BOSCO TONES AFUNGUKA KUJIONDOA THE MAFIK! | "NILIKUWA GIZANI! SIKUWA NA MKATABA!"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 44

  • @P4Principle
    @P4Principle 5 часов назад +2

    Misimamo kaka kila siku ndio inakufanya imara katika harakati zako. Barikiwa sana bro 💪

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu 2 часа назад +1

    Bosco nimependa ulivyokuwa came na humble kwenye interview yako lakni nimetoe ushauri kwa the mafik kuwa brand kubwa inahtaji kuwa na mwendlezo mzuri na wasanii

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 7 часов назад +1

    Nilikuwa namuulizia jmn blessed sana

  • @Inframe24
    @Inframe24 17 часов назад +1

    Mungu akutanguliye Bosco tones safari ndefu kaka

  • @MusaMasika-g2o
    @MusaMasika-g2o 21 час назад +2

    Dogo nmemsikiliza vema, wengi hawatamuelewa lkn mikataba ndio kila kitu jamani lasivo utajikuta mnatelekezwa na hakuna cha kusaidiwa, utaratibu ndio kila kitu. Kijana anakipaji mnoo mpen mkataba anaweza

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 11 часов назад +1

    Nimemwelewa km alichosem n kweli yuko sahihi

  • @smaylonner6858
    @smaylonner6858 День назад +1

    ❤❤

  • @RAFIKIOnline9660
    @RAFIKIOnline9660 7 часов назад

    Bosco nenda kwa farma tz dodoma ukapige live na mwamba una kitu mzee

  • @Mrromantic-n4c
    @Mrromantic-n4c 19 часов назад

    sema huyu bosco simuelew saiv anh mmh sijui anazimua saiv anh kachange kinoma

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Wanu wana Vosoma wan Cheka 😂😂😂😂😂😂😂

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA День назад

    Mmmmh 😢

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Bora usepe

  • @msasetv8296
    @msasetv8296 15 часов назад

    Mdogo wangu huyu namfahhamu vizuri sana. Ana utata sana

  • @giztony2009
    @giztony2009 День назад +8

    Ni kawaida watu wa kigoma kuwa na ubinafsi kuna mifano mingi kuanzia kwa akina zitto na ishu ya chadema, Mwijaku kwa clouds, huyu na The mafik na wengine wengi kwa hiyo watu wa kigoma cyo wa kuwaamini wana tamaa na ni wabinafsi sana lakini pia hawana msimamo

    • @BisuraJacob
      @BisuraJacob День назад

      Sio kweli

    • @giztony2009
      @giztony2009 День назад

      @BisuraJacob braza ungekuja kwa hoja mm nimekupa mifano halisi

    • @rashtz2785
      @rashtz2785 День назад

      Siyo kweli, mwijaku kwani Clouds alitoka kwa ubaya?

    • @kajanksimon7432
      @kajanksimon7432 День назад +1

      sio ukweli watu wakigoma niwaelewa sana na hawapendi kuyumbishwa kwaiyo wanapoona mambo hayaendi kama jinsi mlivyokubaliana wanakuwa na maamuzi ya haraka

    • @Mrromantic-n4c
      @Mrromantic-n4c 19 часов назад +1

      kazi n makaratasi mzee kma huna mkataba hz faida utazipata wap

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Yani

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Mtu moja Tu Mimi

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Siwezi

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Mmmmh

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Haaa

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Eti nilaki

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Mikisoma hi komenti

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Haki ya mungu 😂

  • @RaymondKanyama-y5b
    @RaymondKanyama-y5b 10 часов назад

    bosco tone

  • @voisaclassic1866
    @voisaclassic1866 22 часа назад

    dogo hajui kuongea yani kiufupi haeleweki very unproffesional

  • @OdetteRukundo-n3u
    @OdetteRukundo-n3u День назад

    Bro Acha kuvuta bangi inakualibu sana

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Eti Ka lski

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    Miwakwanza

  • @kaziyabure
    @kaziyabure День назад

    19