Dizasta Vina - Tribulation|REACTION Pt1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2023
  • Dizasta Vina - Tribulation
    • Dizasta Vina - Tribula...
    Subscribe my new 2nd channel / swahilireaction
    Support me on
    Donate M-PESA : +255745121514
    Donate PayPal: www.paypal.com/cgi-bin/webscr...
    👕 Thank you for making these reaction videos possible by supporting my clothing brand, JUST GO 🌎: van-isikaka.creator-spring.com
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜!
    🚩 Remember to subscribe and hit the bell "🔔" icon, so you don't miss out of the crazy vibes reaction.
    Thank you for stopping by 😎 Welcome to #Vanisikaka🔥🔥 Swahili reactions , VanVlog and good series that happen weekly 🤘🏽🤘🏽
    For branding/ sponsors or any artist that want me to react to their music email me at Vanisikaka@gmail.com 🤘🏽🤘🏽
    #Vanisikaka #YouKnowWhaat #SwahiliReaction #Unyamwezi
    Support me on
    Donate PayPal: www.paypal.com/cgi-bin/webscr...
    Donate Gofundme: www.gofundme.com/manage/donat...
    Join this channel to get access to perks:
    / @vanisikaka
    Social media
    Facebook: / van.isikaka
    Instagram: vanisikaka...
    Tiktok: Vanisikaka
    Copyright Disclaimer Under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as criticism, commenting, news, reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statue that might otherwise be infringing. Non profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use* ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 93

  • @shabaniddy3606
    @shabaniddy3606 Год назад +9

    Nilichogundua vaniskaka ajui kingereza mbn atafsilii

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  Год назад +18

      Humo amna lugha iliotumika ila vimetajwa vitu deep na majina ya watu walifanya matukio deep...inahitaji mjuzi wa kuyaelezea ,that y....
      So siwezi elezea kitu kama sikijui inaweza ikawa najua ila sio indeep......nainjoy flow, mashairi na vibe🙌🏾 English sio kitu cha ajabu kwangu 😂 coz naishi mazingira 😍 hayo

    • @marcouruva3912
      @marcouruva3912 Год назад +1

      Xema hip hop ngumu kwako broo,Dizasta anajua mpaka anaboa..

    • @shabaniddy3606
      @shabaniddy3606 Год назад

      Sio ajabu kwako Kwan unaishi uinglishin Mbaka useme unaishi humo

    • @raheemrahim5320
      @raheemrahim5320 Год назад

      Mistari ya Dizasta ni Konkiii hahaaaaa

    • @chrissoty7368
      @chrissoty7368 Год назад

      @@shabaniddy3606 anaishi Italy huyo

  • @aziziabdulrahman3914
    @aziziabdulrahman3914 Год назад +26

    Anejiita king team dizasta like 👍👍👍kumchapa rapcha hahahhaha

  • @abdallasalim8526
    @abdallasalim8526 Год назад +12

    Genius (DIZASTAVINA) Maangamizi kama kawa atakufa mtu mwaka huu mamaee

  • @davidkojo9525
    @davidkojo9525 Год назад +5

    Huwa nimemrank sana Dizasta Vina. Huwa anafanya nikipenda Kiswahili sana. Bonge la artist. Mob love from Kenya.

  • @oscermushi5608
    @oscermushi5608 Год назад +11

    Van jinsi nilivyo subiri hii reaction

  • @michaelkimani7466
    @michaelkimani7466 Год назад +3

    Diasta to the world.... Mob love toka Kenya.. Jamaa ni mzii

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 Год назад +6

    Part 2 please

  • @neko9869
    @neko9869 Год назад +5

    Waiting for part 2

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 Год назад +5

    Hahahaha disasta uchambuz part2 nomaaa hyo jmaaa

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 Год назад +10

    Bro! Dizasta mtaani tuna mwita T'tcha anatufundisha fasihi andishi yenye simulizi. 🔥

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 Год назад +4

    Thank you so much for acknowledging & appreciating SNS from Tanzania 🇹🇿💪🔥 mi nakuelewa mno🙌

  • @khalifalibenanga9123
    @khalifalibenanga9123 9 месяцев назад +1

    Dizasta anajua sana tena sana namba 1 kwangu kibongo bongo

  • @vancykhan234
    @vancykhan234 Год назад +1

    Fireee

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 Год назад +7

    Utalala pema maana sinawema hata kidogo
    👆🤪😜

  • @footballtime1021
    @footballtime1021 Год назад +7

    Nlikua nakusubili kamanda ang kama na wewe ulikua unamsubili ua like apo chini kwa vina wetuu

  • @officialcentb3438
    @officialcentb3438 Год назад

    Another day 😄😄Another reaction

  • @ugandanprince6384
    @ugandanprince6384 Год назад +6

    Try to be bringing my Ugandan people like react to their music I feel so bad when I come here to watch only Tz and Kenya if I see u reacting to Ugandan music that will be really cool 😎 😊❤ my Ugandan people isn’t that true ❤

  • @royalvatv2677
    @royalvatv2677 Год назад +2

    Following your footsteps closely bro 😊

  • @hassanmakweto6299
    @hassanmakweto6299 Год назад +3

    Oya fanya ulete hyo part two

  • @Gideonnaire
    @Gideonnaire Год назад +8

    Dizasta Yuko deep sana. Kaongelea mtu kama Van Gogh, ma equations kama Schrödinger's aisee lazima uwe umepiga kitabu sana na uwe deep kwenye knowledge mbalimbali uweze kumuelewa huyu jamaa

  • @Majembe12
    @Majembe12 Год назад +5

    Sis tunachojua mtaani ni BEST FRIEND VS TRIBULATION... YAAN dizasta vs dizasta... Rapture ni mshangiliaji tu...

  • @robertgagabhi8188
    @robertgagabhi8188 Год назад +1

    Una gusa busha wazee.🔥🔥🔥

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +2

    Oya Dizasta ni mkali uyu mwamb 👊👊

  • @erasmosluckas734
    @erasmosluckas734 Год назад +3

    This is real hiphop van haihitaji kuremba

  • @saidkibabe7131
    @saidkibabe7131 Год назад +9

    Hii inaitwa kill them softly😅😅

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Год назад +3

    DIZASTA VINA ni "Emcee wa kweli" huyo mwingine acheze, na ma mumble rappers wenzie "Atadanja" hapo alipogusa "hafai, hawezi pona hata anywe nyagi au chai"

  • @vancykhan234
    @vancykhan234 Год назад +4

    Bro tunaomba Fànya reaction kwenye kibabu na kibinti Ngoma Kali afu idea ndo Kali Zaid yan unyama ni mwingi

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 Год назад +3

    Hawezi kujibu Tena

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca Год назад +1

    Shout-out to #SNS

  • @ammarrami1998
    @ammarrami1998 Месяц назад

    Dizasta balaaa mzee

  • @lameckfb2847
    @lameckfb2847 5 месяцев назад +2

    ngoma ngumu ,ata kuichambua

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ Год назад

    Wow

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ Год назад

    Vinnaaaa

  • @Iamsaintlaurent
    @Iamsaintlaurent Год назад +1

    DZSTVN 🔥🔥

  • @trevorgaiku2597
    @trevorgaiku2597 Год назад +3

    Yooh ......plizz react to tundura by wakadinali😇✌️💯

  • @marokeyLFM
    @marokeyLFM Год назад +1

    Dizasta 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔫🔥🎵🙏

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 Год назад

    Leta part bee hyo mkuu

  • @lameckfb2847
    @lameckfb2847 5 месяцев назад

    aaaahaah hii ngoma haujachambua kaka ila unajikuta una mzuka ,ngoma kama hizi zinahitaji ukae mda kuiskiliza

  • @samstive665
    @samstive665 Год назад +1

    Cosman anyamaze tu 😂🙌

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 Год назад +1

    Weka party 2

  • @Ambweneonlinetv
    @Ambweneonlinetv Год назад +2

    Unachelewa sana man mpaka inapoa sio poa

  • @jonasibraysoni1859
    @jonasibraysoni1859 Год назад +3

    nimesubir sana hi kaka

  • @rizyrogastian6639
    @rizyrogastian6639 Год назад +2

    Vivaking umetsha san

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri Месяц назад +1

    Kwanza natamini uyu dizasta nimuone ili nimchunguze nitambue ubongo wake ni wa rangi gani

  • @swamcadochy4507
    @swamcadochy4507 Год назад

    Nakubal

  • @marcouruva3912
    @marcouruva3912 Год назад +3

    Babaa rapcha kayakanyaga..

  • @giftsimpamba988
    @giftsimpamba988 Год назад +2

    Dizasta katisha

  • @albertpike5893
    @albertpike5893 6 месяцев назад

    Huwezi kuandikia wimbo ili uka-battle . Sijui nikudiss wee au nimdiss aliyekuchorea verse???..... punchline Kali Sana

  • @rosebanyikwa6903
    @rosebanyikwa6903 Год назад +2

    I subscribe u a Acc cause you SUPPORT HIP HOP

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 Год назад

    Kwàkupitia disaster nimesubscrib

  • @hchriss7930
    @hchriss7930 Год назад +4

    🤣🤣🤣 sema nmecheka Sana hapo ulipokua unamueleza Noorah na styles zake 🙌

    • @allymanyojr3719
      @allymanyojr3719 Год назад

      Uyo noorah sijampat

    • @asheosimutenda765
      @asheosimutenda765 Год назад

      @@allymanyojr3719 huyo nura ni yule Alie imbaga lugha gongana

    • @Secondborn_
      @Secondborn_ Год назад

      @@allymanyojr3719 dah mmekosa mziiki mzuri asee wataalam washaretire

    • @adamsengo1869
      @adamsengo1869 Год назад

      ​@@asheosimutenda765 nenda youtube andika Noorah-ice cream, NOORAH kafanya hit nyingi sana alikuwa kundi moja na ngwea, dack master yani duuh hatar mzee jamaa yupo mbele ya mda🔥🔥🔥

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Год назад

    #HUMO_HUMO 11:00 Vanny

  • @chrissoty7368
    @chrissoty7368 Год назад +1

    Rapcha inua mapanga juu omba amani tu hili jamaa litakuua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Huyu Dizasta huwezi ku compete nae hata Kidogo

  • @MuhidiniAbdul
    @MuhidiniAbdul 11 месяцев назад

    Oya dizasta salut

  • @samvannymilinga7594
    @samvannymilinga7594 Год назад

    So hot dizastaaa sam from songea town

  • @mwashilimason4662
    @mwashilimason4662 Год назад +1

    Atal hii

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 Год назад +3

    Vanny umeuwa sana bro ila usisaa hatia iv yake dizasta vina

  • @yonathankyando5078
    @yonathankyando5078 Год назад +2

    dizasta mwenye disaster zake

  • @challohabdi3478
    @challohabdi3478 Год назад +4

    disaster kauwa brooo......

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 Год назад

    hv unachambua au unafatisha song?
    Kuba sisi hatujui English bro, tumesubir utafsir kiswahili.. mfano; kwenye radio call ya coplo".... hamna nilichogain hapa zaid ya kuloose bando.

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  Год назад

      Nafatisha song😂, hii ni reaction Video mzee.......pia kama haujui kingereza kuna mwingine haelewi kiswahili cha Tanzania pia....kwahiyo acha ubinafsi kwa shida yako binafsi...jifunze kutoa maoni sio kuleta ujuaji wakati haujui.....umepoteza bando na mimi nimepoteza sauti, edit, umeme na bando...so acha ubinafsi😍

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 Год назад

      @@Vanisikaka hadi umemee 🤣🤣🤣
      wee bwege sana 🤣🤣

    • @charliestyles5535
      @charliestyles5535 Год назад +1

      Kaangalie review ya sky utaelewa zaidii

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 Год назад

      @@charliestyles5535 shukran kk... nimeenda na nimepata vingi.. madini

    • @franktom667
      @franktom667 Год назад

      Hii ni reaction sio tafasiri ya wimbo ukitaka tafasiri nenda kwa sky uko man

  • @dominickilonzi8717
    @dominickilonzi8717 Год назад

    Fanya reaction ya bahati x prince indah abebo

  • @xellemacomputer3610
    @xellemacomputer3610 8 месяцев назад +1

    who told to come a board over....
    mission compromise abort over.....
    Copro your not alone and you grow over...
    Go master your verse coz u don't flow proper!!!

  • @zakayomwalongo9330
    @zakayomwalongo9330 Год назад

    L00

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Год назад

    Dizasta amewai tu kujibu lakn amfiki rapcha ameua sana

    • @jofreymfugale4752
      @jofreymfugale4752 Год назад +1

      Hujui hiphop kaa kimya

    • @yasrikomba7874
      @yasrikomba7874 Год назад

      Nikae kimy kwani unaniwekea bado au kunamtu anakatazwa kutoa mwazo ww unajua umeifanyia nn Kila mtu anatoa mawazo yake kwaio kama unaona imekugusa kausha

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣sawa bhana... acha ninyamaze

    • @yasrikomba7874
      @yasrikomba7874 Год назад

      @@lampadshigonko3006 yah kutoa maoni nilusa maana Kila mtu anaaki yakutoa maoni lakn usitukane tu

  • @taseni_vevo
    @taseni_vevo Год назад

    Unaflow WAP wewe 😃😃😃

  • @hamisinyondo161
    @hamisinyondo161 Год назад +1

    Go master your bets coz you don't flow proper..

  • @youngrymzesC.M.C
    @youngrymzesC.M.C Год назад

    Bro plz chki hio freestyle session yngu hapa @Young rymzes natokea Mombasa kenya

  • @vancykhan234
    @vancykhan234 Год назад

    Fireeee

  • @jaygwaymic1597
    @jaygwaymic1597 Год назад

    Chuma hiyo rapcha acha