Jinsi ya Ku mix KICK na BASS katika FL Studio

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025
  • Katika Video hii nimefundisha Jinsi ya Ku mix KICK na BASS katika FL Studio
    Ukiachana na hayo kuna mambo mengine kadhaa utajifunza katika tutorial hii. Hakikisha unaangalia mwanzo mpaka mwisho. Baada ya kutazama basi usisite Kuacha maoni yako katika sehemu ya comment.

Комментарии • 30