Banana Mashup | By Bosco Tones & Normal

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 339

  • @pena_tz
    @pena_tz 6 лет назад +86

    kama unampenda #Bosco the tones kwa cover za nguvu gonga like hapa.

  • @bashmutumba
    @bashmutumba 6 лет назад +38

    Hapo kwenye Badilisha na Kipepeo mmenishindaga mazee. Thanks for loving Uganda. Much love from Kampala. King Jose Chameleone forever.

  • @abdallaalbert7363
    @abdallaalbert7363 6 лет назад +16

    This mashup iz somthng else..bosco unaweza bro

  • @titomichael1529
    @titomichael1529 5 лет назад +1

    Jamni hapan hawa watu ni nomaaaaaaaah

  • @jamesmhema8077
    @jamesmhema8077 6 лет назад +8

    Hawa jamaa sjui nisemeje aise
    Mnatisha ile mbaya
    Hongereni sana...

  • @annaciawilium6172
    @annaciawilium6172 5 лет назад

    Aise ngoma Hatar san jmn 👏👏👏👏😘😘😘😘❤aaah! Had I nacheza now😁😁😁💃💃💃💃big up ma blood

  • @jeccaonline7755
    @jeccaonline7755 6 лет назад +1

    Waooo vibes kama loteeee mko poa sana mi naisi muwe hiyo hyo maan kama nyimbo watu washaimba mpka wanakoswa za kuimba wanaimba matusi soo endeleen kutoa cover mnaleta utamuuuuuu

  • @BonfaceSikobe
    @BonfaceSikobe 5 лет назад +1

    mumenichanganya sana mkanpelkea America,Kenya,Ug,Nigeria na Tz

  • @mmbandodeogra1474
    @mmbandodeogra1474 6 лет назад +1

    Wafanye cover ya jeraha ya abdu kiba,blue 3 where you are,Kidumu haturudi nyuma kamwe,watatisha sana wako vizuri

  • @cleiddydasenior8271
    @cleiddydasenior8271 6 лет назад +15

    Mmetisha Sana wanangu🔥🔥💪

  • @frerdyjames5608
    @frerdyjames5608 6 лет назад

    Nakubali sana kama izi pamoja na kama ile ya siri ukifanya wimbo ule ule bila kitu kingne kama ivi daaah inakuaga mbaya kdg kwàngu broo

  • @dianangina9421
    @dianangina9421 4 года назад +1

    It's a very nice cover from this guys nimeipenda keep it lovely one

  • @bizdoctor1006
    @bizdoctor1006 6 лет назад +10

    Doooooooooh, hiii ni amizing sana aiseeee

  • @seifupupu2580
    @seifupupu2580 6 лет назад

    Dogo unajua sana Bosco, Mungu akuongoze na ufikie mbali

  • @StaniYoungboy
    @StaniYoungboy 6 лет назад +1

    Naipenda sana afro covers

  • @abdullatiffazaldin8528
    @abdullatiffazaldin8528 6 лет назад +13

    Mimi simo sana ktk bongo flava mimi nipo ktk jazz sana nimepitia huku kwa bahati mbaya lkn sijutii these guys are good really good nimependa sana uimbaji wao. Keep it up guys one day you gonna be big take my word if you keep straight and concentrate seriously with what you r doing. Don't let superstar goes to your head.

  • @hamidizojaphariii384
    @hamidizojaphariii384 6 лет назад +1

    Uuuwiiii hiii nimeipenda zaidi jamani. Mamaaaaa

  • @danielsama1576
    @danielsama1576 6 лет назад +2

    Kazi nzuri sana big up to C.E.O bekaboy BMG for life

  • @kingoripanonesupermarket5303
    @kingoripanonesupermarket5303 6 лет назад +1

    nomaaaaaa sanaaaaa mzazi bigup mkuu

  • @akanmpokeje4281
    @akanmpokeje4281 6 лет назад

    Bosco UNAWEZA kinoma toa ngoma tutashare

  • @witnesslucky618
    @witnesslucky618 6 лет назад

    nakupenda sana unavyoimba unanihamasisha na mimi kuimba

  • @jeccaonline7755
    @jeccaonline7755 6 лет назад

    Mmetisha sana asanteni kila siku tunaona mazungu yanaimba cover zao asanten San jutum laha

  • @dianamutuku9057
    @dianamutuku9057 3 года назад +1

    Very nice keep it guys 💞💞

  • @drlovetz8139
    @drlovetz8139 6 лет назад +13

    Daah #NYOKOOOOOO zenu namanisha mnatishaaaaaa hahaha

    • @deborahalphonce6793
      @deborahalphonce6793 6 лет назад +1

      Dr Love Tz bosco ww nouma unajua kubadilisha sauti kushuka kupanda oyooo

  • @janendekere4328
    @janendekere4328 3 года назад

    Thumbs up 😘😘😘😘😍😍good colabo...keep up you will go far

  • @browncofficial377
    @browncofficial377 6 лет назад +7

    Hawa vijana kwa mashups aiseii jiweeee

  • @gloriamwanjala1455
    @gloriamwanjala1455 6 лет назад +18

    Bosco tones has the voice👌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jumaathmani9379
    @jumaathmani9379 6 лет назад +3

    Nyie jamaa ni fire ilembaya bonge la aidia

  • @wardharamesh4905
    @wardharamesh4905 6 лет назад

    Aiseeee kibakubaku baba upo wapi nakutafuta miamia daaaaaa hunichoshi et

  • @chachagidion2591
    @chachagidion2591 3 года назад

    huyu BOSCO habari yake sio nzuri sana kwa wabinafsi

  • @jumakingazy9865
    @jumakingazy9865 6 лет назад +8

    Dah ktambo sana hizi style za Beka ibrozama but mmetisha sana ndgu

  • @bensonnyaga2027
    @bensonnyaga2027 6 лет назад +1

    It's liiiiiiiiit, this the best cover you've done man.

  • @swabrinamasuod3316
    @swabrinamasuod3316 6 лет назад

    Jaman mnajuaaa nawapenda 😍😍😍😍

  • @vincb8043
    @vincb8043 6 лет назад

    Vinc on the beat was here.
    approved.
    nyi ni wabaya aise

  • @Bonnere
    @Bonnere 6 лет назад +1

    Daaam love the collaboration of the songs much love ❤️ from Australia 🇦🇺 +61

  • @happygodmmary4265
    @happygodmmary4265 6 лет назад +4

    kizazi sana daaah nimeshakua teja wa cover na mashup

  • @brownyaka.matokeochanya
    @brownyaka.matokeochanya 6 лет назад

    I see you guys sehemu ingine kabisa. You The Best

  • @reyham1722
    @reyham1722 6 лет назад +1

    Ww jamaa hataree sana had kikongo umecharazaa

  • @VascoofficialTz
    @VascoofficialTz 5 лет назад +1

    kama unapenda ngoma zahaoomajama subscribed hapa

  • @agenbells3576
    @agenbells3576 6 лет назад +6

    Nimeiona hiyo wakali wao #Bosco$Normal

  • @ewaldmrema909
    @ewaldmrema909 6 лет назад +17

    Woooooyooooooooooo normal sna likes zenu kwa wajanja wote wa moshi

  • @ibrahimmohamedi5653
    @ibrahimmohamedi5653 6 лет назад +2

    Hadi natabasam maana no stress
    #Big_up
    Vijana wangu
    GOOD WORK

  • @jabirrao7475
    @jabirrao7475 3 года назад

    Best mashup of all time ❣️ tunataka nyngne it's been long bna

  • @kwtkwt4158
    @kwtkwt4158 5 лет назад

    waooooo daa mumetisha sana bg upo

  • @hildaalagwa5510
    @hildaalagwa5510 6 лет назад +1

    Waooo ,,,soo nyc

  • @yusphhagae
    @yusphhagae 6 лет назад

    Best of all, piga kazi man andaa vitu konki kama hivi.

  • @mg.general7710
    @mg.general7710 6 лет назад +2

    nomaaaaa ebana unajua sana kaka sijui niseme nn ukopow Mwamba

  • @herriethkwegiar8582
    @herriethkwegiar8582 5 лет назад +1

    Studio iko wapi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 6 лет назад +9

    BOCSO VERY TALENTED

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 6 лет назад

    Bam two bam uwiiii hatar sanaa aise kizaz saana

  • @alexsila8607
    @alexsila8607 5 лет назад

    nimekubali...........wazzzziiiiiiittttoooo!!!!!!!!!!!!

  • @nickynick9987
    @nickynick9987 6 лет назад +1

    Kali wasee💪 imekubalika

  • @veronicaakili1280
    @veronicaakili1280 4 года назад

    Daah ww ni nomaa don't give up ❤️

  • @sefagomez6883
    @sefagomez6883 5 лет назад

    Kweli mnaweza sana zaid ya sana

  • @rashidyunus1835
    @rashidyunus1835 5 лет назад

    Jamaa nakukubali sana uimbaji wako

  • @neemachacha2326
    @neemachacha2326 6 лет назад +2

    aiseee ....sijawah kuona kama nyieee ....salutii

  • @doreenchiragwile3424
    @doreenchiragwile3424 5 лет назад

    Jmn nimewapenda nyinyi khaaaa

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 5 лет назад

    Daahh kalii Sanaa listening from China

  • @hemedy100
    @hemedy100 6 лет назад +1

    wazee iwekeni Spotify basi babu hii ni 🔥🔥

  • @alenabelkinoni6571
    @alenabelkinoni6571 6 лет назад +2

    brother s mnaweza sana

  • @tulivu6377
    @tulivu6377 5 лет назад

    Bosco we Hatare utafika mbali

  • @judithlulandala7413
    @judithlulandala7413 5 лет назад

    Huuu daah utamu umepitiliza aseee nyie watu shidaaaaa

  • @edgeq6658
    @edgeq6658 5 лет назад +5

    Kama umependa hii cover na unaona imeua kuliko zote gonga like hapa👀

  • @rajabndauka4658
    @rajabndauka4658 6 лет назад +1

    daaaah aisee we jamaa noma

  • @bonnysure5131
    @bonnysure5131 6 лет назад

    Nyie machalii njoeni Arusha duh

  • @boniphacerobert9533
    @boniphacerobert9533 6 лет назад

    Mnaweza sana zaidi yao

  • @chipembelesaid
    @chipembelesaid 6 лет назад +1

    Awesome! akili miiiiingi mazeee..

  • @khassimsokoni8656
    @khassimsokoni8656 6 лет назад +1

    bosck tony nakukubaree cover zko za maana

  • @emmanuelmataba5997
    @emmanuelmataba5997 5 лет назад

    Nyie vijana mttakua mmerogwa kuimba hatariiii!

  • @tannababy5136
    @tannababy5136 6 лет назад

    Atariii sana mix imetulia sana

  • @mwangimacharia3157
    @mwangimacharia3157 6 лет назад +1

    mbaaaya🙌🙌.... loving the mash up

  • @alenabelkinoni6571
    @alenabelkinoni6571 6 лет назад +3

    duu pamoja mnaweza

  • @munirysaidy8087
    @munirysaidy8087 6 лет назад

    Uwiiiiiiiiii hatariii nimependa

  • @liliantula76
    @liliantula76 6 лет назад

    This guys are lit much love from 254

  • @erickbandio4048
    @erickbandio4048 6 лет назад +1

    Hii mashup mmeumiza sana apo kwa jose chamilioni ime make ▄︻̷̿┻̿═━一

  • @graceruben9610
    @graceruben9610 5 лет назад

    Big up! Mnajua tens saana

  • @lenaamon9957
    @lenaamon9957 6 лет назад +1

    Wakaliiii mpaka mnapitiliza

  • @jaysinde7837
    @jaysinde7837 6 лет назад

    Sio poa vjana mmetisha sana!!

  • @dominicadominica4976
    @dominicadominica4976 6 лет назад +1

    Woooooooow wallah nakubali muko juuuuuu

  • @glorygideon5859
    @glorygideon5859 6 лет назад +1

    Av nothing to say guys,,,,mnajua too much big up brozz

  • @fredombiro5309
    @fredombiro5309 4 года назад

    From 🇰🇪 we support you guys
    This is real talent 👏

  • @pendomachele7170
    @pendomachele7170 6 лет назад +2

    Naomb jina la wimbo alio imba bosco baada ya mwenza kuimb katot kanapenda pipi na chungamu

    • @philiposhilingi7288
      @philiposhilingi7288 6 лет назад

      Pendo Machele. ni ngoma ya joze chamililion inaitwa kipepeo

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 6 лет назад +1

      Vel money x jux tafuta japo sijui jina la nyimbo ila wasanii walioimba no v money na jux

  • @japhetwilliam5462
    @japhetwilliam5462 5 лет назад

    oya nakubali nakubali wazee, maflag ya kutosha from chuga

  • @JasLoretha95
    @JasLoretha95 6 лет назад

    i was dancing thru the whole video..im a big fan keep it up the mashup is a bom 😉 ima download ths video now and post it on my whatsapp status views ☺☺

  • @alvinshungu9598
    @alvinshungu9598 3 года назад

    This boys are talented.kudos!👍👌

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 6 лет назад

    Kaa humu humu kijana husije na ngoma yako

  • @emmanuellyimo7408
    @emmanuellyimo7408 6 лет назад

    Nice sana bosco

  • @godfreysimiyu6364
    @godfreysimiyu6364 Год назад

    puul up bro you wili be the next king like alikiba the star

  • @StellaMasayo
    @StellaMasayo 11 месяцев назад

    Best cover kwang❤

  • @benedictorsupertall6440
    @benedictorsupertall6440 6 лет назад +7

    mmeuwaaaaa naezaje kupata cover zenu hiz video nataka kupromoti

  • @hajimakame7554
    @hajimakame7554 5 лет назад

    nzuri xanaaa

  • @danielmacha3642
    @danielmacha3642 6 лет назад +1

    Kila nikiingia humu lazima niangalia kichupa hiki...vybe kama lote

  • @godfreysimiyu6364
    @godfreysimiyu6364 Год назад

    puu up bro you wili be king like alikiba the star

  • @shedyclever3454
    @shedyclever3454 6 лет назад +4

    bosco unahatar sana

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 5 лет назад

    Mmetisha hakiamungu

  • @lilianndinda8448
    @lilianndinda8448 5 лет назад +1

    Me upenda cover zote kaa uko kaa mimi gonga like plz,,,,,,

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад +1

    Ongelen kw kaz nzr.....nyimb nzr had rah

  • @vanniah1
    @vanniah1 5 лет назад

    You guys just killed me dead!!!!. It's 2am and I feel lit 🤗😍😍😍💓💓

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад +1

    Mamb ni mot.pamoj ndg ongeza bidiiii.....

  • @kenafriq
    @kenafriq 5 лет назад +1

    Great mashup hit like, do more of this #Bosco