what dci fred told me today about Jay's case will shock you must watch

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 35

  • @EdithGichuki
    @EdithGichuki 20 часов назад +6

    DCI if U talk to Fred just tell him to leave that case ....jay hajalost n he knows what he's doing na Dio maana aliambia Dave asimfwatefwate

  • @SarahMaloba-gd4yf
    @SarahMaloba-gd4yf 20 часов назад +3

    Iyi shida watafute ma pasta ata wawili wamsaidie Jay , watu wengi wana semanga riaga sio Mungu ndio lakini anasaidianga maali pengine, wamupigie simu riaga

  • @Rina-lz5xo
    @Rina-lz5xo 9 часов назад

    Good advice

  • @HUSSEINMWARUWA-b3u
    @HUSSEINMWARUWA-b3u 19 часов назад +2

    Walai please dci Fredrick awachane na hii atapoteza job kama Dave ametoroka Ako mstuni aki😢

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 10 часов назад

    Yes, Jay atafutwe na pastors juu usiku nimemuona kwa ndoto amejizy hawa wote hata senior wamepagawa senior need much prayers juu siyo kawaida yake hiyo we have dark powers behind him

  • @annnjane1697
    @annnjane1697 20 часов назад +2

    Simeon for heavenly pliz tell Fred asifuatane na hii case ya Jay, umesikia Jay alikuwa huko nyuimbani. Pliz pliz mwambia to run for his life not to deal with illuminati. Unajua Fred hajui anafikiria ni kama ile case ya Dave. Pliiz call Fred urgentlyyyyyy

  • @ritangarambe8021
    @ritangarambe8021 11 часов назад

    DCI Freddy, hatutaki upate shida, hii case wape wengine we athanasius nayo. Junior na Governar ni group moja na wanatumia nguvu nyingine

  • @henrykarisayaa9013
    @henrykarisayaa9013 15 часов назад

    Fred aachane na hii Kesi itamfuta kazi please please please

  • @EmmaMwaura-p4v
    @EmmaMwaura-p4v 19 часов назад +2

    Semion tell fred to give it up

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 20 часов назад +1

    Kwa dev maneno itaisha manake asiki sielewi fred toka tafadhali studio ya dev itakuletea mambo mengi

  • @fridahkathure5292
    @fridahkathure5292 19 часов назад +1

    Kuna times postar Nancy told true k that's her father sio mtu clean and again pia governor ni illuminate 😢😢

    • @christine4072
      @christine4072 19 часов назад

      Huyo mzeee ziii ako na vitu zake

  • @gakyjaklin450
    @gakyjaklin450 19 часов назад +1

    Hello my love, but jay n kma babake n pepo uyu atatoa jay kafara walai,Wamboi aende pole pole but mambo na kukimbia kitamramba,

  • @Chabanabwemonca
    @Chabanabwemonca 20 часов назад

    Jay wanaishi an pastor mama derick siijjamuona kwa gari

  • @Morgan-k8q
    @Morgan-k8q 20 часов назад

    mmi penye na hurumia fredy ni hpa wakati govanner ata jua kwaba dci fredy anafwatilia mambo yka mabaya na hpo ndio ata makw sure amwonana mkubwa wa fredy na amlipe mapesa nyingi ili dci asimamishwe job or apewe tranzfarer akae mbali na yy na itakua so sad sana na ako na familliar analisha😢😢😢😢😢

  • @Stellamaris-c3m
    @Stellamaris-c3m 12 часов назад

    Ambia Fred wakinda kumtafuta jey wasiende bila pastor hata sio mmoja zaidi ya wawili juu wakioba wanaona vitu tofauti kwa maobi

  • @Diana-xp8yl
    @Diana-xp8yl 20 часов назад +1

    Please simion mwambie Fred aondokee hio case,,halafu wewe unajua story ya wamboi ama haujui

  • @annmaina5580
    @annmaina5580 8 часов назад

    Ambia fred asi Risk kazi yake juu ya neno rafiki,akumbuke pia hao bado wako kazi wakiendelea na mambo yao na hakuna shares yake yapo awache kutumiwa vibaya,ma afisa ni wengi wanaweza fanya hiyo kazi adi paster.Fred rudi kazi yako acha kuzungushwa kwa balabala

  • @elizabethkosgei4731
    @elizabethkosgei4731 5 часов назад

    Fred akiingilia case ya gavena, hapo mambo yake kwisha, kazi itaisha kwake, unakumbuka vile yulu DCI alimsaidia Jay, vile alipotesa Kazi, if I were me Ni eri ninawe mikono, bat atafute Jay pia kutacha gavena

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 20 часов назад

    Mwambie Fredrick asifanye hii kazi bila maombi na atembe na mapastor, ju tayari amesikia tayeri yule anafanya kazi ya damu, hayo ni hatari kwa Fredrick anaweza poteza kazi, asijilazimishe

  • @Mercywambuimercywambui
    @Mercywambuimercywambui 20 часов назад

    Wewe Leo uko poa sikukuu umekula peke yako nakuona vile macho yako imefunguka anyway merry Christmas good nyt

  • @Morgan-k8q
    @Morgan-k8q 20 часов назад

    guys nani anakumbaka yule dci mwenye hyo govanner alikua nye akimu introduce kwa jay wakati derick aljikidnap wakimtafuta then baadae kitoo akachukuliwa wakiwa kwa loyal test sasa si baadae hyu govanner akajikuta kwa mix hao watu akiwa master of master kwa kazi ya abdaction na hio iliaababisha dci kujua na after that alisimamishwa kazi na hadi sai ........😢😢😢😢😢

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 20 часов назад

    Fred mwenyewe wanaweza haliyake na kazi yake atari fred mupe mwengine

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 20 часов назад

    Mbona toka I change pesa hawa watu wakwanza vituko

  • @justinekiprono
    @justinekiprono 19 часов назад

    Sir just tell Fred to abandon the mission,or else he will not believe

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 20 часов назад

    Fred awachane na hii mambo ya setani jey gavaner wa masetani alimuonya jey toka kitambo akafufua maneno tena akienda kutoa vidio kwa bibiyake na linda linda na mtotowake awajulikani tumesema hugo kazi unataka paster jee kitu ufanye fred nani anamtafutia na uchawi ikiwashika wote anambiwa watembe na paster dev ayuko sirias

  • @SarahMaloba-gd4yf
    @SarahMaloba-gd4yf 20 часов назад

    Sasa shida ya Jay awa juwi maali ako kwanza ako na stress pili niku kidnapiwa ao amejificha maali juu ya stress

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 20 часов назад +1

    Talk zenyu na frd plz jieke akija kujua uncalled ili upate uhodo huku ata cut off ur call

  • @Gemomu
    @Gemomu 10 часов назад

    Ww mwanaume hujui Dave ako starehe zake na bibi yake,ati ako msituni na una jiitanga DCI na hujaai soma hao watu ni acting

  • @JoyceWanjiru-wv6ib
    @JoyceWanjiru-wv6ib 19 часов назад

    Pastor joshua alijitoa coz aliona hii mambo ni content

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 19 часов назад

    DCI Simeon tafadhali sana you have to advice DCI Fred to stop continueing with that case that involves Governor had a bad heart and wicked hè can do anything bad to our beloved Fred. SD is much know guy Why doesn't follow Fred's instructions Tel Fred run away from that case. Na Wambui ana jifanya ujuaji achana na kujifanya kujua Wambui. Kaa kimya usijifanye DCI shame on you.

  • @EdithGichuki
    @EdithGichuki 20 часов назад +2

    DCI if U talk to Fred just tell him to leave that case ....jay hajalost n he knows what he's doing na Dio maana aliambia Dave asimfwatefwate

    • @254frida
      @254frida 18 часов назад

      Fred 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃for your life live that case illuminati itakupeleka mbali please