Kazi nzuri. Wimbo wa Sikukuu ya Pentekoste au siku ya kipaimara. Mmenifurahisha sana, Kuna kizazi nyimbo kama hizi hakitakuja kuziimba. Maana mziki wa kanisa Katoliki umeingiliwa na watu wasioifahamu historia ya Kanisa takatifu Katoliki la Mitume
Wimbo wenu hakika umetulia naomba uendane na matendo yenu yabaadae ninyi watoto katika ulimwengu huu wenye mapambano ulio kawa na utandawazi na kumsahau mungu kamwe msimsahau Mungu🙏

❤mnanibariki San na Toni ya nyimb hiii ....mbarikiwe mkapandishwe katik viwangi vya juu sana
Uimbaji mzuri sana, kazi safi kutoka kwa vijana hawa❤
huu wimbo naupenda sanaaa hongereni wanafunzi...mmejitahidi
Mmemtukuza Mungu vizuri sana Mungu awabariki na wanafunzi wote nchini
Nafsi yangu yafurah mpaka machozi kwa mnvyoimba
Kazi nzuri mungu hawabariki wote.
Mubarikiwe saaana zahidi❤❤❤❤♥️♥️🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹
Mungu Roho Mtakatifu awape akili na hekima katika maisha yenu,mbarikiwe sana
Hongereni sana, mbarikiwe Sanaa. Ktk masomo Roho Mtakatifu awaongoze
The blessed voice wit talented students ❤big up kwa kazi Nzuri saana ya kuitangaza injilii
Hongereni Sanaa, hongera fr Ferdinand kwa malezi mazuri ya imani ya wanafunzi. Mungu awaongoze katika masomo na ufaulu mzuri
Mungu barik kz ya wataoto wako izidi kusambaa maeneo mbalimbali kwa kueneza neno lako kote ulimwengun kwa njia ya uimbaji🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki katika huduma ya uimbaji
Mungu awabariki sana ❤❤❤❤❤❤❤ NIC jobu 1:46
Manus dei 💯
Kazi nzuri sanaaaa big up👏👏👏👏
Nice Song
Nairobi Kenya- Napenda sana!
Mungu awatangulie daima
Hongereni sana watoto wetu Mungu awabariki
Mungu awamiminie baraka
God bless your school
Nimewapenda bule
My favorite song of all time!!!!!!
Waooooo😍 hu wimbo naupenda sana
Nice one
Katamu san nawapenda sana
Congratulations
nice song
Kazi nzuri
Nice song mbarikiwe sanaaa
Wimbo wenu hakika umetulia naomba uendane na matendo yenu yabaadae ninyi watoto katika ulimwengu huu wenye mapambano ulio kawa na utandawazi na kumsahau mungu kamwe msimsahau Mungu🙏
Good work. Stay blessed
This is great!!! Blessings upon you Our young people .🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
♥️🙏
Hongereni sanaaa
Hongereni sana nimesikia kusisimka mwili🙏
🙏🙏🙏🙏
Hata Kama Nina maswahibu nikisikiliza huu wimbo yote yanaisha
Manus dei 💯
Kazi nzuri
Manus dei 💯