𝗗𝗸𝘁𝗿 𝗔𝗻𝗮 𝗪𝗮𝘀𝗶𝘄𝗮𝘀𝗶 𝗡𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝘇𝗶 & 𝗪𝗮𝘁𝘂 𝗪𝗮𝗸𝗲 𝗪𝗮𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 44

  • @Muislamu
    @Muislamu 3 месяца назад +2

    Masha Allah uko na ufahamu mzuri sanaa na wa ndani sanaa ewe mwenye mtandao huu..jiandae na majibu mbele ya mola wako ndugu ..

  • @hay3_8kal
    @hay3_8kal 3 месяца назад +6

    duktur alikua anafunza kuhusu khiyana(takriban mwaka na umepita).. kisha unabadilisha maneno na kusema ana wasiwasi... hivyo hivyo ndo mnataka kupotosha maana ya anachokifunza kwa husda na chuki zenu... Allah atawalipa😊

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 3 месяца назад +1

    BarakAllah fiiiy

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 3 месяца назад +1

    DUUUH WALLAHI MMENISHINDA TABIA HIVI
    WALLAHI JAMBO MNACHO KIFANYA HATA SHETANI HAWEZI KUFANYA KWA KWELI SUBHAANALLAAH DOH DOH WALLAHI USAFI UKO MBALI NA NYINYI KWA HII TALBIS NA HUU NDIO UHIZBIYYA

    • @salafi.
      @salafi.  2 месяца назад

      Yani umerudi pale pale kwa kumtetea shetani.

    • @Abdulrashedalhilaly
      @Abdulrashedalhilaly 2 месяца назад

      @@salafi. موتوا بغيضكم

    • @Abdulrashedalhilaly
      @Abdulrashedalhilaly 2 месяца назад

      @@salafi. Wee jiandae na cha Kumjibu Mola siku ya Qiyaama

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f 3 месяца назад +1

    Dr islam ni jabali wazama hizi

  • @ramaqaasim239
    @ramaqaasim239 3 месяца назад

    { یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ كُونُوا۟ قَوَّ ٰ⁠مِینَ لِلَّهِ شُهَدَاۤءَ بِٱلۡقِسۡطِۖ وَلَا یَجۡرِمَنَّكُمۡ شَنَـَٔانُ قَوۡمٍ عَلَىٰۤ أَلَّا تَعۡدِلُوا۟ۚ ٱعۡدِلُوا۟ هُوَ أَقۡرَبُ لِلتَّقۡوَىٰۖ وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ خَبِیرُۢ بِمَا تَعۡمَلُونَ }
    [Surah Al-Māʾidah: 8]

  • @sadickkimwaga7336
    @sadickkimwaga7336 3 месяца назад +1

    Tambua kwamb maneno yako siku ya qiama ya tahisabiwa mche allah

  • @alhabeebomarmanswab
    @alhabeebomarmanswab 3 месяца назад

    Nyie watu acheni chuki zenuuuuuuu
    Wallah huuu sio uislamu

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih 3 месяца назад

    Sitambui hizbi yoyote zaidi ya bwana kada Muhammad maafuta. Na kama yupo nionesheni

  • @Kalaharidesertstorm
    @Kalaharidesertstorm 3 месяца назад +1

    Yani hapa mume jisemea Hali ambayo mko nayo mnasikiza maneno ya duktur alafu mnatafsiri kwa Hawa zenu Kisha mnasambaza kwa malengo mabaya hii ndio khiyana fii addaki tafasiriha 😂😂😂😂

  • @user-abuhassanshabiby
    @user-abuhassanshabiby 3 месяца назад +2

    حاسبك الله بما قلت،
    والله لا أشك أنك غير صادق في عملك.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 месяца назад

    Akhy akulipe khery, lizangatia vichwa vyako vya habari unavyoweka, visichuke mipaka.

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 3 месяца назад +4

    Ila unachokifanya Allah atakulipa kwann unamchafua shekhe namna hii umemuandama na yy hajawahi kukusema vibaya binafsi naona kuna wivu upo nao unamuonea wivu yupo na nawanafunzi wengi ama nini maana too much

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 3 месяца назад

    kichwa cha khabari kinatuonyesha anakhiyana mweny hii chanel uchwara .yaan mpk darsa limekua pia nituhuma

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 3 месяца назад +2

    Chapa hao. Mahzibìii 🔥 🔥 🔥

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 3 месяца назад

      Hizbi yupi unaekusudia ww au hizbi bwana kada Muhammad mafuta na kua uhizbi kuliko wa mafuta kam Upo nionesheni

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 3 месяца назад

    sisi tunajua kuwa wivu unawasumbua majadida

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 месяца назад

    Qasim khofu ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA hana yeye na washabiki wake ndo maana anatoa clips nyingi na upotoshaji mwingi. Yeye sifa kutoka kwa washabiki wake zamtosha. Haeleweki "ana taka nini, hataki nini.Huenda akiongeza Elimu ataacha khusuma.

  • @z34-kp9qq
    @z34-kp9qq 3 месяца назад

    Hata wewe uliandika hicho kichwa cha hbr utaulizwa kwa hayo uliyoyaandika.
    Ikiwa ni kwel uliyoyasema sawa, kinyume n hivyo utakuja kumlipa dktr mbl y Allaah.

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 3 месяца назад

    Kuweka picha za wengine yafaa lakini kuweka picha zenu ndio ni haramu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад

      Hawa majadida wallah wana khiyana sanna yule kada alisema asaaa Maneno ya Rabii kama wahyi hatukuona rududi lakin wao kwa wenzao hatariiii wallah

  • @ramadhanially8249
    @ramadhanially8249 3 месяца назад

    Nyie maadmin wa hz chanel kwa namna Moja au nyingne ndie muuharibu manhaj salaf kuonekana ni watu wa chuki kwa huku kukatakata video ili upate vijipesa vya RUclips wafanya dhurma ili kumshafua hesma ya muislam ili upate pesa kuweni kwenye haki kama manhaj salaf ilivyo katika misingi yake wacheni dhurma hiz

    • @alhabeebomarmanswab
      @alhabeebomarmanswab 3 месяца назад

      Ndio hawa watu ndio wanaojiita masalafy wanauharibu uislam

  • @mim9607
    @mim9607 3 месяца назад

    HAWA NI WAJINGA WAGANI WANA JIITA SALAFI. WACHENI KUMHARIBIA SALAF JINA .HAWA NI CONTENT CREATORS HAKUNA DINI WANA TUFUNDISHA WANA TAFUTA FOLLOWERS

  • @hay3_8kal
    @hay3_8kal 3 месяца назад +3

    Wallahi daily naridhika kuwa mnamfanyia uhasidi duktur islam.. yenu ni kumchafulia jina...

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 3 месяца назад +2

      Hamna jipya

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 3 месяца назад +1

      ​@@hay3_8kalnaona machozi yakutoka sana 😂😂 ila pole bhana

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 3 месяца назад +3

      @@AbuuBakar1 Allah ndie mtetezi wetu. الحمد لله على كل حال

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 3 месяца назад

      @@hay3_8kal hata ukitia huruma namna gani huwezi kutetea baatwil

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 3 месяца назад

      ​@@hay3_8kalkunasihiwa na kuwekwa sawa ni hasad?
      Mtume kakosea kusema kuwa uislam ni nasaha?
      Mkosoe Mtume kwa sababu yy ndio chanzo cha nasaha kwa hio yy pia ndio atakuwa muanzilishi wa hasad

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

    Kuna tatizo gani hapo waislam mwenye kufahamu anifahamishe vizuri.

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 3 месяца назад +1

      @@Hamis-ks1sy hakuna tatizo ila ni huyu mwenye chanel anajaribu kumharibia jina duktur na kupotosha maana sahihi ya anachokifunza

    • @issapandu1918
      @issapandu1918 3 месяца назад

      ​@@hay3_8kal akasome awe na ikhlas au anatafuta kiki lbda

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 3 месяца назад +1

      Hapo sheikh alikua anafundisha amanatul Al majalis...