Jamani VOP,mbarikiwe Sana!, Msiache kuyasema haya,huu ndio wakati wake,ninawatia moyo songa mbele!, Ninatamani kazi iishe tukutane pamoja nanyi kwenye makao ya amani.Endeleeni kuwafungua watu macho!
Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi niko ndiyo jina lake awabariki sana hawa waimbaji ombi langu tuonane asubuhi njema ktk kusanyiko la watu wamungu wanaomfata yesu kokote aendako
Mliimba vizuri sana sana. Mungu aendelee kuwabariki sana. Ni zaidi ya mahubiri. Nimependa namna mlivyovaa KIHA. Yaani muda mwingi nasikiliza nyimbo zenu.
Am blessed day by day by prophecy songs! Keep it 🔥🔥🔥🔥 VOP ministry... By taking the """ Three Angel's Message """ through singing I Love this 🎶🎶🎶🎵🎵 God bless you richly.
Actually, it's you who don't understand the prophecy. Go back to the bible with a humble and a teachable spirit, “ye shall know the truth and the truth shall make you free."
@@innocentabae1118 what I know is I can attend mass any day from Monday to Sunday only that Sunday(The Lord's Day) and holy days of obligations like feast is a must
Mbarikiwe sana my favourite choir
Mbarikiwe sana!! Endeleeni kuhubiri ujumbe wa malaika wa tatu!!
Jamani VOP,mbarikiwe Sana!, Msiache kuyasema haya,huu ndio wakati wake,ninawatia moyo songa mbele!, Ninatamani kazi iishe tukutane pamoja nanyi kwenye makao ya amani.Endeleeni kuwafungua watu macho!
Ujumbe umefika,Amen 🙏
Mfike mbali sana wapendwa
Asante Sana kwaujumbe uzuri mubalikiwe
Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi niko ndiyo jina lake awabariki sana hawa waimbaji ombi langu tuonane asubuhi njema ktk kusanyiko la watu wamungu wanaomfata yesu kokote aendako
This choir is truly the Voice of Prophecy. My favorite choir.
jamani wapendwa katika Bwana wote mlio comment tunawapenda tunaomba muundeleekutusaport tumalizekazi kwanjia ya nyimbo
Kwa njia gn mnasapotiwa kwamfano mtu anataka atume sadaka kwa ajili ya kazi ya Mungu utaratibu ukoje?
God bless you vop choir,. You have preached the third angel's message, let's share this somg
Mliimba vizuri sana sana. Mungu aendelee kuwabariki sana. Ni zaidi ya mahubiri. Nimependa namna mlivyovaa KIHA. Yaani muda mwingi nasikiliza nyimbo zenu.
Yaani hawa wanaonekana kutumia vyema fursa wakiwa jukwaani kila mmoja anaimudu vilivyo nafasi yake
Bwana aibariki kwaya hii, jina la kwaya kweli ndiyo wito wenu. Songeni mbele.
Ukweli nawapedaga sana
This is the present truth may you live forever kasuru choir
What a message from you..Mmbarikiwe
Amina
❤❤❤amen
Am blessed day by day by prophecy songs! Keep it 🔥🔥🔥🔥 VOP ministry... By taking the """ Three Angel's Message """ through singing I Love this 🎶🎶🎶🎵🎵 God bless you richly.
Hasante kwa ujumbe wa Leo,
Kweli mno
it's the msg which will make many people to make their lives preparatory 4the second coming of Christ so v.o.p kasuru keep it up n God bless u
very well presented piece.. amazing voices
Mnanibariki saana saaana. Mungu awabariki sana
Najua vikwazo vimeanza songeni mbele msitishwe na majesuit wanaopinga ujumbe wa malaika wa tatu
Aminaaaa Mungu awabariki
Aminaaaaaaa barikiwa sana waimbaji
🔥🔥
umbarikiwe kwa ibanda ya sabbath
U have nailed it my best 💯 in love vop
Amina!
Number one vop choir God bless you 🙏
Mungu awabariki sana
Amen,,be blessed
Your interpretation of the scriptures is Soo poor 😂
@Marto maximal They are right.
Actually, it's you who don't understand the prophecy. Go back to the bible with a humble and a teachable spirit, “ye shall know the truth and the truth shall make you free."
@@innocentabae1118 what I know is I can attend mass any day from Monday to Sunday only that Sunday(The Lord's Day) and holy days of obligations like feast is a must
Again the sdas love preaching hate against the Church that Christ started himself and not a human being unlike their own
@@martomaximal1502 Sunday is not and will never be The Lord's Day.The Sabbath(Saturday) is the LORD'S DAY.