2:18:57 baba hapa kweli wazazi wetu... Mungu simama mwenyewe kwaajili ya huyu mgane baba yangu. Mfungue ufahamu ee Yesu aone yampaso kutenda ili kufanikiwa na kukiinulia kizazi chake urithi. Amen
Baba unatusaidia had napona ndan yangu bila kubandikiwa mikono c'mon uwiii kumbuka ulilala hayat kwa hela ya mtu mwingine ,pambana had ukienda hayat uwe umelipa kwa hela yako wadada elewen hii
Wakati naishi peke angu nilistawi siku nilipo chukua ndugu zangu niishi nao nilinyauka kama sufi 😢 na mpaka sasa sijui niwafukuze au niwakimbie Mungu nisaidie
Jana pastor ulisema wengine tutapata hela baada ya kutoka ibadani... ili kudhibitisha ulichofundisha. Nimerudi tu kusema I got that money🙌
Asantee sana nashukuru sana man of God pastor Tony kapola Kwa kunifundisha nimejifunza mengi sana katika somo hili Amen
This is a November of life changes in my life , marriage,and my twins and everything that I want Amen
Hela haitonitumikisha, mungu nisaidie nisije nikaacha ulichoniwekea ndani nikawa focused na watu wanaonifata kwa ajir ya hicho kitu dady❤ thanks pt😢😢
Pastor cheche Mungu akubariki Kwa muongozo wa maombi hakika nimebarikiwa ,,, Mungu azidi kukupa kibali Amen
Round ii Stakosea Maisha,,,In Jesus Name
I will never repeat mistake of my parents
Chochote kisichofanywa kwa Iman ni dhambi
Nimebarikiwa sana kwa money magnetic 🧲 💰 Naamini kwa hakika naenda kuwa Magnet ya pesa na kabla ya mwaka kuisha naenda KUMILIKI makubwa
Napokea Napokea roho wa mafanikio 🙌🙌🙌🙌
Amina baba asnte kwa NENO zuri sana mungu wa mbinguni akubariki🙏
Amen 🙏🏻🙏🏻
2:18:57 baba hapa kweli wazazi wetu... Mungu simama mwenyewe kwaajili ya huyu mgane baba yangu. Mfungue ufahamu ee Yesu aone yampaso kutenda ili kufanikiwa na kukiinulia kizazi chake urithi. Amen
Baba unatusaidia had napona ndan yangu bila kubandikiwa mikono c'mon uwiii kumbuka ulilala hayat kwa hela ya mtu mwingine ,pambana had ukienda hayat uwe umelipa kwa hela yako wadada elewen hii
Darasa la Leo🙌
🙌🙌🙌🙌
Amen ❤
❤❤❤❤
Wangoni 😂😂. Bado natafuta maana ya Haule sijui jina la mnyama gani?,,, Ahsante YESU kwa somo la leo.
God bless for this knowledge
Amen Hallelujah servant of God
The sound is so perfect Pastor, Congratulations Amos you are growing Brother.
The sound is nice hongera Amosi na Praise Team
Amen, ninabarikiwa sana
Each time unatumia pesa ya mtu kumbuka hii pesa sio yangu
Amen amen 🙏🙏🙏
This sermon🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥
Ameeeen
Amen🙏🏿🔥
Amen. Leo kama hujaelewa bac tena. Mungu. Nirehemu mimi leo niaze upya NA ww niondolee kilakunyazi.
Hakika
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ameeeeeeen I receive
2:01:10 lord help us
Amen 🎉
Ameen
Wakati naishi peke angu nilistawi siku nilipo chukua ndugu zangu niishi nao nilinyauka kama sufi 😢 na mpaka sasa sijui niwafukuze au niwakimbie Mungu nisaidie
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen
Amen…november babies …i receive
❤❤❤❤❤
❤
4:15:00 umegonga kwenye mshono baba😂😂😂
aiseeee vinaumaaaaa hhahahaha
Iyo nyimbo inaitwaje iliimba nani?
BWANA NIMEFANYA NYUMBA KWAJILI YAKO(tafadhali nambiyeni ninyimbo yanani)
Very true 👍
Amen 😂😂
Amen
Amen
Amina
Amen 🙏
Amen
Amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen