Jinsi Ya Kuongeza KIPATO CHAKO SEHEMU YA KWANZA (PAR 01)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 36

  • @brownonlinetv4823
    @brownonlinetv4823 6 лет назад +2

    Aisee sikuwahi kufikiria kama kuna watanzania wenye akili namna hii.vizuri sana mtaalamu Joel Nanauka

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 лет назад +6

    Tunaomba mafundisho ya VIKOBA Mbona mimi sioni faida wanayopata wanavikundi zaidi ya kuwadumaza akili ya kujizoesha kujitunzia akiba.. tupe somo la hii VIKOBA.

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 2 года назад

    Haki Nanaukwa nimekusikiliza vizuri sana, umenipa funza. Nimekuelewa, vizuri sana, ,ni Loyce Akuku kutoka Kenya, asante kunielimisha, ,, kweli nimepoteza hela nyingi sana kwa muda mrefu sana , ingawaje kipato changu ni kichache sana

  • @humphreyerasmus7990
    @humphreyerasmus7990 4 года назад

    Makini

  • @agnesssilvan3954
    @agnesssilvan3954 4 года назад +1

    Somo zuri sanaaa

  • @robertgwelela6581
    @robertgwelela6581 6 лет назад +1

    Asante sana Mwl Nanauka. Mungu akupe maisha marefu. Maana tunajifunza mengi kupitia wewe.

  • @kulwa_tz
    @kulwa_tz Год назад

    Good

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 лет назад

    Nimekusoma sana .ubarikiwe

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 лет назад

    Nakushukuru sana bro Joel kwa hii elim

  • @priscilerehemasongolo7233
    @priscilerehemasongolo7233 6 лет назад

    Ubarikiwe sana kaka

  • @jacksonmwanyika5697
    @jacksonmwanyika5697 6 лет назад

    Nashukuru mheshimiwa Joel

  • @Mwalimu_seleman
    @Mwalimu_seleman 6 лет назад

    Asante sana. Kila napotazama mafunzo haya ninapata hamasa kubwa sana ya kuendelea kuyatafuta mafanikio. Ubarikiwe zaidi mara dufu ya sisi tupokeao mafunzo haya tunvyobarikiwa.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 лет назад

      King /Suka nashukuru kwa kufuatilia.Tuendelee Kujifunza pamoja

  • @omaiim4014
    @omaiim4014 5 лет назад

    Ahsante kaka joel

    • @prosperchristopha3257
      @prosperchristopha3257 3 года назад

      Asant Mr Joel kwa mafundisho yako sasa nimekua mtu wa tofauti sasa napataje vitabu? na uko wapi?

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 лет назад +1

    Watangazaji mnaboa

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 лет назад +2

    Nanauka is profesional

  • @issarashed1444
    @issarashed1444 6 лет назад

    Asante bro

  • @binally2796
    @binally2796 6 лет назад

    Mr. Mm niko Zanzibar ninahitaji vitabu vyako nitavipataje?

  • @erastowanjala1279
    @erastowanjala1279 4 года назад

    Nitawezake kupata vitabu vyako??

  • @rayajuma301
    @rayajuma301 4 года назад

    Kaka nakukubali naomba namba yako

  • @asajileshem8235
    @asajileshem8235 5 лет назад

    Jins gani unaexpose your talent

  • @godfreymalima9502
    @godfreymalima9502 6 лет назад +2

    Kaka nanauka kwa video kama hizi ambao haurekodii kwenye studio yako. Naomba uwe unawaomba audio ya kipindi hicho uitumie. Au kama inakosekana uwe unaandaa mtu wa kukurekodi kupitia redio fm. Au ile mic unayoitumiaga studioni kwako weka hata upande wako wa kushoto isionekane uitumie. Hii itaongeza ubora wa sauti wa kazi zako.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 лет назад

      Godfrey Malima ahsnate kwa ushauri

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 6 лет назад

    Asante kaka hivi vipi naweza kupata VITABU VYAKO???

  • @babalois7240
    @babalois7240 6 лет назад

    Sir Nanauka,Hongera kwa Kazi kubwa na Nzuri..
    Kitabu cha TIMIZA MALENGO nakipataje..
    My contact 0769296472

  • @jacksonmwanyika5697
    @jacksonmwanyika5697 6 лет назад +2

    kaka Joel sisi baadhi ya wanafunzi huwa wengi wetu tunatamani kutumia boom kufanya biashara ili kuwa na kipato lakini Mimi nmejaribu kufanya baadhi ya vitu. lakini kumekuwa na changamoto hasa katika usimamizi na unajikuta umeingia hasara sasa tufanyaje sisi watu wa namna hii na tuna kosa muda wa kusimamia??

    • @mlunguonlinetv2067
      @mlunguonlinetv2067 6 лет назад

      Hakuna biashara ambayo haina changamoto. hivyo uchaguzi wa ni aina gani ya biashara unataka kufany kwa mazingira ya chuo ni kitu cha msingi sana
      Nakushauri kitu kimoja fanya part time business like photography, event planner, kuuza nguo za kufanyia presentation kwa wanafunzinzi na zingine. ahsante

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 2 года назад

      @@mlunguonlinetv2067 wazo zuri sana kaka barikiwa zaidi

  • @deusmjinja5883
    @deusmjinja5883 6 лет назад

    Nawezaje kupata vitabu vyako?

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 лет назад

    Nakwelewa mkuu ila tatzo mfno badala ya kueka akiba 30000 uisahau unaeka laki unaikumbuka asubui na jioni nnalaki benki unajikuta unaitumia ila.ingeeka 30000 ungeisahau mpaka utakapo eka nyingine

  • @omaiim4014
    @omaiim4014 5 лет назад

    Naendelea kujifunza lakin kaka angu nilisha kuomba namba yakotokea mda naona hunijibu me ni hasna

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 лет назад +1

    Nakwelewa mkuu ila tatzo mfno badala ya kueka akiba 30000 uisahau unaeka laki unaikumbuka asubui na jioni nnalaki benki unajikuta unaitumia ila.ingeeka 30000 ungeisahau mpaka utakapo eka nyingine

  • @asajileshem8235
    @asajileshem8235 5 лет назад

    Jins gani unaexpose your talent