Yaani ingekuwa msanii analipwa kwakuumiza kichwa ungekuwa bilionea Ana hatari sana asa alivovaa usika wa tundulisu kwenye shaidi u aitajika uelevu mkubwa ili utambue ni asili inayoshangaza kiukweri
Huyu ni mwalimu Vinna,tz mnaficha kipaji unique zaidi ya wengi..shout out Dizasta Vinna Kenya twakutambua sanaaaaaaa,wakibana hamia Kenya kwa kaka empire
Hey diZasta u ar another planet Keep it up .m personally i real love wat u delivering an people mus nou tht we hv dis man in our fabulous game hip pop U d king bro
Huyu jamaa ni next level kwa HIPHOP ni genius kwa hii industry bila kupinga anaishi kwenye dimensions ambayo miungu tu ndo inaseto yani ni 🔥🔥🔥 aisee huyo RAPCHA akae mita milon 50 na jamaa atauwawa.
.oe tz dizasta nijembe akitoka ngwea langa na dzila fid q generation mwafaaa mumpee tuzo acheni kuwabagua wana mziki wakina lunya wanaimba kuchikuchi othae awana punchline ngum bt my gee vina sharaap sana uko sawa sanaa tuu pamoja 254 don swaggz mamen obey de rastaboy nembo ya mtaa 🦁🦁
M napenda mzik wa aina zote lakin leo nahakikisha kuwa tanzania hakuna rapper kama Dizasta Vina aki ya mungu nasema jamaa amesoma anajua vitabu nandomana hata wachambuz wa mzik hawamwelew mana hawasomi
Nafurahi kuona tanzaniaa inamuelewaa sasa uyu jamaa sasa hivi
Naona sasa atakaye zimba pengu la Fid Q
Asante sana kwa wote mnaokubali anachofanya mchizi
Wanasemaga Fid Q punches zake ni ngumu kuelewa ila huu Mwamba Dizasta ni another level cjawahi elewa aiseee
This dude is another level...Rapcha Can't compete with niggah
Kikaoni,,,,,dizasta fundi mmoja hiv wa maneno
Ndo msanii wangu wa hip hop namba moja kwa sasa..the best of the best..
Tribulation ni Moja Ngoma ambayo huwa naisikiliza kila nikiwa nasafiri
Madini mengi sana ndio msanii wangu wa muda wote viina
Ausio dizstar vina Wachana naye kabisa
Yaani ingekuwa msanii analipwa kwakuumiza kichwa ungekuwa bilionea Ana hatari sana asa alivovaa usika wa tundulisu kwenye shaidi u aitajika uelevu mkubwa ili utambue ni asili inayoshangaza kiukweri
Uyu jamaa katik floo sin wakumfananisha na level zakee
Heavy element iliozaliwa baada ya star ⭐️ kufa
The lyrical master of all time kama KRS 1 hata hapa afikii
Dizasta vina no one can battle him in this generation
Talib kwel👊✨
Wachache sana watakao elewa hii hiphop
"FUTA candy crush kwnye simu"
Jamaa ni 🔥🔥🔥
Mchizi Yuko Active
never dissapoint brother vina you on top in this generation
Naomba tuandae tuzo ya màshabiki kwa disasta vina pls
Huyu ni mwalimu Vinna,tz mnaficha kipaji unique zaidi ya wengi..shout out Dizasta Vinna Kenya twakutambua sanaaaaaaa,wakibana hamia Kenya kwa kaka empire
We ahamie wapi tunamkubali huyu jamaa kichizi
Ila ii ngom ya usingizii badoo nashindwa kupat picha yake nino
Kwa tz hii.inawezekan kujatokea lakin syo leo kala kesho wala siyo kwa kaln hii d manyota wa vina nakukubar sna
Hey diZasta u ar another planet Keep it up
.m personally i real love wat u delivering an people mus nou tht we hv dis man in our fabulous game hip pop
U d king bro
Master Art 🖼 Vina!!
Huyu jamaa ni next level kwa HIPHOP ni genius kwa hii industry bila kupinga anaishi kwenye dimensions ambayo miungu tu ndo inaseto yani ni 🔥🔥🔥 aisee huyo RAPCHA akae mita milon 50 na jamaa atauwawa.
Vina teacher la mtaa anajua kuliko kawaida
uyu mwamba unaweza yak corrupt medura ana madini mengi sana
.oe tz dizasta nijembe akitoka ngwea langa na dzila fid q generation mwafaaa mumpee tuzo acheni kuwabagua wana mziki wakina lunya wanaimba kuchikuchi othae awana punchline ngum bt my gee vina sharaap sana uko sawa sanaa tuu pamoja 254 don swaggz mamen obey de rastaboy nembo ya mtaa 🦁🦁
😂😂😂
Black maradona
Huyu jamaa hata kuchambulika shughuli pevu mutajikuta munavua Tai
Kuvaa hajui
Hahaha 😅 Ule Wimbousio bora Umekuwa bora Hahaha 😅 tunaokubali anana Belle 9 kwene like
This man is the GREATEST OF ALL TIME ✊🔥🔥
Kitaa kimeelewa 🤜🤛
Wewe in MTU bad
M napenda mzik wa aina zote lakin leo nahakikisha kuwa tanzania hakuna rapper kama Dizasta Vina aki ya mungu nasema jamaa amesoma anajua vitabu nandomana hata wachambuz wa mzik hawamwelew mana hawasomi
The man is a MACHINE GUN 🔥✊
dizasta ni 💥💥💥💥
Najivuniaa kumjuaa dizastaa kabla hajaingiaa main stream🖐🖐
Hizi sijui tuziite CONFESSIONS OF WHAT?
Dizasta ni Chuo kikuu cha Mtaani.
Haha wataelewa tuuu🔥🙌
kama asemavyo.. hakuna bidhaa ya kummatch kwny soko hili,
Hatar uyoo
Mr Champions league
Dizasta vina ni number chafu
DIZASTER #TORE#
Professor tungo 🔥🔥🔥
Rapcha aache kielele uyu cy saizi yake
mashairi ya Disaster ni chakula cha ubongo
Black maradona Dizasta vina 📌
Street verified 🔞🔞🔞🔥🔥
Oya Black maradona ni Genius
African Gold disaster vina
Tunahitaji interview ya disasta vina
Dizasta 💪💪💪💪
HAKIKA
Mufti karamba haramu
No bady is safe!
Dizasta Art .
Dizasta Vina 🏜️
🔥🔥🔥🔥
Vinna
Lyrical Murderer...The True Story Teller
Huyu Jamaa Nyimbo zake zote ni Scripts
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
m͎u͎n͎g͎u͎ b͎a͎r͎i͎k͎i͎ dizasta
Mshikaji anaweza ila natamani akutane na P-Mawenge 🤣
Washaimb san p mwenyew anamkubal