Wimbo huu unanikumbusha mwaka 2009 nilipompoteza mzee wangu; wakati tunasafirisha msiba toka mbeya kwenda moshi basi wimboo huu ulikuwa unapigwa kwenye gari. Kila muda nikiusikiliza nakumbuka kipindi hicho Tafadhari natafuta album nzima nitainunua kwa yoyote anayeweza nisaidia kuipata
Nice song ,may God bless you cctaz
Thank you, bro, I really appreciate god bless you too.
Happy Mponji nice
Wimbo huu unanikumbusha mbali Sanaa kwa kweli hasa mwaka 2014 hadi 2015. Mungu bariki vipaji hivi kwa kweli
Amen
nimekutana na majaribu Mengi nikamtumainia bwana.barikiwa mtumishi
Amen🙏🙏
Mbarikiwe sana watu wa Mungu, kweli majaribu ni mengi, ila Mungu anazidi kutushindia
@@rithamwamba3118 wamebarikiwa sana tayari
Mko wapi nyie watumishi
Mungu awabariki saaana/Wimbo unaotia nguvu kt safari ya mbinguni,
Glory to God 🙏
Bado namungoja bwana
Alooo ap sijui nipo darasa la 4 kitambo mungu awatie nguvu waimbaj haw
Amina
Wimbo huu unanikumbusha mwaka 2009 nilipompoteza mzee wangu; wakati tunasafirisha msiba toka mbeya kwenda moshi basi wimboo huu ulikuwa unapigwa kwenye gari.
Kila muda nikiusikiliza nakumbuka kipindi hicho
Tafadhari natafuta album nzima nitainunua kwa yoyote anayeweza nisaidia kuipata
I like this song very much. Unatia moyo sana.
Wimbo mzuri sana unanitiya mwoyo
Asante Sanaa Mungu akubariki.
Mara ya Kwanza kusikia huu wimbo ni 2013 nasasa nausikia kwa mara nyingine tena mwaka 2021 mungu awabariki popote mlipo
Huu wimbo daaa verygood blessing!!!
Wapo vzr sana.vip wamekamilisha Albm.
Mungu ni mwema.
J'ai perdu mon ami ,mon papa encore trop gamain mais ma force était le Jéhovah juré de mon père amen
Naitafuta hii album
Amen tunaomba video yake
Love song more!
Beautiful haluya nashidwa kuadika acha tu ni seme Mubarikiwe
Asante sanaa
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 mbarikiwe Amen 🙏
Amen wewe pia ubarikiwe
mbarikiwe waimbaji
ganda ng song more videos
wimbo mzuri unatia moyo. i like it
Magreth Vuriva Thxs Really appreciate
nice
😢sijui niseme nn
Bro good job may lord bless u more
Valentin Thxs bro god bless you too.
Blessing
Nyimbo hizi ziliniongeza kumtumainia bwana nikiwa mpugoso secondary
bonge la wimbo
Greter Matimbe 😂
Ama kweli wimbo unafariji
Nice
I like it
Gift Mubali me too bro
Good song
+Peterhson Masilah Thanks man really appreciate.
Mpo wapi sasa