Les Wanyika Shilingi yaua new)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • FURAHIA NGOMA KALI ZA ZAMANI..."OLD IS GOLD".... SEND REQUESTS TO: zilipendwamusic@gmail.com... ENJOY!!

Комментарии • 91

  • @MozesCostantino-cp3yv
    @MozesCostantino-cp3yv Год назад +20

    Tunao usikilizaji 2024gonga liki

  • @gladojeps779
    @gladojeps779 4 года назад +16

    Nani pamoja Na mm Bado 2021 Wana sikiza zilizopendwa ,inani Bamba sana

  • @barakakiungai1976
    @barakakiungai1976 8 месяцев назад +3

    Haki nyimbo za siku hizi ni kelele tu,hata huwezi kuangalia wala kusikiliza na watoto ,,,skia zilipendwa zinaweza kupigwa hata msikitini

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 2 года назад +7

    Imenibidi nije huku kuusikiliza kwa makini huu wimbo.nasikitika kuona mmoja wa wanamuziki katika band hii william kinyonga anaishi maisha ya dhiki na ufukala ulio kithili jijin nairobi .daaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Год назад +3

    Vuta picha Bibi wa sasa 2023 mwenye miaka 67 mwaka 1977 akiwa na miaka 21

  • @majhosabernard8794
    @majhosabernard8794 Год назад +2

    Wimbo huu huniongoa moyo ninapokuwa na msongo wa mawazo.Unavuta taswira wa enzi za miaka ya sabini

  • @rosefelixurassa4777
    @rosefelixurassa4777 4 года назад +13

    Naupenda wimbo huu unanikumbusha mbaliii sana hata Sasa nausikiliza hapana chezea shilingi

  • @melisaokwisa3914
    @melisaokwisa3914 Год назад +4

    Waaaaah.......wazee wanachukua warembo vijana wakibaki ,huo wimbo unalenga siku hizi.......any way very nice.

  • @healthandwellness9281
    @healthandwellness9281 4 месяца назад

    Who is with me in 2024 still listening to this song.

  • @newtonwanyama1846
    @newtonwanyama1846 Год назад +17

    This song hunikumbusha mbali sana wakati nlikua na ex Wangu kumbe alikua ananipenda juu ya pesa😏🙄

  • @jemsilukumai1686
    @jemsilukumai1686 3 года назад +8

    Aki nyimbo za kitambo zilikua zinatungwa kulingana na hali ya maisha

  • @josephmuasa52
    @josephmuasa52 2 года назад +5

    Huyo mzee alijaribu sana,hadi wa leo nasikza nyimbo zake,heko kwake mahali alipo

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 6 месяцев назад

    😊😩😩😩nakumbuka Home kyerwa gari ndogo aisi inakuja alfajiri kumfata abilia Dada anarudi mjini gari inapiga hii nyimbo

  • @victorluttah7460
    @victorluttah7460 2 года назад +3

    After graduation, almost all of your friends have got a job and you are just there wondering when things fall apart on your side. You realize that communication has been cut off and you are there alone. Hapo ndo utajua shilingi yaua tena ni maua.

  • @kusolojackson5179
    @kusolojackson5179 2 года назад +10

    This music has a very big lesson on money, life is better with money, no money no life, money is soap for the heart, God bless that man, his is a good teacher

  • @seifmatimbwa4379
    @seifmatimbwa4379 5 лет назад +12

    Wimbo hauchoshi kuusikiliza. Ya kale dhahabu.

  • @KarisawaMombasa-zq7sb
    @KarisawaMombasa-zq7sb 6 месяцев назад

    Wakati huo tukienda kwa chief kusikiza Radio Vok kwel tumetoka mbali

  • @bobomambia7062
    @bobomambia7062 2 года назад +2

    Hata ukiwa kijana wa miaka ishirini na Tano, Bora uwe na shilingi, utaitwa Mzee.

  • @MozesCostantino-cp3yv
    @MozesCostantino-cp3yv Год назад +2

    2023 tunaoisikiliza gonga kopa

  • @paulwanjohi5357
    @paulwanjohi5357 Год назад

    I remember seeing this band at kaloleni social hall kukaribisha mwaka mpya 1985 nikiwa kijana mdogo.Laleni salama the Kinyonga brothers

  • @charlessospeter6038
    @charlessospeter6038 2 года назад +4

    Jaman wimbo huu ulipoanza jupigwa nilikuwa sijazaliwa ila Hadi leo nauelewa

  • @khadijayusuph5700
    @khadijayusuph5700 4 года назад +6

    Mashaallah napenda sana hz nyimbo

  • @barakakiungai1976
    @barakakiungai1976 8 месяцев назад +1

    Nikiskia huu wimbo nakumbuka kaka zangu walikuwa na player,na santuri zile kubwa,,sasa spika zinawekwa pale chumbani kwenye mtungi,,,,basi,, wewe wacha,,zamani,

  • @tonyjackson7071
    @tonyjackson7071 Год назад +1

    Awesome walla I love this
    My elder brothers used to play this so often

  • @edwinkhisa4949
    @edwinkhisa4949 Год назад +1

    Listening it now, and everyday

  • @officialjohngatheca938
    @officialjohngatheca938 6 лет назад +8

    Aa sauti zilizo ng'aa ambazo zingemtoa nyoka pangoni kwani zilienda wapi ?..

  • @jamesnjoroge5729
    @jamesnjoroge5729 2 года назад +4

    Evergreen music of our times... since when I was young in the early n late 80s... rare gems.

  • @DavyMutemi-mp1gf
    @DavyMutemi-mp1gf 3 месяца назад

    It's true that tamaa ya pesa yauwa.

  • @corneliusmutua3168
    @corneliusmutua3168 8 месяцев назад

    me at 21 yrs listening to these songs, am i normal anyway?🤣

  • @rosarealm.
    @rosarealm. 2 года назад +2

    2023 nipo papa hapa!

  • @FortunatusCharles-xh4py
    @FortunatusCharles-xh4py 9 месяцев назад

    Napenda sana zilipendwa

  • @annetkanini9412
    @annetkanini9412 Год назад +3

    My song favourite ❤

    • @vitalisoyoo-onyango1090
      @vitalisoyoo-onyango1090 Год назад

      This was done by Simba Wanyika, arguably their most famous hit of our time. Memories will forever be made of these!

  • @AgnesSingh-yh7lk
    @AgnesSingh-yh7lk 11 месяцев назад

    Nikweli shulling ya uwua

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 Месяц назад

    2025 gather here!🥰🥰

  • @laureanmuterani5040
    @laureanmuterani5040 2 года назад +1

    Napenda sana hii

  • @abduldjay3034
    @abduldjay3034 Год назад

    Ukweli mtupu 🎉

  • @hassanjilo6373
    @hassanjilo6373 Год назад +4

    I love this music but one thing, how can it be"shilling yauwa tena maua"? I'm really not getting the point😂😂😂😂😂😂

    • @feifarah5905
      @feifarah5905 7 месяцев назад

      😂haha it means a shilling/dollar is Both Good & Bad. It's a figurative language

    • @emorutnicholas1893
      @emorutnicholas1893 2 месяца назад

      @@feifarah5905 Correct

  • @emmanuelkabeya929
    @emmanuelkabeya929 8 месяцев назад

    Kweli mbonge ya ngoms

  • @earlaluga244
    @earlaluga244 Год назад +2

    Who was responsible 4 this Production?
    Classic ❤❤❤❤❤

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 Год назад

    Ulivyo kuwa unaniambia ndg zangu waende nafasi zimetoka km nina ndg waende. baki huko si tulikomaza dadyake

  • @likimaro6
    @likimaro6 6 лет назад +7

    Wimbo mtamu hadi kisogoni

  • @Kalize_30.
    @Kalize_30. 2 года назад +2

    2023 bado 🎉❤

  • @otienonondoh1718
    @otienonondoh1718 Год назад

    Ndagupenda

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 Год назад

    Hakuna kibonde saa iiii!

  • @renniemj2011
    @renniemj2011 2 года назад +1

    Shillingi maua

  • @graphicsdesignbeforeafter
    @graphicsdesignbeforeafter 3 месяца назад

    Mbona my grannies na parents hawakupanda Maua mingi Kama kina kenyattas?

  • @milkmamaauntielondon1170
    @milkmamaauntielondon1170 Год назад

    2024 here me think 💭 how dunia ya leo its busy with shosho media thinking of shillings💰

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 Год назад

    acha nao wakamate kikombe cha moto km ambavyo wanangu walikikanyaga.nilikuambia Nina macho mengi

  • @josephdonath8069
    @josephdonath8069 2 года назад +1

    Shilingj yaua

  • @hezbornotieno7173
    @hezbornotieno7173 Год назад +1

    I'm listening 10/6/2023

  • @NgusaMungo
    @NgusaMungo 10 месяцев назад

    sana

  • @clintonopumbi3057
    @clintonopumbi3057 10 месяцев назад

    In our language we call it sing'ondo ,wee usicheze na pesa 😂

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 Год назад

    kampeni ya kata miti panda miti yaani sianaely

  • @frankbundi7713
    @frankbundi7713 2 года назад +2

    More money more problems

  • @PlasdolMlelwa
    @PlasdolMlelwa 6 месяцев назад

    Shiling yauwa

  • @PopularShorts66
    @PopularShorts66 Год назад

    2023 still on fire 🔥🔥

  • @benjaminmchongoma9849
    @benjaminmchongoma9849 2 года назад +1

    Achieni tuweze kudownload

  • @jadispincer6006
    @jadispincer6006 Год назад +1

    2023 tupo😹😹💯❣️

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 Год назад

    Kajumulo

  • @mosesonyango6798
    @mosesonyango6798 Год назад

    Muziki bila jasho inaflow bila waas

  • @hellosavannah16
    @hellosavannah16 2 года назад +2

    👌

  • @otienonondoh1718
    @otienonondoh1718 Год назад

    Ilove🎉

  • @yakoubtzmabewa1875
    @yakoubtzmabewa1875 2 года назад +1

    I'm listening it 2022/12/20

  • @EuniceOwila-th1lg
    @EuniceOwila-th1lg Год назад

    😊❤

  • @otienonondoh1718
    @otienonondoh1718 Год назад

    Uririmbaneza 4:20

  • @tawfyqmohamed6877
    @tawfyqmohamed6877 2 года назад +2

    31may,2022

  • @abdullahiadow9696
    @abdullahiadow9696 2 года назад +1

    Plz reform it this video it's very committed for downloading

  • @addy9346
    @addy9346 2 года назад +1

    Hi

    • @p3sa
      @p3sa 2 года назад

      👋

  • @daviswalunywa1392
    @daviswalunywa1392 Год назад

    This is Simba Wanyika not Less Wanyika

  • @otienonondoh1718
    @otienonondoh1718 Год назад

    Il

  • @denismuraguri_ke7065
    @denismuraguri_ke7065 2 года назад +2

    4/6/2022