schooking you will cry watching this see mama Jay and what Jay should do to save her now

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 21

  • @JuneErasto
    @JuneErasto 19 дней назад

    Unampoteza mwenzio vip anyonge mzazi wake sio sawa mzazi nimzazi tuu

  • @GorettyGoretty
    @GorettyGoretty 19 дней назад

    Hapo Simeon! Unadanganya mwenzako kakangu. Uyo ni mamake mzazi. Na uyo pia babake pia. How unamwambiya ivyo.

    • @Morgan-k8q
      @Morgan-k8q 19 дней назад

      😂😂😂unajua asira inaweza kkufikusha mahali penye hujatarajia coz hyu si really father wa jay ni step father na bdo anawasumbua hivo so the good thing ni jay achukue mamake atoke hpo ama watafute strong pastor awaombe coz hyu mzee kuna kitu inamsumba hyuko vizuri kuna maroho anerushiwa za ulevi na maroho za vita kwa boma na sivizuri kuka na mtu sko hivo juu watakua wambembeleza abd tha last minute atakuja kunyonga mmake jay 😢😢😢😢😢

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia 19 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aki Simon utaniua afanye Nini anyonge mzee😂😂😂😂

  • @HUSSEINMWARUWA-b3u
    @HUSSEINMWARUWA-b3u 17 дней назад

    Anyonge ghai😂😂😂😂

  • @GladysKwamboka-d1k
    @GladysKwamboka-d1k 19 дней назад

    Please guys nipitie tugrow pamoja

  • @AnnWaithera-fg7bp
    @AnnWaithera-fg7bp 19 дней назад

    Acha plz kuongelelea familia ya watu simeon

  • @PurityMusyoka-h5z
    @PurityMusyoka-h5z 19 дней назад

    Ww uko sawa lakn unaeza nyonga babako aje? Jay usidanganyike heri waachane but jua babako anabeba laana na baraka zako

  • @gillianshikote6266
    @gillianshikote6266 19 дней назад

    Jay achukue mamake aishi na yy hilo tu mungu mwenyewe atamlipa babake kwa mabaya yake c hata kafue alimchukua mamake akaenda na yy mbsa kuishi na yy huko

  • @rechaelkambura9060
    @rechaelkambura9060 19 дней назад

    Huyu mama anakatalia Kwa hiki kimzee imagine khai

  • @josephinegatobu6551
    @josephinegatobu6551 19 дней назад

    Hapo Simo umekosea

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 19 дней назад

    Wallahi, huyu Simon ana mdomo kama mwanamke wa udako, unawezaje kusema mwenzio auwe babake? Unaweza kuua wako? Wacha kuweka mwenzio kwa laana itakayofata generation yake, afadhali ungesema aite ukoo , na aombewe huwenda kuna ushirikina ndani yake

  • @JoyceWanjiru-wv6ib
    @JoyceWanjiru-wv6ib 19 дней назад

    Wewe advice zako si poa coz huwezi ua babako ,,wewe ni family destroyer

  • @annitahmaina5580
    @annitahmaina5580 19 дней назад

    Anyonge nae laana imfwate maisha yake yote

  • @PurityMusyoka-h5z
    @PurityMusyoka-h5z 19 дней назад

    Hao n watoto utusi ivo ? N wako ama n wa jirani

  • @Sylvia-k2p
    @Sylvia-k2p 19 дней назад

    Wewe kwende uko mambo ya kunyonga baba yake hapana that not good advice jay ujue vyele utasaie mama yako

  • @eunitakesio
    @eunitakesio 19 дней назад

    Semeni Tena ni Anita ndio ameingilia huyo familia juu amekua content hizi manyumba Kuna maneno nawambia na hamsikii ni paa zinafunika hizi nyumba na Mungu kusaidia

  • @GorettyGoretty
    @GorettyGoretty 19 дней назад

    Kama ni wewe unaweza fanya hivyo kweli?

  • @JanoJeps
    @JanoJeps 19 дней назад

    unamdanganya Jay Simeon plz!