VISA VYA MITUME - NABII SULEIMAN BIN DAUUD - SHK OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 49

  • @omanhsj6073
    @omanhsj6073 3 года назад +2

    MashaAllah 🙏 MashaAllah MashaAllah 🙏 shukran sheikh othman for your amazing sound and your timely to us

  • @hbh3436
    @hbh3436 3 года назад +3

    Hio sauti ingine ingekua chini. Mashallah mawaidha mazuri and am just starting tö listen

  • @abdallahsule634
    @abdallahsule634 3 года назад +1

    Allah akujaalie umr mref na mwisho uliokuwa mwema sheikh wetu

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 3 года назад +3

    Mashallah kisa kizuri chenye mazingatio ila nashidi inakera

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 года назад

    Mawaidha mazuri lakini hatu enjoy hiyo back ground ya masikitiko mloitia inatukera sana. Kuna aya za Qur-an sheikh anazisoma lakini tunasikia Aaaaaaaa, aaaaaaa, aaaaaaa, aaaaaaa, sijui ndo nyimbo hiyo au nini. Wekeni aidha hiyo nyimbo au masikitiko sijui inavyoitwa au mawaidha bila tafrani hatujui tusikilize nini. Nimeshindwa kuyasikiliza mawaidha . Nahisi stress hiyo sauti mloiweka nyuma

  • @apaonpatrick2441
    @apaonpatrick2441 2 года назад

    Mashallah Mungu akujaalie mwisho mwema

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 года назад

    Mwenyezimungu atujalie minalladhina yastaming'una lkawla wayattabing'una ahsana

  • @abrashyhamed5116
    @abrashyhamed5116 2 года назад

    Izi sauti za nashid zinatuchanganya sauti haitoki vizuri

  • @mwanathabit1918
    @mwanathabit1918 3 года назад +1

    Mbn mm naskiliza mawaidha hp na moyo wangu upo ktk mawaidha wala sisikiii io nashdi ingawa ipo ww concentrate ktk Ayo mawaidha na ukimskiliza uyo shehe wl hutosikii io nashdi

  • @allykhalid8249
    @allykhalid8249 2 года назад

    MashaAllah MashaAllah

  • @ramlatumba3965
    @ramlatumba3965 4 года назад

    NAWAPENDA SANA SANA MA NABII NAOMBA KISA CHA SAHABA MUNTHR

  • @mohabasultan1920
    @mohabasultan1920 4 года назад +3

    Mawaidha mazuri Sheikh Othman. MashaAllah. Tunafaidi sana.
    Ila naomba mafundi wako waboreshe sauti ya vyombo Inshallah. Kuna echo nyingi pamoja na background ingetolewa.
    Shukran kwa juhudi

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 года назад +1

    MashaAllah shukuran san

  • @badrisarum5107
    @badrisarum5107 4 года назад +1

    Mashallah

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 4 года назад +1

    Masha Allah

    • @apaonpatrick2441
      @apaonpatrick2441 2 года назад

      Tatizo hy nakshi Ingezima ilu tusikie kea ufasaha

  • @jacobnorbertchenga9465
    @jacobnorbertchenga9465 4 года назад +2

    Bed nyuma ya sauti Haina haja sauti ya Sheikh Ochu yatosha na yatuvutia

  • @maryammwacharo4716
    @maryammwacharo4716 3 года назад

    Hicho kisauti kinakera sana sioni ikiwa na umuhimu wowote hapo

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 4 года назад +2

    Hiyo sauti nyengine yasumbua

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 2 года назад

    مساء الله

  • @wearemuslim3714
    @wearemuslim3714 5 лет назад +5

    Kwani mtume avokua anaongea wengine walikua wanaimba iyo nashidi toeni ushamba uwo ahh mawaiza mazuri nashidi inakera hatujafata nashidi tumefata mawaidha mna keraaaaaaaaa

  • @hamza89945
    @hamza89945 5 лет назад +1

    Ondoa nashid munaharibu. Mnaleta bida sasa

    • @miusulley257
      @miusulley257 4 года назад

      Ubidaa wa nashid ni upi tupe elimu

  • @salehally4345
    @salehally4345 4 года назад +3

    Hiyo anashid ipo sehemu sio yke

  • @Noor-e2t5c
    @Noor-e2t5c Год назад

    Background music imenisinya nikaenda channel ingine

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 года назад

    Mnaharibu na hizo nashid zenu kwenye background hata hatusikii kisa vizuri

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 года назад +4

    Ma Shaa Allah
    Tabaraqallah
    Kisa kizuri Chenye mazingatio
    Ila hiyo background msingeiweka ingekuwa awla zaidi...
    Jazakhallahu khaira

  • @thoraiyahassiem4721
    @thoraiyahassiem4721 4 года назад +1

    Alhamdulilah

  • @Tinde8
    @Tinde8 4 года назад +2

    Alieweka hii kelele background huku kuna Qur'an inasomwa humu kafanya upuuzi

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 4 года назад +1

    🙏🙏🙏

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Shukuran sana Riyadh Tv

  • @ummysaid8273
    @ummysaid8273 4 года назад +2

    Mashallah tunafaidika ila hio background ya sauti inatuconfuse.

  • @simbalion2871
    @simbalion2871 5 лет назад +11

    Hio nashidi ya nn inatutoleaa umakini wakusikilizaa

  • @hanifmakame9405
    @hanifmakame9405 4 года назад +3

    Maiwaidha mazuri ila hiyo back ground sound umeharibu kila kitu yaani uchafu mtupu

    • @ramsonmugisha961
      @ramsonmugisha961 4 года назад

      Uchafu tena !?

    • @hanifmakame9405
      @hanifmakame9405 4 года назад

      Ramson MUGISHA yes back ground imeharibu dhima nzima imekuwa kero na uchafu

    • @mohabasultan1920
      @mohabasultan1920 4 года назад

      @@hanifmakame9405 sio uchafu ni Qur'an. Ungesema iondolewe tu

  • @omarkhatib4968
    @omarkhatib4968 4 года назад +3

    Hii nashid haina faida

  • @ammoahmed2561
    @ammoahmed2561 4 года назад +1

    Background music disturbing pls

    • @kullashay7507
      @kullashay7507 2 года назад

      Sheikh mashallah mawaidh yako mazur san tunayapnda mashallah Allah akup umr mref weny manufaa tuzid kunufaika sot

  • @habibarajab8922
    @habibarajab8922 4 года назад

    Kwa nini kwa backround mnaeka iyo nasheed inaudhi ata mtu haskii mawaidha vizuri😏😏

  • @faridakasoma8250
    @faridakasoma8250 5 лет назад +1

    Io sauti vepe?