Ubingwa wa Yanga na ahadi ya Kisugu kutoa heka nne za shamba....kulikoni??

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • AHADI NI DENI | Ni ile ahadi aliyoitoa shabiki wa Simba, Kisugu Mikoi kwamba yanga akiwa bingwa wa #NBCPremierLeague msimu huu wa 2023/24, atatoa shamba la heka nne…… Dody ameamua kufuatilia ahadi hiyo na hiki ndicho alichoambulia…..
    #Kisugu #Dody
  • СпортСпорт

Комментарии • 52