Asante
Nimewahi na mm pokea maua yako ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Amina ana msimamo mpaka raha. Nimempenda
Umeona eh
Nyuki! Nae 😂😂
Yaani
❤nice😊
Thanks 🤗
Pole sana kaka Adam mungu atakupa kazi
Amen
Nawapenda jmn ❤❤toka 🇰🇪
😂😂😂
Mama Kenzo unyama Sana 🔥
Shukrani sana sana
Asante omar
Amina umecheza vizuri nafasi yako
Shukrani
Apo sawa❤❤❤
🙏🙏🙏
Adam nicheke nilie jamani umeweza kaka kazi nzuri sana mafunzo hayo 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Aki nawaomba mnipitie team Adam Mungu atawabariki plz naomba
Shukrani sana
Tupo hapa
Nyuki wey usamaliza😂😂😂😂
Acha tu
Amina umeweza
Thanks
Mimi wa kuanza nipeni laik❤
Enjoy
Safi sana kijana
Asante
nafurahia hii kazi,il a nyuki umecheza visuri il mabadiliko ya ya sauti yako njo umesinguwq
Sanaa ya sauti!
Kweli dadangu mapenzi ni hisia ya tofauti cn ila tunaumizwa na wazazi wetu ambao wanafikia steg ya kuhalibu maisha yetu kisa tu umefanikiwa kwa asilimia fuln daaa imeniuma cn
Ni sahihi kabisa
Good job 🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Adam mzee wamakande
Enjoy
Hilo cheko la Nyuki Jamani😂😂😂😂
Yaani
Movi ni tamu sana 100%
Shukrani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila broo Adam unavtuko
Endelea kuenjoy kaka
Wallah ukiwa huna hela unakuwa kama jinga adamu kakodoa mimacho wanaume nawashauri fanyani kazi kwa bidiii kwa sisi wanawake hatuna mkono wakutoa bali tuna mkono wakupokea tu hatuna uvumilivu kabisa na hapo bado mwanamke atakuchoka hapo ni vile bado anamapenzi na wewe tu subiri
Haha yaani😭😭😭
Hii nayoo zuri
Hongera sana kaka adamu kazi nzurii mnooo🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Ila adam ulivyo ichukua hiyo nyama 😂😂😂😂
Hahaha si kazila mie nala
😢😢😢 maskini Adam pole ila mamake Amina m baya kwakweli
We acha tu
mr makande jmn pole udug wangu
Asante
Ila nyuki bhana ndo kicheko gan hicho Jamani 😂😂😂Adam nakupenda sana una mideko had raha 😂😂 haswa ukiwa unadekezwa😂😂
Happyy😂😂
@@AdamLeoStudios 😂😂😂🙌🙌🙌
Amina pls uctoe macho. Unatutisha.😂😂😂
Hahahah jamani
inauma moyoni
Thanks
Adam abee😅😅😅😅
Hahhha
Jamani makande unayapena Adam wewe😅😅
Mnoo
😂😂😂nyuki
Nomaa sana
Nyuki kiboko sio kwa kicheko hicho pole sana yalikukuta kwa mama mkweo
Yaani😂😂😂
Huyu dada anajicho Hilo Sasa hapo anavyolizunguusha huku nacheka 😂😂😂😂😂tu
Endelea kuenjoy
Nzuri sana
Shukrani
mpaka machonzi imenitoka jamani nifunzo zuriy
Asante
Adam unachekesha sana yaan unachukua had Ile nyama ya ma mkwe kabisa umetisha mzeee🤣🤣
Shukrani
Adam unaitikaje abee 😂😂😂😂
Limenitokaa😂😂
Thx kaka adam 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Shukrani
🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
Hii movie inanitia hasira sana hasa huyu mama.😡
Hivi haoni aibu kuendelea kukataa ingali mwanae ameshajua ukweli.
Na huu msemo wa mkubwa hakosei ulitokea wapi au hao wakubwa ni malaika..
Wazazi wa haina hii wako sana. wenye huharibu maisha ya watoto zao wakijivunia wao ni wazaz na wameliona jua wakwanza au wamebeba mimba miezi 9 na ujinga tu ndiyo wamejaza.
Pole sana Adam i
Hatari sana😂😂😂😂
Asante kwa kweli🙏🙏
❤❤❤
🙏🙏🙏
Adam 🎉🎉😂
Naam
@@AdamLeoStudios napenda movie zako ase 🤲
@@piusikula shukrani sana
Masikini Adamu pole kwa mateso ya mama mkwe
Yaani nashukuru kwakweli
Nyuki nimeku mind pia 😅😅 kwa kicheko iko utaki kuvaa kiatu cha kike😅😅
Hahah umeona eh
Kwa kweli,mambo kama haya yapo.
Jameni pole Adam unamavumiriv
Asante
Adam yure mama ware waripanga two wakuzushie ira pore sana
Kwakweli
UZURI uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique
Asante
Nyuki
Nomaa
😂😂😂😂ila Adam any umbali kwa mama 😂😂
Shukrani
Yaan Adam naangalia hii move hadi na mimi nalia, dah ww nikiboko kaka
Polee
Movie zako zote hua menu yako n MAKANDE...lakin uku imekua tofauti kiasi....ata kutaja hukumbuki ADAM...juu ulikua wala nyama😅😅😅
Hahaha ugali ule
@@AdamLeoStudios nlicheka pale ulipo chukua nyama ya mama mkwe Kwa sahani yake ukaila...watafuna kma hutaki....lakin ulikua wataka🤣
Huyo demu wa adam ana jicho. Na anajua kulitumia
Naam
Kk Adam ii muvi imenigusa Sana nikweri Baba yangu yalimkuta ayaa mama angu mmatumbi Baba muhindi ilo lilifanaya Bibi angu kuto kumkubali Baba angu cku moja Bibi alimsingizia Baba kambaka ila watu wazima waliweka kikao nakiapo Bibi alikili nikweri amemzingizia kwasababu Tu hampendi ilituuuma Sana Baba alisema nimemsamehe ila km watoto au family inauma Sana miaka mingi imepita Bibi ua anatuomba msamaha adi Sisi wajukuu na baba etu ndio anamtunza Bibi maana watoto zake Bibi wote awamtaki bibi alikua mkolofi Sana Mungu akubaliki kk adam nimelia Sana Leo😭😭😭
Pole sana Khadija! Allah atapunguza maumivu ya nafsi yako🙏
Ila adam na makande😂😂😂
Dam dam
Nyuki we kiboko 😅😅😅
Mnooo
Vipi imehisha au tuhendelee kusubiri épisode ya 3
@@SalimaKashindi-b8l imeisha jiandaeni na kitu kipya🙏🙏🙏
Leo na Mimi nimewahi wa tano naombeni like
Enjoy
NYUKI KICHEKO CHA UMBEA HICHO 😂😂😂😂
Sanaa
Hivi makande n chakula gani 😂😂 nipo Kenya bana msishangae😂😂 🤣
Maharage ukichanganya na Mahindi.
Ni mahindi yaliyokobolewa ukiyachemsha watanzania wanaita makande
Kazi nzuri sana ❤❤❤bro adam
Adamu niachie no zako napenda sana kazi zenu nataka nije nicheze filam na nyinyi
+255652393960 whatsapp
Ila nyuki 🤣🤣🤣🤣 kicheko gani hicho
Hahahah mamaaaaa
Mbona mnaanza nyuma
Huna shukrani!
Daah
Inauma