Waimbaji walioimba George na wilsoni kinyonga wametangulia mbele za haji aliobaki ni ndogo wao wiliamu kinyonga lakini Hali yake ni mbaya kimaisha ananufaikaje na usanii wake wa muziki mbona serikali ya Kenya haiwaangalii wasanii Bora kama hao walitangaza Kenya sana kimuziki mpaka leo muziki yao ni mipya kwa Kila kizazi inasikitisha sana William kinyonga anafika kukosa hata pakulala na nyimbo zao zinahiti sana afrika ya mashariki looo
Reminds me of my time in Arusha , places like Kijenge, Kimandolu, Sanawari....Unga Limited. A fab time of youthful days. Enjoyed mbege while listening to these songs.... nostalgia now miles away in diaspora !
Money kills but it is also a flower Asante sana wa sanii wa les wanyika.You made us go thru our high school life smoothly.Misiki yenu iliweka alama kubwa rohoni za wasikilizagi wskati wa enzi hizo.Mulifanya kazi bora
Shiiingi haha tana maua Hadi leo paka siku yakiama kweii pesa nisabuni yaloho watu wamepotea kwajiri yashiiingi mungu awalaze mahaii pema kwautunzi wanyimb nzuri nawaiio hai mungu wape nguvu
Yani wimbo wenu kiooo chajamii sana mahana yoye muliyo yaimba ndoyapo ivyoivyo dunia yaleo, tumuombe allah tuzitumie vizuli izi malizetu allahuma amiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,tusitumie nafasi yafedha kuwa nyanyasa wengine wasio kuwanao,mahana shilingi ndo sabuni ya roho
Wilson your good Star was stolen by the enemy,If possible visit Rev Ezekiel Mombasa mavueni you get delivered,if I can get you I can take you there oh God ,not too late brother
@@Shammy-rn3tn the soloist is the son of Wilson Kinyonga. Of course the audio is the original song but the son and the group are just acting as though they're singing live but not. All in all, good to see the son of Wilson Kinyonga.
Enzi za kina Baba zetu hizi, ujumbe uliokwenda darasa wanaimba uhalisia wa pesa hadi uhalisia huo unashuhudiwa hata leo .hewana mabingwa na waliotangulia mbele ya haki MUNGU awafanyie apendavyo maana ndiye m Muumba.
Sina Cha kuongea zaidi ni kazi nzuri walifanya Hawa jamaa ndugu willson George wiliamu na band ya wanyika kwa wote Kila pakuchao nyimbo ni mpya waliotangulia mungu awafanyie taafifu tunawakumbuka bado
Waimbaji walioimba George na wilsoni kinyonga wametangulia mbele za haji aliobaki ni ndogo wao wiliamu kinyonga lakini Hali yake ni mbaya kimaisha ananufaikaje na usanii wake wa muziki mbona serikali ya Kenya haiwaangalii wasanii Bora kama hao walitangaza Kenya sana kimuziki mpaka leo muziki yao ni mipya kwa Kila kizazi inasikitisha sana William kinyonga anafika kukosa hata pakulala na nyimbo zao zinahiti sana afrika ya mashariki looo
Reminds me of my time in Arusha , places like Kijenge, Kimandolu, Sanawari....Unga Limited. A fab time of youthful days. Enjoyed mbege while listening to these songs.... nostalgia now miles away in diaspora !
Ilove the lyrics ..istill enjoy the song 2023
Hii ni sawa kabisa, funzo nzuri kwangu
This song remind my late Dad and mum when life was good to has
Naupenda sana huu wimbo,kutoka enzi zile miaka ya 80s
These were the music very educative GOD BLESS the alive guys and their family
I love these men who played these instrumentals ❤❤❤❤❤
Money kills but it is also a flower Asante sana wa sanii wa les wanyika.You made us go thru our high school life smoothly.Misiki yenu iliweka alama kubwa rohoni za wasikilizagi wskati wa enzi hizo.Mulifanya kazi bora
Not Les wanyika, it was Simba wanyika.Wilson Peter and George Peter Kinyonga.Famously known as the Kinyonga brothers.
This song takes my memories back in Kilimanjaro, my hometown. I miss home😢😢😢
are you abroad?
Whenever I here this song I do miss my Mum and dad so bad....their favourite....
Shiiingi haha tana maua Hadi leo paka siku yakiama kweii pesa nisabuni yaloho watu wamepotea kwajiri yashiiingi mungu awalaze mahaii pema kwautunzi wanyimb nzuri nawaiio hai mungu wape nguvu
Hatuezi ku wasahau les wanyika,Mulitumia utaalamu na ujuzi kutunga nyimbo za maana kwa wote na hasa afrika mashariki.
Nyimbo za kitabo zilikuwa tamu sana ak
Ya kale ni dhahabu
Vya kale n dhahabuu
The songs stimulates my soul, the smartest artist ever.👐
Asieee kweli music ulikuwepo dhamani ni ujumbe mtupu .sio Sasa ni uchi wa nyama ujumbe hakuna
This song makes me shade tears when I hear it...I remember dad and its so painful...he loved this songs
Excelente, desde barranquilla, colombia
Iam here listening the song🎉
Muziki mzuri Sana. Hii ndio maana ya msanii kioo Cha jamii
KBC those days ❤❤❤
Yani wimbo wenu kiooo chajamii sana mahana yoye muliyo yaimba ndoyapo ivyoivyo dunia yaleo, tumuombe allah tuzitumie vizuli izi malizetu allahuma amiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,tusitumie nafasi yafedha kuwa nyanyasa wengine wasio kuwanao,mahana shilingi ndo sabuni ya roho
In 2023 and the song now make sense to me.😛😛😛😛
When music would be felt from the ears to the bone marrow... Noma saana
Amen
@@benziygie001blixen7 amen sasa inatokea wapi hapo
kabisa
when artists never forced music to come through!!! tamu sana in April 2021
2022 naangalia hapa kuelekea January 2023 penda sana nyimbo za zamani
Through in this together
Wilson your good Star was stolen by the enemy,If possible visit Rev Ezekiel Mombasa mavueni you get delivered,if I can get you I can take you there oh God ,not too late brother
Tamu sana. Enjoyable song especially while driving 🚗
2024, yani mumeimba uwalisia wamaisha ya sasa yote baba zangu ,shilingi ya ua ooooo teeena mauwaaaaaaa
Lkn Hawa wengine niza matusitu lkn Les wanyika yupo vizr Ngoma zake nakubali sana
Basi viongozi wakenya wanaubaguzi yaani mtu moja kumstiii angalu aifuhie kenya basi hata wanamziki wakenya hawana yamoja angaiia wakongo wanavopendana
Good music I love the lyrics
Kali Sana 254
Jam session dem days my God roadshow music life change
Sikuhizi 100%agri hakuna mapenzi bila pesa
I lyk hw thiz man is wearing simple
Ujuwe kuwa muzik uliumbwa na ukisikiliza ndio utaamin muziki uliumbwa
During this covid-19. This songs hits badly 😢
Muziki za kale bado ni dhahabu
I remamber at was in Arusha Town every where ,glossary nyama choma were playing that music.
Hawa jamaa walitabr sana siku hzi.n pesa inapedw.na sio mtu jamn jamn watu wa zamn waliona far sana
Very nice. Nostalgic
Zinatukumbusha mbali
Mmmmmmh! Pecha hakika sabuni ya loho
Days when music 🎼 was music.
Sublime ..................
Kweli pesa ndio Kila kitu
My friends in Kenya do you still have ile krest soda ya chupa kubwa
Iko bado kaka😂😂
Iko bana🍾🥂🍾🍾🤣🤣
Vipi na ile soda ndogo ya vimto hahahàaaaa
🤣🤣🤣 hio krest nilikuwa naambiwa na Shosho ati ni dawa ya malaria
@@edwinngetich2230 me too, i used drink when iam sick
These guys rocked. Wako wapi Hawa kina Kinyongas? Wilson Peter Kinyonga, Kina George etc
wilson and peter are dead, only william is still alive
I LIKE THIS
Shilingi killed my friend😭I'm still hurt..pesa ww
Hao waliohudhutia hiyo show hawajui kuyarud ma old school kabisaa
Video haiendani na beat ya wimbo.
Ni sababu hii ni mimicry. Wenyewe ni Wlson Peter na George Peter na Simba wanyika.
And non of them is here.
@@Shammy-rn3tn the soloist is the son of Wilson Kinyonga. Of course the audio is the original song but the son and the group are just acting as though they're singing live but not. All in all, good to see the son of Wilson Kinyonga.
Nakumbuka mwaka wa1985,willson ulikuwa simba wanyika
Nyimbo za rohoni
Yaaan hizi nyimbo jaman na ujana wangu but nainjoy kusikiliza
Huu ni wakati sengenge zilikuwa nanasema maneno
Njojo ni wanyika sasi yao
Muziki ulikkua bila jasho
Willson nilipi LA ajabu lilotokea ndiyo uishi maisha uchochle hapo huruma riverside?
Nyota yake iliibwa.
Unhiden truth, shillingi yaua tena maua
2021 naangalia
Nishiliki
Enzi za kina Baba zetu hizi, ujumbe uliokwenda darasa wanaimba uhalisia wa pesa hadi uhalisia huo unashuhudiwa hata leo .hewana mabingwa na waliotangulia mbele ya haki MUNGU awafanyie apendavyo maana ndiye m
Muumba.
My favorite song 2020
Good old times.
ukweli mtupu
Pesa ndio mume
I love this
NC
This video was made by his son, though, around 2010
Kosa pesa uone marafiki yaukweli
Sikiliza iyo
Music ooooh my
🌹🏵🌺🌻🌼🌷🍎
Safa
xo lovly
The hidden truth!! Was so a big message 2 our life!!!!
Kati ya Adamu na Eva dunia ilikuwa nzuri lakini dunia ya leo usipokuwa na pesa hauna sauti💯
Nikweri
Vijana hukumbuka
Vijana wamwaka 1995 tujuwane hadi sasa2023
Sina Cha kuongea zaidi ni kazi nzuri walifanya Hawa jamaa ndugu willson George wiliamu na band ya wanyika kwa wote Kila pakuchao nyimbo ni mpya waliotangulia mungu awafanyie taafifu tunawakumbuka bado
@@sebajohn9058kabisaaa
Not simba wanyika artists but but well tried if they really mimicry.
Vijana hukumbuka